SHARIFU SULEYMANA :.. ATOA FAIDA YA MTI HATARI SANA KWA WACHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 2 หลายเดือนก่อน

    Asantee sana sana shekhe ALLAAH..akuoe afya njema❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Amina

  • @gekaraphilip7037
    @gekaraphilip7037 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Maalim umenifunza mengi ambayo sikuwa na ufahamu nao kuhusu elimu ya miti Mungu akuzidishie neema

  • @soleilsosolove6479
    @soleilsosolove6479 ปีที่แล้ว +2

    Asante sheikh mungu akupe maisha marefu

  • @fadhilimagembe6413
    @fadhilimagembe6413 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Sheikh kwa elimu ya mimea unayotufundisha

  • @nurukhamis7454
    @nurukhamis7454 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Allah akubarik Sheikh

  • @EDSONHESHIMA
    @EDSONHESHIMA 7 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru baba unatufundisha muzuri sana unaeleza kilakitu Mungu akubariki Niko Congo/Goma lakini ningependa nikuone.

  • @ZulfaSaid-p5p
    @ZulfaSaid-p5p ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah Allah akulipe kher inshaallah

  • @RehemaAbedi-zw2vm
    @RehemaAbedi-zw2vm ปีที่แล้ว

    Jazak Allahu Khairan Sheikh, Rehema

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuifadh Maalim Suleiman

  • @gisthevictorperiod.9763
    @gisthevictorperiod.9763 10 หลายเดือนก่อน

    Jazak Allah khayran.

  • @MstafaSalum-lh7up
    @MstafaSalum-lh7up 4 หลายเดือนก่อน

    Sharifa Mungu akubariki sana maana elimu yako imeisaidia

  • @reemareemo2698
    @reemareemo2698 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba

  • @jongoathumani3690
    @jongoathumani3690 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana Sheikh tunapata somo kubwa sanaa ila natatizo nawazee wanguu kaka nimwaka wa 5 baba angu anakiharusi namama angu nae anakiharus kisichokomaa anapepesuka tu ana lalamika vichomi mpaka kwenye moyo naganzii kiukweli nimehangaika nao sana wazee wangu nahitaji msaada wako

  • @mohamedirajabu-dg6cg
    @mohamedirajabu-dg6cg ปีที่แล้ว

    Shekh unatuokoa wanyoge MWENYEZI mungu atakubariki MIMI siomtaalamu LAKINI nikifanya maelezo Yako nafanikiwa na Dua ni zaukweli .tusaidie sana

  • @ismamuwanga7771
    @ismamuwanga7771 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukru shiekh wetu

  • @modybazenga3230
    @modybazenga3230 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishie umri

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekhe

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 ปีที่แล้ว +1

    SISI WA OMAN HATUPATI SANA MITI ILA TINANUFAIKQ SANA SANA. MASHAALLAH MASHAALLAH. ALLA SW AKUZIDISHIE ELIMU.

    • @sharifusuleymanatv
      @sharifusuleymanatv  ปีที่แล้ว

      Amina

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 ปีที่แล้ว

      ​@@sharifusuleymanatvShekh sharifu wallahi nakuombea kwa Allah akuzidishie Elmu na uwezo NA Akujaalie mwisho mwema kwa unavotusaidia
      Shekh me Nina shida nimeanza Kazi kuajiriwa ni mda sana ila mwanzo wakazi inaenda vizur Alhamdulillah alafu inabadilika kidogokidogo
      Hapa nimeajiriwa tena nna kama miez 4 sasa inasemekana katika familia kuna MTU anandudu ndio anaenifatilia ili nisitoke kimaisha mambo yakianza kua mazur tu bas anachafua mwili Alhamdulillah unakinga ila huyo ndudu naambiwa ndio anasababisha mabos wanaanza kunichukia hata kama walikua wananipenda kama mtoto wao
      UNANISAIDIAJE KWAKWELI HELA SINA LABDA KUNA DUA ILI HUYO NDUDU HATA AKITUMWA ASIFANIKIWE?
      NIPO DAR MAGOMENI NINGALIKUA NA HELA NINGALIKUJA OFSINI HUKO MWANANCHI ILA SHIDA HELA .

