Haki yetu ya Msingi haipo hapa. Demokrasia Tanzania haipo. Uchaguzi hauna maana maana watu wanakuwa tayari na majibu mkononi na kula zao hata kabla hazijapigwa na waliojiandikisha.
Wasimamizi walikuwa na kula vibindoni hata hao walimu waliosimamia walikuwa nazo wakisubiri maelekezo na pwngine walipotakiwa kufanya hivyo walitekeleza kwa maelekezo na kivuli cha Wakurugenzi. Ni laana na uovu huu hautawaacha salama wao na uzao wao!!
@richiemitindo9159 kuwezekana wewe ndio una akiri na uwelewi nini kinaendelea Tanzani , kuna kontena 28 zipo banadari unafaham ni za nani? Shenzi sana ....no evidance no .....say
Mheshiwa askofu unampigia mbuzi gitaa utmaliza nyimbo unapaswa kuelewa kuwa ccm Ina nguvu za uchumi,nguvu za kisiasa, pia mlikuwa wapi mmechelewa Sana hakuna mtakachobadilisha watawasikiliza na watawapuuza na hamwezi kwafanya chochote uwezo wenu ni mmoja TU kuomba kwa mwenyezi mungu
Kwa sauti tu Mungu anasikia na subiri kiama chao ghadhabu ya Mungu itawashukia. Kwani macho huna na hata mikono basi papasa uguse kuthibitisha hilo! Mungu anajibu ni suala la muda tu!!
Ubarikiwe Baba Askofu.
Asante Mtumishi wa Mungu HAKIKA UMETIMIZA WAJIBU WAKO. MU NGU AKUBARIKI.
Mungu wetu tushike mkono peke yetu hatuwezi
Amina Baba Askofu
Amina
Haki yetu ya Msingi haipo hapa. Demokrasia Tanzania haipo. Uchaguzi hauna maana maana watu wanakuwa tayari na majibu mkononi na kula zao hata kabla hazijapigwa na waliojiandikisha.
Wasimamizi walikuwa na kula vibindoni hata hao walimu waliosimamia walikuwa nazo wakisubiri maelekezo na pwngine walipotakiwa kufanya hivyo walitekeleza kwa maelekezo na kivuli cha Wakurugenzi.
Ni laana na uovu huu hautawaacha salama wao na uzao wao!!
KILA MWENYE HEKIMA ATAKEMEA MAOVU BABA TIMIZA WAJIBU.
Duuh MUNGU awasamehe tu
Pengine pia umegundua kwamba Yale uliyotazamia hayakuwa hivyo, pole Sana.
Mungu akusamehe hujui utendalo
@@ClaudyPaul-yz7esHila za kisiasa ukizijua pia utasamehewa
Amegundua nini kwamba wewe hujaguswa na watu walio uwawa lazima umthamini mwenzio sio kukatisha uhai wake na Mungu aturehemu kwa kweli
DP WORLD SHIKAMOO MTAONGEA SANA , MAKONTENA YAMEKWAMA
Hawaba njaa kiasi hicho
Roman ni kanisa linalojitosheleza,wewe unayesema makontena yamekwama! Naona kama hujitambui
Kwa hiyo Wewe unashabikia mauwaji! Mungu akupe maisha marefu uyaone na kuyapata.
HUNA AKILI HUJIELEWI
@richiemitindo9159 kuwezekana wewe ndio una akiri na uwelewi nini kinaendelea Tanzani , kuna kontena 28 zipo banadari unafaham ni za nani? Shenzi sana ....no evidance no .....say
Haki tutapata mbinguni na hapa acha tupambane
Mheshiwa askofu unampigia mbuzi gitaa utmaliza nyimbo unapaswa kuelewa kuwa ccm Ina nguvu za uchumi,nguvu za kisiasa, pia mlikuwa wapi mmechelewa Sana hakuna mtakachobadilisha watawasikiliza na watawapuuza na hamwezi kwafanya chochote uwezo wenu ni mmoja TU kuomba kwa mwenyezi mungu
Kwa sauti tu Mungu anasikia na subiri kiama chao ghadhabu ya Mungu itawashukia. Kwani macho huna na hata mikono basi papasa uguse kuthibitisha hilo!
Mungu anajibu ni suala la muda tu!!
Tunaamini sauti ya watu nama askofu nisauti ya mungu itapenya naitatenda Amen
Wakati unaofaa hapo endeleeeni kwa nguvu ya ziada chenjis sio mchezo