HUYU KIJANA WA ZANZIBAR KANIKERA SANA "ETI ,MTUME SI REHMA" NJOO KENYA TUKUSOMESHE - SHEIKH ALHATMIY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 451

  • @yusuphnamkudai6721
    @yusuphnamkudai6721 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah allah akuhifadhi sheikh wetu.
    Waislamu tusikilize elimu hizi tuondoea hasadi na chuki tutanufaika. Dini haitaki ushabiki.
    Sheikh analikemea hadharani kuonyesha msisitizo kuwa hili jambo ni kubwa na watu ni muhimu kujuzwa tusiwakufurishe masheikh zetu Hawa mwenyezi mungu amewateua tusije tukamkosea allah kwa hilo.
    Pamoja ndg zangu ktk dini..

  • @abdulkarimsalum356
    @abdulkarimsalum356 ปีที่แล้ว +3

    hongera sana alhatimy. tunajifunza iwepo wako

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +17

    Safi na shekh nimekuelewa sana kwa hua mfano wko uliotoa Allah akupe umri mrf na Afya njema cku zote!!!!MTUME MUHAMMAD S.A.W NI REHMA TOKEA HAJAZALIWA nakubali asilimi 💯

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akubariki sheikh Al-Hatimiy. Tunakushukuru. Timekuelewa vizuri sana.

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +8

    Tunakupenda sana shekhe letu muhammadul haady alhaatimiyy

  • @ahmadmanswab
    @ahmadmanswab ปีที่แล้ว +2

    Mashallah naqubal shekhe al khatimiy

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa ALLWAH baaraka llwahu, mwenye sikio na asikie,

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 ปีที่แล้ว +4

    Tuchungeni sana ndimi zetu inasikitisha sana...shukran sana shekh

  • @ahlamahmed7789
    @ahlamahmed7789 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah you are a very truth sheikh May Allah bless you more

  • @abdallaheji1269
    @abdallaheji1269 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana.watu hawana elimu halafu wanataka kuharibu mambo ya maana

  • @omarisimba8864
    @omarisimba8864 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Allah akuongoze zaid Shekh

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 ปีที่แล้ว +3

    Alhaatimy nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH.

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 ปีที่แล้ว

    Asante sn sheikh we2 from Kenya nkpnd kwaajl y ÅLLAh 🤲🤲

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 ปีที่แล้ว

    Asalam Aleikum,Sheikh Mohammad Nassor Bachu,katangazia rasmi leo,anataka mjadala na wewe,kichwa cha maneno ,mtume ni rehma,na Barzanji,mjadala uhudhuriwe na umati wa waislamu,tupate kuifuta njia iliyonyooka,anasema haya mambo ya kujificha vichochoroni yaishe,sisi waislamu tuna Hamu ya hilo,tuujuwe upi upotoshaji na ipi haki katika hili,hatujapata kukuona Alhatimi ukisisimama na wanazuoni kujadili mbele ya waislamu watukufu,elimu ni pana,mimi naona ni bora ukakubali hili jambo kwa manufaa ya waislamu wote.Barakallahu feequm

  • @suhaybuthedone4111
    @suhaybuthedone4111 ปีที่แล้ว +10

    Allahumma swal wasalim wabaarik alayh

  • @stepsofafricasafaris6593
    @stepsofafricasafaris6593 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah very true Sheikh

  • @babayaoyega2540
    @babayaoyega2540 ปีที่แล้ว

    Alie sema atasomeshana .Allah akamfedhehesha kwa kuzidisha uongo sasa amesomeshwa na watoto wenzake al hatimy huna elmu huna

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 ปีที่แล้ว

    ALLAH KUKUPA UWELEWA WA KUTAMBUA HAKKI NA BAATILI NI JAMBO LINALOHITAJIKA KATIKA ZAMA HIZI KWA SABABU WAZUNGUMZAJI NI WENGI SANA.

