NDOA YA SIKU MOJA: SIKUJUA KILICHOPO NYUMA YA PAZIA NA ALINIOA BILA KURIDHIA N..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • NDOA YA SIKU MOJA: SIKUJUA KILICHOPO NYUMA YA PAZIA NA ALINIOA BILA KURIDHIA N..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #NDOAYASIKUMOJA #SIKUJUAKILICHOPONYUMAYAPAZIA #TIKITVKIAKILIZAIDI

ความคิดเห็น • 144

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +4

    Nipe namba zake za simu atanipenda akiniona ila tatizo anakunywa pombe

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 ปีที่แล้ว +5

    Kujua dini ni muhim jmn barua mkaja wala aipo kwenye dini apo din imesema mahali Shahid na idhin yko

    • @khuwaylidsalum6697
      @khuwaylidsalum6697 2 ปีที่แล้ว +1

      Wallahi huyu dada ana mtihani juu ya kujua dini yake maana yote alosema hayapo katika dini maana katika dini hakuna barua wala mkaja wa nani wala nani na wala hakuna cha kusema mke kua mbali na mume ikifika miezi mitatu umeachika halipo katika dini chunga sana usije ukaendelea kuolewa na ukiwa bado ni mke wa mtu maana utakua unazini hata kama mime hakushuhulikii kwa lolote bado kabisa maana ndoa haina expiring date.

  • @raybby9291
    @raybby9291 2 ปีที่แล้ว +1

    Virus vyake sio vya kuambukiza ningekuwa mm ningekaa nae tu ukimwi popote unaupata

  • @marylusinde6717
    @marylusinde6717 2 ปีที่แล้ว +1

    🙄

    • @reginapiusi6750
      @reginapiusi6750 2 ปีที่แล้ว

      Nipe namba yake huyo bwana 🙈🙈

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 2 ปีที่แล้ว +3

    Muathirika wa HIV akiwa anatumia dawa uwezo wa kuambukiza ni mdogo sana, so ungepata ushauri mngeishi bila kukuambukiza

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 ปีที่แล้ว +6

    Yule rahma mwenye mtoto vp?

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 2 ปีที่แล้ว

      @@nancyhassan8290 🥰

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Madam wewe huyo mkenya kashakupa ukimwi huwa Anawaonga madoctor lakini dada yangu pole kwa H.I.V 🇹🇿🇬🇷⚓

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Sio mmefugwa tamaa ya pesa mmelala hotel usubui kwanini Amjakwenda kupima?🇹🇿🇬🇷

  • @rehemasalum3714
    @rehemasalum3714 2 ปีที่แล้ว +4

    Nishadanga sana ila hamna mwanaume ambaye alonambia sogea tupike t ugari 😂😂😂😂nimecheka

    • @faizasaid437
      @faizasaid437 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁yaani acha kbs

  • @lulundege2376
    @lulundege2376 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyo alikuwa anahonga private hospital ili amfichie aibu zake

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 หลายเดือนก่อน

    Naona mkatafute ushauri nasaha mambo yanawezekana

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 ปีที่แล้ว +3

    kujuwa dini ni muhim sana eti nyota jamani shiriki kwanini uliolewa bila kupima?

  • @rebeccaomar3523
    @rebeccaomar3523 2 ปีที่แล้ว +2

    HUYU DADA LABDA ANA GROUP O YA DAMU AMA UYU MWANAUME AWE ANA GROUP O

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo ulibugi yaani mungu angelikupa ufaham wa haraka haraka wala hiyo ndoa usingeliipata
    Na hawa wazazi wetu nao Hawa

  • @bint8178
    @bint8178 2 ปีที่แล้ว +2

    Duu iyo kali...na penda sana vipindi vwako bwana Shayo

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn ปีที่แล้ว

    Hamna taraka kwasababu hawakufunga ndoa ya dini wala ya bomani

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada ila asante kwakutukumbusha tunatarajia kuingia kwenye ndoa

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kawaida ukitumia vizuri dawa za kufubaza virus vya ukimwi huwezi kumwambukiza partner.

