Stanslaus Lambart: Mtangazaji bingwa wa Mahojiano na Wanasiasa! Afunguka atamuuliza nini Rais Samia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @WilliamKileta
    @WilliamKileta 2 วันที่ผ่านมา +4

    Lambert na odemba Huwa ndo waandishi Bora sana bila kumsahau kikeke

  • @nassorosaid-rp4dn
    @nassorosaid-rp4dn วันที่ผ่านมา +3

    Leo milima imekutana ❤hii ndo intervew yangu bora sana kufanywa na online Media tangu huu mwaka umeanza @sky much respect 4 u

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi ni mama kabisa lakini nimewapenda sana wanangu. Mungu awazidishie hekima na busara. ❤❤❤

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Stanislaus Lambert one of my best 🔥 MKUTUBI
    One of my best interview ulikua na mzee Makosa 🎉

  • @alikhamis4735
    @alikhamis4735 วันที่ผ่านมา +1

    Miongoni mwa watangazaji Bora na wazuri katika kiwanda cha habari ana utulivu wa hali ya juu, anajua kuswitch maswali na Ana vocal nzuri Bro endelea kufanya kazi kipaji chako kinajieleza nakubali xana zaid ya xana.......

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 วันที่ผ่านมา

    Uyu kijana genius nilianza kumfahamu Dar24 stancelaus mhoji mbowe, mchungaji hananja

  • @topselaz6366
    @topselaz6366 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo bingwa kbs interview yake na mzee makosa ni moja ya interview bora

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay วันที่ผ่านมา

    Chief Odemba,Stanislaus Lumbert na Farhia Middle nilishawahi kuwa endorse ni watu wa maana sana hawa!

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 วันที่ผ่านมา

    pamoja sana mkuu,,
    nakukumbuka sanaa

  • @veronicaromwald8311
    @veronicaromwald8311 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi kazi

  • @kilimanjarostarlounge
    @kilimanjarostarlounge วันที่ผ่านมา

    HABARI ZA AMERICA GIT TALENT ZA WA TANZANIA SIJAONA SNS TEAM HAKUNA MATATA

  • @thabitakida806
    @thabitakida806 2 วันที่ผ่านมา

    Salute bro

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 2 วันที่ผ่านมา

    Nimeanza kumsilikiliza 2013 miaka hile yupo times fm

  • @florenceoscar982
    @florenceoscar982 2 วันที่ผ่านมา

    Namuona. captain huyuu hapa kabisaa namna ya kutamka maneno vinzuri na kuongea kwa Madaha huku akijiamini

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba utuletee interview ya doctor chein

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m วันที่ผ่านมา

    Mmi. Nakumbuka alipokuwa mbeya. Alikuwa. Na kipind. Akieleza. Freemason

  • @nassoroshakiru7094
    @nassoroshakiru7094 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ni bingwa sana anatisha mno namkubaali sana

  • @hassanikaawizy2597
    @hassanikaawizy2597 2 วันที่ผ่านมา

    me sio mwanasiasa lkn show zake nazifatilia sana

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 วันที่ผ่านมา

    BBC Hard talk

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 วันที่ผ่านมา

    Inspector General police officer

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 วันที่ผ่านมา +1

    Mwabukusì

  • @BongoflevaHits
    @BongoflevaHits วันที่ผ่านมา

    Mwana sana huyu mkali tangu kitambo

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 วันที่ผ่านมา

    Mlete madeleka please

  • @suleimanh1826
    @suleimanh1826 2 วันที่ผ่านมา

    Namkubali sana huyo mwamba. Big up