  • @brotheratiq8329
    @brotheratiq8329 ปีที่แล้ว +1

    Shekh wangu ungemwambia rahma lil aaalamin *Aalamin* ulimwengu mzima ulimwengu ulianza baada ya kutumilizwa au kabla hata hajazaliwa

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว

    UFAHAMU NAO NI RIZQ HEBU WAELEWESHE SHEIKH ALHATIMY

  • @airwolfzn1955
    @airwolfzn1955 ปีที่แล้ว +8

    Shehe hajamsalia mtume hata mara moja, anataja tu mtume Muhammad bila hata kumsalia. Salalahu alayhi wasalam

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 ปีที่แล้ว +4

    Mashallh nimekufaham shekhe vizur shekhe

  • @ZINDUKAMUISILAMU30
    @ZINDUKAMUISILAMU30 ปีที่แล้ว +9

    Yaa rabbi hakika ww ni fundi mpelekee hii clip mtume (s.a.w) huko huko aliko na umuambie kuna mtu anaempenda na kumtetea in shaa Allah

  • @abdallaabdi5159
    @abdallaabdi5159 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah , mimi niko znz ila haya unayoeleza ndio ninayofaham

    • @MOMAIS_24
      @MOMAIS_24 ปีที่แล้ว +1

      Jaribu kumsikiliza na nassor bachu

  • @alshamsitz3961
    @alshamsitz3961 ปีที่แล้ว

    Wallah mtoto wa Bachu ni mpotofu sana,nishawahi kumsikia akisema wazazi wa Mtume wamekufa hali ya kuwa na makafiri na wataingia motoni...! Uwahabi ni nuksi sana.

    • @MOMAIS_24
      @MOMAIS_24 ปีที่แล้ว +1

      Sasa hapo utambue kua hujasoma

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +9

    Subuhanallah jamani ombi langu enyi waisilamu wezangu ninaomba uwisilamu nihikima masi tumiyeni hikima hiyo munapo muona mwezeni anakoseya basi mkosoweni kwahikima musizalilisheni mitandaoni ni hasara kwa mwenyezi mungu tunawapa njia makafiri tujiulize watajifunza nini kupitiya kwetu

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว

      Wallah huu nimtihani kwakweli Allah awaongoze

    • @juniorndago8488
      @juniorndago8488 ปีที่แล้ว +1

      Kwasbb aliamua kumpinga mtume hadharani ni hekma kurekebishwa hadharani,na hapa lazma makafiri wajue ya kwamb uislam hautaki kupinda

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 ปีที่แล้ว

      Anza kumwambia bachu kwanza ye ndo mchokozi kukosoa wenzie mtandaoni,angekuwa anawaita faragha na kisha anarekebisha,baada ya hapo yule aliyekosea anarudi mtandaoni mwenyewe kuirekebisha ile clip kama kweli kakosea.

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว +1

      @@ahmadbadawi9664 Allah afanye wepesi wake

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 ปีที่แล้ว

      Sabiha vp hujambo

  • @soudia9084
    @soudia9084 ปีที่แล้ว

    Mashekhe msikashifiane dunia ikaona.

  • @mr.vigorouslyj.r1332
    @mr.vigorouslyj.r1332 ปีที่แล้ว +1

    Wallah laadhim raha sanaaaa ❤❤❤

  • @afandisaid541
    @afandisaid541 ปีที่แล้ว

    فلما زاغو أزاغ الله قلوبهم we huwezi kuiona haqqi mana una matamanio ya nafsi Bado tu una maulid

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu ปีที่แล้ว

    Kwanza kabisa, kwenye kukosoa, aweza kosolewa yoyote isipokua Quran na wahyi wa mtume. Hawa akina barzanji (naomba Allah amsamehe, na pia akimwadhibu, yeye ni mja wake) mumewaweka darja ya Allah na haifai.
    Uzushi tu . Allah awaongoze na atuongoze na atuweke sote mbali na shirk na vizazi vyetu.

