MTOTO WA BACHU AENDELEA KUUCHEZEA MOTO WA SHEIKH ALHATIMY | MPAKA HAWA MAIMAMU WOTE HAWAFAI KWAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 200

  • @kenyakwanza254
    @kenyakwanza254 ปีที่แล้ว +14

    Umerekebishwa ki aqeeda What you do best is to challenge his knowledge then why argue with an ignorant man? Sheikh Mohammed bachu May Allah (Sw) preserve him and those on the right aqeeda.

  • @mawaidha386
    @mawaidha386 ปีที่แล้ว +12

    Hii imeshajibiwa ... Na Al akhi Muhammad bachu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +2

      Hawa masufi wanajitia pambani,

  • @zumrasaidi6600
    @zumrasaidi6600 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amsamehe mhamadi bacho Sifa ya msomi ni hekma allh ampe hekma

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว +13

    Allah amhifadhi sheikh wangu sheikh muhammad bachu na aendelee kuwapa mawaaidha masufi hao

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      acha ujinga

    • @mussabinyussuf945
      @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว

      Ujinga gani

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      hilo sufi kulipata wapi? mtume kaliacha hilo

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      Na atufundishe yeye kama nani? kwa kua ana elimu sana ulamaa mwanachuoni wa kujitegemea? hatuna haja na kufundishwa na mtu ambae hana akhlaq, hana adabu na ilimu, twafundishwa na watu wenye adabu zao na inswaf zao, huyo mwambie akufundishe wewe usokua na ilimu na adabu km yeye,,,, na uache dharau

    • @anwarsaid7627
      @anwarsaid7627 ปีที่แล้ว

      Huna makosa ukisema hivyo ikiwa shekh uhali hii wanafunzi wa Hali gani? Anao Sema sio anayo fanya sabasi al kubra ndio amjua vizuri na anajua mambo yake amenitia shaka hapo omba mungu asiitoe maana licha yy hata nyie mashushu wake mutaaadhirika

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alaikum
    Sheikh Muhammad bachu waislam na waumini wanawategemea lkupata da awah.
    Unapomuona sheikh mwenzako kakosea mfuate kwa utulivu muelimishane.

    • @bongorashidy5930
      @bongorashidy5930 ปีที่แล้ว

      Yaa nikweli mwanadam sio mkamilifu unapohisi nduguyako mwislam amekosea unapaswa kuangaria namnagani ya kukaa na kumanasihi na sio kurushiana maneno kama kupigana vijembe ni makosa makubwa mbele ya allahusubuhana huwataalla

  • @kenyakwanza254
    @kenyakwanza254 ปีที่แล้ว +2

    Barazanji inatoshaa ijmaa ya waislamu kuwa ni kufru mgawanyiko ni mkubwa sana Allah (sw) atuepushe kufata shahawat.

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว

      Ijtimaa au Mawahabi?

    • @mussabinyussuf945
      @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว

      Nyinyi munaizarau barazanji shekh wangu muhammad bachu nampenda wala msimseme vibaya

    • @kenyakwanza254
      @kenyakwanza254 ปีที่แล้ว

      @@jamalsalum8726 maana ijtmaa utolewa na mawahabi au waislamu?

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว

      @@kenyakwanza254 Hakuna ijtimaa iliyosema maulid ni kufru, mpk mkuu wa Mawahabi ibn taymia anasema maulid ni kheri na wanapata malipo wanaofanya

  • @sadcommpalestina4530
    @sadcommpalestina4530 ปีที่แล้ว +1

    ili uweze kupata elimu na uafaidike zaid ifungue akil yako pia msikilize vizur shehe mohamed bachu kuanzia sehem ya kwanza had ya sita utafaidika zaid inshallah

  • @muniraboud2705
    @muniraboud2705 ปีที่แล้ว +1

    Mrongoooooo sanaaaaaa sallalaaah.. SUBHANALLAH

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 ปีที่แล้ว

    Masha Allah.

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว +2

    Hadithi mbovu naitikadiwa ma masufi na mashia
    رسول الله صلى الله عليه وآله: خلقني الله نورا تحت العرش قبل أن يخلق آدم عليه السلام باثني عشر ألف سنة، فلما أن خلق الله آدم عليه السلام ألقى النور في صلب آدم عليه السلام فأقبل ينتقل ذلك النور من صلب إلى صلب حتى افترقنا في صلب عبد الله بن عبد المطلب وأبي طالب، فخلقني ربي من ذلك النور لكنه لا نبي بعدي. (2)
    7 - ع: إبراهيم بن هارون، عن محمد بن أحمد بن أبي الثلح، (3) عن عيسى بن مهران، (4) عن منذر الشراك، عن إسماعيل بن علية، عن أسلم بن ميسرة العجلي، عن أنس بن مالك، عن معاذ بن جبل أن رسول الله صلى الله عليه وآله قال: إن الله خلقني وعليا و فاطمة والحسن والحسين من قبل أن يخلق الدنيا بسبعة آلاف عام، قلت: فأين كنتم يا رسول الله ؟ قال: قدام العرش، نسبح الله ونحمده ونقدسه ونمجد، قلت: على أي مثال ؟ قال: أشباح نور، حتى إذا أراد الله عز وجل أن يخلق صورنا صيرنا عمود نور، ثم قذفنا في صلب آدم، ثم أخرجنا إلى اصلاب الآباء وأرحام الامهات، ولا يصيبنا نجس الشرك، ولا سفاح الكفر، يسعد بنا قوم ويشقى بنا آخرون، فلما صيرنا إلى صلب عبد المطلب أخرج ذلك النور فشقه نصفين، فجعل نصفه في عبد الله، ونصفه في أبي طالب، ثم أخرج الذي (5) لي إلى آمنة، والنصف إلى فاطمة بنت أسد، فأخرجتني آمنة،

