Video music. Naijulikane kuwa uko Mungu wa Eliya. Mbarikiwa Mwakipesile

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 10 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Amen ooh Haleluya Haleluya jina Bwana lihimidiwe Mungu wetu ni mwema anaenda kujibu maombi hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu akutie nguvu ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Atajibu Kwa Iman yote yawezekana haijalishi ni mda Gan Atajibu.

  • @johnsonjohn-qz7cq
    @johnsonjohn-qz7cq 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atusaidie sana sana atukumbuke watoto wake we Mungu tusaidie sana watoto wako tuokoe

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mtumishi wa Mungu iko siku maombi yako yatajibiwa." Mungu hawahi wala hachelewi hujibù kwa wakati sahihi". Wakati wako utafika tu. Pastor Mbarikiwa U are 😇🙏

  • @josephfkinyaghakinyagha7046
    @josephfkinyaghakinyagha7046 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikiwa, You're so powerful, Mungu NI faraja yako ya kweli, alivyomtetea Paulo ndivyo atakutetea , wewe ni wa pekeee,,

  • @EuphyAtieno
    @EuphyAtieno 3 หลายเดือนก่อน

    Shujaa wa Imani Mungu akutie nguvu

  • @magrethmwakifuna9792
    @magrethmwakifuna9792 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanzo nilikuwa sikuelewi lakini sasa na kuelewa sana Mungu akupiganie sana mtumishi wa Mungu iko siku moja Mungu atajibu maombi yako.Simama bila kuogopa daniel hakuogopa simba alikuwa yuko tayari simba wamlalue kuliko kuabudu miungu.Iko siku moja hao watesi wako wataelewa Mungu unayemtumikia pale Mungu atapothibitika juu yaambo wanayokutendea..Ubarikiwe sana.

  • @user-ps6uq5ie8k
    @user-ps6uq5ie8k 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ninachojua Mungu hajawahi kumwacha mwenye Haki, Songs mbele Mtumishi wa Mungu, Mungu Yuko Upande wako!

  • @alexpaster4853
    @alexpaster4853 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaah kubwa, wimbo huu ni kwa ajili ya ulimwengu wote...

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤Mungu anatupenda

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ananikumbusha mbali, ni muda tu mungu yupo na atatenda.

  • @NokorenKuluo-xd7wn
    @NokorenKuluo-xd7wn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa mungu huwa unani bariki San mtumishi wa mungu karibu sikumoja loliondo

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @philipomwakasala8937
    @philipomwakasala8937 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongora sana kwa utume wako mungu yupo na atajidhihiisha kwako

  • @rebekamoshi2623
    @rebekamoshi2623 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu tunaomba sana uonekane hata mara moja

    • @NyakusanzaKibwe
      @NyakusanzaKibwe 2 หลายเดือนก่อน

      Namukubri sana mutumshi wamngu

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu kwajina la yesu mwaka huu milango ifunguke na ninaamini itakua hivyo amina

  • @aimadsanga3733
    @aimadsanga3733 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde, awatunze kikosi kazi cha Injili.

  • @alexpaster4853
    @alexpaster4853 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu yu upande wa pastor mbarikiwa, ipo siku serekali hii na watawala hawa,wata'anguka Tuu...

  • @user-ho5mm2qf9f
    @user-ho5mm2qf9f 10 หลายเดือนก่อน

    Baba uliko tunaomba otokee mungu awapinge waliyo kufunga ili wajuwe mungu anaguvu kuliko wao maana hata uhai waliyo nao niwamungu muungu naiwe kama eliya

  • @helbertsoneka2008
    @helbertsoneka2008 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu atajibu tu ipo siku haita kuwa bure haya yote upitiayo

  • @user-iw5gv7kt7y
    @user-iw5gv7kt7y 9 หลายเดือนก่อน

    Wee ni shujaa mungu akutie guvu

  • @ezekielmanase6590
    @ezekielmanase6590 11 หลายเดือนก่อน

    Naitwa ezekiel manase nipo mkoa wa Mwanza -ukerewe Naisihi sana serikali ikuache Mtumishi wa Mungu uifanye kazi ya Mungu maana wanachokifanya wanajarb kucheza na mboni ya jicho la Mungu .. pili wanausumbua mwili wako tuu Roho hawataiweza na kazi hiyo hayupo wakuizuia maana Aliyeanzisha moto wa INJILI HIYO UMEWASHWA NA MUNGU MWENYEWE.
    MUNGU ATENDE JAMBO KWA SERIKALI ILI WAJUE HAWAKUPASWA KABISA KUWASUMBUA WATUMISHI WA MUNGU...NA HILI NDIO OMBI LANGU PIA KWA MUNGU WA MBINGUNI

    • @FestoMathias
      @FestoMathias 11 หลายเดือนก่อน +1

      Amina

  • @PeterNkilijiwa-ij3rw
    @PeterNkilijiwa-ij3rw 11 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa Mungu Mbarikiwa usiogope endelea kukemea dhambi katika taifa hili usiogope wasemee wanyonge wote haijarishi maana Mungu amekuinua kuwa nabii katika wakati huu,inasikitisha sana.

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli nimepita mengi. Nilikuwa namshangaa kutojibu haraka. Siku hiyo Akanijibu, "najikusanyia wenye kunidhihaki, wawe wengi ili nikipiga niwaaibishe kisha nao waingie ktk Ufalme wao ili wakashuhudie uovu wao na mawazo yao yaliyokuwa kinyume nami. Hapo nitukuzwe na mataifa yote". Acha kilio kiendelee kusikika. Matokeo yake ni makubwa.

