Asante kwa motivated speakers wote hapo ndani na nje ya hapo,,, ni kweli kuna limit tunawekewa na watu flan flani, pia hata mwenyewe unaweza kujiwekea limit hiyo,, tuamke watanzania na waafrica kwa ujumla
Mr.luvanda. niko na ndugu yako namuitaga luvanda mc ivo ivoo.... alishwahi nipa story zako... kiukweli nimejionea broh umeniispire sanaaa... hizi ndo ndoto zangu... naamini zitatimia... #ukimuuliza luvanda junior @teku ananijua kwa jina la Magingi. Barikiwa sana!!! Wish siku moja nikuone uso kwa uso
Taarifa kwa Wakazi wa Dar es salaam Kutakuwa na mkutano wa TREVO TANZANIA Ltd utakaofanyika katika Ofisi za trevo Moroco kwenye jengo lililoandikwa Baypot siku ya Jumamosi ijayo tarehe 05/03/2016 kuanzia saa tisa alasiri unaoelezea kuhusu wajasiliamali watakavyoweza kunufaika kwa kufanya biashara hii ya mtandao kwa kutumia trevo kwa kupata vipato vya wiki na vya mwezi na jinsi gani vipato hivyo vinaweza kuzidi milioni 10 kwa mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 466700 Kiingilio kwenye mkutano huo ni Jina na namba ya mdhamini wako ambaye utakayetumia namba yake ya udhamini wakati unajiunga na biashara hii WATAKAO HUDHURIA NI WHATSAPP 0714303409 ILI NIKUPE JINA LANGU NA NAMBA YA UDHAMINI Kwa habari zaidi kuhusu fursa hii ya TREVO pamoja na majibu ya maswali yanayoulizwa na watu kuhusu biashara hii ni whatsapp nikupe maelezo zaid 0714303409 MAFANIKIO NI HAKI YA WALE TUNWANAYOYATAFUTA KWA JASHO LAO KILA SIKU USIDANGANYIKE HAKUNA KIZURI CHA KUPEWA BUREE
Asante kwa motivated speakers wote hapo ndani na nje ya hapo,,, ni kweli kuna limit tunawekewa na watu flan flani, pia hata mwenyewe unaweza kujiwekea limit hiyo,, tuamke watanzania na waafrica kwa ujumla
So nice bro, u encourage youth to stand up. Big up and keep it tight.
I appreciate u i like and u give more inspiration for my life every day any where must I follow u thanks and be blessed
woozer.....!!!! tamu asariii iyo
Nimejifunza vingi sana ktk mjadala huu
Mr.luvanda. niko na ndugu yako namuitaga luvanda mc ivo ivoo.... alishwahi nipa story zako... kiukweli nimejionea broh umeniispire sanaaa... hizi ndo ndoto zangu... naamini zitatimia...
#ukimuuliza luvanda junior @teku ananijua kwa jina la Magingi.
Barikiwa sana!!! Wish siku moja nikuone uso kwa uso
Nimekuelewa kaka uko vizuri sana.nitajiongeza..
Asante 360 clouds asante mc luvanda najifunza mengi toka kwako
Big up sana kwa mtangazaji pia anauliza maswali yanayotengeneza mada nzur kiasi kwamba tunapata vitu vingi vya kujifunza
MC Luvanda, nimekuelewa, asante, I mind my business.
barikiwa sana mzee dr.luvanda 2015-2018 haikuwa rahisi
Thanks Luvanda. This is very powerful. Am glad to have listen to this while still young.
very fact
I real appreciate u guy , your doing wonders
Asante kwa kutuelimisha
dah ...ahsante sana kaka ...nakumbuka mara ya mwisho kukuona ni siku ulinifungulia Account katika bank ya stanbic .....congrats mkuu...
Very inspirational, njoo hata Kenya
ALWAYS YOU LOOK VERY SMART BROTHER HONGERA SANA .
thanks bro.....was real inspiring
Thanks so much my mentor Luvanda.
nmecherewa Sana n maisha ayaaa
nice one bro
Asante pia, Kaz njema.
I am looking for a right mentor.
Good my bro
Hello LUVANDA, I like what you do for our people. We need to awaken the lion within us. How can I reach you kaka?
thanks much for speech
aisee nimekuelewa sanaa
Pamoja sana luvanda
Nakuelewa sana kaka
I will try my best level
Asante Mjasiliamali.
Pia nawakaribisha Epc courie Tunasafirisha mizgo Or Parcel kwenda mokoani kwa njia ya ndege tunafata mzgo ulipo karibuni
fact luvanda
Nami najipanga kujiajiri mwenyewe
Asante mc luvanda
heshimaaa
naomba namba ya huyu jamaa
thank you in advance
exctly
binafs nimeeducated with that speach
Congrats kaka
Great
thnks
iko mahali pake ,,inafundisha kiukwel
kaka Nina mtaji but natamani nipate mawasiliano yako niongee nawe faragha
Ningeprnda kama kunavitabu zako nazihitaji
@@mcluvanda sawa na kwafacebook nikupate wapi ?
jamani nauza mayai ya kienyeji kwa wanaohitaji wani inbox
Safina Salim 😂😂😂😂
Taarifa kwa Wakazi wa Dar es salaam
Kutakuwa na mkutano wa TREVO TANZANIA Ltd utakaofanyika katika Ofisi za trevo Moroco kwenye jengo lililoandikwa Baypot siku ya Jumamosi ijayo tarehe 05/03/2016 kuanzia saa tisa alasiri unaoelezea kuhusu wajasiliamali watakavyoweza kunufaika kwa kufanya biashara hii ya mtandao kwa kutumia trevo kwa kupata vipato vya wiki na vya mwezi na jinsi gani vipato hivyo vinaweza kuzidi milioni 10 kwa mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 466700
Kiingilio kwenye mkutano huo ni Jina na namba ya mdhamini wako ambaye utakayetumia namba yake ya udhamini wakati unajiunga na biashara hii
WATAKAO HUDHURIA NI WHATSAPP 0714303409 ILI NIKUPE JINA LANGU NA NAMBA YA UDHAMINI
Kwa habari zaidi kuhusu fursa hii ya TREVO pamoja na majibu ya maswali yanayoulizwa na watu kuhusu biashara hii ni whatsapp nikupe maelezo zaid 0714303409
MAFANIKIO NI HAKI YA WALE TUNWANAYOYATAFUTA KWA JASHO LAO KILA SIKU
USIDANGANYIKE HAKUNA KIZURI CHA KUPEWA BUREE
Samahan kaka me na ndoto yangu tangu nkiwa form 1 mpaka sasa bado naiwazia sana lkn bado nashindwa kuthubutu plz unaweza nsaidia
nice one bro
Nami najipanga kujiajiri mwenyewe
jamani nauza mayai ya kienyeji kwa wanaohitaji wani inbox
0762035895 chek me!
nahitajii mayai Niko arusha