Exclusive: Mume wa Zuu Afunguka A-Z Alivyopata Ajali Mbaya Siku ya Ndoa Amtaja Zuu Ku

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Exclusive: Mume wa Zuu Afunguka A-Z Alivyopata Ajali Mbaya Siku ya Ndoa Amtaja Zuu Ku
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Mume Apiga Goti Kumuomba Dada wa Kazi Amuoe, Mke Aumbuka Vibaya Afanya Maamuzi Yakushangaza Kwa..
    .
    Dada wa Kazi Kuolewa na Mume wa Bosi Wake, Mke Aumbuka Vibaya Afanya Maamuzi Yakushangaza Kwa..
    .
    Maajabu, Dada wa Kazi Ageuka Mke Rasmi Mume Afanya Maamuzi Magumu Aanika Madudu ya Mkewe Ali..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #mumeapigagoti #aliyezamapenzini #dadawakaziaamuakumuoa #aanikamaduduyamkewake #dadawakazi #tikitvkiakilizaidi

ความคิดเห็น • 592

  • @esthakilicho
    @esthakilicho ปีที่แล้ว +5

    Siyo mwanamke muzuri uyo achana naye Kuna wanawake wanachwa na wanaishi uyo zuu ni muchawi tu

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +1

      Ivi zuu na mama amina nani mchawi acheni izo sisi tunawaombea mabaya hadi warudi kwenye mstari

  • @shamzone388
    @shamzone388 ปีที่แล้ว +6

    Shikamana na dini ndugu yangu
    Wacha kumkashifu mama watt wako uliyetoka nae mbali
    Amina na mama yake wanafurahikia mali zako ambazo umechuma na azuu...

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว +3

      Isomfaa akili yake utamdhuru ujinga wake amina ni tamaa za mali mapenzi ya kweli hana

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +3

      ​@@nailatyhata huyo Amina atajuta kumfahamu huyu bwana simuombei mabaya Ila huyu kijana hajatulia

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 ปีที่แล้ว +1

      Huyu kaka lazima Haje kulia mbele ya safri yake ya ndoa na Amina mie nipo Apa hatajuta huyuu Eeeee tumeshayaona hayo moja WaPo mie niliachwa Hivi Leo mwanaume yupo kapuku

  • @nurjanniyaz1832
    @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaha kaka acha uongo ogopa sana chozi la mwanamke uliteseka nae na kutafuta kwa hali na mali allah amewaruzuku pesa sasa yule alovuta subra mukachuma wote hana dhamani ukamua kumfanya mfanyakazi ndio anaejua ku2mia pesa ila mke ameshakua mshamba tena

    • @JoyceNowara
      @JoyceNowara ปีที่แล้ว

      Mbona hajua karma si kipofo itamtafuna kama karanga

    • @ZuwenaKuganda
      @ZuwenaKuganda 2 หลายเดือนก่อน

      Lkn mbona anampenda sana mkewe zuu

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 ปีที่แล้ว +2

    Maombi kwa jina la yesu yamekusaidia

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي ปีที่แล้ว +2

    Maneno nayo uchawi mnaweza mkamuhisi Zuu kumbe kuna watu wengine wameyafanya hayo kwenye uhasama na shetani anapatia hapohapo

    • @danielmollel5538
      @danielmollel5538 ปีที่แล้ว

      uchawi mtupu ndio umekisiri

    • @rehemamnyiamba6815
      @rehemamnyiamba6815 ปีที่แล้ว

      Unaamini ushirikina,,unaona mkeo si kitu ila hawala na familia yake ndyo bora,Basi kibali hayo malipo,na hapo Bado tu,utasota mpk ukumbuke ulikotoka na utakuwa umechelewa.Pole!

  • @susanamaya9073
    @susanamaya9073 ปีที่แล้ว

    Tiki mbona ndugu zetu wa tanzania waamini sana ushirikina kuna kitu kimoja wanaume hawaelewi majozi ya mke wako wa kwanza ni zaidi uchawi ambia huyo kaka aende akaombe msmaha mke wake wa kwanza bure hata amina huyu kaka hatakuwa na amani naye kama mke wake hajamsamee ,maana alimsaliti na hakuomba msamaha wanaume waache kujipiga kifua baada ya kujipata umekosea jamani nawapenda sana kaka zetu mm hapa mkenya

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct ปีที่แล้ว

    Nakwanini ulazimishe mtu hataki umuoe mtu ambae hampendi. Zuu anamoyo ila wewe kaka.