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa kisasi Atajitwalia Utukufu muda si mrefu. Anangojea wa kudhihaki watoshee ili wa kuaibika na kumjua Mungu wawe wengi zaidi.

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 6 หลายเดือนก่อน

    Amem Amen Amen

  • @barikimpomwa6539
    @barikimpomwa6539 11 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢 huu wimbo niliusubil kwa ham sana baba👏🏽👏🏽👏🏽hakika mungu ajitokeze na ajulikane kuwa yupo na anaweza hasa ktk mengi unayoyapitia pya kwa unayo yapambania nahata kwa wanao kuumiza nakusema watakukomoa

  • @JamesSimbeye-eh3fx
    @JamesSimbeye-eh3fx 8 หลายเดือนก่อน

    Vumilia Hadi mwisho bwana atakuwa nawe

  • @patriciagaspal2284
    @patriciagaspal2284 9 หลายเดือนก่อน

    Pole kwayote mtumishi

  • @titonsimbazi5532
    @titonsimbazi5532 11 หลายเดือนก่อน

    MUNGU hujawahi kushindwa ondoa zihaka hizi kwa haya mashetani, yanayo jifanya eti tuyaabudu yenyewe, tuko tayali kufa ila tukuabudu wewe tu MUNGU wetu.

  • @Roidafrank-zz4of
    @Roidafrank-zz4of 11 หลายเดือนก่อน

    Siku yaja nayo haipo mbali, itajulikana tu kuwa yupo. Mungu akutie nguvu katika yote.

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 11 หลายเดือนก่อน

    Na ijulikane kwamba Mungu upo hakika eeeee Bwana wa Majeshi

  • @user-cq2os8we1n
    @user-cq2os8we1n 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana rafiki wa Yesu

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 8 หลายเดือนก่อน

    Uwepo wa Mungu unanishukia katika kuabudu huku! Huu ndiyo uimbaji. Sina hofu nawe hata ukiondoka duniani utaimba na malaika. Kanisa liimarike kwa nguvu za Mungu wa Elia popote

  • @user-tb4sg1ed2p
    @user-tb4sg1ed2p 11 หลายเดือนก่อน

    Amina baba nakufuatiria Kira wakati najifuza kuishi Kwa haki

  • @sekelakikoti6012
    @sekelakikoti6012 9 หลายเดือนก่อน

    Ipo cku moja tu baba jipe moyo

  • @prospermnardy9338
    @prospermnardy9338 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika wimbo umejaa neema nyingi sana

  • @user-sk1nk2gq4t
    @user-sk1nk2gq4t 11 หลายเดือนก่อน

    Utawala wa farao uliangushwa kwasababu ya kiburi.Mungu yupo atatenda ni swala la muda tu

    • @vestinamwita6474
      @vestinamwita6474 9 หลายเดือนก่อน

      Nebuchadnezzar alikula nyasi miaka 7

  • @charleserasto3749
    @charleserasto3749 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu atasaidie kwa kweli

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 11 หลายเดือนก่อน

    Mmm mtumishi mwAkipesile hua unaimba kwa hisia iali ubarikiwe 2:49

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 11 หลายเดือนก่อน

    Kizazi chenye ukaidi Hadi pogo ndipo wanaanza kutafuta msaada wa kanisa

  • @joshuangonya-jt5dj
    @joshuangonya-jt5dj 10 หลายเดือนก่อน

    Bwana naijulikane kama upo mungu wa israel.

  • @elijiusdaniel9817
    @elijiusdaniel9817 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu julinaka kwamba upo,usikae kimya tunakuomba.

  • @elijahaywago7274
    @elijahaywago7274 11 หลายเดือนก่อน

    Ijulikane baba😢😢😢😢

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu lazima ajibu

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 11 หลายเดือนก่อน

    Kali

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 11 หลายเดือนก่อน

    Pogo ndipo wanatangatanga kutafuta msaada

  • @Veni584
    @Veni584 11 หลายเดือนก่อน

    Hadi nasikia uchungu jinsi anavyoimba kwa hisia

  • @petermwasyika
    @petermwasyika 11 หลายเดือนก่อน

    Naijulikane baba

  • @soniclumato
    @soniclumato 11 หลายเดือนก่อน

    Perfect

  • @user-yu3ml1mu2d
    @user-yu3ml1mu2d 11 หลายเดือนก่อน

    Tunakuombea mbarikiwa Mwakipesile.

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 11 หลายเดือนก่อน

    Biblia inasema kwa pigo la kumi wana wa Israel wakaondoka na watu wengine waliochangamana nao (kwa hofu ya lile pigo). Watu wakamwamini Mungu wa Israel kwa utisho wa pigo lile!!!😅

    • @scudmethoo1361
      @scudmethoo1361 11 หลายเดือนก่อน

      Achen kipgana na Wana wa mungu,mungu tusamehe watanzan kwa hatujui tutendalo

  • @isayasangija8587
    @isayasangija8587 11 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿😂😂

  • @user-ps6uq5ie8k
    @user-ps6uq5ie8k 11 หลายเดือนก่อน

    Ninachojua Mungu hajawahi kumwacha mwenye Haki, Songs mbele Mtumishi wa Mungu, Mungu Yuko Upande wako!