Mume wa Zuu Aoa Bila Mke Wake Kujua, Amina Achizika Aanza Ku..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 545

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 11 หลายเดือนก่อน +38

    Haya wakwanza mm jamani kutoka kenya nawatch nikiwa Algassim Saudiarabia,kazi kwako ww utakae fika nyuma yangu naomba like japo 10 tuu 😂😂

    • @BeatriceKalembwane
      @BeatriceKalembwane 11 หลายเดือนก่อน +4

      Mimi wa tisa

    • @fatumastv
      @fatumastv 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ikali imenda mume jizi boya😅😅😅

    • @khadijaali4657
      @khadijaali4657 10 หลายเดือนก่อน

      @@BeatriceKalembwane 🤣🤣🤣🤣🤣Karibu mpenzi

    • @khadijaali4657
      @khadijaali4657 10 หลายเดือนก่อน

      @@fatumastv 🤣🤣🤣🤣

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 10 หลายเดือนก่อน +5

    Masikin namuonea hurma Sana huyu Fatma 😭😭😭hakujua yaliotokea kumbe asengemkubal Namhisi hayuko ok Subhanallah Koukwel Ni mtihan kama sianin vile nahisi kama Ni filam kumbe niukwel Mtupu😭😭😭😭Sina chakusema zaid yakuwapa pole nyote kuanzia Amina Dazuu na huyu fatuma pia yupo katika kipind kigum😭😭😭Allah akusaidie inshaallah 😭😭😭😭🤲 Tunamlaum Amina kwel amefanya makosa lkn Kikwel Amina huyi kijana Alimforce Halaf tena akapita na Iblis😭Sijui ata Nisemej Kwakwel ni Jumla ya mitihan Allah atustir na vizaz vyetu yarabb😭😭😭😭😭🤲

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 11 หลายเดือนก่อน +15

    Safi sana Amina ulichokipanda vuna maumivi ulivomtenda zuu leo umelipata 😂😂😂😂

    • @KautharMohamed-kj5zc
      @KautharMohamed-kj5zc 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @Bikhafija
      @Bikhafija 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @Bikhafija
      @Bikhafija 11 หลายเดือนก่อน +1

      Chonga mzinga wako ww acha yao

  • @BarkerNassir001
    @BarkerNassir001 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wavamiaji wa ndoa za wenyewe olewako uvamie yangu Niko Saudi lkn huto chizika uta potea nahauta patikana kamwe hongera Sana da zuu❤❤😂😂😂😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂he wivu wa wanawake ni hatari kama bomu la nyukilia😂😂😂

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 8 หลายเดือนก่อน

    Mapenz yalivyo kila shetani na buyule.awe mwanamke awe mwanamke akikupenda walhi upuuz upuuz wake anauwacha.lakini kama hajakupenda utulivu o.mapepe mapepe.insha Allah msamehe na Allah awape nusra awaepushe na majanga na wajaze kheri ktk ndoa yenu.

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera Amija umejiongeza kuikataa vita endelevu Ali kuwa makin na zuu vita itaendelea😅😅😅

  • @CathyMathias-bx4ft
    @CathyMathias-bx4ft 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mh mbona kama mmefanana??

  • @RachealMndambi-kv9sd
    @RachealMndambi-kv9sd 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe mshsmba na huwezi kutulia na mke mmoja..mshenz

  • @حميده-ر4ظ
    @حميده-ر4ظ 11 หลายเดือนก่อน +20

    Makubwaaaa😮njooni jamani malipo hapahapa duniyani😅

  • @fatumakweka5182
    @fatumakweka5182 11 หลายเดือนก่อน +33

    😀😀😀😀😀😀😀 nimecheka Sana huyu mwanaume hapa Hamna kitu hapa, Mungu atuepushe na wanaume wa hivi walah

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 11 หลายเดือนก่อน +8

      😂😂 yaani huyu bwana na yule isihaka wakina queen darin na Sabra ni mbegu Moja chefuuu kabisa 🤣

