Soma din unakuwa km huyu mama anajua nn maana ya din km kuoa kuoa Ana ruhusiwa Maana sio haram yake huyu eti kisa jiran huyu mwanaume alipokosea tu ni kudhin
Wewe mama hujitambui mtu mzima ovyooo huyo zuu make na bado nafasi 3 kasome dini kwanza unatutia aibu waisilam wezako tukusaamee bule hulijuwi urifayaroo wew
Asalam Alaykum Makosa yana binaadam hakuna mkamilifu nahao wote ni wakosaji ila kubwa hapo ni wanandoa na niwazazi iangaliwe pia dini na hatima ya maisha hasira ni hasara namama zuu usibebe dhima ya ndoa yakuvunjika ndoa ya mwanao huyo bado nimke halali ila huyo mume haruhusiwi uchafu wake kuuhalalisha kwa ndoa na Amina ila kuoa mke wapili nihakiyake kwadini ya Kiisilamu. Zuu usikimbie mwizi kimbiza mwizi kisha rudi ndani kwako muyajengenna mumeo mulee watoto HAKINA MKAMILIFU
Msichukulie poa mnampoteza huyo Zuu.Mtu unawatoto wawili nani aje kukuoa ni low probability.huyo mama dini haijui subra hana.Cha mwisho majuto ni mjukuu
Mama anaonekana mtata sana busara yake kidogo ni ndogo anaelemea upande mmoja badala ya kusaidia watoto wake waanza maisha kwa mara nyingine au kama ni kuachana awaachanishe kwa furaha na isiwe ugomvi tena
Pole sana mama.kweli tembo hashindwi mkonga wake.wewe ndio kimbilio la zuu siku zote mama atabakia kuwa mama 2.mungu awafanyie wepesi wa kila jambo awaondoshee hili balaadhuli liloingia kuvunja ndoa ya mwanao
Hata haeleweki wallahy mara taraka inatoka ikiwa mume na mke hawaja fanya ya ndoa taraka tayari sasa hapa ndoa haipiti mpaka idhini ya mke sasa huyo mke taraka ishapita tayari nani atowe idhini😂
Sio kweli. Hata mukae mbali kwa muda wa mwaka au zaidi kama mwanamke karidhia na hajadai talaka basi ndowa bado ipo, nakama mke kadai talaka hawezi kuishi nae tena basi sheria inaruhusu ampe talaka yake . Na kuhusu kuowa mwanamme anaruhusiwa hata kuowa kwa siri lkn isiwe siri ya muda mrefu, inamaana halafu anatakiwa amwambie mkewe.
@@Aysha_ally Sasa unapinga maneno ya Allah alipo sema Azani la yankihu illa zaniatan mzinifu aowi ila mzinifu mwenziwe wahurrima Dhalika aalal muuminiin ni haram mzinifu kuwowa muumini iyo yakupigwa mawe huyo Amina yeye hukumu yake ni kuchapwa Hmh wazinifu wamejaa tele na hawasemi but ni juu hao wamejiweka bayana na hawo wanao wahukumu huwenda ndio kazi Zao hivyo basi Ni kuwaombea kheri ✍️
Wanaume wa dini mupo wapi hebu pitieni kwa huyu mama mumfunze dini vizuri kwanza sijui kwa nini watanzania mwasema mume haoi mpaka idhini ya mke hiyo sio dini.
Uyu bibi anavituko ingekua mwanamke ndoanatoa idhini wanaume wote wasingeengeza wake hamna kitu kamaicho mwanamme karuhusiwa wanne wake aoe kwamwenye uwezo ila mwanamke kutoa idhini anaongea kwahasira tu uyu bibi
@@hanifatanzania7258 nenda my km ni muajiriwa wa serikali basi mshahara wake utakuwa nusu kwa watoto nusu kwake ila tu awe mumeo wa ndoa maana cha mwanzo unadaiwa cheti cha ndoa na km hana kazi serekalini basi atashurutishwa kila mwezi awe anapeleka kiasi mahakamani nawewe mama utapewa kwaajili ya watoto na kama mulichuma mali wote vitu vinauzwa na kupigwa tasmin na unalipwa chako chamuhimu cheti cha ndoa tu
Vita ni vita murua, kwl mwanaume kakosea yn anaita mke wangu alaf anamuanika mwezk hk unaomba msamaha km sy unafiki ni nn, then umepita hapo hata kuwaona watoto wk tuu hutaki
Mama msimamo wako huohuo, na nakwambia tena kiwa mungu atampromosha kutoka juu kuja chini, mifano kama hiyo imeshatokea na wala haichukui muda, bwana.Ali.atarudi kwa Zuu kumuomba radhi kuna mitihani mizito itamuandama
Mama haupo sahihi kabisa mnaonekana kabisa wakorofi na mnajiweza lakin hamkubali kushindwa 😂😂 mme nihaki yake kuoa sio lazima ruhsa ya bimkubwa kwahio zuu anajitia kibri sababu anajiweza na anamama mkorogo bila elim hapa kazi ipo 😢😢 nawatakia amani sana
@@mamymaryam3506 kuoa atatoa ila nazungumzia maumivu yale ya mwanzo weee usikie tu mpaka uje kukubali sheria inabidi uzungumze na nafsi yako Sana na mbaya zaidi mtu ambae alikua Kija kazi wako ndio anakua mmke mwenza weee unawaza mengi shoga
Mama Zuu, Mama Zuu , samahani sana, Nakuomba Mama Zulfa Punguza kidogo hasira. Ingiza msamaha japo kidogo tu na Mungu atakusaidia saana. Ruhusu Zulfa asamehe pia japo kwa uvumilivu na Mungu atawasaidia. HALAFU MSIKILIZE NA BABA ZULFA JAPO KIDOGO ILI Msamehe huyo mwanaume .
