Maoni: Upi mustakabali wa nchi za Sahel?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
- Baada ya baadhi ya nchi zinazoongozwa kijeshi katika kanda ya Sahel kutangaza muungano mpya na nia ya kuwa na pasipoti ya pamoja, maswali ni mengi yanayoibuka ikiwemo ikiwa tija ya mwelekeo huo. Na je, ni kipi kimechochea mwelekeo huo? Mengi zaidi ni kwenye kipindi cha #Maoni mbele ya#MezaYaDuara. Nahodha wa zamu ni Josephat Charo
Sawa sawa
Yaani vyombo vya magharibi kutwa kuwawaza AES. Hao ndo washafaulu na wamekuwa chanzo cha mabadiliko barani Afrika na hawarudi nyuma. Viva AES
Safi sana
Mjadala wa leo wachangiaji wameonyesha uwezo mdogo sana wa kuchangia wengi wameweka ushabiki wa dini
Sina nambayako ningekutumia soda
Kifupi hawana uwezo kabisa
Mchambuzi wa kwanza amemaliza
Propaganda zenu kueneza mambo ya uongo kuhusu AES havitafanikiwa, waafrika wameamka. Kuna channel za uhakika kama Simulizi na Sauti ya Fredrick Bundala wenye habari za ukweli zisizo na uchochezi wala propaganda . Viva AES