Padre kitima pamoja na kuongea ukweli mwingi,pamoja na kumpa sifa lukuki,ameshindwa kumsema nyerere ktk udhaifu wake pia.Ni nyerere ambaye hakuwa tayari kuruhusu chama kingine tofauti na ccm kuongoza nchi hii. Alishiriki sana kugeuza matokeo ya uchaguzi zanzibar na bara. Aliawaachia ccm mbinu na kanuni za kufuata ili kudumu madarakani,Kanuni hizi ni pamoja na kutumia dola nyakati za uchaguzi serekali yote hugeuka ikawa ccm. Hakuna chama kitakachoingia madarakani nchi hii ngooo!!! labda yatokee mapinduzi.
Hakuna mtu mkamilifu,na kila mtu anaweza kuona mapungufu ya mwingine,siyo yakwake na roho za upendeleo zinatupeleka ktk chuki na uovu wa kila namna,Mungu atusaidie na kutuhurumia sana😢
Mtumishi tazama kivuli chenu. Uchawa unaosema mlianzia kwenu. Anzia uandishi wa historia ya nchi hii kaandikwa nani? Alikuwa Peke yake? Mmempa ubaba wa taifa kwa kuwa tuliimba kuwa bila yeye nchi hii isingepata uhuru. Sasa ni mwenye heri na tunatarajia kumpa utakatifu. Huo sio uchawa? Katiba haikuwepo? Tafakari
Hongera sana father kwa kuzungumza ukweli!!!
Asante father kwamaongezi mazuri au utubamzuri ❤makofikwako
Hongera baba kwa mafundisho mazuri mungu akubaliki sana Huu ndio ukweli
Safi sana padre kitima, Yesu na malaika wakupe afya ya kiroho, kimwili na ulinzi wa kutosha ktk utume wako.
Asante baba
Asante baba ukweli utakuweka huru Amina
Mungu anayaona hata yaliyofichika
Wasio penda ukweli ndiyo watakupinga endelea kutufumbua mpaka tujitambue mana mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe
Padre umeongea vingi vizuri sana!!
Hapo hapo, hayo ndio mawazo yanayotakiwa kwa kila mtu anyejielewa, jitambua.
Father uneongea kweli. Hii siyo ishara nzuri. Ni onyo,
Wanasiasa waache kujikweza kupita kiwango
Tutampata Mwl Nyerere mwingine wa kutuletea katiba ya umma?
Kama mtu ameamua kuwa chawa utamzuiaje hio ni ngumu
Padre kitima pamoja na kuongea ukweli mwingi,pamoja na kumpa sifa lukuki,ameshindwa kumsema nyerere ktk udhaifu wake pia.Ni nyerere ambaye hakuwa tayari kuruhusu chama kingine tofauti na ccm kuongoza nchi hii. Alishiriki sana kugeuza matokeo ya uchaguzi zanzibar na bara. Aliawaachia ccm mbinu na kanuni za kufuata ili kudumu madarakani,Kanuni hizi ni pamoja na kutumia dola nyakati za uchaguzi serekali yote hugeuka ikawa ccm. Hakuna chama kitakachoingia madarakani nchi hii ngooo!!! labda yatokee mapinduzi.
Nyerere tunamshukuru kwa kupambania uhuru hakuna mkamilifu chini ya jua
Hakuna mtu mkamilifu,na kila mtu anaweza kuona mapungufu ya mwingine,siyo yakwake na roho za upendeleo zinatupeleka ktk chuki na uovu wa kila namna,Mungu atusaidie na kutuhurumia sana😢
Mtumishi tazama kivuli chenu. Uchawa unaosema mlianzia kwenu. Anzia uandishi wa historia ya nchi hii kaandikwa nani? Alikuwa Peke yake? Mmempa ubaba wa taifa kwa kuwa tuliimba kuwa bila yeye nchi hii isingepata uhuru. Sasa ni mwenye heri na tunatarajia kumpa utakatifu. Huo sio uchawa? Katiba haikuwepo? Tafakari
Ivi unajua unachcho sema au umekurupuka TU we mtu
Tulia upate vipande toka kwa wasomi bana😂
Kwani Rais wa kwanza Tanzania ni nani na kama ni Nyerere kwanini asiitwe Baba wa Taifa kwa kuwa alishiriki kulipambania Taifa lake
Una maumivu ya roho ya ubaguzi ndani yako inayokupa chuki kubwa dhidi ya watu