  • @MariamseremaniKuzuro-yj4vk
    @MariamseremaniKuzuro-yj4vk ปีที่แล้ว

    We mjings items bigiji kwa kalanga za kionjeshwa

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

    Kama kuna ushirikina hapo atafunga ndoa ☺️ tu mchawi anachelewesha ila haziwi Qadari napita tu ila kijana ningekupa ushauri wa bure Mshirikishe Allah kwanza

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว +10

    Huna lolote wewe jamaa nyie wanaume hata mpewe nini hamridhiki na hata uyo amina pia utamsaliti kwanza unaonekana huna heshma na huna kauli nzuri na wacha kujitapa kusema mkeo alikuwa hakujali au hakuthamini wanaume wote wanapotongoza ayo ndo maneno yao sema tu uyo amina ni mgeni wa mambo lkn na yy atayaona

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +1

      Atayaona zaidi ya aliyoyaona zuu

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว

      @@hadijamandanje6189 mwanamme gani huyu anasema kama charahani

  • @rainaldambawi-cq9yu
    @rainaldambawi-cq9yu ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo ukaoe house girl wake?Acha dharau.

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว +1

    Unataka nguvu za zuu ukalena uyo gold digger nguvu ya mtu hailiki mmngu engetaka umuoe yeyote asingezuwiya wacheni imani mbaya

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 ปีที่แล้ว +23

    Shukuru mungu bado uko hai la si hivyo ungestuka uko kaburini huwezi muumiza zuu kiasi hicho akakuacha salama heri umuache amina tu hakuna ndoa hapo

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว +6

      Zuu ongeza dozi mtie adabu ajue thaman ya mke aliye anza nae maisha

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +2

      Anacho nikera majigambo na atarogwa sana na hiyo family ya kina amina

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว

      @@Zaynab-ny6gr 🥰🫢🫢

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว

      @@joyce55727 😂😂😂

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 ปีที่แล้ว

      Umenichekesha . angestuka yuko kabirini kivipi na ameshakufa na kuzikwa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +23

    Mwanangu una bahati mbaya umejitumbukiza gamboshi hauna pakuchomokea huyo Zuu na huyo mwengine wote hao inaonyesha wachawi jombi umeyakanyaga

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +2

      😂🤣🤣🤣🤣atajuta na hapo ndo mwanzo wa kuwa masikin na kukumbuka mkosa alofanya na bado atajuta sana

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

      Hachomoki na poo aombi 😂😂😂😂 watamkausha damu

    • @nasramohamedi4095
      @nasramohamedi4095 ปีที่แล้ว +3

      Hata ningekuwa Mimi ningenunua uchawi ngende hajielewi Hana huruma huwez kumtendea unyama wa kiasi kile mkeo!

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 ปีที่แล้ว +1

      Sana vuta nikuvute mwisho uwahi unakutoka

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 ปีที่แล้ว

      ​@@nasramohamedi4095walimushirikina finari jahaannmu acha ushirikina adhabu yake nikubwa

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية ปีที่แล้ว +1

    Dini ya kiislam haijaamrusha wanawake 7
    Mwisho 4
    Tena wa halali sio uzini nao kwanza

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +2

    Ww mbn una iman potofu alafu utuambie sisi tuache iman potofu kwl!!

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct ปีที่แล้ว +1

    Lana iyo wewe kaka .usiseme umelogwa .jitafakali sana umekosea wapi

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +6

    Tuanzie hapo kuanzia sasa litapomtokea zuu lolote ni ww na mama mkwe wako

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 ปีที่แล้ว

      Hivyo hivyo ndugu yangu maana zuu likimfika Baya tu lazima sie tumkalie koni yeye huyuu na mama mkwe wake

  • @nailaty
    @nailaty ปีที่แล้ว +12

    Huna adabu wala huruma wala hujui thaman ya mwanamke acha upate adabu na bado

    • @jumanassoro1552
      @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +2

      Usiukumu mtu kabla ujaukumiwa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      akaaa huyo zuu ni mkee

    • @JoyceNowara
      @JoyceNowara ปีที่แล้ว

      Punguhani huyo kubwa jinga hilo mchafu wa tabia huyo kaka

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hiyo mama Abdul ndiye kila kitu umeshasau majina ya watt wazuu ?

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 ปีที่แล้ว +25

    Wewee kaka huyo amina anakujali ni kwasababu hujamuoa ukishamuoa ndio utamjua tamia yake kiundani zaidi siutakua unaishi naee tena pengine utaona bora ya zuu situnawaona sie watu wakiwa nje huwa wanajali sana ila wakiingia ndani ndio mtajuwana vizuri, usiwe unamsifia sana amina huku unamkandia zuu kiufupi hakuna mtu mbaya wala mzuri kila mtu ni mbora kwenye nafasi yake kwahiyo ukiongea uweke hakiba ya maneno yatakusaidia baadae istoshe zuu ni mkeo na pia ni mzazi mwenzio kumbuka hizi kumbu kumbu zinaishi watoto wenu watakuja kuziona baadae haitakuwa vizuri unaweza kusababisha migogoro kwenye familia yako mwenyewe.