  • @Jamilaljaffy.gmail.comJayalyaf
    @Jamilaljaffy.gmail.comJayalyaf ปีที่แล้ว +1

    Assalamwalaikum,wamaatakum rasulu fakhudhuhu Wana nahakum anhu fantahu na Kuna hadithi yasema yoyote atakae nizulia mm urongo basi ajiandalie makalio yake ni motoni

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว +2

    Hadithi sahihi
    الحمد لله والصلاة والسلام على رسول الله وعلى آله وصحبه أما بعد:
    فقد روى البخاري في صحيحه عن عائشة رضي الله عنها : أن رسول الله صلى الله عليه وسلم عندما حضرته الوفاة كان بين يديه ركوة فيها ماء فجعل يدخل يديه في الماء فيمسح بهما وجهه ويقول: لا إله إلا الله، إن للموت سكرات، ثم نصب يده فجعل يقول: في الرفيق الأعلى حتى قبض ومالت يده.وفي الصحيحين وغيرهما عن ابن مسعود رضي الله عنه قال: دخلت على رسول الله صلى الله عليه وسلم وهو يوعك وعكًا شديدًا، فقلت: يا رسول الله، إنك لتوعك وعكًا شديدًا. فقال رسول الله صلى الله عليه وسلم: إني أوعك كما يوعك رجلان منكم. قلت: بأن لك أجرين؟ قال: نعم. ثم قال: ما من مسلم يصيبه أذى شوكة فما فوقها إلا حطَّ الله عز وجل عنه خطاياه كما تحط الشجرة ورقها. وفي البخاري عن أنس رضي الله عنه قال: لما ثقل النبي صلى الله عليه وسلم جعل يتغشاه، فقالت فاطمة -رضي الله عنها-: واكرب أباه. فقال لها النبي صلى الله عليه وسلم: ليس على أبيك كرب بعد اليوم. فلما مات قالت: يا أبتاه أجاب ربًا دعاه، يا أبتاه في جنة الفردوس مأواه، يا أبتاه إلى جبريل ننعاه. فلما دفن قالت فاطمة - رضي الله عنها - : يا أنس أطابت أنفسكم أن تحثوا على رسول الله صلى الله عليه وسلم التراب.أما ما ذكره السائل من طلب النبي صلى الله عليه وسلم من ملك الموت أن يرفق به فلم نقف عليه في شيء من كتب السنة الكثيرة، وما نظن أنه ثابت، إذ لو ثبت لنقل من وجه ما، فإن توفر الدواعي إلى نقله كثيرة، ومما يبعد احتمال ثبوته أنه لا وسيلة لنقل الغيب إلا ما ثبت عن طريقه صلى الله عليه وسلم، ومن كان مكابدًا سكرات الموت ليس فارغ البال حتى يقص على الناس ما جرى بينه وبين ملك الموت.
    والله أعلم.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

    Hii shekh Muhammad Bachu tayari ameshaijibu, hem tuwekeeni basi nyinyi masufi.

  • @fahadothman9554
    @fahadothman9554 ปีที่แล้ว +3

    Mzeee bora nyamaza mana huna lakusema huna elimu zaidi ya maneno yako ya kichwani jibu hoja

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว

    Si hadithi ni uongo
    حديث: ((يوم وفاة نبيِّنا محمد عليه الصلاة والسلام، عندما رأى ألَمَ الموت تعرفون ماذا قال؟! قال: اللهم ثقِّل في سكراتي, وخفِّف في سكرات أمتي!)).
    الدرجة: ليس بحديث

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +1

    Cjui kwann Masheikh wa Maulidi Ni Waongo Sna Ya Mambo Mengi Katika WanA Zusha Ndio Maana mim Sipendi Kusikiliza Mawaidha Ya Masheikh Wanao Piga Maulidi Sisikilizi. mim Nasikiliza Mawaidha Ya Masuuni Pekee Haoo Wengine Ni Bidaa Tupu. Sheikh Mohammad Bachu Tupo Pamoja na Wewe Allah Akuifadhi

    • @bisharabilali6976
      @bisharabilali6976 ปีที่แล้ว

      Ww pia huna akili kama bachu

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +1

      @@bisharabilali6976 Wacha Nisiwe Na Akili Ila Siwezi Kusaport Masheikh Wa Kupiga Maulidi Mim Kabla Ya Niwe Suni Nilikuwa Mcheza Maulidi Na sio Mpiga Maulidi Tu Madrasa Yangu Nilio Soma Nimesoma Madrassa Ya Wapiga Maulid Toka Alifu Adi Sura BaQRa Nimesoma Kwa Wapiga Maulid Ila Nilipo Amua Kutaka kujua Yupi Yupo Sahihi Nikagundua Suni Ndio Wako Sahihi Kuliko Wapiga Maulid

  • @rashidhussein3711
    @rashidhussein3711 ปีที่แล้ว +2

    Hapa tutapata Elmu kubwa kupitia watu hawa wawili (ALLAH S.W anataka kuondoa Shirki)fatilieni in shaa Allah
    Kheri inakuja.

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 ปีที่แล้ว +3

    jaman huyu Sufi keahajibiwa au

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Bachu ana wivu na chuki na MTUME s.a.w.

