MAANDAMANO CHADEMA GUMZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 74

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Bila mapambano serekali ya umoja wa kitaifa Zanzibar isingepatikana,.

  • @reginas1832
    @reginas1832 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Tanzania hajawahi kuwa na amani. Amani bila haki ni uongo

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro วันที่ผ่านมา +13

    CCM watatumaliza wahunii kabisa

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AlexcpetroCpetro Tukatae utumwa huu na huu tayari tunaingia kuongozwa kidkteta kigaidi! Amkeni tuikatae ccm na vibaraka wake wote! Watanganyika ni muda wa kuchagua Rais Mtanganyika na kura zilindwe!
      Ila naona hawa wamejoandaa kupora uchaguzi kwa nguvu zote! na hata kukamata watu na kuua watu!!!

  • @NuruLutembeja-h1r
    @NuruLutembeja-h1r 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Kwa hiyo ninyi watangazaji mnaunga mkono upuizi wa unaofanywa na Hii Selikari,endeleeni sasa,yakiwafika mtajua.

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Machawa mnachambua magazeti kichawachawa! Hovyoooo kabisa!
    Mnaongelea polisi kuua watu kwa risasi na kuweka vionjo vya kichawachawa! Kwa nini msiweke vionjo vya kuonyesha kwamba maandamano ni haki ya wananchi kikatiba na yanastahiri kufanyika kwa Amani huku polisi wakilinda Amani ya wananchi???
    Mko bize kuchombeza kwa uchawa kwa habari za kutisha wananchi!

    • @EstherSamwel-vk4wb
      @EstherSamwel-vk4wb 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Inaumiza saana😢kama wanawapa sifa mapolisi badala ya kukemea uchawa tu

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wewe tumia akili hebu chukua mfano mwachiwe muandamane na polisi iweke ulinzi mpaka mwisho wa maandamano yenu hayo maandamano ndio yatazuiwa wasiojulijana kutoteka watu na kuuwa ?
      nchi yeyote inayoshinda kwa nguvu za maandano jua polisi na jeshi la inchi hiyo wamechoka na huo utawala kama bado jeshi na polisi wanatumikia nchi mtasagwa kama mbu.

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mpaka hapo watangazaji nanyie mmekubali kuwa polisi ni wauwaji tarehe 23 wanaweza kuuwa zaidi tena hazarani?

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm 49 นาทีที่ผ่านมา

    Ya allah libaliki taifa langu tanzania utuepushe na kila aina ya mashafuko

  • @charlesnyamiti3172
    @charlesnyamiti3172 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Hii nchi Ina watu wa hovyo Sana, watu wasio na uthubutu wa kusema kweli na kukemea maovu bila kujali yamefanywa na nani! Nchi hii inahitaji Kina Mbowe na Kina Lisu wengi zaidi ili kusafisha na kuondoa uchafu wa kiutawala na matumizi mabaya ya vyombo vya Dola! Kuna wakati ninakubaliana na Ukweli kwamba "Amani haiji ila kwa ncha ya Upanga" Bila kuheshimu uhuru na haki za watu kuna siku nchi hii watawala wataiingiza katika machafuko makubwa!

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kaka uko sawa kabisaaa.

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tunahitaji watu wanaojua matumizi sahihi ya akili zao kama wewe.

  • @rahimahamad1016
    @rahimahamad1016 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashauriano miaka zaidi ya sitini wamekalia viti hawaondoki, watungaji katiba ni wale wale, wanatuletea viongozi waovyo tu kila siku. Police wa Bara ndio wanatumwa siku zote. Zanzibar 1995 na 2001 waliokuja ni police wabara. hawa police nimagaidi lazima tuundamane miaka 60s hatuna mabadiliko ya haki kwa raia. Watanzania tuundamane.