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 2 ปีที่แล้ว +4

    Dada kuhusu ukimwi unaweza uka kutana na mtu mwenye ukimwi na uka zaa nae mtoto akawa hana na wew mama ukawa upo salama wew la maana nikurudi kwa mume wako wa kenya nenda uka fate ushauri wa ma dactari mtaishi salama na kama ni kweli anao ukimwi ujue unaweza uka kaa hata myaka kumi na majibu ya kawa negative wew rudi kwa mume wako

    • @pulkeriaulirki408
      @pulkeriaulirki408 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli mamy unavyo sema sio wote wanaoishi na watu wa adhirika wanaupata ni masharti wanatakiwa wafate

    • @devothaignatus5911
      @devothaignatus5911 2 ปีที่แล้ว

      Umeongea point

  • @evamkumbwa1739
    @evamkumbwa1739 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwa saut yako shost unaonekana ka mcharuko

  • @susans4490
    @susans4490 ปีที่แล้ว

    Hiyo nyota ni Mila na hiyo kupeana vitu kwa wazazi na ndugu ni kimila tu si dini

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuwa mjanja msichana huwezi kubali kulala na mtu bila kupimwa. Kilichonisaidia nikuwa huyo mtu alikuwa akimeza dawa za ARV inavyostahili. Sasa makali ha virusi Iko chini kabisa haiwezi kuambukizana.. una bahati dada. Next time nenda upimwe
    mimi natoka Mombasa Kenya..kaa makini.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +3

    Sio kweli ww ni mke wa mtu na akifa unakaa eda

  • @coclewitgar-sn8vn
    @coclewitgar-sn8vn 11 หลายเดือนก่อน

    Nipe namba za bwana huyo

  • @didamanyanya4893
    @didamanyanya4893 2 ปีที่แล้ว +4

    Stor ya rahma vipi yule bint mama ake yupo omani

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +2

      Kaolewa na Kelvin tayari 🤣🤣

    • @maimonamaimona1177
      @maimonamaimona1177 2 ปีที่แล้ว +1

      @@MohammedAli-rh5si AKIAMUNGU UMENICHEKESHA🤣🤣🤣

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว +1

      @@MohammedAli-rh5si unauhakika?

  • @lylieouko9569
    @lylieouko9569 2 ปีที่แล้ว +4

    If he was adherent to the drug,he couldn't have infected you.

  • @ldyiahkemuntosamwel1920
    @ldyiahkemuntosamwel1920 2 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka ni comment kwanza ndio nisikize

  • @عائشةعيس
    @عائشةعيس 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona nikama yule mdada alozaa na baba ake .. Au ni sauti tu zinafanana jmn

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 ปีที่แล้ว +1

    Jibu ni mke WA mtu ujaachwa muongo aipo ivo kusema miezi mitatu c mke wakat ww ndio uliondoka nyumban apo inaitwa mumeasiana sio mmeachana

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka kelvin shao hongera mungu awabariki nyote

  • @jamilajamila183
    @jamilajamila183 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole dada,, na Allah atunusuru wallah 😢

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Mpendwa Mwenyezi Mungu Anakupenda sana Ubarikiwe 🙏

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 ปีที่แล้ว +4

    Wewe dada shukuru mungu alikuokoa usiseme ni dam yako

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipee number ya uyo mwanaume 🙈🙈

  • @salmahalfani6307
    @salmahalfani6307 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti kama ya Zai wa kijiwe noga

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli sauti kama ya zai🤣🤣

    • @faizasaid437
      @faizasaid437 2 ปีที่แล้ว

      😁😁Dharau izo ss

  • @isayafrank7636
    @isayafrank7636 2 ปีที่แล้ว +3

    Ile stori yetu mmeuza au🙄🙄

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 2 ปีที่แล้ว +1

      Ipi

    • @isayafrank7636
      @isayafrank7636 2 ปีที่แล้ว

      @@azizaaziza7996 ile ya yule jamaa alie zunguka east afrika yote tz anaona kama kijiji

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmm dini gani hiyo isiyo taka mahali yote jamani 🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว +1

    Ss iyo sauti wt hawaijui pia ht ukigeuka uko

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mwema jaman.. Pole sana dada na hongera pia kwa kuonyesha uwanamke wako

  • @brayankimambo5125
    @brayankimambo5125 2 ปีที่แล้ว +1

    Kev kwa maswali nakukubali

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 ปีที่แล้ว +4

    Sheria ya dn gani isotaka mahari itimie?
    Kwanza umsema unaolewa kimila ya dn yantoka wap sasa?