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 ปีที่แล้ว +6

    MASHAA ALLAH

  • @aminuddinwacate
    @aminuddinwacate ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah mi napenda sana maneno ya shekh alhaitamy, law kama ipo nafassi ningue ombar number yake ya whatsap

  • @HatibuMbwana-li3lk
    @HatibuMbwana-li3lk ปีที่แล้ว

    Mnapena elimu ama mnaumbuana maana naona shekh wangu Tena mpaka sura inakunjamana na jicho lakutoka nini tatizo Jamani viongozi wetu

  • @ayoubahmad7107
    @ayoubahmad7107 ปีที่แล้ว +1

    صلى الله على سيدنا ونبينا محمد

  • @HassanAlly-k2p
    @HassanAlly-k2p 9 หลายเดือนก่อน

    By the way you are very truth

  • @athumanichamzuri3844
    @athumanichamzuri3844 ปีที่แล้ว +10

    Nakumbusha tu Mtume Muhammad ni Rahma toka Adam anapewa Utume.. Kwani Nabii Aliomba msamaha kupitia nani?

  • @aminasheikh1838
    @aminasheikh1838 6 หลายเดือนก่อน

    Wacheni siasa kwa uislamu!!!

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 ปีที่แล้ว +2

    ماشاالله قول الحق

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Kelele nyingi kichwani mutupu mweupe hamna kitua apa
    Swahaba gani kafahamu ivyo
    Sufiii

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

    A/a ndugu wa islam ukitaka kujua dini ya haki ilio safi ni challenges ndio utaupata uislam safi

  • @ayoubahmad7107
    @ayoubahmad7107 ปีที่แล้ว

    Mtume ni rehema kwa ulimwengu wote.....kwa sabb alaamiina......hili neno alam...ni kuanzia nabii adam....kwa hio mtume ni rehema kuanzia kwa nabii adam sio alipozaliwa

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 ปีที่แล้ว

    Bora amuite akasome mana hakua na hekma alitaka aonekane km anajua kumbe hajui na hajijui km hajui na hataki kujua kwaiyo bora aitwe kenya akasome kisha aanze kusomesha

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid ปีที่แล้ว +1

    Kijana wa zanzibar kakuosha. Musitutangazie ushirikina na uzushi

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      Daa yaan wewe kweli umebeba itkad na sio kwa ajili yaukweli yaan wajifanya hujaelewa kilichozungumzwa? Yaan me cpo kiushindani ila kuna haha yakusoma jam an tisiongee kwa rugha nyepesi nyepesi haya mambo yanahitaji elimu

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid ปีที่แล้ว

      @@suleymanmadyan1730 group ya wazushi. Mpaka ukubalike kujibu ni uwe unakubali uzushi

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza tungetafuta maana ya rehma kwa mujibu wa lugha na sharia kisha tukajiuliza je alikua rehma kabla ya utume au baada vyenginevyo mtawajaza watu ufahamu usiofikia kiwango

    • @abdiabdu7179
      @abdiabdu7179 ปีที่แล้ว

      Nenda is msomeee mtume alivyo taarishwa kuja kabla ya kuzaliwa ndio uta pata answer ubaya hamu somi history ya mtume

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 ปีที่แล้ว

    Habari ya shakhsiya pia hujaelewa sheikh. Aliposema Mtume “ana” hapo tayari ashatumwa. Toa dalili ya kabla kutumwa. Aya au Hadithi. Usitumie kichwa chako

  • @religiousquizanswers4401
    @religiousquizanswers4401 ปีที่แล้ว +1

    Al Hatimy wakati ulijulikana wewe ni mtu wa Maulidi huna nuru ya Allah tena na mkumbuke Aisha alivyosimulia kuwa mtume amesema ''yeyote atakayekuja na lolote katika hili jambo letu litarudishwa kwake''

  • @farajiluwaga7221
    @farajiluwaga7221 ปีที่แล้ว +2

    Wazee wa Happy birtday to you

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      Tatizo wahabi wengi mbumbumbu

