Shukrani kwa somo zuri,Mimi hua nasoma sana surat yaasin kila siku kwenye biashara yangu,hiyo surat Waqia na surat mulk Bado sijawahi kuisoma kwa kweli na labda hapo naona sijaona mafanikio
Shehee mm naomba msaada kuhusu sura 3 za kufungua riziki mimi sijasoma hata kidogo korohani jee duwa hiyo siwezi soma kwa kiswahili? Kama inawezekana kwa msaada naomba kitabu cha tafsiri kwa kiswahili kinacho husu duwa mbalimbali niko tayari kulipia shehe
Shukran sana shekhe wetu ila vp majina ya Allah ndotumefikia mwisho
Bado tunaendelea maalim
siku gan nzur ya kusoma sura hizo
Ukianza jumatano ni Bora zaidi
Allahuma Amina ❤
Ameeen
Allah akubariki sana sheikh wetu kwa elimu yako madhubuti
Ameen
JazakuhAllah khaira Allah akusimamie kwa kila laheri.
Tunasubiria vitabu in sha Allah...(Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿)
Inshaa allah msijali vitabu vinakuja inshaa allah
Asalaam aleykum wasoma mara moja ama mara saba saba yasin waqia na suratul mulk
Soma mara Saba Kila sura
shukrani mimi huwa nazisoma kila baada ya kusali salat fajri ila nilikuwa sisomi mara saba saba
Basi jitahidi usome mara Saba inshaa allah
@@TURIYU inshaa allah
Shukrani kwa somo zuri,Mimi hua nasoma sana surat yaasin kila siku kwenye biashara yangu,hiyo surat Waqia na surat mulk Bado sijawahi kuisoma kwa kweli na labda hapo naona sijaona mafanikio
Basi jitahidi usome zote Kwa pamoja naamini mambo yatakua vizuri maa shaa allah
Mashallah
👍
Shukran jazakallaahu khair,,,nashukuru nitafufua biashara yangu inshaallah,,
Inshaa allah
Nashukuru sana mwanangu Allah akuzidishie riziki na akujaalie upate watoto wema Allah akuzidishie masomo naomba namba yako shekhe
Ameeen thumma ameen shukran sana Kwa Dua Yako mamaangu no yangu ni ±255713521944
@@TURIYUshukraan Sheikh
Assalam ghalaykum warahmatullah. Wabarakatuh. Je ukiwa unafanya kazi za ndani unaweza kusoma
Yes unaweza kusoma
Hii ni kwakazi yoyote tu iliyo yahalali
@@TURIYU aha shkran Allah akubariki
Shehee mm naomba msaada kuhusu sura 3 za kufungua riziki mimi sijasoma hata kidogo korohani jee duwa hiyo siwezi soma kwa kiswahili? Kama inawezekana kwa msaada naomba kitabu cha tafsiri kwa kiswahili kinacho husu duwa mbalimbali niko tayari kulipia shehe
ONDOA shaka vitabu vinakuja sio mda mrefu inshaa allah