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mm nimeshangaa my, dini yetu haina hayo masharti alisema na kusema dini mpk mambo ya barua, hayo mambo ya barua hayana umuhimu wowote wazazi wanaemda kuposa direct

  • @swaumdodoma7591
    @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว +1

    Da aisee hi story imenikumbusha mbali sana wallah kidogo yatakua kufanana na yangu na pia mimi uyo mwanaume alikua anaishi Kenya ila mimi nilikataa si kutaka Ata kumuona zaidi ya shangazi yake tu ndo alikuaga kuniongelesha nilivokataa wakawa wanalazimisha nimuone kwanza muoaji mwenyewe lakini siku walopanga kuja mimi asubuhi na mapema niliondoka ni kaenda mtaa wa pili kwa mtoto wa dada angu ad mda wa kulala ndo nikarudi da yaan nimecheka baada ya kukumbuka

  • @patiencetinahkimathi1660
    @patiencetinahkimathi1660 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahiiiiliii au wimbo🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂

  • @rehemaamida365
    @rehemaamida365 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana hata mm yalinitokea ila mm nilikataa kushiriki tendon la ndoa na nikavunja ndoa kbs hadi ss mm Sina ila yy anao

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 ปีที่แล้ว +1

    Kidini hakuna kuolewa Kwa mkaja wa mama Wala ulazimu wa barua ,,kinachohitajika ni mahari walii au izini yake , na izini y muolewaji namahari sio lazma yatimie inaweza kuepo makubaliano ,na mashahidi wawepo

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani pole sna dda mungu akulinde maskini hulaumiki kuondoka kwake huo mtihan kwa kweli

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakujaalia utapata mwengine mpnz

  • @zawadimussa2514
    @zawadimussa2514 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona saiti ka ya yule alie zaa na baba yake sasa,,,

    • @agnesmwende6690
      @agnesmwende6690 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni Yule aliyezaa na shemeji yake,that video was downloaded 7 months ago

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 ปีที่แล้ว

      @@agnesmwende6690 mmmmh

  • @neemambise3591
    @neemambise3591 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada kanichekesha kweli yeye anataka laki 9 aweke ela kwenye maziwa yamekugeuka ss Yani mtu umjui Wala akujui mnaoana iyo inakaaje wanafebok kweli inaingia akili jaman wanake wengi ni shida

  • @missjudy7294
    @missjudy7294 2 ปีที่แล้ว

    Waongea ama unarap🤔sielewi chochote but nasikiza tu

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 2 ปีที่แล้ว +4

    Dada, nadhani huku para ushauri mzuri huko hospitali. Mngepata professional counseling kuhusu drug adherence na pia jinzi ya kuishi kama discordant couple nadhani hungeshutka ila pia maauzi ulio chukua ni right yako kujulinda afya yako. Pole Kwa uliopitia

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmm mtibani

  • @rosebaitani5727
    @rosebaitani5727 2 ปีที่แล้ว

    Nenda uolewe. Ukimwi kama ugonjwa mwingine pata ushauri wa madakitari.

  • @winifiridamayala4692
    @winifiridamayala4692 ปีที่แล้ว

    Kk uko vizuri kwamaswali huwa nafulahi sana

  • @nikitasofia4830
    @nikitasofia4830 2 ปีที่แล้ว

    Ukiwa umekunywa dawa hizo ukipima hawa hawaoni kitu .hata akinywa maziwa wanaweza kupima wasione.

