JIFUNZE: Hatua Saba Ambazo kila Biashara Lazima Ipitie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • JIFUNZE: Hatua Saba Ambazo kila Biashara Lazima Ipitie
    Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, ametoa somo la ujasiriamali hasa katika eneo la biashara na kupitia somo lake la leo utaweza kufahamu hatua saba ambazo kila biashara lazima ipitie.
    Fuatilia kipindi hiki maalum uweze kujipatia elimu ya ujasiriamali bure kabisa ambayo ukiitumia vizuri utaweza kukuza biashara yako na kujipatia mafanikio makubwa.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 21

  • @ErickChrispin
    @ErickChrispin 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante my mentor umenitia moyo nipo kwenye hatua fulani hapo, sasa nitamove

  • @juliethmbuya8146
    @juliethmbuya8146 4 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana Asante sana

  • @dicksonpius2480
    @dicksonpius2480 6 ปีที่แล้ว +2

    Brother mashauli muendelezo tafadhari.. Ikibidi uingie deep kuelezea hiyo mifumo

  • @shelimussa
    @shelimussa 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli some zur

  • @AlanaJoseph
    @AlanaJoseph 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa

  • @ruqfredy2131
    @ruqfredy2131 6 ปีที่แล้ว +1

    Nmejifunza kitu kupitia mashauri but brother plz go deep kwenye mifumo

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 11 หลายเดือนก่อน

    Umeongea Uhalisia Kabisa Apooo

  • @josephatalphonce4474
    @josephatalphonce4474 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni sababu gani hupelekea kushuka kibiashara?

  • @praksedkessy2987
    @praksedkessy2987 4 ปีที่แล้ว +1

    Furaha huleta maendeleo

  • @sefrozadonat342
    @sefrozadonat342 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa huo ushauri maana nam nmepitia hk hk Kaka mashauri

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wano dislike sijui wanatokea wapi. Kitu konk lkn lazima .wafanye ivo.

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 5 ปีที่แล้ว +1

    Nipo kwenye kuhangaika

  • @mwajumamany6402
    @mwajumamany6402 ปีที่แล้ว

    Kweri Kaka

  • @maruchiusmutalemwa2492
    @maruchiusmutalemwa2492 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimi binafsi sikuona kama Makonda amekosea chochote.

  • @zaujiaally5203
    @zaujiaally5203 4 ปีที่แล้ว

    Mada zurii lakn unaongea maneno mengii kuliko kwend kweny mada

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako mtaalam ya kwangu ni hii 0718338222

  • @uledicohnewstv1037
    @uledicohnewstv1037 ปีที่แล้ว

    Nimewaelewa