- 138
- 367 405
TURIYU TV
เข้าร่วมเมื่อ 20 ก.พ. 2023
Chanel hii ni chanel ya mafunzo mbalimbali ya dini. Na haswa mafundisho ya tiba mbali mbali pamoja na dua. Zikiwemo tiba za kisayans na tiba za mashaitwani na uchawi. Sambamba na simulizi za kweli. Karibuni Sana katika Turiyyu tv
วีดีโอ
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(NO
มุมมอง 6512 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(NO
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI
มุมมอง 3544 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(24)
มุมมอง 5807 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(24)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI
มุมมอง 6609 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI (NO 22)
มุมมอง 80412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI (NO 22)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(NO 21)
มุมมอง 71914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(NO 21)
SHARIFAT HAITHAM MTOTO MWENYE KIPAJI//MAYATIMA// GALLAPO
มุมมอง 17214 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHARIFAT HAITHAM MTOTO MWENYE KIPAJI//MAYATIMA// GALLAPO
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKISHAPENDWA NA JINI.(NO20)
มุมมอง 80416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKISHAPENDWA NA JINI.(NO20)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI (NO 19)
มุมมอง 1.2K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI (NO 19)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 932วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI
มุมมอง 1Kวันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOTOKEA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 1.2Kวันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOTOKEA UKIPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 1.1Kวันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI (NO14)
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI (NO14)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI(NO 13)
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UNAPOPENDWA NA JINI(NO 13)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UPENDWAPO NA JINI(NO 12)
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UPENDWAPO NA JINI(NO 12)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UPENDWAPO NA JINI (NO 11)
มุมมอง 1.3K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UPENDWAPO NA JINI (NO 11)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UPENDWAPO NA JINI (NO 10)
มุมมอง 1.3K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UPENDWAPO NA JINI (NO 10)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 1.4K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 1.6K14 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
MAAJABU SHEIKH MTOTO KATIKA MAWAIDHA NA ANAVYOJIAMINI
มุมมอง 42514 วันที่ผ่านมา
MAAJABU SHEIKH MTOTO KATIKA MAWAIDHA NA ANAVYOJIAMINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(NO7)
มุมมอง 1.7K21 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI(NO7)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI (NO 6)
มุมมอง 2.1K21 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI (NO 6)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI NO (5)
มุมมอง 2.6K21 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI NO (5)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 3.4K21 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI NO 3
มุมมอง 3.9K21 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI NO 3
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI (NO 2)
มุมมอง 7K28 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI (NO 2)
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
มุมมอง 29K28 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO INAVYOKUA UKIPENDWA NA JINI
ILI KUJENGA FAHAMU KUJILINDA NA KULINDA MALI NYUMBA SOMA.....
มุมมอง 619หลายเดือนก่อน
ILI KUJENGA FAHAMU KUJILINDA NA KULINDA MALI NYUMBA SOMA.....
Mbona umechelewa jana sijakuona Sheikh
Jamani mbona kama ya leo ipo confusing sana, au maelezo yamezidi kuwa mengi bila mpangilio? Kwanza yule sheikh na vitabu mbona hukutuambia aliishia vipi, halafu leo amekutana na Malilo kumwambia kuhusu simu aliyopigiwa mara Malilo anaelezea ndoto Halafu wakati mwingine unarefusha sana mambo ambayo yanapoteza dakika, wote tunajua foleni za Dar, vingine unarudia rudia sana Samahani kama nimekukwaza kwa hii comment
Ile fimbo aliyopewa Malilo iliishia wapi?. Au alinya ganywanganywa ?.