Amina kaingia cha kike hata akiolewa ndo hatoifurahia kwa hali hii na hzi hasira Walai Mi hata tupate mali kiasi gani kama mwaume atanitenda bila me nafs yangu kuridhika walai siwezi kukaa kwa ndoa hata nipewe mawaidha na nani sitakubali nitaondoka na maisha yataendelea kama kama kawaida tu Allah yupo ndo mtoa ridhiki sitaweza rogana kisa mali ya mwanaume niko na mikono yangu ya kutafta changu ☝🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Sasa mama zuu umesema hakuna ndowa tena kwasababu. Wamefikisha miezi mitatu. Bila ya kujamiana. Kisha unajisahau unasema. Mwamao asiidai talaka sasa mbona hueleweki na unacho kisemaaaaa ??????
Mama nashindwa kumuelewa. Mara anasema ndoa hakuna kwakuwa miezi mitatu imepita bila kujamiana lkn kwa upande mungine anasema ndoa haiwezi kufungwa bila idhini ya mke mkubwa. Hapa sijamuelewa. Idhini inatokaje kwa mke mkubwa wakati ndoa haipo?
Kwanza kabisa Ana makosa ya kumpokea mke wa mtu bila idhin ya mumewe angemrudisha pale pale zuu kaja na bajajai ile bajaji ndio angerud nayo alikotoka et dini hairuhusu mume kuoa bila idhin ya mke 😳😳km ajua dini kwann alimpokea mke wa mtu bila idhin ya mumewe ?
Hyo mwanaume simuungwana.Nahana heshma kbisa.Unapita hpo hpo kwamkweo tena unaenda kwajirani hivi hta kma ndio mapenzi kweli.Sio ungwaana kbisa.Sngetafuta njia nyingine yakukutana nhyo hwara ake.Sio kupita hpo mbele ymkewe.Malipo nihapa hapa duniani.Iko siku hyo mama Amina atalia nakuongea kwauchungu.Wasione leo zuu nafamiliya yke wanaadhirika wao wananeemeka wanajiona washindi.Iko siku
Ww bibi kaisome Sheria ya dini ya kiislam unachozungumza sio kweli zuu bado ni mke wa mtu na kuongeza mke mwengine sio lazima atowe idhini mke unajidanganya ww bb
Ila @zuu yeye hajasema kwamba mume wake alishindwa na majukumu Alafu huyu mama @zuu hajafunika kichwa jinsi waislam wanafunika Ila hawa watu si waislamu wa Imani ila jina tu🤗🤗🤗🤗samahani Msinirushe nawe
Ni sawa zainab kwa imani yenu,lakin nisawa kumuoa msichana wako wa kazi??ni dharau na kumuumiza mwanamke kwa kiwango kikubwa sana,alitaka kuongeza mke hakuna kote??alf ni sawa kuzin ndan ya nyumba yako had wabebeshane mimba hyo dini yenu inaruhusu pia??, hata kama alitaka kumuoa amina angemshirkisha mke wake (zuuh), amuoe amina ndo abebeshe mimba alicho kifanya huyo kaka ni uhuni,plzz wanawake tujiongeze tutadidimizwa sana😔,so ww zai kama unafamilia hapo unavyomuangalia huyo housegirl wako hapo ndan unaona ni sawa kabisa awe mke mwenzio daaah pole sana😔
Dini yetu yaruhisu kutoa, wawili, watatu, wanne, iwapo hutoweza basi bakia na mmoja. ......, Dini yetu yaruhusu kuoa mja kazi wako . Huenda wakawa ni Bora kushinda wamikiki wao na Mola wetu ni mwingi wa kujua. Dini yetu yamruhusu Mume kuoa mke wa pili bila ruhusa ya mke wa kwanza. Dini yetu yamruhusu Mume kumtaliki mke na Lau Kuna taklifu na mke ndie mwenye kudai talaka basi italazimika arudishe mahari aliyooewa na talaka itapita ama kama Kuna hatari kati ya wenye ndia basi talaka italazimika kutolewa na kadhi. Al hamdulilah dini yetu haikusaza jambo katika kutengua shida za mwanadamu. Tunachotakiwa nituisome dini yetu tuwache stroy za jana, za uswahili na za porojo za watu . Shukran nawapenda sana Kwa ajili ya Allah
@@jennet6484 kumbuka mwanaume ni kiumbe dhaifu yy ao mfanyakazi anaoa mwanamke na hata kama angeoa jirani bado tu asinge kubali sasa yy kasha lala na maid na anataka amuo kwani kosa gani ama maid sio mwanamke ama huyo maid ni mwnaume mwenzie ndiy nyie mbadharau wadada wakaz hapo ndiy mjifunze kueka mipka na waume zenu na kujua jukumu lenu yote yanatokea sababu yetu hatusimamii majukumu yetu kama mke ukisha pata maid tena bas kila kitu dada wakaz na hizo mada sasa ni nyingi wababa wanatembea na wasichna wa kazi wanaume wenginè ni malaya lakini wengine hawako hivyo sosi kubwa ni sisi kubali ukatae uwez kumwambia msichana wakaz akatandike kitanda ulicho lala na mumeo ama kumuingiza mfanyakaz chumbani kwako labda unaumwa uw3z kugusa chochote na hata ikiwa hivyo siwez kumruhus dada wakaz akafanya majukumu ya mume wangu wengine mpk nguo za ndani mnawapa yani dada wakaz akaone aibu za mumeo na zako