  • @habibuRamathan-c9s
    @habibuRamathan-c9s ปีที่แล้ว

    Namuamini sana mtoto wabachu ila nyote hamtumii maneno ya ghekma

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 ปีที่แล้ว +1

    Ulijibiwa kihoja umeshindwa kujibu kwa dalili ku justify uongo wako. Hadithi uliyoitowa haijibu hoja pia sio ileile aliyeipinga sheikh Muhammad Bachu.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว

    Uyu Bachu Sijui mwalimu wake Nani na hasimuite Kipenzi chetu Kama Kama semeji yake .Eti mtume kafa . Mtume kafariki .Anaekufa mnyama ,Ndege , Binadamu Amefariki.Yani wewe Bachu msomi almaruhumu baba Yako msomi Hata siku moja ujamuona kwenye ndito .Jua kabisa wewe hunampinga baba Yako baina mashariki na magharibi.Muombe Allah akuongoze njia iliyonyoka .Unapotea.

  • @yahyasabil921
    @yahyasabil921 ปีที่แล้ว

    Allah na malaika zake wanamsaliya mtume saw

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +11

    Uongo ndioo malaika walipiga lain wapi malaika wote wote wanagombania hivi nikuwadhalilisha malaika eti wanagombania yani pakawa niugomvi tafrani .malaika hawafanyi jambo ila wameamrishwa na Allaahu. Kwahiyo Allaahu aliwaambia wagombanie?????? TUWE NA MIPAKA KATIKA KUZUNGUMZA

    • @hashimshariff2743
      @hashimshariff2743 ปีที่แล้ว

      Kasome ndio useme urongo hukmu za swala zenyewe kuzipata tabu

    • @umbopaday
      @umbopaday ปีที่แล้ว

      Swadakta akhi sulaiman

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +3

      @@hashimshariff2743 huo ni uongo wa kisufi ulio wazi kabisa. Mazuzu kama wewe ndio mtadanganywa.
      Ametakiwa atoe dalili ni wapi iliandikiwa malaika walipanga safu kutoka nyumbani kwa mtume saw hadi mbinguni, anaenda kutoa hadith iliyokuwa haihusiani na uongo wake

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +2

      @@hashimshariff2743 Uyoo Sheikh wako wa Maulidi Ni Muongo Tena Muongo Sana Masheikh wa Maulidi Ni Waongo kweli kweli

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +1

      @@hashimshariff2743 kusoma kitu gani? Sasa hapo hukum za sala zimeingiaje katika hili . Usitete uongo kwa kumpenda mtu . Shusha hadithi au aya kuonesha malaika walipiga laini nyumbani mpaka mbinguni wakigombania roho. Hiyo hadithi aloitoa haiendani na maelezo yake na kama kuna wanazuoni walielezea kuichambua hivi tuoneshe tujue

  • @ibn_maleeqqeibraheem_188
    @ibn_maleeqqeibraheem_188 ปีที่แล้ว +3

    Huyu muhammad al hatimy hajielewi

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 ปีที่แล้ว +1

    Hujatoa sababu bado unalinganisha kwa mtazamo wako ulichokoselewa ni kwamba kuzungumza vitu ambavyo havijaandikwa kweye qur an au hadithi kwahyo hutakiwi kutia chumvi kwenye dini maana dini ilishajitosheleza

  • @ordinarycitizen4260
    @ordinarycitizen4260 ปีที่แล้ว +10

    Assalam alaykum
    Kuna tabia sku hiz masheikh wetu kudhalilishana hadharani naona inazid, kitu ambacho kwa uislam siamin kama inafaa, kila sheikh Allah kampa elimu kwa kiasi chake kwann wasiheshimiane na kusaidiana kuukomboa uislam na zama hiz tulokua nazo kuna mttzo mengi?ikhtilaf ktk dini zpo tangu zaman, mbona masheikh wetu wanatuangusha, haya makundi wanayoyagawa siku ya kiama washaandaa majibu kwa Allah? Tumuombe Allah atupe mwisho mwema.

    • @alliyrubea5731
      @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli Masheik wanapolumbana ni shida lkn kuna mambo ktk dini yakienda sivyo ni haki kuyasemea kwa ukali kidogo maana yanaleta madhara ktk jamii,kama hili la Barzanji!watu wanawaaminisha wengine kwamba hii ni sehemu ya ibada sasa huu ni mtihani kwa wafanyao na wale wajuwao kama si ibada kama watanyamaza

    • @SalmaAbeid-w9t
      @SalmaAbeid-w9t ปีที่แล้ว

      Shk wallahi hakuna kitu kibaya ktk DINI kama kumzushiya Bwana MTUME Mohamed s.a.w sasa ikiwa hakuna wa kurekebisha sisi tutaona ni ya kweli kumbe ni Uzushi Tu TAFAKARI Ndugu.

  • @muhammadkhamis9396
    @muhammadkhamis9396 ปีที่แล้ว +6

    Me naona shekhe wangu kiswahili chakupiga chenga, shekh bacho haipingi hiy hadidhi ila kaulizako ndo zatatiza pale uliposema malaika wote, je kuna dalili ya kuwa malaika wote au kuna vitu waongezea wewe binafsi

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 ปีที่แล้ว

      Kwa hivyo kwanza hadidhi ina thibiti?hhhh mna tabu mawahabi

    • @mussabinyussuf945
      @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว +1

      Masufi ndo wenye tabu na baadhi ya fisa vyao vimejaa uongo

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw ปีที่แล้ว

      Kweli nimeamini uwahabi n ukafiri

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw ปีที่แล้ว

      Soma balagha ilmu hamna

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 ปีที่แล้ว +1

    Kwa iyo sheikh huna ushahidi wa hadithi sahihi ni kwamba unalinganisha tu kwamba mitume waliopita walifika daraja fulani na mtume s.a.w atakuwa daraja kubwa zaid ya mitume wote waliopita ndio ukakisia kwamba wote walipga safu mpk mbigu ya saba ...ni hatar sana

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 ปีที่แล้ว +1

    MALEMBA HII TYR USHAJIBIWA TUNKUNGOJEA UJIBU TU TUONE UTAKAVO KARAGAZWA.