    • @fatumakweka5182
      @fatumakweka5182 11 หลายเดือนก่อน

      @@mariamkibindo1741 yaaan ujinga mtupuu

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 11 หลายเดือนก่อน

      Wajua watu wengine akili hamnaga so mlitaka akae akizini kila kukicha wakati zuu amekataa kurudi na amina amekataa kuolewa na yeye, so sijui mnataka nn nyie waja,

    • @halimaomar3280
      @halimaomar3280 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 amiin ya rabb

    • @liliankemuma9475
      @liliankemuma9475 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@maryammdoe5801sio hivyo angemguzia tu.

  • @حميده-ر4ظ
    @حميده-ر4ظ 11 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu mwanamke mwenyewe chenga tu😅,tunasubili mrejesho wakeeeee, jamanii Ex harudiwi jamani

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 11 หลายเดือนก่อน +19

    Nimefrahiiiiiiiiiiiiii amina ajaolewaaaaaaa bana niache unafki nimefarhi

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 hata mie yaan mama yake alijiamin ndoa ipo Zuu kafanya yake hapo hata Zuu atarudi

    • @Latifa123Latifa12
      @Latifa123Latifa12 หลายเดือนก่อน

      Huyu hawez kumacha amina

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 11 หลายเดือนก่อน +19

    Mtangazaji Nenda kamuhoji Amina tumsikie nae Maana alijiaminisha sana

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 11 หลายเดือนก่อน +10

    Kanamuona mamake na amina maana hapa anakumbukwa zuu yeye tena hayuko 😂😂 aisee ukisikia ukiua kwa upanga na wee utauliwa kwa upanga😂😂 popote ulipo amina polee ila zuu rudi kwa mmeo

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 11 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa ajihandae kisaikolojia huyu mwanamke sio

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 11 หลายเดือนก่อน +12

    Nimecheka kama fala amina hatajwi jamani hata abduli hajatambulishwa leo mamaaaaa amina njoo usikie wale miungu yako imekuwaje bora kaoa kwingine

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 11 หลายเดือนก่อน +31

    Ukimaliza kumuogopa shetani ogopa wanaume ona alivyomgeuka amina 😳😳🙌

    • @mwana4599
      @mwana4599 11 หลายเดือนก่อน

      Safi sana aliongikia ndoa ya Zuu

    • @elimukwadada
      @elimukwadada 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @elinurukitomali6008
      @elinurukitomali6008 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha amgeuke alichomfanyia mwenzake nikitu kibaya sana. Hivi unaendaje kuishi ndani kwa mtu unamchukulia mume wake. Angekua mtu Baki sawa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mjinga san atapigwa matukio huyo

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 11 หลายเดือนก่อน +13

    Mr Alli na Bi Fatma wamefanana sura sijui watazaa bomu gani. Mwenyezi Mungu anisamehe.

    • @trinahahans3737
      @trinahahans3737 11 หลายเดือนก่อน

      Shoga huuna macho mbona fatuma mzuri sana tena anajicho hasa la kuvutia

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 11 หลายเดือนก่อน

      Huna adabu duuh 😂😂😂

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 11 หลายเดือนก่อน

      😢😢

    • @tanzaniaboy9605
      @tanzaniaboy9605 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @happynessemanuel5173
      @happynessemanuel5173 10 หลายเดือนก่อน +1

      Weee umesema Kama mimi😂😂😂😂

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 11 หลายเดือนก่อน +2

    Utamu kunoga macho ya bi fatma sasa zuu kazi unayo hapo😅😅

  • @omangalaxy1657
    @omangalaxy1657 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mmmm mtihani jamani wanawake tuweni makini maana mm sinachakusema niweishiwa pozi jamani 😢

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 11 หลายเดือนก่อน +22

    Mama amina umeumbuka sana . Naulisema amina lazima aolewe haya sasa ameolewa huyo amina