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeh

    • @neemanyomeye2202
      @neemanyomeye2202 ปีที่แล้ว +3

      Kibaya zaidi anamsagia kwenye vyombo vya habari kumbuka mlikotoka na hata nguvu nyingi ya mali mmechuma wote eti kakuroga unahakika gani kama kakuroga?Acha hizo ndugu!na leta visibitisho hapa vyaa kukuroga tuanzie hapo

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว +1

      Nimependa comment yako💕🙏

    • @aishahamidu9305
      @aishahamidu9305 ปีที่แล้ว

      Nipite2. Mana ushadata

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio unajua maisha yako mtu asikupangie jinsi utakavyoishi

  • @faridaislam236
    @faridaislam236 ปีที่แล้ว +5

    yaani mm huwa siwaelewi wanaume wakislam utakuta sunna zingine hawafanyi isipokuwa sunna ya unzizi tuu ndowamekalili mbona kuna suna nyingi sanaa mtume aliziacha kwa mfano kufunga lakini hawazifuati bali wanafuata suna moja tuu ya kuowaa basi utakuta hata kusoma quruwani hawajui hata ukimuuliza hapo kunasuna ngapi alizofanya mtume utasikia aliowa wake 4 basi mengine hajui

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 ปีที่แล้ว +6

    Mwanaume akiamua ameamua zuu muache aoe kaa nawatoto wako

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 ปีที่แล้ว +8

    zuu unataka kutoa nafsi za watu sbb mapenz tuu mwanamke mpambanaji hagombanii mwanaume hata uwe ulianz nae kulala chin uchaw tuu mshirikina haingii pepon nilikupenda sana unakoelekea sio kuzuri

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +1

    UMELOGWAAAAA MUNGU ATAZIDI KUKUADHIBUUUU MJINGA WEWEEEE NYOOOOO. SIO MWENZAKE CHUNGA DOMOOI LAKOOOOO. UYO NI MFANYAKAZI WAKE WA NDANI UONI HAYAAAAA. NYOKOOOOOO DOMOOIO TUUUUU. ABANA AKUNA KULIOWA HILO CHAWI NA MAMA YAKEEEE

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 ปีที่แล้ว +5

    Mwanaume usiyejielewa kabisa ni wewe kwa sababu hata kama unataka kuongeza mke.ungekuwa starabu basi hekima huna kabisa umeitelekeza watoto na bado Allah atakuonyesha zote zinaishia ndio zimeanza hivi.baba yake Amina alikataa kabisa hilo ni balaa limeshakukuta..utajuta

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +5

    Unadhani zuu atafanya manjegeka ufe hawezi kukuua,kufa hufi ila cha moto utakiona

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣tumpe zuu maua yake🌹🌹🌹

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว +1

      Hiyo manjegeka mie Sina mbavu😂😂😂😂😂😂

    • @maimonamaimona1177
      @maimonamaimona1177 ปีที่แล้ว

      Jamani mbavuyangu😅😅😅

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 ปีที่แล้ว +5

    Unajua baba abduli unakosea sana kumdhalilisha zuu kumuita mchawi naomba umpe heshma yake kama mzazi mwenzio kama vile hupendi amina aitwe dada wa kazi unataka aitwe mm abduli.sasa vp umpe heshima mtu hujafunga nae ndoa ulie funga nae ndoa unamdhalilisha kiasi hicho?alafu kumbuka sasa hivi kuna vita kubwa kwa kina amina hawamtaki zuu hivyo wanakujaza maneno kuwa zuu kakutumia bomu ili afe amina bomu likaja kwako sio kweli kabisaa huu ni uchonganishi.sasa baba abduli mbona hujitambui fungua akili huoni kama familia ulio ipenda unataka kuowa kwao ni washirikina sana hata wao wanajinadi?huoni kama utalishwa madawa mpaka utageuzwa mbuzi?kuwa makini sana ukimuogopa zuu hata kwa amina ni yaleyale kurogwa kuko palepale.muombe mungu sana akunasue na mitihanii hii ilio kupitia na itakayo kupitia.familia ulioipenda sio salama kwako kabisaaa.wenda amina na maana walikunasa kwa madawa ili wampindue zuu ndio sasa yote haya yakaokea.wamekamilisha lengo lao bado wanakuvuruga akili.

  • @elimukwadada
    @elimukwadada ปีที่แล้ว +1

    Pole kwa ajali lakini hii yote ni kwasababu ya Tamaa za mwili. Ungefata taratibu za dini na umuombe Mkeo Zuu msamaha. Amina nae ajue...yalio mkuta Zuu yakwako pia yatafika tu.