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h ปีที่แล้ว

    Tena qur ani yenyewe ishashema kabisa wacha hadithi.moja kwa moja allah kasema kwa kitabu chake kitakatifu.innalladhiina qallu rabbunnallah thummah staqqamu tattanazzallu alayhimul malaika ala takhafu walla tahzanu wa abshirhum biljanna lattii quntum ta aduun.kisha malaika watamwambi hakika sisi tulikuwa katika maisha ya dunia na vile tutakuwa vipenzi vyako huku peponi ni sherehe ililoje.kwa haka kakija kana.mpinga hadi allah sw. Ikiwa wacha mungu wale wenye misimamo wakifa malaika huwazungunga sembise mtume wetu saw.mawahabi wacheni ujinga.

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +1

    Wacheni Chuki Sna Et Mtoto Wa Bachu Sijui kwann Waislam Tunachuki Wenyewe kwa Wenyewe Kwan Ukimuita Sheikh Mohammad Bachu Utapungungiwa Ni Nin Wakati Haoo Mnao Waita Masheikh Kiukweli Awamfikii Kielimu Yote Hii Sababu Tu Ya Msamamo Wake wa Kuwa Elimisha Nyinyi Watu wa Bidaa 😭😭😭

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      acha ijinga, yeye weblnzake awaita vip? hata jina la aheikh haiti ana majina ya kininga km yy mwenyew, kama afanyavyo ndo atafanyiwa

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      @@mafiatv5479 Ndugu Yngu Nakushaur kwa Ajili Ya Allah Serious Achana na Masheikh wa Bidaa Aaaya kma Utaki ni Chaguo Lako

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 kwa maana wamenifundisha urongo,,,,
      معاذاالله...? na wewe nkikwambia achana na uahabi
      utaridhika?

  • @mdoekibai5063
    @mdoekibai5063 ปีที่แล้ว

    shekhe wang chukua maneno ya imamu shafi kwamaba ukibisha na mjinga atakushinda kwasababu hajui unachokiongea lkn ukubisha na mwelevu mtamshinda icho kitt cha bachu kipuuzi ndomana kinasubutu kumtiya motoni mpaka babake

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 ปีที่แล้ว +4

    😁😁😁😁ttzo lko haatimy siifa nyiingi afu waongea utumbo,nakuskilizaga namna unavyoyachambua masaail ya balaagha,wachekesha wallahi,nmna ulivyoyazungumza masaail ya qariinah ktk
    (عبدك المسكين)
    Umeonyesha ni kias gani unaudhaifu wa elimu ya balaagha.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      we ya kwako nzur iwap

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 ปีที่แล้ว

      @@mafiatv5479 sema uelekezwe al haatimy kakosea wapi,sio unauliza maswali ambayo kimsingi hayana faida na ww,wamtetea mtu adi kwenye kuongea makosa,hii dini angepatia tungechukua qauli yake,lkn kakosea lazma awekwe sawa

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      @@adamjutto5849 wewe huyo juha wako hawakosei

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      @@adamjutto5849 hakosei kajiumba huyo bacho

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 ปีที่แล้ว

      @@mafiatv5479 ndo kilichobaki hhh,huna majibu babuu,huyo alhaatimy aliposema mawahabi hawajui kiarabu,yy alikua akijiona ni siibawayhi au? Anamakosa kibao,awage mstsarabu sasa akiwa anakosoa wenzie,yy hajawahi kua na adabu hta kidogo,akibanwa kihoja hua yuakimbilia masaail ya kinahau na balagha,hatimaye anaumbuka sasa

  • @ibrahimrashid951
    @ibrahimrashid951 ปีที่แล้ว +12

    wewe umeshindwa lile umeleta jengine bachu uko juuu

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 ปีที่แล้ว

    Mm nasem ikh'tilaaf zipo wal hziondoki mpk kiama maan mtume alisem mwsh wa dunia atakaeish mpk zam hzo atajionea ikh'tilaaf nyingi, ndio hy ya sasa amesem kwl bwna mtum s.w.a, na akasm ytajitokeza makund 12 kil kund litajiona yy bora na yp sahihi, ila akatoa dwa kma tunazozna turud ktk kitab cha mngu na hadithi za mtume kuangalia tunachozozana kipo

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว

    C akae kimya tuuu ajifungie guniani ajifite hata jua lisimwone mpotoshaji jamii iko kama urongo anaumbiwa yey

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 ปีที่แล้ว

    Mashekhee acheni kuhadidiana tuelimiseheni kwa ajili ya kumcha Ally

  • @UB40X1
    @UB40X1 ปีที่แล้ว +2

    Huna jipya. Haya umejibiwa kwa uzuri. Keti kimya kama huna la kusema

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 ปีที่แล้ว

      Nyinyi mawahabi muna tabu someni mpo vipofi vya moyo

    • @omaryissa2562
      @omaryissa2562 ปีที่แล้ว +1

      @@fauznuhu9981 acha uzembe wa kufata fata
      Embu elewa kwanza sasa huyo shekh wenu ndio kajibu nini apo

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 ปีที่แล้ว +1

    Watu WA Bid'aa acheni kumsingizi mambo mtume WA ALLAH

    • @bisharabilali6976
      @bisharabilali6976 ปีที่แล้ว

      Umesom ww

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      ndg acha hizo kauli mbovu, hakuna anaezungumza urongo bali uwelewa, acha bangi