    • @sabinamushi1003
      @sabinamushi1003 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @OmanOman-vb4uj
      @OmanOman-vb4uj 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅jmni nimechkaa balaah

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani C Amina Alieolewa Umbeya Nao Unatabu

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@nurusaid4698Amina hajaolewa Ila alikuwa kwenye harakati za kwenda kufunga ndoa ndo akapata ajali

    • @BushurJoel-t4f
      @BushurJoel-t4f 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂atale sana

  • @husna34562
    @husna34562 11 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani njooni huku 😅😅😅😅wifi wetu wa moto😅😅😅😅😅

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hao ndio wanaume bwana amina na mama ako mmebaki nyuso ndogo kama kidonge cha piriton 😅😅😅😅😅

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 11 หลายเดือนก่อน +6

    Team Da Zuu piga kelele 😂😂😂weweeeeeee Amina kakataa mwenyewe ndoa chezea Zuu ww😂😂😂

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hata wewe fatuma usilete mijimacho yako yakuwaka chako piya kiko motoni

  • @gracemusa31
    @gracemusa31 11 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu Ally anaonekana Hana msimamo

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 11 หลายเดือนก่อน +4

      Mhuni mhuni huyu mwanamme

    • @ashurasaid7204
      @ashurasaid7204 10 หลายเดือนก่อน +1

      Haeleweki anataka nini wakati wanawake ndo wale wale sasa yeye anaonja huku anaacha anajarbu kule anaacha cjui anatafuta radha gani😂

  • @YasintaMinja-ob1nt
    @YasintaMinja-ob1nt หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂nimejikuta nacheka ka chizi eti amina anasema unataka kuniweka msulule dunia simama ni shuke😂😂😂😂😂

  • @YasintaMinja-ob1nt
    @YasintaMinja-ob1nt หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂nimejikuta nacheka ka chizi eti amina anasema unataka kuniweka msulule dunia simama ni shuke😂😂😂😂😂

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo8163 11 หลายเดือนก่อน +4

    Fatuma oyooooo, kilichomkuta kibeku na ungo kitamkuta 😂

  • @YasintaMinja-ob1nt
    @YasintaMinja-ob1nt หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada ana zungusha jicho kama amina ❤❤😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ulimwambia umelal na mfanya kaz am

    • @rahmarr2160
      @rahmarr2160 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sizan kama yakweli nahic amina kaolewa hapo zuga tuu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 11 หลายเดือนก่อน +4

    Peleka ushamba huko! Mambo ya Amina yalivuma sn,hunaga cmu ya touch??

  • @husna34562
    @husna34562 11 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂😂😂😂kumekuchwa😅

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 11 หลายเดือนก่อน +3

    Bs dai talaka kama huna imani ushazoea kizini Malaya ww

  • @MatildaMkombachepa-bv7sw
    @MatildaMkombachepa-bv7sw 11 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu mwanamume chenga,huyu mwanamke naye ajiangalie

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 10 หลายเดือนก่อน

      Hapo kengere imeshagongwa kwenye kichwa chale angalia anavyomuangalia kwenye nafsi yake inaaka moto maskin

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wadada tujitafutien maisha au ela jaman ndoa sio kila kitu tumwombe sana mungu atupe watu sahihi sio kama hv wanaolewa tu ovyo ovyo mtu hamjakutana muda mwingi kaja boom humjui tabia zake za sasa we mbio ndoan daah 😢😢😢so sad 😢😢

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ali maneno mengi na muongo huyu hana kutulia na mmoja na huyu mke pozzi nyingi munamuona anamnyari mumewe kisha sura zao zote mzito wamefanana

    • @sophiamziray
      @sophiamziray 11 หลายเดือนก่อน +2

      Eti sura zao wote nzito 😂😂😂😂

  • @christinajisena2634
    @christinajisena2634 11 หลายเดือนก่อน +19

    Gonga like hapa kama ishara ya kumzomea mama Amina😛😛😛
    Sijui wakicheki hii intavyu watakuwaje! 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 11 หลายเดือนก่อน +25