@@abdufatuma9420 na mahari ina rejeshwa kama .hujamgusa huyo mwnamoe yani kufanya nae tendo la ndoa ndivyo ninavyo jua mimi hapo kwenye kurejesha mahari ila wengine wanaume mnfanya kuwakimoa tu wanawake unakuta mwanaume ushazaa na mkeo watoto mpk 3 kisha akidai talaka unasema arejeshe mahari wakati dini haija sema hivyo nime soma sura alnisaa kila kitu kimezungumziwa mwanamke yapasa kurudisha mahari kama mwanaume hajamgusa yani kufanya tendo la ndoa
Ndomana mwanao kaachwa mnamidomo na helimu amuna asila zisizokua na faida mama zitawaponza dini inaruhusu kuoa zaid ya mke mmoja na idhin inatoka kwa Allah na co kwako wara kwa mtoto wko
Yani anauchingu mpaka anakosea. Dini haijui lakinianaiingiza kwauchungu. Allah akusamee. Kuowa nisheria 4 muachetu aowe. Mengine vumilieni ilatu huyo Amina akampangie chumba kwengine asikae kwa Zuuhura. Tena
Asalaam alaikum. Mama hujui dini. Akipokuja kwako ungelimrejesha siku ya pili nyumbani kwake ujue kosa lililomleta nyumbani, kwanini ulimpokea nyumbani kwako, hujui kama kosa kwa Mwenye enzi Mungu kompokea mke wa mtu nyumbani kwako. Omekosea mama
Kiukweli inaskitisha lakini asichukuwe uamuzi wakuacha ndoa yake maana sheria ya dini yetu wamerusiwa wake wa nne basi kinachotakiwa mme wake ampe kitoka nyumba na atubu kwa mola wake pamoja na huyo amina wafunge ndoa maisha yaendelee,maana hapa duniani hakuna mtakatifu asokuwa na hili ana lile na mme wake zuu huwo ndo udhaifu wake ukifatilia maongenzi ya zuu anavyomuzungumzia mumewe
Mi niliuze hilo la mwanume kuoa bila kuambia bi mkubwa 😂Nilichojibiwa hiyo so lazima uambiwe hapo tary nimetendeka 😂😢😢 aki Kwa kweli dini ina mambo yake sina usemi mm kwa kweli
Katika uislam mwanaume anaweza kuoa pasi na kutaka idhini kutoka kwa mkewe, anachotakiwa ni kumtaarifu tu mkewe, kwa sababu mwanamme tayari ameruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja
Nimekupenda sana mama zuu..Mpambanie mwanao zuu M.Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri,nakupenda nitakuombea
Safi mama tena akitaka warudiane na Zuu atoe posa upya pumbavu zake mshenzi mmoja huyo
Mkasome din achen ujinga
Sio kweli sikaondoka mwenyewe
Soma din unakuwa km huyu mama anajua nn maana ya din km kuoa kuoa Ana ruhusiwa Maana sio haram yake huyu eti kisa jiran huyu mwanaume alipokosea tu ni kudhin
Asante mamamzazi umenikosha sana nampenda mama mwenye msimamo kama huyu .
Wewe mama hujitambui mtu mzima ovyooo huyo zuu make na bado nafasi 3 kasome dini kwanza unatutia aibu waisilam wezako tukusaamee bule hulijuwi urifayaroo wew
Asalam Alaykum Makosa yana binaadam hakuna mkamilifu nahao wote ni wakosaji ila kubwa hapo ni wanandoa na niwazazi iangaliwe pia dini na hatima ya maisha hasira ni hasara namama zuu usibebe dhima ya ndoa yakuvunjika ndoa ya mwanao huyo bado nimke halali ila huyo mume haruhusiwi uchafu wake kuuhalalisha kwa ndoa na Amina ila kuoa mke wapili nihakiyake kwadini ya Kiisilamu. Zuu usikimbie mwizi kimbiza mwizi kisha rudi ndani kwako muyajengenna mumeo mulee watoto HAKINA MKAMILIFU
very strong woman
Huyu mama mnzuri mashallah,,,,Nimependa msimamo wake aisee Mama ndo mwenye uchungu na mtoto bwana
Nampenda mama mzuri na dini piya anayo. Zu... Aendeleye na kazi yake... Na akipata Mme piya Aendeleye na maisha yake. ❤❤❤❤❤❤❤❤Strong mum.
Msichukulie poa mnampoteza huyo Zuu.Mtu unawatoto wawili nani aje kukuoa ni low probability.huyo mama dini haijui subra hana.Cha mwisho majuto ni mjukuu
Mama muzuri sana ❤ , nakuunga mukono kwa yote, iyi ndowa ya pili siyo ndowa ni uzinifu.