  • @faizasaid437
    @faizasaid437 2 ปีที่แล้ว

    Wanasema sikuzote hapew pole mtu mwenye kiranga😁😁😁😁😁😁

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 2 หลายเดือนก่อน

      😄😄😄😄

  • @rehemaamida365
    @rehemaamida365 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe wangu ni kuwa utakapo pata mwenza wako kabla ya ndoa mkapime ndo ndoa ipite

  • @omancity1521
    @omancity1521 2 ปีที่แล้ว

    Kwanza kuangaliya nyota na kupiga lamli ni shirki ni vyema mkasoma mkaelewa dini siyo mnaongeya tuu

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauuti hii ndie pengine

  • @afsaiddy5648
    @afsaiddy5648 2 ปีที่แล้ว

    Mashed na wanayuoni tunaomba mtu Sadie kuhusu talaka na ndoa na mahari

  • @swaumdodoma7591
    @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

    Hiii jamani we dada hajakujua nini _____sukari wala chumviii? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 ปีที่แล้ว +1

    Ah

  • @sophiamumba1891
    @sophiamumba1891 2 ปีที่แล้ว

    shayo anachokisema huyo binti kuhusu ndoa za kiislam ni kweli

  • @swaumdodoma7591
    @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aki nimecheka kwasaut wallah khaa wanawake mngu anawaona et akiingia tu mganyage mguu wa kushoto kha😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 2 ปีที่แล้ว +6

    Sikiliza kwa makini. Huyu ni yule binti NIMEZAA NA BABA YANGU MZAZI

    • @agnesmwende6690
      @agnesmwende6690 2 ปีที่แล้ว +3

      Ni Yule dada aliyezaa na rafiki(shemeji)wa mumewe

    • @agnesmwende6690
      @agnesmwende6690 2 ปีที่แล้ว +3

      Anaitwa Mwaija kazeju eti alizaa na shemeji Io Stori was downloaded 7 months ago

    • @mayaproducts5294
      @mayaproducts5294 2 ปีที่แล้ว +1

      @@agnesmwende6690 Mbona kama ni yeye kweli

    • @rosemagomba7474
      @rosemagomba7474 2 ปีที่แล้ว +1

      Sauti yake ndio ni yeye

  • @hamislukas6543
    @hamislukas6543 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo wewe uliona chaajabu Nini hapo,

  • @lifhonlee3427
    @lifhonlee3427 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahi waaaaaaaa utadhani n shahiri.mmmh eti mke sasa.humjui haujai date tena wakubali tuuu.

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa mkasa uliokukuta, binafsi sikulaumu kwani una haki ya kufanya maamuzi magumu kulingana na hali halisi iliyojitokeza.

  • @dianajoseph6673
    @dianajoseph6673 2 ปีที่แล้ว +8

    Aisee watu wanapiitia magumu. Mungu atulinde

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 2 ปีที่แล้ว

      Sana mm mwenyewe aliye kuwA MUMEWANGU ALIKUWA ANATEMBEA NA SHUGA MAMI ALIKUA NA UKIMWI MM NILIKUWA SIJUI BAS AKANIACHA

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmmmh!!!!huyu mbona km alozaa na babake hii sauti jamaniiii!!!!!!??
    Yaañ hata anàvoongea
    Inamaana haya ñnoyaskia kuwa hz story c za kweli ni kweli ama?

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

      ck zot km halijakupata ww binadam tumeumbwa kutooamin juu ya mtu mwngne, had likupate ww ndo utasema ahaaa kumbe ni kwl, endeleen kujua n uongo

    • @SamsungA-sq9pi
      @SamsungA-sq9pi 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama siye wamefanana maana ata kuelezea yake ni yy kabisa

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 ปีที่แล้ว

      @@martinmaryogo3676 lisemwalo lipo

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

      sio huyu jmn ni saut tu, ivi ww unatak mtu awe na saut yake peke yake ktk wat wot jmn

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣 eti mkanyage mguu wakushoto hio nayo kali

  • @reginapiusi6750
    @reginapiusi6750 2 ปีที่แล้ว

    Nitumie 2 namba yake 🙈🙈🙄

  • @marryg4235
    @marryg4235 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole mdog ang,mungu yu mwema kwako.

