WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: AMTUMBUA KIGOGO WA TANESCO, BAADA YA UMEME KUKATIKA NCHI NZIMA mp4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
    • LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
    ~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

ความคิดเห็น • 8

  • @babsule8904
    @babsule8904 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana👍

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 4 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa njoo huku Ruvuma- Songea ni ufisadi mtupu Tanesco ,wananchi wamelipa pesa ili waunganishiwe umeme majumbani lakini lolote la maana zaidi ya kupigwa tarehe tu lengo ni kwamba mpaka utoe rushwa ndipo uunganishiwe umeme.

  • @theodorisafari6024
    @theodorisafari6024 6 ปีที่แล้ว

    vizuri imekuw mazoea kil siku unawaza kukatka kwa. umeme axsnt mh waziri

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 6 ปีที่แล้ว

    Kazi kweli kweli,
    Kumfukuza sio dawa Tafuteni suluhu
    Umeme wenyewe mbovu

  • @halimamusaamiri4187
    @halimamusaamiri4187 6 หลายเดือนก่อน

    Waziri huku mkoa wa pwan I tuna shida kweli ya umeme hapa kongowe tumetoa taarifa Tanesco atujapata ufumbuzi umeme auna nguvu ya kufanya kazi zetu binafsi Waziri tusaidie

  • @rogathnkya9637
    @rogathnkya9637 หลายเดือนก่อน

    Nguzo ni mali ya mwananchi au tanesko tunauziwa kwanguvu naomba jibu

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 6 ปีที่แล้ว

    Hapa nipo nyumbani usiku huu huku Mwanza hakuna umeme.yaani hii ni shida aisee,mtu unarudi nyimbani umechoka angalau ipumzime utazame taarifa eto umeme hakuna.Tanescco inahitaji mashirika mengine kama manne hivi mpate ushindani na ikibidi mpotee kabisa

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 6 ปีที่แล้ว

    Fukuza fukuzaaaa