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np ปีที่แล้ว +1

    Hivi mlitaka zuu afanye nini yupo sahihi kbs,mume anameno anauma alafu mtu aliyemchokoza Kama hivyo,

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 ปีที่แล้ว +7

    Zuzu kweli baba mkwe hajaridhia na bado utaisoma namba..wewe si jeuri wewe hufanyi ibada ndio maana Mungu kakuonyesha acha hiyo ndowa huu ni mkosi ndowa ya mashindano nitihani huyo mama mkwe anajigamba mwbie abakishe akiba ya maneno kabisa!vitamrudia..nakuambia tupo hapa

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 ปีที่แล้ว +1

    Wee jamaa boya sanaa mpaka unaboa.
    We hata hekima una wa ovyo kabisa.
    Utadhalilika na yatakukuta zaidi.
    We ulishaharibu tena majirani alafu unataka ufahari wakujue.
    We unadhalilisha wenzio maisha hayapo hivyo.
    Ucjifaharishe.
    Bi zuu rudi.
    Hakikisha unaachia nje tunakusubili mpatie kitanda hakizai haramu.

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 ปีที่แล้ว +12

    Hapo lazima life jituuu!!!

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว

      Team zuu tuandae turubai🤣🤣🤣

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😂

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      Hhhhhh

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +1

      Atakua mtu kweli japo huyo mtoto aliezaliwa (Abdul) atauliwa tu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@fatmaalnabhani3609😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว +16

    Yaani tayari ulishamsahau mke mkubwa nakumzea mke mdogo.Kweli ww unamitihani mikubwa sana

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +1

      Huyu akili zake km mama mkwe wake mama amina pia anauwongo na majigambo ivyo yatamkuta mengi tuu tupo hapa tiki tiv tukisubiri

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 ปีที่แล้ว +3

      Huyu anapigwa na wengi mm Amina anamroga sana ili amsahau mkewe amkumbuke mwanawe tu

    • @mamakekhubeiby4206
      @mamakekhubeiby4206 ปีที่แล้ว +1

      Nabado mshenziiiii wewe

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 ปีที่แล้ว

      In sha allah mungu takulipa unamfanyia mzazi mwenziao mliaoanza maisha mpk hapo ulipofikia unajifaragua mpk wakapata wivu nao na tamaa kubwa mungu huyu wa aliembweke asieshirikishwa na kitu chochotemuone huyu Kaka yaarab kwa anachokifanya na misifa yake mungu ni wewe mjuz ,mueza unaewrzesha basi muezeshe da Zuu moyo mkubwa wa subra kwa haya yaarab,,anapitia kipindi kigumu Sana da Zuu mola yu pamoja nawe in sha allah utaanza maisha yako upya na mungu atakufungulia atalisimamia maana kwa Hali hii dai haki hako nyumba iuzwe mgawe wote maan umepambania hiyo nyumba dainhaki yako Tu basi huyu sio mume Ila nawaambia Amina na mamaake kumbukeni lilompata peku iko SK ungo litampata ,,

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 ปีที่แล้ว

      @@pillyseleman8090 sana yatajirudia hayo nimeyaona mimi

  • @MwajeiAthuman
    @MwajeiAthuman ปีที่แล้ว +1

    Si ungekufa mbwa ww

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 ปีที่แล้ว +2

    Kichwa kinakuuma alafu unakimbilia kwenye interview, endelea kunengeneka hivohivo,

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว +1

    Kakuroga Amina km hujuwi si kwa kumtetea hivo nani kakwambia huna akili mbona unajishuka

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 ปีที่แล้ว +1

    Mi nimpe pole tu Zuu kwakuzaa na bogas kama hili hili likaka ni box kabisa yaani linaongea pumba tu mwanaume gentleman hawezi kuongea utumbo kama huu mkeo umzalie nje kisha umtelekeze na watoto na uchawi pia umsingizie hiyo ni fimbo ya Mungu tu imekuchapa hakuna kurogwa wala nini jinga kabisa wewe

  • @nurjanniyaz1832
    @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว +3

    Maneno huunda zuu ameongea kwa hasira na huenda hajafanya lolote acheni kuamini waganga

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +2

    Wabaongea yaan ni mipango ya kumchafua zuuu hamna lolote

  • @yohanamlewa3544
    @yohanamlewa3544 ปีที่แล้ว +1

    Mbn hutoboi ww htakm ningekuwa mm

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 ปีที่แล้ว +1

    Kaka fungua macho achana na Amina, mbona wewe usikii usha huru wawatu?
    Utaona mengi sana

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 ปีที่แล้ว +1

    Weee kaka Utakuja kujua ww ndoa wenyewe ya ushilikiano wa waziwazi wewe wewe Achaa bwebwe hizo Utakuja kujua na maneno yako ya fedhea kwa mkeo hayo wewe Eeeeee Tupo Apaaa Shauliyako madui kibao zuu ndio hatakuwa mtu wa kutupiwa lawama wewe ndio sababu

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว +1

    Yoote hayo sasa huoni kama ulimkoseya mkeo
    Haramu umefanya iwe halali kwani nilazima umuowe??
    Na ungekuwa klieman na Amina atakutaka??
    uwongo mtupu
    Ramli haramu

