OG Video Tenzi no 56. Ni sikukuu. Mbarikiwa "amemliza" mchungaji aliyemlea kwenye video ya wimbo huu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @SARAHTITOMWAMPASHI-vn9hc
    @SARAHTITOMWAMPASHI-vn9hc 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mambo ni 🔥🔥🔥 hakun sikuku kama kusamehewa dhambi na kufa katika yesu cristo

  • @mnyakyusambunifu143
    @mnyakyusambunifu143 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Saana Mtumishi Ulicho Kifanya Kwenye Wimbo huu Nikikubwa Mnoooooo

  • @paulmanyanda4277
    @paulmanyanda4277 11 หลายเดือนก่อน +1

    Siku kuu, siku Ile ya kuoshwa dhambi zangu kuu🔥🔥🔥

  • @eppiemodest
    @eppiemodest ปีที่แล้ว +2

    Yaani hiki kikosi kazi is wonderful. They're all blessed. Ndiyo maana waimbapo Roho Mtakatifu hushuka haraka. Niko Dar lakini uwepo wa Mungu nausikia hadi huko.
    Mbarikiwa is 😇😇😇😇🙏

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwa pamoja na mateso unayopitia, hakika anayefanya unapumua mpaka sasa ni Mungu tu aliyeamua tangu mwanzo nawe uwepo duniani kutekeleza makusudi yake! Ubarikiwe sana kwa kuendelea kuinena kweli ya Bwana

  • @user-qs3fm4ko2l
    @user-qs3fm4ko2l 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika wimbo huu umeimbwa katika RohoMtakatifu. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana, Tunatumaini kubwa kuwa Munguanakupigania huko uliko.

  • @bartolomeuhenrique1574
    @bartolomeuhenrique1574 ปีที่แล้ว +3

    Raha sana,ukipate mateso angali upo kweli na haki mbele za BWANA.maana ni ushindi mkubwa sana,mubarikiwe na yesu mbinguni

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen merci seigneur pour le pardon, ubarikiwe sana mch Mbarikiwa Mwakipesile

  • @nelsonchihambaya3528
    @nelsonchihambaya3528 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atuinue kupitia wimbo huu mnanibarki sana Mwokozi Yesu azidi kutuongoza hata ktk mateso

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 ปีที่แล้ว

    Mwakipesile nakukubari sana kihuduma ya utumishi juu ya wokovu

  • @cornelgwarda3849
    @cornelgwarda3849 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeeen mungu akutunze

  • @NoelMwembe-qb5hx
    @NoelMwembe-qb5hx ปีที่แล้ว +1

    Wimbo umejaa neema ya kutosha

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 ปีที่แล้ว

    Kinachoubariki zaidi moyo wangu, ni vile umelitenda jambo hili la baraka kubwa mno kwa babu yetu angali yu hai baada ya kitambo kirefu bila shaka tangu mmeachana.
    Ubarikiwe sana mch Mbarikiwa Mwakipesile

  • @zachariasumisumi4907
    @zachariasumisumi4907 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 ปีที่แล้ว

    Sikukuu yangu ni ile nilivyo okoka rasmi nakuishi kwenye njia ya haki.Mungu akubariki Baba yng hakika asiye jua Mungu yupo nawe huu wimbo unapousikiliza unaona uko na Mungu anakupongeza kwakuchagua fungu jema la kuokoka

  • @neemafidelis8406
    @neemafidelis8406 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwa unajua sna kuimba bna,napendaga nyimbo zako

  • @justinevitus3925
    @justinevitus3925 ปีที่แล้ว

    Amen nimebariki

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +1

    Naam ananiongoza miguu amen

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe Mungu aliye hai, mimi nawaachia Zaburi 40:13,14,16 Mungu awabariki wote.

  • @yamunguwistone6371
    @yamunguwistone6371 ปีที่แล้ว +3

    Waoow!! That's wonderful song ❤️!! From heaven 💪

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว

    Hongeraaa Sana babu kwa malezi ya baba

  • @kesiawailes1223
    @kesiawailes1223 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu huwa unanigusa sana

  • @Kasa.c
    @Kasa.c 2 หลายเดือนก่อน

    Hiki kipawa cha uimbaji juu ya huyu mchungaji ni kikubwa sana

  • @festokandagila1096
    @festokandagila1096 ปีที่แล้ว

    Kwel MUNGU azidi kukulinda mtumishi

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +1

    KAZI KAZI👻👻

  • @mariamnkenzi3651
    @mariamnkenzi3651 ปีที่แล้ว

    🙌

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 ปีที่แล้ว

    Ulibarikiwa kuimba mpaka Rohomtakatifu anashuka mtumishi

  • @helbertsoneka2008
    @helbertsoneka2008 ปีที่แล้ว

    hallelujah, amen amen be blessed man of God 🙏❤

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว +1

    Siku kuu ni ile ya kumkiri Mwokozi

    • @tumainisampeta5570
      @tumainisampeta5570 ปีที่แล้ว

      Moyo tulia kwa bwana yesu ndiye njia yako umeniikumbusha kitu kikubwa sana ubarikiwe mtumishi