    Kiukweli nimefulai sana amina hajaolewa

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 11 หลายเดือนก่อน +23

    Nimefurahi sana nlikuwa cmpendi Amina, zuu Rudi kwako

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 10 หลายเดือนก่อน

      Si mume huyu jamani tafadhari huyu ni da sijui nisemeje

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona wanafanana kama mtu na mdogo wake😂😂 ‏‪

  • @YasintaMinja-ob1nt
    @YasintaMinja-ob1nt หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kaka anabahati ya wanawake wenye macho mazuri mashalah ❤❤❤

  • @SafiyaaaSofi-uy3nk
    @SafiyaaaSofi-uy3nk 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hukai naye, huyo mwadazimu

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 11 หลายเดือนก่อน +7

    Kiukweli amina alikuwa mpumbavu sana

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kawa chizi baada ya kumuuguza umemuacha umeoa mke mwingine

    • @fauzeia976
      @fauzeia976 11 หลายเดือนก่อน

      Amina ndo amekataa kuolewa mwenyewe

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 11 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mume cye jmn duh

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo kk ni malaya naarizik na wanawake ila usiongee kumaliza kitajakukutakitu umtoe mtt wawatu bkra na kumtia mimba nakumsababishia maraziyakurongwa Leo unamuacha mhh

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanamke wa Kiislamu utakuwaje na mahusiano na Mwanaume mpaka amukuzalisha bila ya NDOA?.

  • @Naw89
    @Naw89 11 หลายเดือนก่อน +15

    Mbona huyu kama ndugu yake wanafanana kweli😂

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂afanana na mume mala hii!!!

    • @sistertrashid2488
      @sistertrashid2488 11 หลายเดือนก่อน +5

      Hawa wanamtuliza Zuu mganga wake mkali atulie kwanza maana Zuu mgomvi wake Amina kwahiyo akisikia Kaoa mmke mwengine Zuu nae atafurahia

    • @Naw89
      @Naw89 11 หลายเดือนก่อน +3

      Inawezekana sana

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huwezi kuambiwa wote na hata ww hujasema yote na itakua kuna mengine huyajui

    • @rukiajuma7289
      @rukiajuma7289 11 หลายเดือนก่อน

      Nami niliwaza hivo hivo kuwa ndugu yake kweli atii hapa tumepigwa

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nani kaliona jicho la mke 😂😂😂😂

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 11 หลายเดือนก่อน +8

    Aibu kwa mama amina .

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน +4

      Mama Amina alijifanya maji makubwa 😂😂

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mbona mke anatoa anamwangalia macho sana kwa mume😂😂😂😂😂. Lakini mume na mke wanafanana hadi mapua

    • @tinarmanka1550
      @tinarmanka1550 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mchokozi😂😂

    • @sistertrashid2488
      @sistertrashid2488 11 หลายเดือนก่อน +3

      Si ndio wameanzana zamani wanafanana😅😅😅

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@tinarmanka1550 kweli jamani 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@sistertrashid2488 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Latifa123Latifa12
      @Latifa123Latifa12 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂anawaza hapo 😂 mambo yashaingiriana