  • @Shuu.A
    @Shuu.A ปีที่แล้ว +9

    Wee kaka si akili yako huyu amina na mama ake pia wamekuroga ndio maana humuachi una lazima umuowe ukae ukijua wasimsingizie zuu tu peke ake na wao wanakuroga wanavutiana hao mrudie zuu au achana nao wote hudumia wtt tu katafute maisha usonge mbele acha ujinga hao sio wake kaowe kwengine tafuta maisha uchi utakutoa roho

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว +2

      Hiyo uchi utakutoa roho mie Sina mbavu. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @nurjanniyaz1832
      @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว +1

      Mke uliechuma nae kwenye shida na raha umuache kwaajili ya dada wa kazi amekosa wanawake kote huko mpaka kumdhalilisha mkewe wao wanamapunguvu mangapi wanawake wanawavumilia au atajiskiaje mkewe akiingiza mwanaume katika nyumba yao

    • @nurjanniyaz1832
      @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว +2

      Kisha hodari wakifanya wanawake makosa kuwahukumu na kusema wanaenda kuoa na nyinyi mukiwa na mapungufu wanawake munataka watoke wakatafute ambao watapata walichokosa kwenu .mkikosea badala kukiri makosa munzasingizia wake zenu waonekane wabaya wakati mwanaume wengi wakiwa na wanawake njee wanasahau wake zao kama ungemtunzq kwa kumpa milioni 1 kila mwezi Tena yake tu sidhani kama angechakarika acha uongo kaka

    • @nurjanniyaz1832
      @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว

      Kama umesema uongo da zuu akiona atakuja kuongea na yeye ukweli wake

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว +1

      @@Catherine-mh8sw 🤣🤣😂😂

  • @nurjanniyaz1832
    @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว +1

    Ili ujue kama waganga ni waongo wewe nenda kisha mwambie nililala nikaota mamangu ananiroga kisha mskie atakavyo kwambia huyo mganga atakwambia mamako kweli mchawi atakujaza maneno mengi ila kumbe ni uongo acheni kufanywa wajinga

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 ปีที่แล้ว +1

    Mmwache too. Apingwe matukio kijeuli hiki kibwana

  • @zenamukale3084
    @zenamukale3084 ปีที่แล้ว +5

    Zuu aache mapepe mume kamgawa mwenyewe

    • @RizikiMollel-m8y
      @RizikiMollel-m8y ปีที่แล้ว

      Subir ck yakukute ndo utajua kagawa mume au lah

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว +3

    Sijui nikupe pole sijui niseme ukome 😂😂😂

  • @laylame8121
    @laylame8121 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Mungu atakuponya .

    • @FatmaMohammed-ry8yo
      @FatmaMohammed-ry8yo ปีที่แล้ว

      Achaneni kuamini ushirikina kwahio ajali zikitokea ni ushirikina

    • @FatmaMohammed-ry8yo
      @FatmaMohammed-ry8yo ปีที่แล้ว

      Achaneni kuamini ushirikina kwahio ajali zikitokea ni ushirikina

  • @VenelandaKabura-bc8dk
    @VenelandaKabura-bc8dk ปีที่แล้ว +4

    We huoni kama huyo Amina siyo ridhiki yako hamna uchawi hapo mwogope mungu.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว +3

    Msimbebeshe mixiko zuu ilipate kuoana nakumwona zuu sio mke mwema.Shetani nihyo Amina tena ndio nuksi wamaisha yko na mkeo.Ujiulixe kwanini toka umeanza nae mahusiano misuko suko haikuishi.Kma mama yke hna mume ungejiuliza wy mwanae amina

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Atakuwaje mke mwema na mchawi

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว +3

    We siking'ang'anizi wa kuoa ngoja wakuonyeshe

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +2

    Uyooo ni mfanyakaziii mmefanya makosa saaaanaaa aibuuu

  • @rehemalukali8326
    @rehemalukali8326 ปีที่แล้ว +1

    Apo unarogwa na pande zote mbali usimlaumu zuu moja kwa moja kwani upande wa Amina unauona umelegea wote wanakuroga na utakoma mpaka pale utapojua nini unafanya

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 ปีที่แล้ว +1

    Kevin acha uongo utamuelimisha kweli?

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 ปีที่แล้ว +2

    La maana hapa ni nini? Tuleteeni mambo ya maana. Siyo huu upuuzi

  • @MariamMasoud-r5y
    @MariamMasoud-r5y ปีที่แล้ว +1

    Umelogwawewe boraungekufa mmetokambali namkeo waongea ujingahapo badala yakumpigia magotimwenzio usichoke muomberazi mkeo

    • @nurjanniyaz1832
      @nurjanniyaz1832 ปีที่แล้ว +1

      Huo ndio ujinga wa wawanaume wengi yani ni kama hawana akili wakisha Pata wanawake wa njee hudharau wake zao na kuona si lolote si chochote haswa wanapokua na visent ila kumbukeni Kuna mungu hayo ndio malipo ya kumuendea mkeo kinyumbe kama ungetaka kuoa ungeenda kuoa huko njee na sio kutembea na mfanyakazi na mkumpa mimba fala wewe

  • @happnesyprosper9924
    @happnesyprosper9924 ปีที่แล้ว +1

    Toka zako huna lolote umalaya

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว

    Lana ya mkeo uyo mnafiki mkubwa wewe astahili yako na bado

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +4

    Hixo ni ajali tu km kawaida! Mbona maharuc wanapata ajali?miaka alipata ajali cku ya kuoa?akafunga ndoa akiwa kitandani?Amina na limama lake ndo nux.