    • @عمرأحمد-ص9ل4ش
      @عمرأحمد-ص9ل4ش ปีที่แล้ว

      wapenda sana kukata keki hawa kisha walishane waume kwa waume🤣🤣🤣🤣

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 ปีที่แล้ว

      Wamotoni na wapeponi mnawajua nyie hongereni kwa kuzijua ghaib

    • @شيخنيف
      @شيخنيف ปีที่แล้ว

      @@husseinally5550 nyinyi mnao zua mambo Mampya katika Dini si umbumbumbu huu

  • @hamadkombo3549
    @hamadkombo3549 ปีที่แล้ว

    Hii sio mzur katk dini

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 ปีที่แล้ว

    Sheikh usipate kazi ya kuongea sana hawa wanajuilikana km ni kibri tu na hawatumii hekma wao kila kitu ni bidaa hukosoa mambo mwisho waka aibika Allah akulipe sheikh

  • @مونا-ج6ذ
    @مونا-ج6ذ ปีที่แล้ว

    Mtume aliambiwa magapi mbona lakin alikuwa na mbinu za kukubiliana na maneno ya watu na iyo ndyo elmu jamni sote ni waislmu akikoseya moja wetu bc mwabiyeni kiutaratabu

  • @jpmanotaofficial9041
    @jpmanotaofficial9041 ปีที่แล้ว

    Muhammad kashasema yeyesichochote ila shida inakuja kwa ninyi wafwasi wake ,mnampamba mnamchora vitu hambavyo havimstahili hatayeye akifufuka leo atawashangaa sana

  • @hafsumohd2049
    @hafsumohd2049 ปีที่แล้ว

    Hhhhhh subhanallah kipofu anamuongoza mwenye macho.

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 ปีที่แล้ว

      Kinacho fanyaga nisiwaelewe ni hko tu kujifanya mnajua kila kitu bas

  • @yahayahamisi5729
    @yahayahamisi5729 ปีที่แล้ว

    ukimuona mtu wa hivyo ujuwe kasoma ila hajapewa ufahamu wa elimu yake sijasoma ila akumbuke alipo zaliwa tu je mashetani na majini walisema nini akiachana na viumbe vyengine kushudia juu ya ujio wa mtume Tatizo kubwa ni ufahamu kaelewa nini

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 ปีที่แล้ว +2

    Mambo ufanyayo somazuri kweli usitudanganye

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      Ww umebeba itkad hutaki kisoma kk jitahid kusoma elimu ndo itakutoa kizan sasa hapo ucchoelewa nn Kama sio umekunywa maji ya bendera

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 ปีที่แล้ว

    Mm nna hasira sana kwa watu km hawa waso jitambua kupinga vitu ktk dini waso na elimu navo

  • @JamalAbdallah-m1o
    @JamalAbdallah-m1o ปีที่แล้ว

    Wafundishwe mawahabi hao

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +3

    Lete dalili inayo thibitisha kua Mtume wetu Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama alikua ni RAHMA baada tu ya kuzaliwa.
    Nasio kufanya ibhaam ktk maneno.

    • @lilasilima3848
      @lilasilima3848 ปีที่แล้ว

      Sasa unataka Dalili ili ikusaidie kitu gan?
      Mbona usilamu umekuwa kama majukwaa ya kisiasa sikuiz. Huyo aliesema kwanza ilikuwaje na dini mbona ina mambo mengi?kwan alishindwa kutafuta cha kuzungumza mpaka atafute kuleta ubishi?

    • @kiddrc353
      @kiddrc353 ปีที่แล้ว

      Hizi ni moja ya hoja na tabia za makafiri

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 ปีที่แล้ว

      Mbn aya ktk quran ipo wqz ndg yng

    • @iddysufiani4963
      @iddysufiani4963 ปีที่แล้ว

      Allaahuaqbar

  • @bilalikaoneka5080
    @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndio sufi sasa..