  • @sebastianmmasa5163
    @sebastianmmasa5163 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wananchi wanapigania nchi na haki sio chama! Wale wa CUF walikuwa wanapigania nchi sio chama

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hata ukiwa kimya bado utakufa tuu,hata mzee ali kibao hakuna aliyemjua tulikuja kumjua alipo kufa wazo la Lipumba siliungi mkono.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      My brother umenena point,hatujui Kesho ni wewe au mimi tutafuata

    • @MICHAEL.C.E.O.4Gnga
      @MICHAEL.C.E.O.4Gnga 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Point broo

  • @JonathanMteki
    @JonathanMteki ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi naona hivi vyombo mtandaoni ni namna ya kujaza matumbo yao maana hamji na njia ya kusuruhisha. Mfano Chadema kwa Hali ya kawaida kama kweli wapo makini Hawezi kunyamazs ikiwa karibu asilimia kubwa watu wao ndio wanapotea. Vyombo bus usalama vinasema havijui kwa vile hawako nao Nadhani tungejadili ni Nani ahusike kama ni wao kwa wao uchunguzi unafanywa washitakiwe. Tatizo ambalo Sisi tusiojua kitu linashangaza ni kila MTU hausiki kila MTU hajui nyie nanyi mnaongea Yale Yale tunakwenda wapi?/

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakupigia CUF tulifia Zanzibar yetu

  • @Steve-q8m
    @Steve-q8m 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bila kupigiwa kelele nchi na uongozi uliopo hawatabadirika Tania zao za udikteta

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lipumba ashaua chama hana jipya

  • @fabby1181
    @fabby1181 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chadema Wana haki na wanalia hawana Amani wanawezatekwa muda wowote wakapotezwa, kwahiyo ni Bora waachwe waandamane kuliko kushindana nao. Wapi tayari kwa lolote

  • @ahmedsultan8561
    @ahmedsultan8561 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sio wamekufa semeni waliouliwa

  • @EdwardBalloho
    @EdwardBalloho 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    𝔫𝔞𝔲𝔠𝔥𝔲𝔨𝔦𝔞 𝔪𝔲𝔲𝔫𝔤𝔞𝔫𝔬😢😢

  • @CharlesMlaponi-h6z
    @CharlesMlaponi-h6z 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wanapaswa kufahamu "Watu wafikiri zaidi"

  • @hazolemwashemele4308
    @hazolemwashemele4308 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    WAPUUZI WATATU

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wapeleke mahakamani hao wapuuuzi watatu,ili wewe ambaye si mpuuzi usije ukaambukizwa upuuzi wao.

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna serikali hata moja duniani inayowe kuridhia kuchezewa na kikundi cha baadhi ya watu, ulisema chadema inatetea wananchi ni uongo. Kuna acr, ccm, cuf n.k. hatutaki upumbavu wao.

  • @fidelisjoseph-tt9zl
    @fidelisjoseph-tt9zl 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama mama hekima ni muhimu zaid ya Nguvu

  • @isumailparadiso2074
    @isumailparadiso2074 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Machafuko hayawezekani hap tanzania labda kenya

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    We hando nikibararaka wa ccm usitishe watu ccm wamezoea kuuwa watu na kuwateka

    • @DanielSinavangi
      @DanielSinavangi 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio Ando pekeake ata zembela pia

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa ndio watu wa habari do!! Watu walikufa kwa kutete taifa lao na haki za watoto wao siyo uhau wa chama .ndio maana Leo hii ccm hawataki kukubaliana na ukweli na wameshindwa kuelewa nyakati badala yake wanaforce na kuleta machafuko , Ninyi watu wa habari mnavyoanalys insue muwe na ueledi uliotukuka ,Kumbuka , UKIWA DHAIFU UTAKUWA CHAWA

  • @CharlesMaghembe
    @CharlesMaghembe 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    For every action there is equal but opposite reaction.

  • @harounali9057
    @harounali9057 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dj hapendi uchambuzi wa magazet kalala nyuma ya desk

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Haki ndiyo inazaa amani

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Maandamano ni haki ya kikatiba kabisa ila inavyochukuliwa sindoilivyo hata kenya wanatushinda kwa democracy

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kenya bado sana😂, walipewa hiyo haki ya maandamano ila kinyume chake walichokifanya ni kinyume sana, watu waliharibu kila😂 kitu hapa utasema wanatushinda ?

  • @davidmwamgunda7870
    @davidmwamgunda7870 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kapewa kesi😮

  • @annamsigwa-z4q
    @annamsigwa-z4q ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaowaua watu wakiandamana kwa amani ni akina nani

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama wasojulikana hawajulikani sasa haya mazungumzo ni mapatano baina ya nani na nani cz issue kubwa ni utekaji umekithiri asa kidogo nawaza kwamba hayo mazungumzo yatamalizaje utekaji?
    Na kama mazungumzo ndio njia yakumaliza utekaji asa chadema wanazumgumza na nani cz anaetakiwa kuwepo mezani na chadema kutokomeza hili swala upande mwingine uo ambao ndo hao hawajulikani! hapa ndo utajua wasojulikana kwanini hawajulikani.
    Nafikiri njia bora iwe kukaa na kupanga njia bora ya kulikabili hili swala na japo lina viashiria vyakisiasa ila tuweke siasa pembeni viongozi wetu wakae pamoja viongozi wa nyanja zote zakiusalama na zingine ikiwemo io yakisiasa tushirikiane kwa njia yoyote bora iliishe maana mambo yamekua mengii sana.😢

  • @derrickmsa8505
    @derrickmsa8505 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hando huyu uchawa ni too much!