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน +8

    Aahh sio mchezo bwana huyu ana shida ya tamaa ya wanawake 😮😮

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 11 หลายเดือนก่อน +2

      Uyu penda penda

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน +3

      Penda-pendapo apenda apatapo mteremko 😂😂

    • @salmaignass4979
      @salmaignass4979 11 หลายเดือนก่อน +2

      Huyo si chinga na kama chinga

    • @hemedyawadhi2935
      @hemedyawadhi2935 11 หลายเดือนก่อน

      Alafi mshamba wawanawake pia viela kapata ukubwan

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน

      @@hemedyawadhi2935 Kwa taarifa yake ashapotea basi

  • @kaltumsharif9547
    @kaltumsharif9547 11 หลายเดือนก่อน +2

    Fatuma subiri yatakayokukukta na da zuu

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 11 หลายเดือนก่อน +1

    Humwanaume hajijui yupoyupo tu

  • @monicamonakatwe7880
    @monicamonakatwe7880 11 หลายเดือนก่อน +9

    Binafsi nimeridhika alivyomuoa huyo amina alikuwa anajishaua sana😅😅😅

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 11 หลายเดือนก่อน +1

      Aswaaa

    • @fathimadaid3429
      @fathimadaid3429 11 หลายเดือนก่อน +2

      Hata mie zuu ludi kwako uishi na watoto yule shetani katoka

  • @esthakilicho
    @esthakilicho 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ila munafanana sura mbaya😂😂

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 11 หลายเดือนก่อน

      Na kweli sufuria na mfuniko aise huyy siyo mume 😂😂😂😂

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 11 หลายเดือนก่อน +3

    HONGERA BWANA ALLY, DA ZUU KAZA UZI. NIMEFURAHI HIYOO ISIYO NA JINA KUSIKIA KUA ALLY HAJAMUOA AMINA MIJIGAMBO YA MAMA YAKE KWISHNEYI. MTASEMA ZUU MCHAWI KUMBE NI MALIPI YA MUNGU SIKU AMEONA KUCHELEWA NA WENGINE HAWAFIKI MBINGUNI, AMEAMUA MALIOP HAPA HAPA DUNIANI.

  • @RamlaMburi
    @RamlaMburi 11 หลายเดือนก่อน +5

    Dj tuletee Amina na mama yake 😂😂😂

    • @LucyMassawe-wo9pw
      @LucyMassawe-wo9pw 11 หลายเดือนก่อน +2

      Asumaniiiii😂😂

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน +3

      Mr Ali wewe ni mfupi lakini akili zako ndefu😂😂

    • @mariamnyange199
      @mariamnyange199 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@LucyMassawe-wo9pw😂😂😂😂

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ulivokutana na huyo mwanamke ulipima ukimwi naye kwanza?

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Chanzo niww chama tatizo yote ss sialirogwa so imani ww siulimpeleka kwamganga

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani tunaisubr intervw ya aminaaaaaaaa ikiwezekana na da zuuuuuuu jmn

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bi fatmah muheshimu da Zuu uyo mume wenu ni mongo tena mnafki eti da zuu alikuwa hamjali noooooway

  • @thequeenawifeofking8518
    @thequeenawifeofking8518 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hy m ume ni nyoko😅😅😅😅😅😅😅Yaani kakimbia kwengineeee yaani mtu akiamua lake anaamua w ume ni nyoko pasua kichwa😅😅😅

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo bab nimalaya haswaaa

  • @neeskpop
    @neeskpop 11 หลายเดือนก่อน +6

    Shemegi mwongo kamwaribiya Amina hutu wake. Dada Zuu, heko tayari kwa kuchamsha zingine kwa Fatma. Asiye shauliwa na wazazi, atafundishwa na dunia. Mume wa mtu sumuuuu.😂😂

    • @mwatangachuma9069
      @mwatangachuma9069 10 หลายเดือนก่อน

      YANI KAMTOWA BIKIRA YAKE MTOTO WA WATU DAAAAA

    • @neeskpop
      @neeskpop 10 หลายเดือนก่อน

      @@mwatangachuma9069 Ndiyo.

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 11 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani😂😂😂 hodi humu ndani ndugu zangu amina amelipwa mauwa yake wallah alikatazwa na baba yake hakuskia sasa je uso utauweka wapi aminaaa zuuu mungu kakulipia dada yangu😊😊😊😅😅😅

    • @edithrwechungura2768
      @edithrwechungura2768 11 หลายเดือนก่อน

      kisicho riziki hakiliki....Amina wapi ?anatajwa Zuu..