Wa kwanza leo 🎉🎉🎉❤
Asalamalykum ustadh Mimi sijawahi Pata hesabu za majina yanngu
Ya rabbi kupitia hii dua naomba uniondolee mifarakano na mpenz wangu tupatane🤲
Yarabi mwenyezi mungu. Naomba uniondolee vifungo mwilini. Mwangu na nijalie. Nipate mtoto kupitia kisomo hiki
Pia nataka unimbie sura jina la mtoto nataka nimsome mana natamani niwe namfanyia kisomo mtoto wangu kwasababu huwa anaumwa mara kwamara jina mahmoud mama maryam
Aslam alayk sheke naitwa mariyam mama yangu ni mauwa sh eke mm ninamitihani mingi nimechana na mme wangu nimda sasa hata yeye hajaowa na amerud tena kwangu lkn hindowa imekuwa ningumu kukamilika najikuta mambo hayakamilika nakuomba kheshe unimbie sura yangu nipi ili nijitibie mwenye heskhe wang
Jina langu mm mariyamu mama yangu mama mauwa niambie shekhe
Naona pesa yetu inaenda bure kwani unarudiarudia sana hadi tunakosa maana ta kisa chenyewe
Hilo ndilo tatizo lake,anajirudia rudia hana uledi Wa kuhadithia
S.A.W
Simulizi nzuri
Ya Allah naomba unijaalie mume bora mwenye kuijua thaman ya mke na mwenye hofu ya Mungu🙏🙏 Ya Allah nakuomba umuepushe mama yangu na husda za wanaadam na pia muondoshee maradhi yanayomsumbua kila sku🙏🙏

Wa nne
Wa tano🇲🇼🇿🇦
Leo nimechelewa lakin nip pamoja na mwalim wangu huyu ni kaka yang af mwalim wangu mashaallaah
Wa tano kutoka kenya
Watatu
Mm niko kenya nataka nipendwe na jini nifanyeje
Wapili
Wa kwanza
Dah!! nimechelewa atar
Asalam Aleikum shekhe umerudiya tena hiii ni namba 24 tunasubiria 25
Umerudja tena hii 24 mbona tayar
Itakua story imebakia sehemu ndogo ndio maana anarudia rudia
Iddi mwenyen mama saida
Jina Amisa -siyapata.
safi sana uncle k niharari binadamu kumuowa musicana wakijini?
Ya Allah dua hii ikawe funguo Kwa mwanangu aweze kupata kazi yenye kheri nae
Mashallaaah jazakallahul kher
Mwalim ukitowa chafya sema alhamdulillah
Sawa
Mwalim ukitowa chafya sema alhamdulillah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤
Hii stor una idokoa dokoa huipat kwa upanawake
Sheikh kisa hiki kina mafunfo Gani?
Hee hee haya mie wanne kutoka 🇬🇧
Shukran
From tz third
Wapili kutoka Msumbiji 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jaman leo nimewahi🎉❤from kenya
Mashaallah mashaallah
Asalam Aleikum sheikh tunaomba apisode 24 pls
Yaani mtu katafutiwa mume wakibinadamu na rafiki yake a zamani na adui yake was Sasa, Yaani naii ili waende Sawa lakini bado haambiliki basis Ana lake jambo huyo
Mola wangu nakuomba unifungue vifungo vyote katika mwili wangu nijaalie lizki mtoe malazi mama yangu wafungue watoto wangu vifungo wawe na akili shuleni wajaalie Imani ya hofu juu Yako nahekima amina
Mimi wamwisho from
wari kutoka ndani na hii wali ni wali kama chakula
Nzuri sn
Assalam aleikum,mm n husna mama Ni Hannah
Asalaam aleykhum Sheikh Kisa ni kizuri sema vipande vidogo unaposti ya dk 23 lakini story unaongelea dk 10 tu na 13 unarudia vipende vilivyopita jitahidi kupunguza Sheikh au ungemwacha mwenye story asilimia
Sawa basi ntamwachia mwenye stori aendelee kuisimulia huko kwenye chanel yake sisi huku tuendelee na mambo mengine ya tiba inshaa allah
ni kweli kbs anarudia maneno kila mara
Wa pili