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      Ww umemeza itkad somen huyu mtu anaelimu Nini ucchoelewa hapo

    • @MOMAIS_24
      @MOMAIS_24 ปีที่แล้ว

      @@suleymanmadyan1730 wenye elimu ni wengi ila wamezidiana shida bidda inawapoteza

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      @@MOMAIS_24 nimekuelewa ndugu ila wewe usiangalie hayo mengine angalia katoka hoja iliopo mezani namna ilivyofafanuliwa kwa ufanisi mkubwa ubebe chuki kwasabubu aliosema ni alhatimy mbona mimi kuna baadh ya crap nilimielewa bachu kasema ukweli na nilisapot unafkir kwanini? Nikwasababu aliosema hakki

  • @babayaoyega2540
    @babayaoyega2540 ปีที่แล้ว

    Hapo umefunza nini dhulma ndo kuangamizwa sasa ayah ingesema hivi ulizaliwa wewe ili uwe rahma lete ayah

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว +1

    Mtume s.w.Muhamad aliandaliwa na Allah hata Kabla ya kuzaliwa Sasa huyo ni mjinga tu achana nae sheikh

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 ปีที่แล้ว +1

    Wafundishe kusoma hawataki ushabiki tu ndiomujaa namisimamo isionamaana

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh kidogo kidogo punguza munkar,presha,haya mambo yanataka hekima zaidi,sio ushindani na masifa,hivyo sivyo alivyotuelekeza Allah na mtume wake,Allah anatosha kuwa shahidi

    • @thestonetown3302
      @thestonetown3302 ปีที่แล้ว

      Kaa kimya ww yaani ukimdhihak mtume wetu tunachukia haswa….kidogo kidogo cha nin apo…tena bado angekua karibu huyo alieongea ushenzi huo ndio angeelewa vzr..

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 ปีที่แล้ว

      @@thestonetown3302Nani anamzihaki mtume??,wewe unasema nini,wewe sio wa kuninyamazisha,jirejee katika nafsi yako,wewe kweli muungwana wa kuninyamazisha mimi kimya?bado hujajitambua,funga mdomo wako,umekosa nidhamu hata kwenye profile zako,unatia watu wakinyonyana midomo,wewe ndio wa kuwa na uchungu na mtume,nyinyi ndio mnaotuzadhalilisha waislamu,video gani ukitia za watu kunyonyana midomo,fawahsha,halafu huku ati,unauchungu na mtume,mnafiki mkubwa,Allah anakuona,Tubu haraka na uombe msamaha kwa Allah,na iondoe haraka hiyo video,kabla laana haijakufika.

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 ปีที่แล้ว

      Hakuna cha munkar wala presure hapo bali anakuwekeni sawa musiofahamu.

    • @thestonetown3302
      @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +2

      🙏🏻

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      We ndo kidogo kidogo na ujahili wako

  • @ussiussi3413
    @ussiussi3413 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi kwenye huo msingi wa tatizo.

  • @babayaoyega2540
    @babayaoyega2540 ปีที่แล้ว

    Kweli vimeundwa kwa shirki barzanji ina shirki

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن ปีที่แล้ว

    Kijana kakosa adabu ngoja tufundishwe,ama yeye hakubali chochote

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 ปีที่แล้ว +2

    Anatoa mifano ambayo inamuangusha yeye mwenyewe!
    Amenifanya nicheke mpaka basi.

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 ปีที่แล้ว

      Sio lazima umelewe km haumuelew nao niuelewa tayar

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanirama7970
      Sijasema simuelewi!
      Soma vizuri ujue kujibu.

    • @Blue_Ocean_003
      @Blue_Ocean_003 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa hafai

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 ปีที่แล้ว

      @@abubakarmuhammadsaid3244 Kumuelewesha alie amua kuto kuelewa ni matumiz mabaya ya muda! sinaga muda wa kupoteza!

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanirama7970
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam tayari amesha nifahamisha na tayari nimesha wafahamu Ahlul-Bidaa.
      Muda ulionao wewe ni wa kufanya bidaa tu.

  • @saadjahadhmy103
    @saadjahadhmy103 ปีที่แล้ว

    Ahsanta alhabib mlete kenya afundishwee huyo amekosa adabu sanaa

  • @mawaidha386
    @mawaidha386 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi munachokoza watu kisha mukipigwa raddi usikie kijana hana adabu .....