    • @priscarkasitu8101
      @priscarkasitu8101 11 หลายเดือนก่อน

      Haya ni Maigizo

    • @AminaAminjay-dv8tr
      @AminaAminjay-dv8tr 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@edithrwechungura2768😂😂

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bifatma jiangaikie kama amina karogwa nazuu kisa mumewe na amina kukataa ndowa niuchawiwakurogwa nazuu

  • @julyhaule6850
    @julyhaule6850 11 หลายเดือนก่อน +12

    Amina umekoma ulikua unaniudhi sana umesaidiwa hlf unajifanya mjanja

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu 11 หลายเดือนก่อน +1

      Yani tena sanaaa

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tena haya zimewatoka yeye na mama ake

  • @neeskpop
    @neeskpop 11 หลายเดือนก่อน +5

    Amina, Amina, Amina auwaye kwa upanga, atauliwa kwa upanga. Malipo ni hapa, hapa duniani. Kwa sasa, ni bwana Hali na bi Fatma. Wa kwanza dada Zuu wa pili bi Amina bi Fatma wa tatu kazi ipo.

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Webaba amduli atakama so mkeo ila nimzazi mwenzio nakwann useme nawatt wawili ikiwa naunawatt watatu na amina asinge ingia kichaa nisama namkewako yani wekk mhh

  • @neemaberny3598
    @neemaberny3598 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nani kaona jicho la bi fatma mtangazaji alivyosema alijua amina ndio kaolewa😂😂sema dah @tikitv muipin comment yangu ,huyu baba ni mwingi wa habari hata kama asingekuwa amina angemtafta tu mwingine..dj mletee mama Aminaaa😂😂

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nasikia raha mm jaman💃💃💃

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwambie ukweli kitamramba naye bi Fatuma😂😂😂cheza na zuuh wew 😂😂😂😂

  • @neeskpop
    @neeskpop 11 หลายเดือนก่อน +8

    Wifi mpya karibu kwa shemegi sasa kuwa makini, nyuma yako, atapenda tena kigori. Nimewasalimu toka kongo.

    • @jenifadenis7321
      @jenifadenis7321 10 หลายเดือนก่อน

      Nimefurahi kusikia Amina benchi

    • @neeskpop
      @neeskpop 10 หลายเดือนก่อน

      @@jenifadenis7321 Tumsamehe Amina.

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 11 หลายเดือนก่อน +4

    Amkeni amkeni amkeniiiiiii

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waleta mijimacho ya kwaka hapo subiri zuu Sasa badili na wewe Sasa paka at arudi kwake wame toka mbali nahuyo mume hata km ni mimi cezi kubali so bado wewe bi fatuma nawe chako kiko motoni

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 11 หลายเดือนก่อน +3

    He he makubwa haya mwanaume alikuwa na kimhemhe sana kumbe cha kuoa kumbe s amina tuu 🤣🤣😂😂😂😂😳😳😳

    • @aishatest4451
      @aishatest4451 11 หลายเดือนก่อน

      🙆🙆🙆🙆🙆

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ni kweli Zuu ataendelea kubeba dhambi kwasababu amemtia Amina uchizi haya Bwana Alli kamuowa Bi Fatma je Zuu utaroga watu wangapi ? Wanaume sio watu wa kuwaamini.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 11 หลายเดือนก่อน

      Hakika safar hii zuu atapaa juu kwa kuroga mumewe kaoa sasa mtu mwingine cjui atazimia 😂

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 11 หลายเดือนก่อน +1

    mm data zime nikosea hailhadlai nime pata lazima nirudie izi bidio zote penyeniliwachia🤦‍♂️🤦‍♂️ Nataka kujua saidi kuusu meid kaifanya mwingine awache boma akithani yeye nimalaika🙆‍♀️🙆‍♂️ Aya uyu baba Nikiruka njia mbona Aunge rudi Uombe Zuuu Msama mkalee watoto pamoja 🙆‍♀️🙆‍♂️Ogopa watu wa malong'i🙄🙄🙄🙄