Kasome dini ndg 😂😂
Kumbe huyo mwamba ni mshenzi kiasi hiki halafu alikuwa anajitetea tu, kweli mama una haki yakukasirika
Mama anaonekana mtata sana busara yake kidogo ni ndogo anaelemea upande mmoja badala ya kusaidia watoto wake waanza maisha kwa mara nyingine au kama ni kuachana awaachanishe kwa furaha na isiwe ugomvi tena
Mama wa hivyo ndio hao wanaotembea na wakwe zao mama mkorogo umemuunguza kwa ushakunaku 😂
Pole sana mama.kweli tembo hashindwi mkonga wake.wewe ndio kimbilio la zuu siku zote mama atabakia kuwa mama 2.mungu awafanyie wepesi wa kila jambo awaondoshee hili balaadhuli liloingia kuvunja ndoa ya mwanao
Hapa ni hatari hadi naogopa kwenye hizi family hizi mbili sijui itakuaj
Yaani hata mimi nawaza sanaa
Tena majilani yani zinaa hi mtihani
Mama kama mama ni lazma alipuke vinakera sana
Kabisa mama yupo sawa
Ukosawakabisa wanaume awatakimajukumu mungu angirie sadi kwamapesi yamuenyezi..munga
Nimekupenda bure mama ila kitu kimoja tu umeniuzi usipende kuacha kichwa wazi mbona mwanao anajisitiri sana zulfa ماشاء الله ❤
Sanatu dini hana
Hata haeleweki wallahy mara taraka inatoka ikiwa mume na mke hawaja fanya ya ndoa taraka tayari sasa hapa ndoa haipiti mpaka idhini ya mke sasa huyo mke taraka ishapita tayari nani atowe idhini😂
Sio kweli. Hata mukae mbali kwa muda wa mwaka au zaidi kama mwanamke karidhia na hajadai talaka basi ndowa bado ipo, nakama mke kadai talaka hawezi kuishi nae tena basi sheria inaruhusu ampe talaka yake . Na kuhusu kuowa mwanamme anaruhusiwa hata kuowa kwa siri lkn isiwe siri ya muda mrefu, inamaana halafu anatakiwa amwambie mkewe.
Mama zuuu mzuri kweli ❤❤❤❤❤
Pole sana mama ila dini yetu mwisho wake wanne na yule Amina hukmu yake aolewe na Ally mzinifu aowe mzinifu mwenziwe kubwa zaidi Maelewano
Kabisa yaaan wakumbuke kutubu wallah
@@Muslim-gs6rnHawa nao wakorofi limesha tokeya basi hamna budi
Mzinifuu hukumu yake apigwee mawe mpaka afee na sio ndoa
@@Aysha_ally hapana hawa niviboko ila mwanaume anastahili adhabu ya mawe mwanamke niviboko tuuuuh
@@Aysha_ally Sasa unapinga maneno ya Allah alipo sema Azani la yankihu illa zaniatan mzinifu aowi ila mzinifu mwenziwe wahurrima Dhalika aalal muuminiin ni haram mzinifu kuwowa muumini iyo yakupigwa mawe huyo Amina yeye hukumu yake ni kuchapwa Hmh wazinifu wamejaa tele na hawasemi but ni juu hao wamejiweka bayana na hawo wanao wahukumu huwenda ndio kazi Zao hivyo basi Ni kuwaombea kheri ✍️
Huyo mwanamme hana adabu kabisa, asa Mwenye Enzi Mungu amfanyie wepesi yaarab
Yuwamfaa Amina Wala si saizi ya da zu
@@khadidjasuleiman8006au ww
@@khadidjasuleiman8006we msenge kweli huyo amina mwenye domo kama kmlmmke ngoja tuone
Mashahallah msma ake zuu nimekupenda bure mama angu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ umeongea pwenti cn mama
Pole Sana mama yangu Kwa yote,ndo mitihani ya dunia yetu.
Amina n'a wewe umekosea bi zuu ni dada yako kwa nini hukujihifadhi ilichuo baba asikucezeyi una makosa sana Amina
Tunako elekea watatoana roho awa atakufa mtu apa yangu macho😢
Wanaume wa dini mupo wapi hebu pitieni kwa huyu mama mumfunze dini vizuri kwanza sijui kwa nini watanzania mwasema mume haoi mpaka idhini ya mke hiyo sio dini.
Sio watanzania sema watu hawaijui dini yao wanamajina tu yakisilaam
Ht km angekuwa mamake mzazi na ally hawez kuizuia ndoa ya ally labda kuwe na 7bu maalumu huyu mama vip ?😮😮😮
Uyu bibi anavituko ingekua mwanamke ndoanatoa idhini wanaume wote wasingeengeza wake hamna kitu kamaicho mwanamme karuhusiwa wanne wake aoe kwamwenye uwezo ila mwanamke kutoa idhini anaongea kwahasira tu uyu bibi
Mila na desturi ndio kinachowapotoa
@@sweetylove9918hajasoma dini na km alisoma basi haijamkaa kichwan
Huyu mama anaonekana alipokuwa mdada alikuwa mzuri sana jamani
Pia bado mzuri
Sanaa
Amina 😂😂😂😂😂
😂😂
Kweli mrembo mama Zuu.
