Africa Wachungaji na Mashekhe wangeweka nguvu kuwafundisha watu kuwekeza watu wengi wangetoboa, sema wengi wamekazania kuwaandaa watu na maisha baada ya kifo watu wanakufa njaa na imani zao.
Mie ni muislam lakini mchungaji Hananja namuelewa sana akiwa anatoa nasaha zake kuhusu maisha yaani hakuna kukata tamaa. Mungu akupe umri mrefu mtumishi wa mungu.
Mch. Hananja akili kubwa sana. Very Inspirational. Nimeipenda hiyo “UKOMBOZI WA FIKRA”. Anazungumza uhalisia sio kupakana pakana mafuta kwa mgongo wa chupa. NB: Urefu Uumbaji, Ufupi Maonyesho 😂
Siyo nabii. Sema anayajua maandiko na ukweli wa maisha. Wachungaji wengi wezi watupu. Mungu amilinde, ukimzingatia Hana njaa anamaisha mazuri ndomana ni mzazi.
Hongera sana kwa kuwekeza sana katika Neno la Mungu la Biblia….najifunza nakuona wajibu kwa hili,,,be blessed pastor❤
Mchungaji ana madini sanaaa mungu awabaliki wote🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee hazina kubwa, usipomuelewa watampa majina ya ajabu lakini ni bonge la shule yeye mwenyewe. Mungu ambariki sana
Africa Wachungaji na Mashekhe wangeweka nguvu kuwafundisha watu kuwekeza watu wengi wangetoboa, sema wengi wamekazania kuwaandaa watu na maisha baada ya kifo watu wanakufa njaa na imani zao.
Mzee ananja unanifulaishaga saana mimi ni muislamu ila nikiona interview yako hua na furahi saana bip up sana from Australia 🇦🇺
SNS IMEKUWA KUBWA KWA WALE TULOANZA KUISAPOT TOKA SKY NA BABY SKY WALIPOANZA LIKE HAPA
Hananja mimi binafsi namkubali kwasababu ni mchungaji mkweli siyo tapeli
Pastor Hananja Excellent work mkuu .. what a wonderful podcast .. I’m blessed 🇬🇧🙏🇬🇧
Mie ni muislam lakini mchungaji Hananja namuelewa sana akiwa anatoa nasaha zake kuhusu maisha yaani hakuna kukata tamaa.
Mungu akupe umri mrefu mtumishi wa mungu.
Njoo uwe muislamu .tafadhali sana
Wakati nikipata stress na boss wangu nafungua you tube na mcheki huyu mzee stress zinapotea
Hongera kwa kumhoji Mchungaji Hananja namkubali ana madini yakutoshaaa
Mtangazaj ana saut km ya Mbosso😅
Pastor Harris kumleta huyu pastor leo kwenye Chimbo umepatia sana.
You have made my weekend
Hananja ni hazina ya Watanzania. Asanteni kwa mchango wenu🤝
Hariss kaja lini jamani sns wow karibu sana kwenye familia yetu ❤
Uyo Ndo Mchungaji Wetu Pendwa Siyo Hao Matapeli Wengine
Hananja to the World💪💪🙏
nimekubali Sana na kuanzia Sasa najifunza kupitia chimbo
Mch. Hananja akili kubwa sana. Very Inspirational. Nimeipenda hiyo “UKOMBOZI WA FIKRA”. Anazungumza uhalisia sio kupakana pakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
NB: Urefu Uumbaji, Ufupi Maonyesho 😂
Wow mambo mazuri Sana, Asante Sana kwa elimu 🙏🙏🙏
Mchungaji hananja Asante kwa kwa ukumbusho nimepata chakula usiku wangu umeenda vizul sana
Mie ni muislam ila huyu Mze anabusara sana anamadini mengi.
Tunataka kuskia kuhusu watu wetu walio tekwa wamepatikana story zingine hatutaki 💔🇹🇿💔
Baba mungu akubari sana❤
Duu chuma!!! Hananja!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ubarikiwe sana wana Chimbo wote
Sns fanyeni siku moja mumkaribishe bishop Aurelian makarius ngonyani ni geneus na mwanathiologia fundi WA maandiko
😂😂 Deus abençoe este senhor. ❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mchungaji huyu ana KIPAJI kikubwa cha kuhubiri na kuchekesha
Amen mchungaji❤❤
Kazi Safi Wakuu
Hapo kwenye upo fresh kimfuko,nitumie elf 5😂😂😂
Wabongo hao wamelal
Kama ni hananja ni tasikiliza kabisa maana uaga anaongea ukweli❤
😂😂😂😂😂
Hakika
Dakika ya 8 sekunde 30,mwandishi ajahoji swali hata moja,,anafulahi tu😂😂😂hananja kiboko
Usife kama nyau😂😂😂😂😂😂
Mwishonii nimechekaa sanaaa 😂😂😂
Watu ka hananja niwacheche sana kwenye dini zetu hapa chini ya jua
Mwakani lazima sns wachukue tuzo zote za media
Safii sana
Weee hananja ni jiniasi sana wewe ni akili .kubwa sana unatisha please njoo uwe muisliamu please
❤️❤️❤️💯
Jicho la mwewe wapi leo
Hananja ni nabii mkweli na siyo mchunji tu haitoshi.
Siyo nabii. Sema anayajua maandiko na ukweli wa maisha. Wachungaji wengi wezi watupu. Mungu amilinde, ukimzingatia Hana njaa anamaisha mazuri ndomana ni mzazi.
dah mzee atar, kipindi kizur
Mungu akuongoze katika uislamu kaba kujafa,amin
Karibu kwenye Ukristo ndugu upate wokovu wa Mungu.. Mimi ni Njia na Kweli na Uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa Njia ya Mimi
Nimefurahia kipindi
👏👏
🎉🎉
Kama kinanda bilionea
Mtangazaji wengine WANAPATA sio WANAPATAGA jitahidi kukienzi kiswahili sanifu
Tuongezee camera sns
Inabidi sasa tusimsapoti tu kwa likes na subscription, tumsapoti na kipesa pia
Tatizo la watangazaji wengi wa TZ wanaongea zaidi ya mwenye contents
Haris umehamia SNS?
Vip home boy kicheko chainagani hiki jombi???
😂