Nasikia kuitwa,Tenzi no 40. Mbarikiwa Ft Salome (official video music)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2022

ความคิดเห็น • 66

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 ปีที่แล้ว +9

    Nawapenda sana wazazi wangu hakika mioyo yenu imemkaribia sana MUNGU ,ni matamanio yangu kuinywa mioyo yenu na roho zenu najiona nitakuwa moja ya mwanadamu mwenye heri sana kama nitaishi kipande cha maisha yenu . I LOVE YOU MY FATHER AND MOTHER

  • @lazaroraphaelmwandosya7010

    Glory to God 🙏🙏🙏

  • @priscarodrick552
    @priscarodrick552 ปีที่แล้ว +3

    Bwana YESU aendelee kuwabariki zaidi watumishi🙏🙏🙏

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 ปีที่แล้ว +3

    Mioyo iliyo pondeka hata wimbo tu unaaisimua nampenda Yesu 🥰🥰

  • @simonlaizer6261
    @simonlaizer6261 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Kwa kupigwa kwake sisi tumepona asanteeeeeh 🙏 yesu njoo kwetu baba 😭😭😭😭😭😭😭

  • @chrispincharles3616
    @chrispincharles3616 ปีที่แล้ว +5

    Asante Yesu kwasababu ya mjoli wako baba yangu Mbarikiwa hata nimesafishika na tabia chafu kupitia nyimbo zake ikiwemo kujichua kulikopitiliza. Nyimbo hii inanisogeza kwako kwa tafakari hiyo, ambapo vyote vilishindwa ila mfumo huu wa ibada tu uliweza!

  • @magdalenamkelemi54

    Kazi nzuri, mbarikiwe sana.

  • @ConsolataNgatunga-fb1yn

    Duuuuuh! Wimbo mzuri umenisisimua sana moyo wangu mzidi kubarikiwa sana nawapenda mnooooooooo

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 ปีที่แล้ว +2

    Amen nasikia kuitwa Mbarikiwe wapendwa kwa juhudi za kumtafuta Mwenyeezi Mungu.

  • @juliusgitonga363
    @juliusgitonga363 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu kristo nisafishe hata mimi kwa hiyo damu

  • @victoriasalukele493
    @victoriasalukele493 ปีที่แล้ว +2

    Imani yenu kumpenda Bwana Yesu ni kali sana sana Mungu awabariki na bila shaka ATAWASHINDIA

  • @ayubujoseph
    @ayubujoseph ปีที่แล้ว +4

    Wimbo huu niliusikia kwenye clip Ile iliyopostiwa wakati Mtumishi wa MUNGU Mbarikiwa akiwa pamoja na wapendwa wengine pale walipokuwa wanaelekea mahakamani mara ya nne kama sijakosea, nikaupenda sana hatimaye leo nimeupata.MUNGU akukumbuke sana mtumishi wake Mch.Mbarikiwa🙏

  • @sofianafasi6285
    @sofianafasi6285 ปีที่แล้ว +4

    Nimesogea mtini pako BWANA unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako🙏🙏🙏

  • @devotasanga9239
    @devotasanga9239 ปีที่แล้ว +1

    Eeeee Mungu wangu unisaidie sana nami niwe miongoni mwa hao watakao rithi picha ya wazazi wangu ya kuufunua WOKOVU HALISI NA THAMANI YA WOKOVU DUNIANI. Mungu nishike sana kazi ya wazazi wangu na kujitaabisha kote kwa ajili yangu isiwe bure, haya nitayarithi.

  • @elinajacksonharusha7155
    @elinajacksonharusha7155 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana, asanteni kwa yote, najikuta nakosa mengi ya kusema. Asanteni tu wazazi.

  • @rosejenembe4849
    @rosejenembe4849 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe Sana wapendwa, Nimebarikiwa Sana na wimbo huu

  • @petermwasyika
    @petermwasyika ปีที่แล้ว +2

    Siyabonga Jesu nkosi ya makhosi

  • @Upendo6405

    Amen asante yesu

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huu ujumbeumenisogeza mbele za muumba wangu, mbarikiwe sana watumishi wa mungu

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe Sana watumishi was Mungu kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuinjilisha kupitia tenzi zenu.