video music. Kijana wa Mbarikiwa aliyekua lumande aachiwa kwa dhamana. Saluti kwako mwanangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @LightnesSalim-s7d
    @LightnesSalim-s7d หลายเดือนก่อน

    Nimependa Sana kusikiliza this son ubarikiwe pastor glory to God

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 3 หลายเดือนก่อน

    Kikos kazi mungu awalinde

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 ปีที่แล้ว +5

    Ninachojua mambo ya Mungu huenda kwa mafumbo sanaa,
    Ni rahisi kumuona mtumishi Mbarikiwa kama hana utaratibu, kumbe nyuma yake kuna Mungu anavunja huo utaratibu ili atimize jambo,
    Tutafakari, kwa nini mitume wote na kanisa walipitia magumu lakini Kanisa la leo halipitii magumu kama yao.

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997 ปีที่แล้ว

      @Musa Malaba Una akili sana kuyajua hayo na kujiuliza kwanini kanisa la sasa haliyapitii

    • @noeleliasi8401
      @noeleliasi8401 ปีที่แล้ว

      Kuna pepo ameingia makanisani kwa vazi la HEKIMA na USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA, yani kanisa la leo usikemee asee maana ukikemea.Maneno tajwa hapo juu utayasikia asee. KIKOSI KAZI PIGA KAZI BE BLESSED SAANA KWA KWELI

  • @Kasa.c
    @Kasa.c 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu ni muimbaji. Kila kitu kinasambaswa kwa nyimbo. A great of singing in him. Nyamaza na usikilize wenzako na mungu atakuinua
    I wish he limited his worship to the word of God. This song is a praise song and not gospel.

  • @BenjaminAmanyaAmanya-qn4rh
    @BenjaminAmanyaAmanya-qn4rh ปีที่แล้ว +1

    Shuja n mungu lakini thanks for the good song my brother am from Kenya

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 10 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu Wakristo... kuna Mambo yanatesa Moyo, kuna majira Mpaka unajiuliza Umekosa Nini? Hakuna kazi Ngum kama Kupiga magoti mara kwa mara dhidi ya Mkeo na watoto. Kisha ukasikia hila za shetani zimemteketeza Mtoto wako, ambaye unajua alikuja kwa Kusudi la Mungu na umemimina vilio vya Maombi dhidi yake, Huwa unajikuta hauko sawa

  • @JosephChacha-oj5xf
    @JosephChacha-oj5xf 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana baba wa Alex

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 ปีที่แล้ว +1

    Vita sio yetu I ya Mungu jipe I moyo mkuuu na kwa Jina Yesu shoga kwishaaa

  • @user-ub6pi3bz1o
    @user-ub6pi3bz1o ปีที่แล้ว

    Jipe moyo mtumishi kila lenye mwanzo linamwisho mungu atawafuta machoz

  • @scolabwana8252
    @scolabwana8252 11 หลายเดือนก่อน

    Nimelia jamani chozi limetoka mungu akutie nguvu

  • @njunisamweli2410
    @njunisamweli2410 ปีที่แล้ว +2

    Baba Mungu awatiye nguvu natoka safali ya kwenda mbinguni kwakweli ni nyembamba

    • @brendamwamasika
      @brendamwamasika ปีที่แล้ว +1

      Mungu kubali muchungaji pole sana kwaunayo pitiya tumuombe mungu akutiye nguvu

  • @isakasyembe2956
    @isakasyembe2956 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awafanyie wepesi katika Hali ya mawimbi makali na upepo uvumao kwa kasi Kama tufani kutaka kuwapeperushia ninyi mbali, naamini Yuko atakayetuliza hii dhoruba. Mwaminini Mungu😥😥😢😢😢😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu hawalii kwa sababu wanalilia mkate, ila ni jambo la Kimungu hata kama ni kwa sababu ya kutofuata utaratibu,
    SWALI: Kwani ni Kanisa tu ambalo linatakiwa kufuata utaratibu?

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 ปีที่แล้ว +1

    Hyu Mungu atajibu tu ,hakuna pando utakalopanda usivune ,nao ni wanadamu kama sisi wananyama kama sisi ,

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 ปีที่แล้ว +4

    Mwabudu mungu shujaa ni yesu

    • @peaceamani2877
      @peaceamani2877 ปีที่แล้ว +2

      Na pia Kuna mashujaa wa Imani. Waliosimama imara hata kwenye dhiki kubwa. Hawakuikana injili. Dunia ya Sasa Hawa mashujaa hawako kabisa. Bali mmoja kama Alex lazima tumtambue. Watu kama yeye wamesalia wachache saana.