Mwambie daa zuu mama arudi kwake amina ata akiolewa akapangishiwe au wajuwe vile ataishi
Wakenda mahakamani huyo mwanamme atashindwa maana sikuhizi sheria imeelemea sana kwa wanawake na watoto
Kabisa yani jamaa ajishushe tu waelewane
Unasema kweri ndugu. . Nami nitaenda daa maana nipohoi kulea nimetelekezewa watoto kilakitumm yanihatamiayake aitumihata salam hatoi
@@hanifatanzania7258 nenda my km ni muajiriwa wa serikali basi mshahara wake utakuwa nusu kwa watoto nusu kwake ila tu awe mumeo wa ndoa maana cha mwanzo unadaiwa cheti cha ndoa na km hana kazi serekalini basi atashurutishwa kila mwezi awe anapeleka kiasi mahakamani nawewe mama utapewa kwaajili ya watoto na kama mulichuma mali wote vitu vinauzwa na kupigwa tasmin na unalipwa chako chamuhimu cheti cha ndoa tu
Zuu pole best jipe moyo kipenzi utashinda Mungu akutie nguvu Kwa magum unayopitia
Asante mama zuu mimi km mwana mke nimesikiya vibaya Sana daa zuu usikubali kurudi mana huyo mmke Amina km alienda kiswahili haezi ashindwa kukufanyiya wewe vibaya Ile Amina apendwa Zaid Achana nae huyo Amina piya Hana adabu
Uyo mwanaume ni mnafiki sana pia iko na tamaa na Amina ni mtoto mubaya sana
tena mbwa kabisa
Ushauri kwa Amina lea mtoto wako achana na huyo mwanaume
😂😂😂😂 Mama bana. Nani kasema Mama mkwe anaruhusiwa kupinga ndoa yapili? Mama tushushe kidogo.
😂😂😂😂
@@jeremiaandrew8518 Mama anadhani watu hatuijui dunia vizuri 🤣🤣🙌
I like this women ❤❤❤❤❤
Inauma mama,pole Sana.Mungu akufunge mkanda wa ujasili.
Amina mshenzi mkubwa..na huyo mwanaume mshenzi sana badala ya kumuomba mke wake msamaha.anamseme mkewe wanaume bwana washenzi
True ❤❤❤❤
Amina sio mshenz mshenzi zuu kwanini alikua anamnyima mumewe
@@SwaumuMohammed-w2lKMLMYK au wewe ndio hilo li malaya lenye sura kama km la mmke liko bleed?
Vita ni vita murua, kwl mwanaume kakosea yn anaita mke wangu alaf anamuanika mwezk hk unaomba msamaha km sy unafiki ni nn, then umepita hapo hata kuwaona watoto wk tuu hutaki
Mama kidini sio kweli ndoa inavunjwa kwa talaka mama yangu.
Hajui alisemalo huyo mama
Namshauri Zuu arudi halafu mwanaume akitaka show akate mashine shuhuli iishe maana ana kipele huyo mbwa
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 eeeh mungu wangu
Daah nimecheka
😂😂😂😂
😅😅😅
Mama msimamo wako huohuo, na nakwambia tena kiwa mungu atampromosha kutoka juu kuja chini, mifano kama hiyo imeshatokea na wala haichukui muda, bwana.Ali.atarudi kwa Zuu kumuomba radhi kuna mitihani mizito itamuandama
Mama haupo sahihi kabisa mnaonekana kabisa wakorofi na mnajiweza lakin hamkubali kushindwa 😂😂 mme nihaki yake kuoa sio lazima ruhsa ya bimkubwa kwahio zuu anajitia kibri sababu anajiweza na anamama mkorogo bila elim hapa kazi ipo 😢😢 nawatakia amani sana
Sanaa
😅😅😅😅
Na Bora zaidi amuowe Amina Kwasababu wamezini hukmu Yao waowane
Hhhh🤣🤣🤣🤣🤣
Amjengee sio kumuoa kwa nyumba ya Zuu.
Silazima kutoa idhini mke mkubwa wewe mama sheria hiyo haipo yeye niwakupewa taarifa 2
Ndiyo nashangaa sijuikasoma wapi hau mila yakwao😂
Ndo maana hii dini siipendi haswaa
Mmmh mungu aninusur ktk hili ....ndoaa huwez kuzuiaa mamah kaa kimnyaa hakuna idhinii kutoka kwa mke mkubwa walaa nn anaoaa tuuh😅😅😅
🤝🤝🤝
Single tuendelee kuliombea taifa letu 😂😂😂😂😂😂😂
Ameeeen
😂😂😂😂😂😂amen
@@jellynesssemu9406 😄 🤣
😂😂😂😂😂
Ila duh inaumiza Sana yaani mtu unaona anapita uwanjani kwako anaenda kwa jirani jamani msikie tu kwa watu inauma inauma sana
Sheliya yakiisiramu mke sheliya yake kumjulisha tu ana kiziwizi akubali au akatae mume anaowa
@@mamymaryam3506 kuoa atatoa ila nazungumzia maumivu yale ya mwanzo weee usikie tu mpaka uje kukubali sheria inabidi uzungumze na nafsi yako Sana na mbaya zaidi mtu ambae alikua Kija kazi wako ndio anakua mmke mwenza weee unawaza mengi shoga
Waja. Uchuwi kwa. Mtoto wa. Watu. Iazima aowe si. Mtoto. Wake junga. Wako
Idhini itoke kwa mke mkubwa, hapo umetupiga na kitukizito mm yetu. Na siyo kweli.
