Dua Maalum Ya Kufungua Riziki Na Utajiri / Utumie Muda Huu Wa Usiku Utafanikiwa / Dr. Sulle

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Dua Maalum Ya Kufungua Riziki Na Utajiri / Utumie Muda Huu Wa Usiku Utafanikiwa / Dr. Sulle
    Mashaa Allah Dr. Sule akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Dua Maalum Ya Kufungua Riziki Na Utajiri / Utumie Muda Huu Wa Usiku Utafanikiwa / Dr. Sulle
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tV

ความคิดเห็น • 17

  • @nuriaahmed9986
    @nuriaahmed9986 4 หลายเดือนก่อน +1

    mashaaAllah asante sana twaomba na ss watu wa malindi kenya uje uwanja wa municipal karibu na sokoni hapa town hata mwaja sana mukafanya muhadhara tafadhali wengi wagonjwa hapa

  • @BakariHussein-np9pr
    @BakariHussein-np9pr 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaaalah

  • @IddrisaSeif
    @IddrisaSeif 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Alla nitakuja shekhe

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaa llah 🌹🎉🎉
    Jazakallah khaira

  • @MukeshimanaFarida
    @MukeshimanaFarida 3 หลายเดือนก่อน

    Aww watu ambassador hawapo tz je

  • @NassourJuma
    @NassourJuma 4 หลายเดือนก่อน

    Inshallah Allah atuwafikishe

  • @BakariHussein-np9pr
    @BakariHussein-np9pr 4 หลายเดือนก่อน

    Tutakuj shekh kbad nyumbn

  • @SharifuKombo-rb6vk
    @SharifuKombo-rb6vk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba nifHamishe tibayachuma ulete

    • @abiseniaboys5070
      @abiseniaboys5070 2 หลายเดือนก่อน

      tiba ya chuma in Qurane takatifu hakuna shàka indàni yake

  • @salma-nh4of
    @salma-nh4of 4 หลายเดือนก่อน

    Je sisi tulio kuwa mba inakuwaje

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 4 หลายเดือนก่อน

    Tapeli mkubwa weeeeee

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 หลายเดือนก่อน

      sheikh matusi ya nini

    • @thomassamwel4953
      @thomassamwel4953 หลายเดือนก่อน

      Mekutapeli nn

  • @ZenaRajab-r1c
    @ZenaRajab-r1c 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh na walio mbali vipi?umetuwekea utaratibu ama?

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 หลายเดือนก่อน

      Namba ziko piga

    • @ZenaRajab-r1c
      @ZenaRajab-r1c 4 หลายเดือนก่อน

      @@DarsaTV. Nipo kenya nieleze kama tutafatilia live ama?