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997 ปีที่แล้ว

      @Jimon Mwakalebela wazungu waliokuloga Mungu awasamee sio kosa lako

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hashindwi,watapambana nae lkn hawatamshinda

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว

    Mungu awasimamia

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 ปีที่แล้ว

    Jamani kumuelewa mungu ni kazi ngumu sana hivi mimi nitamuona Mungu pamoja na ugoigoi nilionao Hawa jamaa nawapa saluti Eee nisaidie na mimi niweze kubadilika niwe kama Hawa jamaa

    • @immalyimo887
      @immalyimo887 ปีที่แล้ว

      Ndungu nimetoka machozi kwa huu ujumbee

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว

    Njia ya KUAMINIWA na MUNGU IMEPITA HAPO saruti kwako KOMANDOO Arex . Umeweka alama DUNIANI,(kama Samsoni)Umetikisa Nguzo zilizo ishikilia Tanzania.big up komandooo Umelitenguwa mguu limnyama likubwa vitani.

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 ปีที่แล้ว +2

    Jaman mbarikiwa unagusa mioyo mno maana unaimba kwa uchungu na hisia sana Baba 🙏🙏🙏🙏🙏 Hadi tunalia

  • @johnsonjohn-qz7cq
    @johnsonjohn-qz7cq ปีที่แล้ว +1

    Salute kwako kamanda Alex Mungu akupiganie sana

  • @PokeaUzimatv-hl6fy
    @PokeaUzimatv-hl6fy ปีที่แล้ว

    Ameenda kwa kazi Mungu amilinde kama Alivyomlinda Daniel

  • @rogersndaiga5832
    @rogersndaiga5832 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana kumwona kamanda ALEX TEWELE, hakuna kulegeza kamba, Uzi ni uleule.

  • @DrMlelwaLectures
    @DrMlelwaLectures 7 หลายเดือนก่อน

    #free Mbarikiwa

  • @alexelegwa4327
    @alexelegwa4327 ปีที่แล้ว

    Usifinyike tanzania Kuja kenya🇰🇪mchungaji hapa serikali yetu ni ya injili,, Kuja Kuja tu twAkusubiri kwa hamu na gamu.

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 ปีที่แล้ว

    Waache wa yapitie wanaonyesha upendo wao kwako na kwa Mungu 😭😭😭😭

  • @mtumishiDanny
    @mtumishiDanny ปีที่แล้ว +2

    Baba wewe sijui nikutafsiri je yaani ! Ila kwasasa nataka tuu kufika tanzania nikuone live . Wewe yaani 😀🙏 Mungu Mwenyewe wajua . Mungu Aniwezeshe mpango wangu ukatimie .

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 ปีที่แล้ว

    Naamini kisansi cha Bwana kitakua kikubwa sana

  • @florapeudy3963
    @florapeudy3963 ปีที่แล้ว

    Mungu awainue zaidi

  • @chrispincharles3616
    @chrispincharles3616 ปีที่แล้ว +1

    Salute kwako shujaa kamanda Alex.

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว

    Salute nilijua kwa YESU au Mungu

  • @mtumishiDanny
    @mtumishiDanny ปีที่แล้ว

    🫡 Kamanda Mbarikiwa Mwakipesile nabii wa Mungu NABII WA MUNGU NABII WA MUNGU NABII WA MUNGU NABII WA MUNGU NABII WA MUNGU NABII WA MUNGU UNAYE MUNGU WA KWELI HATA KAMA DUNIA NZIMA IMEKUGEUKIA NA WATU NA MAMLAKA ILI KUKUNYAMAZISHA ILA WEWE NI NABII WA MUNGU ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI NA VIUMBE WOTE WALIO HAI

  • @rebekamoshi2623
    @rebekamoshi2623 ปีที่แล้ว +3

    Baba umejaa upendo wa kweli kweli kabisa...Hata kwa hatua hii tunashukuru pamoja na mabaya yaliyio kusuddiwa bado ilamkwa.hapa..
    Sote njia yetu ni hiyo kwa haki za ulimwengu wao

  • @shadraachshadinho
    @shadraachshadinho ปีที่แล้ว +1

    Mungu awatie nguvu jaman

  • @experiuskamugisha6722
    @experiuskamugisha6722 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie NGUVU watumishi

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 ปีที่แล้ว

    Kama.unataka.kuwa mwanasiasa basi uachane na kazi ya mungu. .ninachokiona kwa mbarikiwa mwendo anao kwenda nao. Mwisho wake nimaumivu. Nawashirika.mnaomwiga tabia ni hatari kwenu. Hubirini mambo ya mungu mengine mjitenge nayo

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Mambo ya Mungu ni nini Macrina? Shetani ni ubaya na Mungu ni wema. Kwa hiyo tukikemea ubaya /uovu /waovu ndio siasa? Kuumia tulishaumizwa wala hakuna maumivu zaidi ya hayo. Endelea tu kusherehekea.