😅😅😅😅
Yani ningekuwa mimi Zuu ningerudi halafu ajifanye kanimisi aone
😂nipe mbinu ungefanyaje...mm yamenikuta haya Ila napambana
Hao watoto aliwazaa nani? Aliwazaa paka😂😂😂😂 mimi hoi huku
Wapi Idhni iko kwa mke SubhanaAllah tusomeni dini wallahy wazazi
WONDERS SHALL NEVER END
Mama hajui din ila anajingamba kuongea tu na anajiamin uchawi ndo kitu kipo hii family ni tata sana
Kumbe na wewe umeona eeh😁 mshirikina mkubwa hata anavyozungumza inajieleza 🚶♂️🚶♂️
wote awajui dini ata uyo mwanaume wamezini mbka wamezaa mtoto
@@lolollololi1050 yule mwanaume hii family itamsumbua sana
Jamani haya mambo yaskie tu kwa mwenzio yakikukuta ndio utaelewa huyu mama na mwanae wanapitie maumivu kiasi gani
Mama uczungumzie uislamu,mana unachokisema sio kweli.
Hio ndoa bado ipo hata km bado hawajakutana kwa vile kuna ugomvi kati
Duniani ni mapito,tusome dini inasemaje cio kukurupuka na kuongea tofauti na mafundisho ya Allah
Wakwanza ❤❤❤🎉🎉
Mama Zuu, Mama Zuu , samahani sana, Nakuomba Mama Zulfa Punguza kidogo hasira. Ingiza msamaha japo kidogo tu na Mungu atakusaidia saana. Ruhusu Zulfa asamehe pia japo kwa uvumilivu na Mungu atawasaidia. HALAFU MSIKILIZE NA BABA ZULFA JAPO KIDOGO ILI Msamehe huyo mwanaume .
Sio kweli mke anapewa taarifa sio mke mungu karuusu ww binadamu nani mwacheni aolewe mwanangu Amina jamani
Mama ni moto 🔥 wa petrol 🙌🤣🤣🤣 nimempenda hachukui uchafu.
Kama angeowa mke mwengine sio house girl
Idhin silaxima itoke kwa mke mama ,mke anarifiwa tu
Mama nmeanza tu kukutizama ila nmekupenda Bure
Nani kasema mke ndio uwatowa idhini ya mume kuongeza mke😂😂😂 mama hapo umetudanganya waulize walimu vzr hpo upawe jibu safi tu😂😂😂
Siyo laazima mke atoe hidhin. Kwenye sheriaya dini. Kuowa anaowa ilatu kamakwerimke mkubwa alikuaanampenda ampejapo zawadiyoyote. Allah awapesubra katikakipindihiki. Kigumu.
Tatizo kubwa la Amina ni njaa tu jaman maana hii ni aibu kwa familia ya Amina kwa alichomfanyia zuu
Sio lazima mke atoeidhi ni akiamua kuoa bila kujua mke mkubwa ndoa inaswihi
Amina kaingia cha kike hata akiolewa ndo hatoifurahia kwa hali hii na hzi hasira Walai Mi hata tupate mali kiasi gani kama mwaume atanitenda bila me nafs yangu kuridhika walai siwezi kukaa kwa ndoa hata nipewe mawaidha na nani sitakubali nitaondoka na maisha yataendelea kama kama kawaida tu Allah yupo ndo mtoa ridhiki sitaweza rogana kisa mali ya mwanaume niko na mikono yangu ya kutafta changu ☝🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mhhh
@@ashurafarhan8335 𝚖𝚋𝚘𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚐𝚞𝚗𝚊
Sasa mama zuu umesema hakuna ndowa tena kwasababu. Wamefikisha miezi mitatu. Bila ya kujamiana. Kisha unajisahau unasema. Mwamao asiidai talaka sasa mbona hueleweki na unacho kisemaaaaa ??????
Mama nashindwa kumuelewa. Mara anasema ndoa hakuna kwakuwa miezi mitatu imepita bila kujamiana lkn kwa upande mungine anasema ndoa haiwezi kufungwa bila idhini ya mke mkubwa. Hapa sijamuelewa. Idhini inatokaje kwa mke mkubwa wakati ndoa haipo?
Hata mimi nashangaa
Asante tiki TV kwa kutuleteya huyu mama zuu
Hakuna sheria ya dini inayosema mume akitaka kuongeza mke wa pili lazima idhini itoke kwa mke mkubwa
Hajui dini huyo bi vipako arud akasome dini inaruhusiwa ht na uzee alionao
Kwanza kabisa Ana makosa ya kumpokea mke wa mtu bila idhin ya mumewe angemrudisha pale pale zuu kaja na bajajai ile bajaji ndio angerud nayo alikotoka et dini hairuhusu mume kuoa bila idhin ya mke 😳😳km ajua dini kwann alimpokea mke wa mtu bila idhin ya mumewe ?