  • @FaroukMitenje
    @FaroukMitenje ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @sakinaissa8289
    @sakinaissa8289 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleikum Asante shehe hii dawa mtu anaoga chooni au nje

  • @leticialawi9569
    @leticialawi9569 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @mrambasura6309
    @mrambasura6309 ปีที่แล้ว +1

    Asante unafaa

  • @mrambasura6309
    @mrambasura6309 ปีที่แล้ว

    Nakufuatia sana masomo yako nimazuri mno Mungu akupe afya njema

  • @soleilsosolove6479
    @soleilsosolove6479 ปีที่แล้ว +1

    Lakini ukindu siujuwi nambie ingine jina sheikh 🙏🙏

  • @abdallah0bullalia118
    @abdallah0bullalia118 10 หลายเดือนก่อน

    N ile inatengeneza jambi?

  • @Jackson35320
    @Jackson35320 ปีที่แล้ว +1

    Ukichukua ile imetengeneza kikapu uchome unaweza ukatumia hio unga wake

  • @clemencecharles3392
    @clemencecharles3392 ปีที่แล้ว

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว +1

    wewe fundi mungu akuzidishie

    • @ebengapierre8826
      @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว

      Ndio unajua mimi nakusikiliza nipo kongo d r c uvira 🇨🇩🙏

  • @JacksonDismas-p6u
    @JacksonDismas-p6u ปีที่แล้ว

    Ahsantenaminitafanyahivyo

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 ปีที่แล้ว

    Ukindu naujua yale majani yake ya kusukia vitu sasa io unazungumzia ni sehemu gani ya ukindu

  • @azzahrau
    @azzahrau ปีที่แล้ว +1

    Asalam alykum mm nautaka huo mti shekh ntaupata vp

    • @sharifusuleymanatv
      @sharifusuleymanatv  ปีที่แล้ว

      Njoo in box upate utaratibu

    • @azzahrau
      @azzahrau ปีที่แล้ว +1

      @@sharifusuleymanatv kwanamba gani

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว

    Ndio docta nakuku Bali sn ninaswali nahuliza km mtu unavitu vinatembea mwilini au kuna vitu ulikula usingizini je unaweza piga mizizi ya mti wanyaha kisha utamiya yake uliopiga ili unywe nisawa kufanya ivyo ndoswali langue ilo nipo kongo 🇨🇩 uvira

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 ปีที่แล้ว

    Daah kila mtu ameumbwa duniani kwa sababu elimu ya miti unayotupatia inatusaidia sana cc wanyonge hatuna pesa kwenda kwa wataalam,mm nafanya mwenyewe na mambo yangu ni poa kuna watu hawaji kwangu na njia wamebadili pia hawanichangamkii km zamani tokea nianze kufanya kinga zako kwa nn?

  • @JacksonDismas-p6u
    @JacksonDismas-p6u ปีที่แล้ว

    Ahsantenitumievideonyingine

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว

    Jambo mzee nahuliza km napiga ule upindu ninaweza tumia Yale maji au mpaka ni mizizi wake tu ndo mtu anapiga ilitumiyz kunywa

  • @NicholasPelu
    @NicholasPelu ปีที่แล้ว

    Ashante. Sana

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว

    ukisha chemucha Yale maji utachanga maji ta kuongea au utahoga yenyewe Yale maji ya ukindu pasipo kuchanga namaji yakuogea ?

  • @agnesimchicha4499
    @agnesimchicha4499 ปีที่แล้ว

    Namshukulu kwa SoMo zuri daw unazofundisha Nina Fanya kazi mwenyew matatizo atumie Mimi nimetumia nyingi nyingi zinafanya kazi

  • @jackmerci7819
    @jackmerci7819 ปีที่แล้ว

    Muti huo unaota wapi tuoneneshe pica yake vizuri

    • @RehemaWere
      @RehemaWere ปีที่แล้ว

      I think huu mti most catholic hutumia Kuna siku huwa wanaenda nayo church I think ni hyo

    • @RehemaWere
      @RehemaWere ปีที่แล้ว

      Sheikh si utusaidie wenye tuko Gulf aki hayuko kenya penye tunaeza ipata,tutashikuru

  • @RehemaWere
    @RehemaWere ปีที่แล้ว +1

    Huu mti ni ule unakuwa na mwiba mbele ama????