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 ปีที่แล้ว

      Kijana hana adabu sana sana na sio kidogo

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 ปีที่แล้ว

      @@ahmadzubeir3363 sawa hana adabu lkn mifarakano hua inazima nyinyi muanataka kuiamsha Allah atuepushe na fitna za kila aina ... na wote waliokua hawana adabu Allah atawaajalia watapata adabu..

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 ปีที่แล้ว

      Mtu akimtetea mtume kwa dalili utaskia hana adabu sasa cjui wanaomzushia mtume swallallahu alaihi.wassalm kwa.makusudi hao cjui ndio wenye adabu .........

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 ปีที่แล้ว +1

    hapo ana ratiba za maulidi na twarika mfukoni, za mwezi nzima anapenda mashairi na mifano ya kijuhalaa.

    • @ayoubahmad7107
      @ayoubahmad7107 ปีที่แล้ว

      Mbona hatukuelew wee

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      Upo kishabiki kk c kwaajili ya hakki inamana hujaelewa kilichozungumzwa hapo? Tusomeni jam an mi najua wengi wetu nikifata mkumbo tuu

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      @@ayoubahmad7107 elimi yako ya uwelewa ndogo au itakua wafat mkumbo maana amefafanua vzuur sana acha kupinga jambo kwa sababu ya itkad angalau hakki

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว

    Dunia imeisha dalili za kiama zote hizo, Mtume alitabiri mwisho dunia watazuka wanazuon waongo sasa zinatokea

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 ปีที่แล้ว

    Aya uliotoa ni kua ametumwa ili awe rahma. Wadaiwa aya ya kuzaliwa ama kabla ya kuzaliwa.

  • @hamisijenzi9403
    @hamisijenzi9403 ปีที่แล้ว +2

    Akasometena Huyo mtoto

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 ปีที่แล้ว

    Ninacho wasifu masufi ni wataalamu sana wa lugha ya kiarabu, hilo tu!! Na masunni wengi tutashindwa hoja kwa hilo

    • @othumaniabdallah6848
      @othumaniabdallah6848 ปีที่แล้ว

      Masufi hawana utaalamu wowote katika lugha kama hakuna mtalamu wa lugha ndio wana jifanya wajua lugha muhamadi bachu alimfundisha sheikh la kisufi alivyo shindwa kutofautisha baini ya yaai nisba na yaai mutakalim sharifu lenu izudini aluy hii ni aibu kubwa kwa alhaatimiyy na wengine wapotoshaji

  • @ayoubahmad7107
    @ayoubahmad7107 ปีที่แล้ว +1

    Mtume ni rehma toka hajazaliwa

    • @mzarendo.com9624
      @mzarendo.com9624 ปีที่แล้ว

      Muongo mkubwa weee !!! Ebu toa andiko kafiri mkubwa weee

    • @ayoubahmad7107
      @ayoubahmad7107 ปีที่แล้ว

      @@mzarendo.com9624 mm staki kupigishwa kelele na mtwana...wee mnyamwez.....

    • @mzarendo.com9624
      @mzarendo.com9624 ปีที่แล้ว

      @@ayoubahmad7107
      Wewe shika adabu yako kuwa na heshima kwa sisi babu zako eti.

    • @ayoubahmad7107
      @ayoubahmad7107 ปีที่แล้ว

      @@mzarendo.com9624 sawa nimekuelewa كلب

  • @AbdulOmary-sc8vh
    @AbdulOmary-sc8vh ปีที่แล้ว

    Shekh sikila aliesoma basi anaelimu laa huenda huyu sheikh Muhammad ndo ufaham wake ulipofikia

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 ปีที่แล้ว

    Wakiona wao kitu hawajakisoma wakiskia kinafanyika au kuzungumzwa huona ni bidaa

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud ปีที่แล้ว

    Kama kuna maneno yanahitaji tafsiri basi ni Qur'an na Hadith za Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam ama maneno ya watu wengine lazima yanyooke na aonyeshe makusudio yake ama sivyo itachukuliwa maana ya asili ya maneno anayoyatumia na si vinginevyo. Katika dini tunatakiwa kuvumiliana na kuheshimiana.