    • @macrinajoseph1422
      @macrinajoseph1422 ปีที่แล้ว

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile .acheni.kuongerea.watu on hubirini.injili.iletayo.wokovu.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      @@macrinajoseph1422 tuongelee panya? Kuandika kwenyewe....

  • @amanyisyekabuje2806
    @amanyisyekabuje2806 ปีที่แล้ว

    Mungu atabaki kuwa Mungu kwenye haki siku zote .

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 ปีที่แล้ว +2

    Leo Mbarikiwa anasumbuliwa na serikali ila wengi kama Kanisa tunasimama kinyume naye kwa kisingizio hafuati sheria,
    Ni kweli kuna mambo anakosa utaratibu, ila sio kuwa nyuma ya serikali ambayo inataka kuzuia kibali cha Kristo kuhubiriwa,

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 ปีที่แล้ว

    MBARIKIWA ANA KITU NDANI YAKE.

  • @tinamakacha1897
    @tinamakacha1897 ปีที่แล้ว

    Wimbo umeniumiza sana

  • @nesphorycharles9371
    @nesphorycharles9371 ปีที่แล้ว

    Hakika kuna uwepo wa
    MUNGU !!nyimbo yenye upako...!!asantee sana

  • @petermwasyika
    @petermwasyika ปีที่แล้ว

    Mungu Jehova Ebenezer Mungu tusaidie

  • @jacklinekirera2980
    @jacklinekirera2980 ปีที่แล้ว

    Asante yesu kwa shujaa

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 ปีที่แล้ว +2

    Tena saluti kubwa kwako Alex

  • @bishopstephanosaid9205
    @bishopstephanosaid9205 ปีที่แล้ว

    Mnaweza mkajipa moyo kuwa ni sehem ya mateso ya utumishi kumbe mnajitesa wenyewe kwa nchi kama ya TANZANIA

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Baba zako waliua Yesu. Ninyi mmeua mwanangu. Je mwaweza kuona tatizo kututesa na hatimaye kutuua? Mungu amewaruhusu fanyeni ushetani wenu

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 ปีที่แล้ว

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile imani inaweza kuwa tatizo au suluhisho katika maisha. Wewe umeifanya imani kuwa tatizo. Na huwezi kugundua hilo. Kwa sababu tatizo limefichwa kwenye imani

  • @adampetermakombe5654
    @adampetermakombe5654 ปีที่แล้ว

    Kwadalesalam hamuna kanisa natamani kuabudu nanyi

  • @NellyMadeni-yv6fd
    @NellyMadeni-yv6fd ปีที่แล้ว

    Asante Yesu umejibu.

  • @fungotunae3014
    @fungotunae3014 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu🙌

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 ปีที่แล้ว +1

    Samahan Alex ameachiwa??? Ili tumshukuri mungu???

    • @noelmtewele5236
      @noelmtewele5236 ปีที่แล้ว

      kaachiwa

    • @salahsadi3908
      @salahsadi3908 ปีที่แล้ว

      Utukufu kwa Jehova nisi maana yeye ndie bendera yetu ya ushindi🙏🙏🙏

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 ปีที่แล้ว

    Huyo Alex ni nan?

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤salut Alex.

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 ปีที่แล้ว +1

    Ninaamini kipindi cha mateso kwa Kanisa kitakapofika rasmi, wengi sana watakana imani zao,
    Tujipime kila mmoja kama Kanisa, likija jambo liko kinyume na Mungu tutaweza kusimamia kama walivyofanya wengine?
    Mimi sio mfuasi wa Mbarikiwa kwa asilimia mia, ila naamini nyuma yake sio bure, kuna kitu ila kwa jicho la kibinadamu tutaona kama ugaidi,
    Ila ninachojua, kuna kitu Mungu anataka tujifunze kama Kanisa,

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 ปีที่แล้ว

    Waache wa yapitie wanaonyesha upendo wao kwako na kwa Mungu 😭😭😭😭