Hatari sana
Hyo mwanaume simuungwana.Nahana heshma kbisa.Unapita hpo hpo kwamkweo tena unaenda kwajirani hivi hta kma ndio mapenzi kweli.Sio ungwaana kbisa.Sngetafuta njia nyingine yakukutana nhyo hwara ake.Sio kupita hpo mbele ymkewe.Malipo nihapa hapa duniani.Iko siku hyo mama Amina atalia nakuongea kwauchungu.Wasione leo zuu nafamiliya yke wanaadhirika wao wananeemeka wanajiona washindi.Iko siku
Hata Amina ajiandae,huyu mwanaume muhuni tuu
Nimesema Mimi 😂😂😂😂
Mshenzi hasa eti hataki mtt wa amina ateseke huku wa zuu wana miezi 6 bila huduma
Mama kua. Mtu. Wakujenga. Usibomea na kujibika. Kifua asila. Ni hasara wewe mama😅
Weweeee salutimamazuu
Kevin mtafute shehk umpelekee mama maana dini haipo kbsa talaqa mpka mume atoe sio miez 3😢
Tatizo elim wallah wanaongea tu ya dunia bas
Wewe mama una heshima kabisa unaogea kama. Mleva tena wewe sio mzilamu una. Kitambaa tena uweso. Wakumzuia mtoto wa mwenzako uchawi tu indio ujua
@@aliceasunda9703KMLMYK
Hongera mama angu hivo ndo tunavotakiwa waja tukinai umasikini wetu
Mama pole dini kidogo huifahamu na ungekuwa waifahamu ungejistirii nywele zko
Mimi yalinikuta nikama Kuja Saudi mwaka niwa huu cja rudi nyumbani aketi na talaka yake huyu Amina Hana adabu
Pole sana ilaulewenza siyombaya
Ww bibi kaisome Sheria ya dini ya kiislam unachozungumza sio kweli zuu bado ni mke wa mtu na kuongeza mke mwengine sio lazima atowe idhini mke unajidanganya ww bb
Nimeipenda hiyo
Eee ni kwl idhini sio lazima
Amina aliomba cmu,huoni alikuwa anajilengesha kwa shem?tamaa mbaya.
Ila @zuu yeye hajasema kwamba mume wake alishindwa na majukumu
Alafu huyu mama @zuu hajafunika kichwa jinsi waislam wanafunika
Ila hawa watu si waislamu wa Imani ila jina tu🤗🤗🤗🤗samahani
Msinirushe nawe
Huy mama akasome dini vizur uwez mzuia mume asuoe ukubali ukatae ataoa tu
Ni sawa zainab kwa imani yenu,lakin nisawa kumuoa msichana wako wa kazi??ni dharau na kumuumiza mwanamke kwa kiwango kikubwa sana,alitaka kuongeza mke hakuna kote??alf ni sawa kuzin ndan ya nyumba yako had wabebeshane mimba hyo dini yenu inaruhusu pia??, hata kama alitaka kumuoa amina angemshirkisha mke wake (zuuh), amuoe amina ndo abebeshe mimba alicho kifanya huyo kaka ni uhuni,plzz wanawake tujiongeze tutadidimizwa sana😔,so ww zai kama unafamilia hapo unavyomuangalia huyo housegirl wako hapo ndan unaona ni sawa kabisa awe mke mwenzio daaah pole sana😔
Dini yetu yaruhisu kutoa, wawili, watatu, wanne, iwapo hutoweza basi bakia na mmoja. ......, Dini yetu yaruhusu kuoa mja kazi wako . Huenda wakawa ni Bora kushinda wamikiki wao na Mola wetu ni mwingi wa kujua. Dini yetu yamruhusu Mume kuoa mke wa pili bila ruhusa ya mke wa kwanza. Dini yetu yamruhusu Mume kumtaliki mke na Lau Kuna taklifu na mke ndie mwenye kudai talaka basi italazimika arudishe mahari aliyooewa na talaka itapita ama kama Kuna hatari kati ya wenye ndia basi talaka italazimika kutolewa na kadhi. Al hamdulilah dini yetu haikusaza jambo katika kutengua shida za mwanadamu. Tunachotakiwa nituisome dini yetu tuwache stroy za jana, za uswahili na za porojo za watu . Shukran nawapenda sana Kwa ajili ya Allah
@@jennet6484 kumbuka mwanaume ni kiumbe dhaifu yy ao mfanyakazi anaoa mwanamke na hata kama angeoa jirani bado tu asinge kubali sasa yy kasha lala na maid na anataka amuo kwani kosa gani ama maid sio mwanamke ama huyo maid ni mwnaume mwenzie ndiy nyie mbadharau wadada wakaz hapo ndiy mjifunze kueka mipka na waume zenu na kujua jukumu lenu yote yanatokea sababu yetu hatusimamii majukumu yetu kama mke ukisha pata maid tena bas kila kitu dada wakaz na hizo mada sasa ni nyingi wababa wanatembea na wasichna wa kazi wanaume wenginè ni malaya lakini wengine hawako hivyo sosi kubwa ni sisi kubali ukatae uwez kumwambia msichana wakaz akatandike kitanda ulicho lala na mumeo ama kumuingiza mfanyakaz chumbani kwako labda unaumwa uw3z kugusa chochote na hata ikiwa hivyo siwez kumruhus dada wakaz akafanya majukumu ya mume wangu wengine mpk nguo za ndani mnawapa yani dada wakaz akaone aibu za mumeo na zako