  • @shmuelmbatia
    @shmuelmbatia ปีที่แล้ว

    imani iwe pamoja nanyi

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 ปีที่แล้ว

    Mbona umepanic mixer kuchanganyukiwa shehe inaonekana haupo sahihi wala haujui unachokiongea 😂😂

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 ปีที่แล้ว

    Usizozane na wazazibary sio wasomi kazi yao kucheza mdundiko

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว

      Tafadhali tafadhali sana .

    • @salmaalrawahy3326
      @salmaalrawahy3326 ปีที่แล้ว

      Ww nan kwanza tukuulize hapo rekebisha kauli yako na nyie wakenya je kazi yenu Nini

  • @sulemcha3198
    @sulemcha3198 ปีที่แล้ว

    Bachu humuezi we

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว

    Kijana wa bachu ww hujasoma popote usikufurishe watu, kwanza nenda madrasa

  • @samxx411
    @samxx411 ปีที่แล้ว +2

    Mie sijasoma na elimu yangu ni ndogo wala sina dhehebu,, lailahailallah Muhammadan rasulullah ndio dhehebu langu ila Nabii Muhammad ni rehema kabla ya kuzaliwa, jina lake lilitajwa kabla ktk vitabu vyengine, nabii suleiman pete yake kama sikosei ilikuwa na jina mtume ni rehma hizo km nimekosea mnisamehe mie sina elimu ila ni muislamu pure

    • @abuduausse8943
      @abuduausse8943 ปีที่แล้ว +2

      Unasema hufuati madhehebu basi unafuata akili yako

    • @samxx411
      @samxx411 ปีที่แล้ว

      @@abuduausse8943 nafuata quran na suna

    • @abuduausse8943
      @abuduausse8943 ปีที่แล้ว

      @@samxx411 kwa ufahamu wa nani wako au

    • @samxx411
      @samxx411 ปีที่แล้ว

      @@abuduausse8943 Allah na mtume na masahaba

    • @abuduausse8943
      @abuduausse8943 ปีที่แล้ว

      @@samxx411 kijana acha elimu ya mitandaoni kasome

  • @abubakarsaid8606
    @abubakarsaid8606 ปีที่แล้ว

    Mmmmh c kama ww uko sawa mbn musiweke muhadhara

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 ปีที่แล้ว

    Huyo asikusumbue amesoma anaa wa anta juzi leo anaona ameelimika bora muite au achangiwe nauli aje

  • @abdulhaleemrashidmarjan8607
    @abdulhaleemrashidmarjan8607 ปีที่แล้ว

    Walete Kenya wasomeee waache kuropoka tuu na kumuona mtume kama mtu wa kawaida

  • @babayaoyega2540
    @babayaoyega2540 ปีที่แล้ว

    Hii haya sio pahala pake hapo wala wewe ujielewi

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว

    BILA YA SHAKA

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว

    Wacha uwongo unajua su'ala zinataka kujibiwa.
    Mtume SAW ana futa ma dambi ?

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Na hio hadithi ulio itaja kua Mtume kasema:
    إنما أنا رحمة مهداة.
    Alisema maneno hay baada ya kuzaliwa au kabla ya kupewa Utume au baada ya kupewa Utume?
    Mbona masufi muna makosa ya kusudi ktk Aayaat na Ahaadiith za Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama?