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Heriiiiiiii

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna mtu anae fia chama watu tunafia haki hatakama chadema itapotea lakini haki yawatu kuishi ipatikane

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wapuuzi leo wamejadili hii issue kiwoga na unafiki mwingi. Na hawataki kujiuliza maswali ya msingi kama kwanini serikali ikataze maandamano ya amani? Mbona yale yaliyooita waliruhusu kwanini haya wakataze? Sababu ni nini?
    Pia haya maandamano sio ya chadema, ni ya wapenda haki na amani wote, japo yameitishwa na chadema. Na chadema wanasema haina haja kuogopa kuumizwa au kufa kwenye maandamano kwa sababu adhabu wanazopata huko mtaani hazina tofauti na zile labda watakazopata kwenye maandamano(wanatekwa, wanateswa na hata pengine kuuawa). Wanajiuliza kuna adhabu kubwa kuliko kuuawa?

  • @floramsacky3929
    @floramsacky3929 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maandamano ya nini Mimi naandamana maandamano ya Ekaristi Takatifu maana yananosogeza karibu na Mungu, mengine tumshukuru MUNGU

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ndiyo waambieni wakina mage kimavi😮😊

  • @kandecharlessanduku1539
    @kandecharlessanduku1539 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAKUNA SHIDA BILA KUFA HAKUNA HAKI

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wacha tukafe tuwaokoe mapunguani Kama nyie mnaoitetea utawala wa kidhalimu

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Cuf wamebaki wasaliti,nyie waandishi kama mafala hamjui kwamba asilimia 90ya wanachama wa cuf walihamia act

  • @reginas1832
    @reginas1832 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa nini mnakimbilia kwenye maandamano???? Waachie vijana wetu . nyie hamfai kabisa hata kwa dawa.

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maulid Ww Hauna Upande Kwel

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawajafia chama wamefia nchi yao

  • @derrickmsa8505
    @derrickmsa8505 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani wewe Hando huoni shida zilizopo nchi hii?

    • @DanielSinavangi
      @DanielSinavangi 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ando mshamba sana

    • @omarmsuya2459
      @omarmsuya2459 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwaiyo unataka zizidi au? Raha gn unayotaka zaid ya aman achanj ovyo ovyo pia semen na njaa zenu rizika unachopata

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji วันที่ผ่านมา +1

    LABDA WAANDAMANE KWENYE MITANDAO 😢😢😢😢😢SACCOOS WAMECHEMSHA DAKIKA 90 HAWAZIWEZI

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe kama unaona ni upuuzi,tuache tuliotayari tuandamane tumechoka kutekwa,kuuwawa,ghalama za maisha kupanda unyanyaswaji.Siku yakikufika utaelewa.

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ​@@NuruLutembeja-h1rtunakusubilia paleeee.ila usisaau kubeba nafamilia yako kwenye ayo maandamano yenu.

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@NuruLutembeja-h1r MAANDAMANO HAYASAIDII UNGEENDA KWA MCHUNGAJI AU PALOKO ANGEKUFANYIA MIUJIZA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@khaalidcheo5383 kwa sasa utacheka kwa kuwa hatuna ukobozi wa kifkra,siku tukipata ukombozi wa kifikra hauta Cheka Bali utafurahi.Nivyema tukabadilika na si kujikinai katika mbawa za kuitwa wanyonge wakati tunateseka.

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi Chadema kindakindaki.ushauri wangu tusiandamane.wametuzamilia.tutaonana ktk masanduku ya kura tu.

    • @florencejohn6427
      @florencejohn6427 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ovyooo. Kura unapiga ya nini wakati unajua atakayetangazwa hata kama hujamchagua? Unaamini sanduku la kura kwa mazingira ya tume ya uchaguzi vyombo vya dola vya Tz? Unaota mchana kweupe.