@@abdufatuma9420 na mahari ina rejeshwa kama .hujamgusa huyo mwnamoe yani kufanya nae tendo la ndoa ndivyo ninavyo jua mimi hapo kwenye kurejesha mahari ila wengine wanaume mnfanya kuwakimoa tu wanawake unakuta mwanaume ushazaa na mkeo watoto mpk 3 kisha akidai talaka unasema arejeshe mahari wakati dini haija sema hivyo nime soma sura alnisaa kila kitu kimezungumziwa mwanamke yapasa kurudisha mahari kama mwanaume hajamgusa yani kufanya tendo la ndoa
@@abdufatuma9420 nonsense
Wakwaaanzaaaaa
Waaaoh mama nimekupenda buree ❤
Nakupenda sana mama simama na zuu na sisi tuko nyuma yako
Kama dada wa kazi anaolewa naomba na mimi niwe dada wa kazi kwako Kelvin plz
😂😂😂😂😂😂😂😂
Amina bado ujakata tamaa😂😂
Wee komaa wee
😂😂😂😂😂 unahitaji kuzuwa bala😅😅
😂😂😂😂
Ndomana mwanao kaachwa mnamidomo na helimu amuna asila zisizokua na faida mama zitawaponza dini inaruhusu kuoa zaid ya mke mmoja na idhin inatoka kwa Allah na co kwako wara kwa mtoto wko
Anaonekana tu 😊😊
hana kauli kabisa miezi mitatu huyo sio mkewe tena bwana anaweza kuowa bila idhini ya zuu
Mama una stahili sana❤❤ una uchungu na zuu
Mm Nina miaka mi4 hii Niko mbali na mume wangu na nikirudi kwa mume wangu ndoa ipo pale pale
Huyu mama shida sana ukute ndii anafanya haya yote shiriki maan
Yani anauchingu mpaka anakosea. Dini haijui lakinianaiingiza kwauchungu. Allah akusamee. Kuowa nisheria 4 muachetu aowe. Mengine vumilieni ilatu huyo Amina akampangie chumba kwengine asikae kwa Zuuhura. Tena
Mama unachanganya dini na traditi.....zetu,hapo kwenye mke lazima akubali ,kidini mime hahitaji ukubali
Nitamaa tu za wanaume nibora angeoa kwingine ila kuoa house girl wako?
Nmecheka hadi ushuzi umeniponyoka
😂😂😂😂😂
Asalaam alaikum. Mama hujui dini. Akipokuja kwako ungelimrejesha siku ya pili nyumbani kwake ujue kosa lililomleta nyumbani, kwanini ulimpokea nyumbani kwako, hujui kama kosa kwa Mwenye enzi Mungu kompokea mke wa mtu nyumbani kwako. Omekosea mama
Hio nikesi hadi qiam kwake muache azuge tu ajifanye mjuaji
Mama achana na huyu mkweo na endilea na mwanao na wajukuu zako maisha yaendelee
Lakini Ally! Ungetafuta pengine co kuchukua house girl ni dharau,Amina ajasema anataka cmu,huoni
Beautiful strong mama❤❤❤❤❤❤pole bi Zuu leya watoto.... Chapa kazi.... U will be OK. Follow Zari boss lady steps. ❤❤❤❤
Ikiwa hajamuacha na kaondoka mwenyewe hajaachika huyo
Kabisa mama kafeli nilijua kama mzaz ataongea busara kumbe ziro Allah awasaidie kwakweli
Kiukweli inaskitisha lakini asichukuwe uamuzi wakuacha ndoa yake maana sheria ya dini yetu wamerusiwa wake wa nne basi kinachotakiwa mme wake ampe kitoka nyumba na atubu kwa mola wake pamoja na huyo amina wafunge ndoa maisha yaendelee,maana hapa duniani hakuna mtakatifu asokuwa na hili ana lile na mme wake zuu huwo ndo udhaifu wake ukifatilia maongenzi ya zuu anavyomuzungumzia mumewe
Mama mrembo kupindukia,💕👌
Mmmh we mama muogope mungu sheriya ya dini hujuw kabisaaaa miezi3 sio mke sheriya hy umeitowa wp?
Mi niliuze hilo la mwanume kuoa bila kuambia bi mkubwa 😂Nilichojibiwa hiyo so lazima uambiwe hapo tary nimetendeka 😂😢😢 aki Kwa kweli dini ina mambo yake sina usemi mm kwa kweli
hata kama ally kakosea hatujakataa ila mama ungejifunga ushungi usikae kichwa wazi
Katika uislam mwanaume anaweza kuoa pasi na kutaka idhini kutoka kwa mkewe, anachotakiwa ni kumtaarifu tu mkewe, kwa sababu mwanamme tayari ameruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja
Huyu mama ana jichanganya,mara si mke,hawajamiana miezi mitatu,mara apate idhini ya mkewe.
SI Bado hajampa talaka
Ataulizwa na Allah siku ya qiyama shaur yao
Mtihan 😢kama mie ndio Amina kwa hali hii ibaki tu story
@@husna34562 walllah yaaan bora asiolewe tu
mume atoe talaka yeye aoe 😢
Huyu mama ana machungu sana
Wana familia wa TiKi TV hapo kutakufa mtu😢