SIRI NNE (4) KUHUSU MAUMIVU | DEO SUKAMBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza SIRI NNE (4) KUHUSU MAUMIVU.
    Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
    Unaweza Kusapoti huduma hii
    TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
    / deosukambi
    / deosukambi
    / deosukambi1
    Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
    www.youtube.co...
    Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
    #DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

ความคิดเห็น • 31

  • @reginajoel3785
    @reginajoel3785 4 หลายเดือนก่อน

    Asante nimebarikiwa,,ninapitia iyo hali,mafunzo yako yamenibalisha kimawazo

  • @joxeesety2616
    @joxeesety2616 4 หลายเดือนก่อน

    DR.upo Vizur👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @HanifaChalresy
    @HanifaChalresy 2 หลายเดือนก่อน

    🇦🇪 umenifunza mungu akuinue zaidi ishi Sana

  • @aishahakizimana1990
    @aishahakizimana1990 6 หลายเดือนก่อน

    "Your success is on the other side of your pain"
    Thank u very much Dr. Deo.

  • @rehemaedward9494
    @rehemaedward9494 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupta mchungaj wangu,mafundisho yako hkika ymenitoa sehem moja kwenda ingne,,,nkuskiliza kutokea oman,,naitwa Rehema

    • @MercyMutanu-ko5vq
      @MercyMutanu-ko5vq 6 หลายเดือนก่อน

      Mafundisho mazuri GOD bless you 🙏

    • @seifmsangi6263
      @seifmsangi6263 6 หลายเดือนก่อน

      Duhh,,hakika wewe ni dkta wa saikolojii,,ni kweel kabisaa,,realy apreshet,,mungu akupe umri mrefuu kakaa

    • @seifmsangi6263
      @seifmsangi6263 6 หลายเดือนก่อน

      Nataman nikupigiee uweze kunisaidiaa zaidii...

    • @seifmsangi6263
      @seifmsangi6263 6 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihiii saaanaa ,,,Asante sanaa....

  • @antusajoseph9360
    @antusajoseph9360 6 หลายเดือนก่อน

    Nawashukuru wote na kuwapongeza wote waliyonitendea mabaya maana mmenipa kusongo mbele.

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 6 หลายเดือนก่อน +3

    Niushauri tu, mkuu ongeza kipindi angalau mala2 kwa wiki.

  • @khadijam5281
    @khadijam5281 6 หลายเดือนก่อน +1

    Parenting class am in 2parents

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  6 หลายเดือนก่อน +1

      Give me your phone number please

  • @antusajoseph9360
    @antusajoseph9360 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani mimi sitaki kabisa kukaa nyumbani
    Maana ndio yanakuja

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana kaka nakufatilia kutoka sweden najifunzaaa

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 6 หลายเดือนก่อน +3

    Baba uwasamehe koz hawajuwi walitendalo.nimekuelewa saànaa mkuuu

  • @brightyona9815
    @brightyona9815 5 หลายเดือนก่อน +1

    pastor deo hakika mimi binafsi unazidi kuniponya na kunibadilisha na naona matokeo ya namna ninavozidi kujitambua kumbe unaweza ukawa na PHD lakini ukawa hujitambui tuheshimu sana vipawa vya watu respect sn kwako kaka

  • @aishahakizimana1990
    @aishahakizimana1990 6 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mi naitwa shija ndobehe nakusikiliza kutoka dar es salaam kinondon tupo pamoja Sana mwalim kwa masomo yako

  • @elizabethmahenge2231
    @elizabethmahenge2231 6 หลายเดือนก่อน +1

    hongera sana kwa mada nzuri. Mungu akubariki sana kwa kukubali kutumika kama chombo chake kwa ajili ya 'kuwajenga' na 'kuwaganga' wenye maumivu. Ni somo zuri maana mfano wa Bwana Yesu umenivutia sana. Be blessed.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

    Ps. Nimebarikiwa kupata ufahamu,Mungu akubariki sana uzidi kuelimisha jamii kwasababu sendof na kitchen paty hazina maarifa yoyote dhidi ya Bible

  • @jasintalawrence1548
    @jasintalawrence1548 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nawashukuru nakuwapongeza wote waliowahi kuniumiza

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mwalim

  • @loycemalach9662
    @loycemalach9662 6 หลายเดือนก่อน +2

    Deo asante cn.nahitafuta upya

    • @zaujatilongo6927
      @zaujatilongo6927 6 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli tunatokota,maana mmh

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 6 หลายเดือนก่อน

    Halafu unajua ni kama inakuja automatically sasa hadi uje uwaze nje ya box uwiii

  • @zeyounhabibty8587
    @zeyounhabibty8587 5 หลายเดือนก่อน

    🇴🇲🎉

  • @JosephineKitsutsu-ne4io
    @JosephineKitsutsu-ne4io 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi Kwa mafundisho haya ,umepoza moyo wangu,,,, very powerful lesson😢, am healed and am sure am going far because of the pains Iam passing through,,,,, Josephine from Saudi Arabia

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 6 หลายเดือนก่อน

    Pastor DEO unaposema tusiyatafakari mweeeh 😢😢 how... Wanaposema ukipigwa na magumu yapokee na yakubali ile kumourn....sasa tusiyatafakari tena how

  • @tumainselestine3398
    @tumainselestine3398 6 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri sana, " Mtu asipojifunza kutoka kwenye maumivu au historia atairudia".
    Nadhani ni vizuri kila changamoto anayo Kutana nayo Mwanadamu yeyote yule, ni muhimu kujua yeye siyo wa kwanza kukutwa na hilo jambo na pengine huenda lake ni dogo. Lakini kubwa zaidi ni kutokukaa sana kwenye maumivu na kukubari kutoka na Funzo .

  • @GladnessMbasha
    @GladnessMbasha 6 หลายเดือนก่อน

    Pator Deo asante kwa vipindi vizuri. Maumivu makali huwa yanachukua muda gani kwisha?