  • @ibnuidrisa3996
    @ibnuidrisa3996 ปีที่แล้ว +3

    Hatuoni kwa mtoto wa bachu isipokuwa jeuri na kebehi ALLAH amuongoze

    • @sassboy9360
      @sassboy9360 ปีที่แล้ว +3

      Allah ampe hekma ila anaongea ukweli

    • @muhammadkassim6291
      @muhammadkassim6291 ปีที่แล้ว

      Hakika mtoto wa bachu kiburi kimemzidi na wala hana adabu kabisa wala hikma ya kusimulia

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      kila mtu hatoi waadhi atoa urongo, ila ikhtilaf ndg ndg, isishabikie kwa vile wampenda toto la bachu

    • @SalmaAbeid-w9t
      @SalmaAbeid-w9t ปีที่แล้ว

      ​@@muhammadkassim6291hakuna kiburi isipokuwa ni ukweli mtupu Bachu anaogeya wazushi mumezidi Sana.

  • @abdihassan3655
    @abdihassan3655 ปีที่แล้ว

    Iko wapi dalili malaika wakipigania Roho ya mtume S A W

    • @dulaabdallah6127
      @dulaabdallah6127 ปีที่แล้ว

      Hahaha ndio twangoja tuone kama al hatmi alipata wahyi baada ya mtume kufa

  • @nhamoabdalanze341
    @nhamoabdalanze341 ปีที่แล้ว

    Kwanini masheikh mnaleteana bifu je katika uislam inafaa kukosoana namba hio? Mimi kutoka Mozambique mocimboa da praia.

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 ปีที่แล้ว

    اللهم شدد علي سكرات الموت ...هذا لم يثبت عن النبي صلى الله عليه وسلم...لم نجده في كتب السنة المعتمدة ...وإن دواعي ثبوته أمر ضروري...فأخبرونا أين وجدتم

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Bacho sio shekh ni Mufsid tu

  • @fahadtimimy9413
    @fahadtimimy9413 ปีที่แล้ว +2

    Toa Dalili ya wazii wapi hadith mtume yeye mwenyewe amesema roho yake imenganganiwa na malaika...toa aya ama hadith kama kweli

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 11 หลายเดือนก่อน

      ww ni mjinga sana kumbe Hadith inamuhusu mja mwema, alafu ww unataka linatajwa jina, ww unatakiwa kupinga km Mtume c mja mwema Ili uwe sahihi. Lkn km ni mja mwema mtume, Haina haja ya kila mja mwema, km ww ni mja mwema tutafute Hadith ilotaja jina lako ? Mpumbavu mkubwa na huyo bachu wako

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 11 หลายเดือนก่อน

      Eti lzm kila mja mwema atajwe kwenye Hadith yke nyny kweli majuhaaaa

  • @issajuma910
    @issajuma910 ปีที่แล้ว

    Malaika woote duh!!!😂😂😂😂😂😂 sheikh punguza huu ni uwongo sasa na hdithi haiyelezei na hoja unayojitetea ni vi2 viwili tofauti

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว

    Hakuna pahali ambapo bin Nassor amemdharau mtume saw

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว

    Tuambie hadithi number ngapi ?

  • @omaryhunte
    @omaryhunte ปีที่แล้ว

    Kila kitabu kinachotutwa na kufundwishwa kina mtu alokitunga na tafsri yake usipo Soma tafsiri ya aliyetunga kitabu ukatafsir Kama wewe unachotaka hata waarabu wanaojua kiarabu watatafsri Quran Kama wanavyojua wao musome vitabu na tafsiri zao mkitafsiri vitabu msivyo kuwa na elim navyo mtapoteza watu kwa ujinga wenu wa kutokusoma.

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว +1

    Situ pigane tu na hawa wahabi kwa nini watukane mashekhe wetu huyu mtoto wa bacho ni nguruwe kwanza

  • @leymanleyman7426
    @leymanleyman7426 ปีที่แล้ว +1

    Wajua kibusara ikiwa mtu kakosea haina haja yakushushuana mitandaoni kwani kila mmoja ana mapungufu na hakuna mkamilifu. Maana hatakama mtu kakosea hawezi kubali kulingana na hali uliyo mkosoa.

    • @umbopaday
      @umbopaday ปีที่แล้ว +1

      Linalokosewa hadharani hujibiwa hadharani bachu hajakosea hatimy ni ahlul bida'a

    • @leymanleyman7426
      @leymanleyman7426 ปีที่แล้ว

      @@umbopaday hayo sio mafunzo ya uislamu hata mtume angeishi hivyo uislamu uisingetufikia, elimu bila busara haina maana.

    • @leymanleyman7426
      @leymanleyman7426 ปีที่แล้ว

      Hatuangalii nani kakosewa wala nani kaanza chamsingi tunaangalia mafunzo ya dini yetu yanasemaje maana hata wakati mtume anaishi hakuwa mtu wakujibizana hadharani kama hivi, ikiwa mmoja kaharibu jaribu kutengeza sio useme kwa kuwa kaanza mm namaliza hiyo sio dini.