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

    Wewe makosa yako ni kumdhalilisha zuu unqeketi kimya lkn wewe piya c mume WA kupata wala kikosa sura mbya km sura yako

  • @mwana4599
    @mwana4599 ปีที่แล้ว +3

    Kwa has Zuu. Yaaniumemtendea mabaya halafu unazidi kumuongezea machungu. Hiyo ni Ardhi ya Mke hiyo.

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +2

    Hy tafsiri ya shahada uongo huo 😂😂😂😂

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ndo huna imani. Tena huna kweli.

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 ปีที่แล้ว +3

    Na bado siku nyingine wakutoe shingo kenge wewe Malaya mbwa mpaka wafanyakazi mnamaliza ndani

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 ปีที่แล้ว +10

    Zuu endelea kupiga tunguli tuko nyuma yako😂

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว +6

    Sio waislam wote wanopenda ushirikina labda uko kwenu waislam jina kazi yenu ushirikina tu , iyo fimbo ya mungu ya kushikisha adabu

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว

      Yaan huyu kakutana na mkwe wake wote wana imani za giza

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว +1

      @@Zaynab-ny6gr 😂😂 alafu anasingizia waisilam kumbe ni yeye na mkwe wake wamekutana limenikera natamani nimtoe apo nimtoneshe icho kichwa chake

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว

      ​@@Zaynab-ny6gr😂😂😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@Leylah-pz5sc😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @habibayusuph1570
    @habibayusuph1570 ปีที่แล้ว +4

    Halafu kumbe mwanaume alikuwa anajiweza kilichomfanya Zuu atupe nyumba yake na kufanya biashara za kumfanya akosekane nyumbani ni nini?hapo hapo amekwenda kutafuta msichana kigori ndiyo anamuacha na nyumba
    Atulie sindano zimuingiee hana namna

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 ปีที่แล้ว

      Mwanaume anajiweza wapi!!!kelele tu subiri Mungu amfundishe hakuna uchawi hapo! Na bado!

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza kama ni uchawi hata huyo amina na familia yake pia wanakuroga au huwaoni wenyewe wanavyoongea mambo ya waganga kila wakihojiwa wao wenyewe ni wachawi pia waliojificha kwenye kivuli chadini kwa sababu wanaamini sana ushirikina kuliku kumtegemea Mungu, yaani kwakifupi umeyakanyaga mwenyewe pande zote unasotewa hivi utapona kweliii!!! na ukipona nahisi utakuwa tahira maana madawa ya pande mbili yatakukolea kisawasawa.

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +2

    Hili lijamaa lisanii sana halina hata maumivu

  • @MariamMariam-jc2uq
    @MariamMariam-jc2uq ปีที่แล้ว +4

    Jamani hakuna watu tujitokeze kumsaidia mama zuu ili tummalize mbwa huyu awe fundisho kwa wengine mwanaume malaya kama hawa

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂tuko pamoja

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 ปีที่แล้ว

      Wajina Kwan huyo zuu ni yupi hii story tamu ila simjui huyo zuu

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kishalishwa nyama ya chini halijielewi

    • @ZainabuMteti
      @ZainabuMteti ปีที่แล้ว +1

      Yàan hili libab halina dini kazi misifa tu. Mwenyew mwanga. Ongea Kwa vituo Dunia na vilivyomo nivya Allah

  • @AishaMwarabu-y6m
    @AishaMwarabu-y6m ปีที่แล้ว +2

    Huja Jambo laana ya Allah hiyo na bado yatakukuta Zaidi ya hayo unajisifu ww ndio unae penda wapata dhambi laana la mtandaoni Kinga Ni Allah tu nyie ropokeni mnamsikia zuu anaropoka kanyamaza Kimya nyie maneno tele ya watoka

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ata simpi. Pole kwanza kawatilekiza watt na mke,, alf ata kumuombea Razi ana anaweka zalau sana zuu kazaanae watt,, lkn namuomba zuu achane na huyu mwanaume,, ni mnafiki sana,, Leo zuu unamfana mchawi mbwa sana wewe

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 ปีที่แล้ว +5

    Huyo amina kama anaakili angeachana nahiyo ndoa alea tu mwanae na baba wa mtoto alee mwanae mwisho wasiku watafia kwenye majumba ya watu chaa watu ving'ang'anizi au ahame kwahiyo nyumba