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 11 หลายเดือนก่อน +2

    wewe kaka hatali

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ali japo kua amina hukumuoa lkn huduma usiache kumpelekea mtt wako uhuni wako umemulaghai mtt wa watu ushamuharibia maisha na zuu aendelee tu kwenda kwa babu ushamuoa fatuma sasa baada ya amina

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoa chochote kumpa mume kwa ajili ya wtt wake ni kawaida tena sheria ni mke umsimamie mume ajali family yake tena sio wtt hata ndugu hasa wazazi

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ushafeli bint mke apewa taarifa nimeoa ila sio ruhusa

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 10 หลายเดือนก่อน +2

    Fatuma Dada, ungojee kasheshe kwa kutoka Zuu na Amina.

  • @sperabais
    @sperabais 11 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh baba Abudul jamani mkavu😂😂😂😂 upon wapi mama Amina alikuja kwa kutamba oh cjui oh cjui jaman ndoa ya matambo alitaka baba Abdul ampe Mali 😂😂😂 ndo ashaoa sasa 😂😂😂

  • @fridaminja7191
    @fridaminja7191 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaaaa, dda unamaswali hadi rah. Lkn na wwe kama ulikuwa bado unamsubir bwana ally ilikuwaje ukabeba mimba. Kwahiyo sameheaneni yaishe nimapito ya dunia tuu ddaa, mwisho utamfanya bwana ally akuigope akukimbie

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ila Mamaake Amina Alizidi kidomodomo jamn hadi najiskia vbay nikimfikiria Amina

  • @zuwenaiddi3801
    @zuwenaiddi3801 11 หลายเดือนก่อน +5

    Wapiiiiiiiii Aminah na kujitapa kote jmn

  • @FatumaJuma-c3d
    @FatumaJuma-c3d 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ali afadhali umemuacha amina kamchukue mkeo zuu mlee watoto wenu vita imeisha

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Abdul wenzetu husema Ukweli Utakuweka Huru!! Acha misemo na story... Ungemwambia Bi Fatma Ukweli tu. Kumbuka ndoa ni kitu muhimu na mwombe Mke mkubwa msamaha ili yalio mkuta Bi Amina yasimkute Mke wa pili. 🧐

    • @elimukwadada
      @elimukwadada 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe Bi Fatma, Mke mkubwa ameridhia wewe uolewe Mke wa pili???!*

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe bwana Ally mwenzako hakija mkuta kitu na alishapigwa chuma cha uchizi kuwa serious 😂😂

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tik TV mbna ulisitisha story ya gaude haijaish

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 11 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mwanaume
    Mmm allah amwuongoze mmm mtihani

  • @gemamuhoza3479
    @gemamuhoza3479 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mama Amina Amepigwa na kitu😂kizito 😂😂😂 kula chuma icho 😂😂😂😂😂

  • @TheFire_Gamer
    @TheFire_Gamer 11 หลายเดือนก่อน +5

    Vita vya pazi imani ya kunguru

  • @zubedahussain2133
    @zubedahussain2133 11 หลายเดือนก่อน +1

    Anamaneno mengi
    Alafu makode

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 11 หลายเดือนก่อน +5

    Bi fatma tuulize sisi wambea wajiji tukupe ubuyu wa huyo mume wako kuwa makini dada nimazito yanayoendelea vita hadi kwa waganga nikurishiana makombola tu ndo mana hajakwambia ungeyajua hayo si zani kama ungekubali hiyo ndo 😂😂🙌

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 11 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅

    • @AminaAminjay-dv8tr
      @AminaAminjay-dv8tr 11 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli

    • @kaltumsharif9547
      @kaltumsharif9547 11 หลายเดือนก่อน

      Maneno manene

    • @AminaBakar-r6f
      @AminaBakar-r6f 10 หลายเดือนก่อน

      Kushinei mwanamke mwenzangu akuna mume apo taper maneno mengi

    • @AminaBakar-r6f
      @AminaBakar-r6f 10 หลายเดือนก่อน

      Muongo uyo usimuamini