  • @hajjijm9935
    @hajjijm9935 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi mtoro tv kama kweli nia yenu ni kuonesha haki na batili bas weken na video za muhammad bachu anazomjibu alhatimy ili waislamu waone nan yupo katika haki na wala musifate matamanio ya nafsi zenu muogopeni sana mungu na muiepushe fitna.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kushadidia uongo wa huyo sufi mpumbavu mwenzenu Alhatmy.
    Hivi na nyinyi mmekuwa mazuzu kama huyo beach boy?
    Kama kweli nyinyi ni waadilifu wekeni na clips za Muhammad Bachu anavyomjibu huyo mpumbavu mwenzenu.
    Kweli usufi ni upumbavu kama alivyosema imaam Shafy

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 ปีที่แล้ว

    Inawezekana Muhammad Bachu anania njema ya kuona mafundisho ya uislam yanakua ni yale yaliothibiti tu lakini lugha anayotumia dhidi ya dai'i wenzake haina tofauti na lugha wanayotumia wavuta unga maskani. Mungu amsaidie aache upuuzi huo, unamwambiaje ust Kiongo yule? Ungettumia lugha ya staha ungepungukiwa na nini?

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 ปีที่แล้ว

    Kuweni na inswafu nyinyi Hatimy kama. Ni Sheikh Muhammad pia mwiteni Sheikh hacheni mazarau ama nani kampa Usheikh hyo Hatimy

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว

    Sheikh usibishane na wasiyotaka kujua Kizazi Cha Abu jahari mbaka leo kipo .Sifa ya waumini ni kuaminika ghaibu yawe yamesemwa na Allah na Mtume wake.kusimamisha swala kutoa walichopewa.Hawo ndiyo Waumini.Mariam alizikwa na malaika na mwanae Issa yeye anachopinga kitu gani .

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm ปีที่แล้ว

    Mtapata shida sana enyi watu wa maulidi sunna itabaki pale pale hakun mtu wa sunna atakeye kuja kwenu kweny upotevu mtupu

  • @mohammadissa7706
    @mohammadissa7706 ปีที่แล้ว

    Tafuteni njia vipi mutaleta jamii ya waislamu pamoja vipi mutafikisha dini mahali hazijafika wacheni kudharaulisha dini ya kiislamu hakika hata Quran imesema kila mtu afwate dini yake watu wa bidaa wa sunnah kesho mbele ya Allah kila mmoja atakua hukmu zake.

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว

    Halafu waangalieni wenzetu wanavyoishi saudi arabia lakin sisi mbona hatubadiliki tukafwata njia ya sawa assalafiyya

  • @wamiujizacholo7413
    @wamiujizacholo7413 ปีที่แล้ว +1

    ndio muongo kweli, ata iyo hadithi yako ulio isoma bado haijaonesha kama malaika wanaigombania ,, bali inaonesha inasindikizwa na sio kuigombania

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 ปีที่แล้ว +4

    Huna kitu beach boy wa watamu,sio amekata kwamba malaika hawezi ilaa nani kasema kwamba malaika wameshula wote na kupokea roho ya mtume s.w.s............tumejua hakki sasa toa ushahidi kwamba mtume Muhammad SWS amesema kwamba yy roho yake imepokewa na malaika wote.........hemu kuwa na kiwango usifanye ghuluu kupita mipaka

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      boya wewe na juha la znz, acha ufirauni

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      tatizo lenu hamujui ghluu wala majaaz, kwa maana hiyo hata kutafsr kur an hamuezi, kwa sabb hiyo kur aan yenyewe imekuha kimajaaz, kuna aya lazma upate taawil huwezi kuzifasir hivi hivi

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 ปีที่แล้ว

      Shukrn ilaa huwa mafirauni wajuana

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 ปีที่แล้ว

      @@mafiatv5479 subiri tutakufa na tutafufuliwa hio majazi yenu tutaona mbeya mtume Muhammad wsw siku ya kunyimwa maji kunywa

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 ปีที่แล้ว

      @@mafiatv5479 shukrn ilaa huwa mafirauni wajuana

  • @الشيخخسين
    @الشيخخسين ปีที่แล้ว

    Al hatimy kasha tupa chuma pembeni hawezi kujibu chochote zaidi ya mambo ya uzushi tu.

  • @lemalisipilali
    @lemalisipilali ปีที่แล้ว

    Kwa kauli tako hii ya malaika wote iyo ni ukafiri mkubwa mana wahai umepokea wewe muongo kweli wewe sheikh

  • @abusihaa6396
    @abusihaa6396 ปีที่แล้ว +4

    Administrators wa channel hii mbona muna muumbua Alhatimy na kutua clip nyingi ya maneno hayo kwa hayo kuonesha uchache wa elimu yake badala ya kuegemea dalili ana egemea logic sasa yeye ndio ajiulize kama he's OK na asitumie chro na heshima ya mtime alayhi Salaam na kubandika maneno yake

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw ปีที่แล้ว

      Hadithi hiyo hiyo angeitumia bachu ungesema sheikh kasema kweli allah akuhurumie bali ukafir umekuangamiza

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw ปีที่แล้ว

      Hadithi hiyo hapo imewekwa wazi na huitaki sasa wew utamtaka nani kaafir wew

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 ปีที่แล้ว

    Mtu akikosea tumieni busara na hekma na adabu za kumulimisha mkosa yake haina maana kumudhiri mbele ya umma

  • @seifseif5549
    @seifseif5549 ปีที่แล้ว

    Wewe umefundishwa quraan na watoto wadogo

  • @haidar438
    @haidar438 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Sheikh anatumia akili yake zaidi kuliko Maandiko

  • @lemalisipilali
    @lemalisipilali ปีที่แล้ว

    Ndio kapinga kwa haki wewe ni mm.bishi mkubwa Tena hufundishi kupitia deen Ya Allah unafundisha
    Kwajili ya kupotosha Tena
    Jinz ulifio na elimu yako mbali sana
    Elimu yako ndogo sana
    Unamkashif mwenzako kisa kakuambia ukweli au sababu ni pesa kwa deen Ya Allah

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 ปีที่แล้ว +2

    Je ushahidi uo kama mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake ametolewa kwa namna hiyo umeupata wapi tunataka ushahidi wacha kulinganisha huna hoja Alhatimy tunataka hoja hatutaki mfano

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 ปีที่แล้ว

    Yaani mtu keshajuwa kiarabu tu anakuja na fatwa.Sasa kumekuwa mabishano tu hakuna adamu za kumkosoa mtu au hekma na busara tushudia sasa dini yetu inavyokwenda

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว

    Roho ya mtu muovu malaika waipisha na wanasema ni Nani mtu huyo .Alkazalika na mwema malaika wanamsogelea na kumuuliza ninani mwema huyo Maana roho inanukia.