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume wa hovyo

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 ปีที่แล้ว +2

    mkoko ndio unaalika maua....umeyakanyaga ! Nyege zimekuponza kelbu mkubwa weye !!!!😂😂😂😂😂

    • @daylight1707
      @daylight1707 ปีที่แล้ว

      Kelba kelba mimi hili lijanaume limenisinya 😂😂

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 ปีที่แล้ว +7

    Kaka me nakushauri kama unayapenda maisha yako achana na Amina la sihivyo umeweka rehani roho yako kwani huwezi kumuhudumia Amina na mtoto wake mpaka umuoe hivi unajua umemuumiza zuu kiasi gani na Bora ungeoa mtu wa mbali lakini sio amini zuu hawezi kubali hata ningekua mm nisingekubali

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว +2

      Ujinga huo badala yakutafuta maisha yako unang'ang'ania mapenzi kama si upunguani ni nini

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 ปีที่แล้ว +1

      Huu wako ni upumbavu uyo Zuu wako angejua dini asingefanya haya ukiachwa achika Zuu

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 ปีที่แล้ว

      Mbaya zaid sio dada wa Kaz ila ni majiran huko dodoma Yani ni fedheha na jambo ambalo ni ngumu kusaulika Yani ni maumivu sana nyie acheni tuu😢

    • @ummumahdiyya2462
      @ummumahdiyya2462 ปีที่แล้ว

      Kaka usimseme vibaya mkeo Kwanza umemkosea umemuumiza bado unazid hata mm sikusameh laiti ungekuwa na maneno ya busara hili lingeisha na wore wangetulia ww unamsema mkeo mitandaoni so sawa

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np ปีที่แล้ว +3

    Unasema zuu mchawi lkn hata mama Amina kasema hata kwa uchawi ataolewa huomni Nate nimchawi!?

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Weww mwanaume hujielewi au inawezekana pia wamekuroga kabisa yani unaambiwa na mkwe wako kwamba mke wako ndo kafanya hivi na wewe unakubaliana nalo unasema eti mke mkubwa nimekuchukia wallah kuoa sio tatizo tatizo yani sasa hivi unamfanya amina na mama ake ndo kila kitu

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa muongo Hana lake moja mungu kakuonyesha kumyanyasa zuu koma muone mapuwa yake mabaya

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 ปีที่แล้ว

      Mim nasema alikuwa anaendesha gar huku kalewa huyu mjinga kama chiizi

    • @sabinashabani1165
      @sabinashabani1165 ปีที่แล้ว

      Muacheni mpaka yamufike mana hajitabui

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct ปีที่แล้ว +4

    Ila mimi huyu kaka namchukia kwa matendo yake machafu .mwana kulitafu mwana kukipata .tubu Lana zako

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +2

    Amina siyo ridhiki yako bado hujastuka tu?Mrudie mkeo ila Amina kwakua ulifanya makosa mchkue mtoto lea au akae na Amina ila mhudumie mwanao,,, Maana hapo hata ukimuoa unaweza pata misukosuko balaa au hata ridhiki zikakata kwakua mnachomfanyia Zuu siyo kinzur

  • @handsomeman-pp7mx
    @handsomeman-pp7mx ปีที่แล้ว +9

    You are digging your own grave buddy. These two families are fighting for the blessings God Almighty has blessed you with. However, remember anaepeana pia anauweza wa kuchukua na kumpa mwingine. Tuliza mayae yako katika kikapu kimoja. But stop scattering them all over. Your actions will turn back and bite you. The pain will be severe. Watch out, brother.

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 ปีที่แล้ว

      Yan tena Bora yule mkewe kwakua alikua anashughuli zake ila Amina na familia yake ni tamaa tuu Yani

    • @divinahmusa6710
      @divinahmusa6710 ปีที่แล้ว

      I tell you my friend 😅😅he can't keep his thing in one place

  • @VenelandaKabura-bc8dk
    @VenelandaKabura-bc8dk ปีที่แล้ว +17

    Kaa na mkeo zuu huyo Amina mungu kamkataa acha tamaa mwanaume.

  • @nancysway388
    @nancysway388 ปีที่แล้ว +2

    Naushkur mungu maombi yale

  • @jeniphermlay2946
    @jeniphermlay2946 ปีที่แล้ว

    IVI NYIE MNAMLAUM NINI HUYU KAKA KWANI AMEMUACHA zuuu si yy mwenywe ,acha aou waislam ni mnaruhusiwa??

