Very powerful, useful and a must to be listened by everyone who loves God and wants to live a righteous life. More grace of God upon you Man of God. I have been blessed by this message 🙏
Kweli baba Mumgu anakutumia kwa namna tofauti sana nimekuja kanisani kwako zaidi ya mala mbili japo nipo dodoma kwel nimemuona Mungu na kuna siku kupitia mafundisho tu online nilifunguliwa teso langu ambalo niliteseka zaid ya miaka mingi kupitia fundisho tu TH-cam
You sharpen me everyday,may God expand your territories
Oooooooowhooo ubarkiwe Sana mtumishi wa mungu Yani nimebarikiwa Sana
Powerful msg Apostle, MUNGU atusaidie
apostle mafundisho yako yananifungua,agsante Mungu wa major 1
Ee Mungu tusaidie tusiwe na roho ya mazoea kwa watumishi. Asante Chief APPOSTLE Mungu akuweke kwa ajili ya wengi wafunguliwe.
Apostile mtalemwa mungu azidi kukuweka baba maana tunabarikiwa sana kwa mafundisho yako
Ameen mtumishi barkiwa sana na mafundisho yako Mungu akutunze mtumishi wa Bwana
Nabarkiwa sana na mafundisho yako mtumishi
How i love this Man of God.. 😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ndio kabisa dady tunahelewa sanaa
Bibilia una ijuwa baba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nabarikiwa mtumishi
Somo zuri sana chifu mungu akubariki
Very powerful, useful and a must to be listened by everyone who loves God and wants to live a righteous life. More grace of God upon you Man of God. I have been blessed by this message 🙏
Amen Amen Amen baba twashukuru sana umetufunza Kwa hekima ipitayo fahamu zote asante Mungu akujalie neema kila kitu
Thanks for the message I am really blessed Amen
Amen ntarekebisha kuzoa watumishi wa mungu eeh mungu nsaidie
Asante Mtume kwa mafundisho nakupenda sana MUNGU akuinue na kukubariki natokea kyela
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Zimbavasi meaning Mungu turehemu asanti Kwa mafundisho stay blessed
Izimbavasi tsya Nyasaye tsiengine mkana witu, ovendi?
Zidukhana mwami akwiranire
@@RoroRoserororo Sande sana mbotswa
@@alicekalemela7435 karivu mwanitu
@@alicekalemela7435 lugha gani hii
Asante Yesu mutumishi wa Mungu
Amina chief nakubal sanaaah huduma yako mnoooo nakufatilia sanaaa mtandaoni neno zur God blessing you
Nabarikiwa mm Mungu nisaidie
Amina mtumishi unanibariki sana
Holyspirit help me not to get used to the anointing that I'm sitting under in Jesus mighty name amen.
So power full msg following from Lebanon. Familia imemaliza watu wengi.
Hili somo limenigusa Sana ,hivi kwa mwanza mko sehemu gani
Kweli baba Mumgu anakutumia kwa namna tofauti sana nimekuja kanisani kwako zaidi ya mala mbili japo nipo dodoma kwel nimemuona Mungu na kuna siku kupitia mafundisho tu online nilifunguliwa teso langu ambalo niliteseka zaid ya miaka mingi kupitia fundisho tu TH-cam
Asante kwa hatua mpya Mungu akubariki 👏👏🙌🔥🙌🔥🙌📌💯
Very powerful message be blessed 🙏🙏 man of God
Amen glory to Jesus Christ following you from Gulf
Shindwa kwa jina la Yesu
Very powerful.listening from kenya.i need to hear this.surely the sprit of God is speaking
Amen,I see the point . Apostle
God bless you man of God for the massage thanks again
This message is scientifically fit for consumption and spiritually powerful correct ,no side effects at all
Amen Nimepokea... Be blessed too.
Akuna Mazoea. Amen.
You are so blessed and anointed Man of most high God.
Thanks for the messages and prophesies.
I desire to understand more 🙌🕊️ ♥️✨✨
Eeeh ! Mungu nisaidie kutokuwa na roho ya mazoea kwa Watumishi wakoMungu
Kuna watu wanautani na watumishi wa Mungu kwakweli Mungu atusaidie
MUNGU atusaidie sana, Asante sana Mtumishi wa MUNGU. 🙏🙏
Barikiwa sana Baba
Ukweli umenisaidia mtumishi
Truly your a man of God.
Preach man of 👏👏👏👏
Amen kweli kabisa mazowea na dharau dah
Asante kwa kunisaidia Baba.
😅😅 kweli nabii Hana heshima kwao....Mungu turehemu Kwa mazoea ya Watumishi wako tumejifunza na tutalifanyia kazi Kwa neema Yako baba mungu ameeeen 🙏
GOD of Major1 helping me to be Free from that area.
Very powerful teaching am derivered More protection and strength chief Apostle Mtalemwa
Apostle mafundisho yako kwenye videos inanisaidia kila mara nikitazama... Amen
Amen I receive my Apostle
Amen amen amen
Asante kwa somo
Asante mtaremwa mwakore maana nimejifunza
Eeee Mungu niondolee roho ya mazoea
Asante sana umezungumza na moyo wangu 🙏
Hallelujah
Thank u Apostle
Amen
AMEEN 🙏🙏🙏 HALLELUJAH
AMINA MY APOSTLE
Sprit of familiarity....( Roho ya ujuaji
AMEN
ila apostle 😂😂😂😂😂😂 et nilinena tukazaaaa
Powerful
Ndio chief NAKATAA ROHO ya mazoea na utamaduni
Jamani Shinyanga unakuja lini?
Ameeen
Mark 6
❤❤❤
Ila leo nimecheka ila Mungu atusaidie nyakati hizi inatakiwa watu wamjue Mungu yani kama Kuna nyakati shetani anaenda na kasi sana ni nyakati hizi
😂😂🤣🤣🙌🙌🙌🙌🥰
Somo renye kina Sana wakuelewa atakuwa ameelewa uongeze maarifa zaidi.
😆😆😆,sio apostle aponywe ,
Mungu amfungue macho yake ya rohoni some🙏
Amfungue macho yake aone 🖕
Ameeen