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 ปีที่แล้ว

    Awajui daraja ya mtume wakamulize shetani kwa nini alilaniwa nakuwa adui hili aitaji ata kusoma vitabu elfu mia.ibilisi kabla ya kufukuzwa alijua yeye atakuwa karibu na Allah kwa elimu na ibada kubwa aliyo fanya.alipo ubwa bnadm alijuwa iyo nafasi ameikosa ikawa chanzo uwadui . tazama Laa ila aila llah Muhammad rasurulullah aijui baada ya ALLAH nani hapo daraja kubwa

  • @dulaabdallah6127
    @dulaabdallah6127 ปีที่แล้ว

    Kwani huyu mtunzi wa barzanji alikuwa akipokea wahyi kabla ya mtume kuzaliwa na baada ya mtume kufa? Mimba ya mtume alijuaje imeingia? Na hizi habari za roho ya mtume kupiganiwa nani alizishuhudia?

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 ปีที่แล้ว

    Shekhe kweli hapo umeunganisha habari maana hii hali haikuelezwa imetokea ila wewe umejaalia imetokea na bachu nae ana maneno makali hana busara

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu ikiwa wewe ni msomi na hakuna shekhe anafuraha kua wewe ni mwanafunzi wake umefeli !!!! Mwambieni kijana WA Zanzibar elimu si kutukana wazeee utapotea tumeona wengi wakiwatusi mashekhe mwisho huomba radhi mpeni MDA ata miaka miaka 3 4 atarudi chini na asipo elimu imempoteza....

    • @asrymohd6690
      @asrymohd6690 ปีที่แล้ว +1

      Wewe umesoma kipi nawe kama hujui kaa pembeni

    • @khatibbakhresa7615
      @khatibbakhresa7615 ปีที่แล้ว

      Tunafuatilia Maada
      Jee!Upande wa tokeo la Kifo cha Mtume Muhammad SAW ni nani aliesimulia hiki kifo ilhali Malaika Jibriyl alikuwa ndie mfikishaji elimu kwa Mtume?
      Jibriyl ilikuwa kwake ndio mwisho wa kufikisha Risala baada ya Mtume SAW kuondoka Duniani?

    • @khatibbakhresa7615
      @khatibbakhresa7615 ปีที่แล้ว

      Au upo ushahidi kuwa Rasuulu Allah SAW alilozungumza hili la Mauti yake kabla ya Kifo?
      Msitupiane maneno Mabaya ila tusomesheni kwa Hoja
      Qurani
      Na Sunna sio kwa utashi wa hoja za fikra na mawazo ya Kibin Adamu
      Allah SW atungoxe ktk Haqqi
      Allah SW atuepushe na Batil
      Amiyn

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 ปีที่แล้ว

    Bado hujajibu umeelezea mazishi ya mtu kabila answari tuambie ushahidi kwakumuhusu bwana mtumi mwenyewe ww vipi mbona wachanganya mahindi na maharage

  • @omarahmed-3538
    @omarahmed-3538 ปีที่แล้ว

    Kina clip moja ya Al Kubra niliona akimuuliza huyu mtoto wa Bachu kuwa ameshaacha ule mchezo wake? Sijaelewa ni mchezo gani wa siri anaufanya ambao umepelekea kumuathiri kiakili inawezekana bado hajaacha huo mchezo

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dogo wa bachu hana hekima wala busara.Huwezi kumwita pembeni na kuelekezana ukweli ulivyo.wote hamna hekima wala busara ni dalili ya elimu ndogo mliyokuwa nayo

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Beach boy Alhatmy hana hoja, swali dogo atuambie ni wapi iliandikiwa malaika walipanga safu kutoka nyumbani kwa mtume saw hadi mbinguni? Yeye Alhatmy mpumbavu wa kisufi atuambie alisimuliwa na nani?

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 ปีที่แล้ว +2

    ASALAM ALAYKUM. SHEIKH ALHATAMY. HUYU KIJANA HANA HESHIMA ATA KATKA FAMILY YAKE INAJULIKANA ZNZ ATA HESHIM WANA WA ZUON ? . NAIS KIDOGO DISH ALFANYI KAZI .NAOMBA USIKUKAUSHE KINYWA.ACHANA NAE

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +1

      wee Mpuuzi Sana Mtiani Sna Nyinyi Watu wa Kupiga Maulidi Uyuuu Sheikh wako Ni Muongo Sna. na Sio Yeye Peke Yake Kifupi Masheikh Wote Wapiga Maulidi Ni Waongo na Niwa Zushi Kwa kuzuwa Vitu Visivyo Ushaid Navyooo
      . Sheikh Mohammad Bachu Yupo Sahihi Kabisa kataaa Kubali Endelea Na Masheikh Wako wa Bidaa

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 ปีที่แล้ว

      Acha ukafiri hio hadithi ni sasahihi ila unachidai ni uongo

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      @@maalimhamad1297 Endelean na Bidaa Zenu ila Suni Wapo kwa Ajili ya Kuwakosoa ili Msije Poteza Kizazi Kijacho Pamoja na uma kwa Ujumma Masheikh Wenu Wanao Jiita Masheikh Majini wa Kimataifa Bakwata bhana

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 una ushahidi?