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 ปีที่แล้ว +3

    Katika maisha yangu siez kumloga mwanaume kisa mapenz sitowai nisito wai wanaume wamejaa kama riziki yangu ipo ipo tu mpk umue mtu kisa mwanaume siupuzi huo

    • @sarahsara-xe2fe
      @sarahsara-xe2fe ปีที่แล้ว +2

      Mwanaume agetoka hapo hata aende kupaga aakaacha jasho LA mke mkubwa sio mwanamke mdg kuja kulitumikia jasho LA mweziwe mi mwanamke lkn siwez kupelekwa kwenye Mali ya mwanamke mwezangu mwenye hakili kama zangu tujuane

    • @zainabusabas7421
      @zainabusabas7421 ปีที่แล้ว +2

      @@Kalssambabo-gv6uh yani kwamimi hata wangekua wa zamani mimi nilisha fukuzwa kama mbwa kwenye nyumba nimejenga na mume na akoa mwanamke mwingine nilitoka mimi ba begi langu na mtoto tu na niliapa sitowai kugombea mali ya mwanaume hatakama tumetafuta wote nitachuma zangu

  • @jeniphermlay2946
    @jeniphermlay2946 ปีที่แล้ว

    KAKA UKO SAHIIHI TENA UPO VIZUR ,WANAWAKE MNAOMHUKUMU JE INGEKUWA NYIE MMEZALISHWA MKAACHWA MNGEJISIKIAJE??au mwanao kaachwa ?? fungeni midomo zuu hajaachwa ni yeye tu tena angekuwa na akili angerudi kwa mumewe akamtengeneza akajishusha huyu asingeoa ila jeur inamponza

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +5

    Qadari ya Allah iyo,,, wwatadua ujuikuomba lakupanda kipando ata Alif ujui ww muislam kweri alafu unataka suna ya kuongezamke haya yoteheri znakombea Allah akuponye.

    • @beathagabriel8438
      @beathagabriel8438 ปีที่แล้ว +1

      Mganga kakupa jibu kirahisi kuwa mkeo wa ujanani anakutoa roho? Kama unampaga milioni akuuwe halafu pesa atapata wapi?

    • @beathagabriel8438
      @beathagabriel8438 ปีที่แล้ว +1

      Waganga wanacheza na akili zenu. Ila fimbo ya Mungu hiyo. Utatafuta mchawi ilaogopa machozi ya mke wa ujanani. Huyo bi mdogo amekupenda baada ya kuona mmeshachuma na bi mkubwa. Mwache Zuu. Alimwachia Mungu. Pole kaka pumzika tuu Rudi kwa Ala wako.

    • @beathagabriel8438
      @beathagabriel8438 ปีที่แล้ว +1

      Unatitia nini watu mimba wakati una mke..wewe mwanamme hukosei? Wanaokosea wanawake tuu? Utamaliza mabucha yote nyama ni ile ile broooo 😅

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว +1

    Mtaalamu mmngu peke yake wewe bakisha maneno yule mkeo usisahau mama zuu kachuma na wewe mjinga mkubwa wewe mwanamme mzima una mambo ya kijinga

  • @shamzone388
    @shamzone388 ปีที่แล้ว +7

    Nakushauri sana achana na Amina rudi kwa azuu na watt wako
    Achana na ushirikina leo ukienda kwa mganga atakwambia hata mama yako anakuroga... shikamana na dini yako epukana na dhana mbaya utaelekea pabaya.....

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว

      Amina kwa mganga zuu kwa mganga mume kwa mganga hapo dini hakuna wote washirikina wall mshirikina fii nari jahanam

  • @neemaberny3598
    @neemaberny3598 ปีที่แล้ว +6

    Yani kinachonichekesha ukute hao waganga wao wanatembea mulemule kwenye ujinga wao ..yani hao waganga utakuta wanafuatilia tiki tv pia..wakienda wanawapa kile kile wanachotaka kusikia..waganga anajua wanachukiana so wakienda huko wanaambiwa tu huyu kakaroga..wakienda kule wanaambiwa flani kakuroga anakula hela kiulainii😂😂😂...hii ndio gharama ya kukosa hofu ya Mungu na mtapigwa matukio kila siku!!

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 ปีที่แล้ว +3

    Mshukuru uyo aliyekuombea ungekuwa marehemu sasaivi

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว

      R.I.p muhun🤣🤣🤣

  • @tujeooohmygodsautiikochini8168
    @tujeooohmygodsautiikochini8168 ปีที่แล้ว +1

    Kaa chini ujitafakari

  • @n.dvillagirl3272
    @n.dvillagirl3272 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume wengine mnafanya wakezenu kuroga kisa tamaa zeenu

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 ปีที่แล้ว

      Rogeni lakin ujue mungu anakusubir

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara ปีที่แล้ว +1

    Huyu Bwana kubwa jinga hata zezeta linahafadhali

  • @yohanamlewa3544
    @yohanamlewa3544 ปีที่แล้ว +1

    Ndo maana mnakufaga km kuku km c dharsu ni nn kumuoa mfanyakazi wa ndani?mm ningekunyoosha

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 ปีที่แล้ว +2

    Sasa jamani kwani Kama mwanaume kaamua kuoa yeye zuu aache tu awe mke mkubwa

    • @mwana4599
      @mwana4599 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Zuu Katanga nini acheninushirikina.