  • @marylusinde6717
    @marylusinde6717 2 ปีที่แล้ว +2

    🙄

    • @neemambise3591
      @neemambise3591 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka Kelvin shayo tunakukubali mbaya

    • @mschiku-us8dc
      @mschiku-us8dc 2 ปีที่แล้ว

      Huna lolote mchaluko tu

    • @mschiku-us8dc
      @mschiku-us8dc 2 ปีที่แล้ว

      Ht hvo usiseme mamb meng unatakiw usabili upime ht mwak mzim ndo ufrah

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 2 ปีที่แล้ว

    * sorry hukupata

  • @laylaamiina7483
    @laylaamiina7483 2 ปีที่แล้ว

    Kweli voo km alizaa na baba ake sasa vp

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 2 ปีที่แล้ว

    Wanga hao kupima nyota pole Dada umeponea tundu ya sindano

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa kutizamia nyota ni shirki

  • @عبيرالعنزي-ض7ه
    @عبيرالعنزي-ض7ه 2 ปีที่แล้ว

    Watching ur from kenya

  • @tinajohn5586
    @tinajohn5586 2 ปีที่แล้ว

    Jamani anaongea anaimba duh

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah kumbe dada ulikua watoka na kila mwanaume then wamkimbia huyo alokuoa how come? Na ndoa ya kiislamu haivunjiki hata miaka 20 ila kwa hayo maradhi sio damu ila ni mungu tu amekulinda mja wake wewe, narudia tena ndoa haivunjiki hata miaka mia inavunjwa na talaka atamke ama aiyandike acheni maneno yakusikia tuisome dini yetu

  • @esterdominic7020
    @esterdominic7020 2 ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh wana hela!

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 ปีที่แล้ว

    🙄🙄

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 2 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔

  • @salmahanai3601
    @salmahanai3601 2 ปีที่แล้ว +1

    kaka shayo napenda sana vipindi vyakp

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole dad mimi najua tanzania hakuna kuozeshwa bila kupima maradhi
    Walikufanyia kusudi haraka haraka ili usijue
    Lakini usiogope madhali yeye anatumia dawa wewe unakuwa hupati na mtoto akizaliwA anakuwa hapati....rudi kwa mumeo ukae na uzae nae bila hofu.....
    Dada rudi kwa mumeo

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว +1

      We fala kwel ww yaan unamwmbia mwenzio arudi kw mumewe wakt anaUKIMWI Mfano ungekuwa ww kwl hali iyo ungeichkliwa kawaida tafakari kwnza so utoe ushauri wa kisenge senge

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 2 ปีที่แล้ว +1

      Anachukulia ngoma ni rahisi kuipokea ushauri gani huo wakumshauri mtu, yani mtu umemtambua ni mgonjwa hakukutaarifu alafu huishi nae??

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 ปีที่แล้ว

      @@hamidmweusiii35 asante sana kwa kunitukana ...kama sijui nisingemshauri nenda ukasome kwanza halafu utukane watu...mbona aliyeandika kwa wnglish hukujibu au ulitoroka darasani

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 ปีที่แล้ว

      @@philemonmagesa5548 kila maradhi yana dawa kuna watu wana hepatitis na inaambukiza na nimbaya sana na wapo wanatumia dawa na wanaishi... ukimwi kama anatumia dawa hauambukizi na hata akizaa mtt hapati
      Nawashauri kama hamkusoma someni hata kwenye mitandao kwa lugha zoote mtapata jibu

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว +1

      @@shamzone388 kwel sjasoma nplke ww darasan

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

    hyo ya kupma nyota ndo mpy kwngu

  • @ostakiambilinyi1270
    @ostakiambilinyi1270 2 ปีที่แล้ว +3

    Plz shayo muendelezo wa rahma

  • @mkasiali6956
    @mkasiali6956 2 ปีที่แล้ว

    Mumeusiemjua usikubali ndoa bilkupimwa

  • @nurungole3961
    @nurungole3961 2 ปีที่แล้ว

    Naunachokipata utakipata hamna cha pole hapo umedanga or mara akija tutakaa chini hapo imetoka endelea na maisha ulioyazoea zaidi kukusaidia. Muombe Mungu sana uyaishi mapenzi yake ili usijutie tena tulia

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 ปีที่แล้ว +1

    eti kudanga huoni hata aibu mtoto wa kislaam..unaonekana mcharuko sana wewe dada ,tulia usali sana

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayo mambo yakupima nyota niushirikina huo

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 ปีที่แล้ว

    Jaamani kelvin hongera unanikosha kw maswali yko mm napenda Sana intaviu zako mm