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 somo lako chafu sawa na huyo na jinga mwenzako

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mpumbavu mwenzenu wa kisufu ametakiwa atoe dalili ni wapi iliandikiwa malaika walipanga safu kutoka nyumbani kwa mtume saw hadi mbinguni wakati mtume saw alipofariki?

    • @bisharabilali6976
      @bisharabilali6976 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo hutoelewa mpk usomewe kiarabu

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      mpumbavu wewe na bachu wako

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 ปีที่แล้ว +1

    Kinachowasumbua masufi hamna dalili zenye nguvu za kusimamia katika bid'a zenu ndo maana Shekh Bachu anawanyima raha, shekh akielezea mambo anatoa darasa lenye kueleweka na dalili za kutosha, shida ipo kwenu masufi mkijibu basi mnasimama katk jambo moja tu clip fupi haizidi dakika 20 na dalili zenyewe za kupachikapachika tu mtasumbuka sana kwa weli na siku zote haki lazima ikae juu ya batil

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw ปีที่แล้ว

      Ndio nyinyi mnaokataa hadithi za mtume allah awnusuru lakini mawahabi ni makafiri

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Hata mutete vp ktk dini hakuna kitu kinachoitwa maulidi wala kitabu cha Barzanji!hayo yalikuwa mawazo yake na wala hakusema yaadhimishwe!

  • @abuabuabdillahi3871
    @abuabuabdillahi3871 ปีที่แล้ว

    Mohd bachu anawazimu huyo kijana

  • @fahadtimimy9413
    @fahadtimimy9413 ปีที่แล้ว

    Kuna tafauti ya kusindikizwa na kungangania shekhee..

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw ปีที่แล้ว

      Hahahahahahaaha
      Hamna ilimu ubishi na mawahabi ndio dini yao

  • @noffalsalim
    @noffalsalim ปีที่แล้ว

    Bachu anaugua wazimu

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว

    Mashekhe wa kianswari bana yani hekma hawana kabisa huyu toto kauli anae tumia Haifai kabixa

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว

    Huyu al hatimy alivomsema kishk nkajuaga ni mtu ana elimu kubwaaaa ila bachu kamdhalilisha. Na bora yake akae kimyaa tuu

    • @bisharabilali6976
      @bisharabilali6976 ปีที่แล้ว +1

      Sasa bachu katoa point gn zaidi ya kutukana

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      acha kibri na bachu wako

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว

      @@mafiatv5479 kibri gani sasa kaka. Hv umefatlia haya majadiliano yao pande zote kiukamilifu?

  • @seifseif5549
    @seifseif5549 ปีที่แล้ว

    Muongo kweli

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 ปีที่แล้ว

    Hichi kitoto cha bachoro ilimu yake anajua kutukana tu

  • @Dysmedia254
    @Dysmedia254 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa Bachu anapenda sana kukosoa masheikh. Naona ni kama anatefuta umaarufu. kwanza kasoma wapi ???

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Huyu sheikh kapata wapi uvaaji wa pete mikono miwili?hawa ndio wanaofuata matamanio yao na ndio wanatetea mambo yasiyo na ushahidi hata ile dhaifu!na pia atowe ushahidi kwa hao maimamu aliowataja kama wameadhimisha kitabu cha Barzanji!

  • @mwinyimohamed9746
    @mwinyimohamed9746 ปีที่แล้ว

    Wewe wala huelewi mafhum ya hadiith wala hujui kiswahili wala kutetea hoja zako wewe muokota makopo tu" sisi hadithi zote hizo tumezisoma"

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 ปีที่แล้ว

    Hana ADABU na Hana heshima ya kuongeya.huyo bachu.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Shekh Muhammad Bachu ni kiboko ya wapumbavu wa kisufi kama huyo beach boy Alhatmy

  • @aliy4116
    @aliy4116 ปีที่แล้ว

    GHURABAAA

  • @iddysufiani4963
    @iddysufiani4963 ปีที่แล้ว

    Nilichogundua watuhasomiii walichosoma hawatak kuendeleza elimuzao hiiniaibbuu kwa shekh wetu bacho

    • @SalehSaleh-re1ud
      @SalehSaleh-re1ud ปีที่แล้ว +1

      Nadhani ni kwa alhatimy, maana kajibiwa kirahisi sana.

  • @zuberyshomary9414
    @zuberyshomary9414 ปีที่แล้ว

    Ni mtihani mkubwa kwetu sisi waislamu 😭

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 ปีที่แล้ว

    Mkae mfanye MJADALA ili tufaidike sote,,, bila hivyo yupo muoga kati yenu

    • @عمرأحمد-ص9ل4ش
      @عمرأحمد-ص9ل4ش ปีที่แล้ว +1

      Muoga ni yeye huyu hatimy kwani kila sheikh bachu anapomrekebisha yuwarudia kumwambia wewe umetaka kunisomesha na mimi niko tayari tukutane unisomeshe ila challenge hiyo ajifanya kama haisikii na hhi clio aloupload yuwamuaibisha sababu ishajibiwa na kiusomi

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว

    Nyamaza usiaibike kama ulivoambiwa watafuta nini wewe mmaneno tuuu yasokua na kitwa wa maguu

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 ปีที่แล้ว

    Ukiona. Masheikhe wanafanya malumbano kama haya ni madhara ya kukosa ajenda za kufanya.