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      Imeangaliwa lugha alioitumia haujaagaliwa wakat aliosema mbona kuna hadthi nying tu mtume kazongumzia mambo yaliopita na yatakayofuTA tujitahid tusome tusibebe itkad tu lugha ujui ndomana inasema hivyo

    • @UstadhBilal
      @UstadhBilal ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhhhhh

  • @abdulshamte
    @abdulshamte ปีที่แล้ว

    Alichojibu kijana baada ya kusikia maneno ya Sheikh Khatimy:
    th-cam.com/video/9LG7G2FsNGU/w-d-xo.html

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 ปีที่แล้ว

    Tatizo ya hii dini hajitambui jiulizeni issa yuko wapi na Muhammad yuko wapi tatizo mlionao sasa nilakusifia waharabu tuu

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว

      Jiangalie Kwa za ndipo uweke comment ivi nikuulize hio dini unae izungumzia haijitambui kwanza jiulize jee wewe unajitambuwa

  • @hamisiliyanda5116
    @hamisiliyanda5116 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa nae chenga harafu Mohammed bachu hamuwezi bachu ana maada za kimsingi

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 ปีที่แล้ว

    Ametuwaibisha wa Zanzibar 😢

    • @MOMAIS_24
      @MOMAIS_24 ปีที่แล้ว +1

      Huwezi kuongea ivo kwa kusikiliza upande mmoja hebu jaribu kumsikiliza na nassor bachu

    • @MattarOnlineTV
      @MattarOnlineTV ปีที่แล้ว

      Rudi nenda kasikilize na kwa sheikh Muhammad Nassor Bachu ndio utajua yupi yuko sahihi

    • @شيخنيف
      @شيخنيف ปีที่แล้ว

      @@MOMAIS_24 ni Muhammad Bacho

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว

    Safi sheikh .Bora umfundishe tunasoma mashia wanawatusi maswahaba . lakini huyu bwanamdogo muda mwingine anajisahau anamuongelea mtume Maneno mabaya sana.Sijui ata akili yake inawaza Nini.Watu wakimsifia mtume wamekusea mbona watu wanawasifia Marais zao.Huyu bwana mdogo Mimi namshauli.Elewa ulichofundishwa na sheikh wako utafsili wa Qur an ni uchaguzi wa Allah siyo kila aliyejifunza lugha anaweza.Ikiwa mitiani ya Dini watu wanafanya udanganyifu kuingia na vibomu,wanamuonga msimamizi, alafu Leo unakuja kutolea umma fatwah.Kila nafsi inajijua ukiona ulishawai kufanya hivyo basi usiongee kwenye mitandao Allah atakudhalilisha .

    • @hamynas
      @hamynas ปีที่แล้ว

      masuni ndiyo wanawatusi maswahaba
      mashia hawana tusi ktk itikadi zao

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 ปีที่แล้ว

    Bachu utopolo mtup a kasome bachu bado mdgo anapotosha watu bachu dah apelekwe raudhwa Kenya akasome

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 ปีที่แล้ว

    Mohamed Bachu akivamia Dodoma Offisi ya Rais, majibu yake kuwa Idara ya ulinzi ya Tanzania atasema hakuna daliili katika kitabu chake, Dodoma offisi ya Raisi iwepo.atasema lazima ni vamiye offis ya Rasi atasema iyo ni dalilii yake ya kuingiya peponi.

  • @ramlaali4130
    @ramlaali4130 ปีที่แล้ว +1

    Duuh hatar kitu chema ni kumfuata aliekosea kusema hayo maneno uislam ni aman na sisi tuishini kwa aman tusiaibishane katika mitandao tutumieni njia nzr katika kuelekezana sio kuambizana huyu ana elimu au mwengn hana.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว +1

      Huyo jamaa yenu wakizanzibar mbona yeye hakuwafuta wanazuoni wanaojua akapata ushauri wao lkn aliamuo kuropoka tu kwenye media. Wacha nasisi tumjibu kwenye media

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 😁

    • @thestonetown3302
      @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +1

      Yeye alipoongea unajua alipotosha wangapi…?ukikosea mbele ya hadhara utarekebishwa mbele ya hadhara…

  • @TheIslam1681_
    @TheIslam1681_ ปีที่แล้ว

    Wacha kula mirungi kwanza kijana. Halafu huku dar kuna tukio kubwa umemtenda mwenyeji wako. Sio mnajua kuvaa milemba mikubwa na kanzu mkajiona ndio mmeukamilisha UISLAM.