Dr. Chris Mauki: Haya manne (4) yatafanya uchukiwe sana na mumeo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 ปีที่แล้ว

    Shukran Sana dr cris mauki

  • @catherinemutiembu5611
    @catherinemutiembu5611 ปีที่แล้ว

    Thanks Dr

  • @levinavenance1200
    @levinavenance1200 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo 4 yakufanya uchukiwe na mumeo
    1.unapokua mpinzani wa kila kitu,kukosoa
    2.unapokua mtu wa makelele, unalaumu kila kitu
    3.kutomuamini kwenye kila kitu
    4.kutokujipenda,kujijali,kujiweka nadhifu

  • @HassanAli-e3i3x
    @HassanAli-e3i3x ปีที่แล้ว

    Umeongea ukweli mtupu🙌🏾

  • @claramrosso2566
    @claramrosso2566 ปีที่แล้ว +4

    Mwanaume anakukatisha tamaa kila unalofanya hata chakula chako anakosoa mara leo umepika kikavu kesho umezidisha chumvi yani hata siku moja hutoskia chakula kitam labda upikie mgeni! Hakwambii umependeza hata ukimuuliza unanipenda anakubeza anakunyima kwenda salon anataka kila kitu yeye ndoakuamulie! Bado anacheet nanimuongo sana

    • @ZaphreenAbeid
      @ZaphreenAbeid ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @ChristinaShilla
      @ChristinaShilla ปีที่แล้ว

      Achana nae huyo kuwa bize tafuta pesa pendeza afu usifatilie mambo yake....hii itakusaidia i hate watu wanaochit😒😒

    • @oilcomoilcom883
      @oilcomoilcom883 ปีที่แล้ว

      Yaani umeongea ukwel kabisa kuna midume aina shukran ata umfanyeje aoni

  • @athanaskitime1484
    @athanaskitime1484 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kiti chako special mbinguni dr.

  • @Medical101
    @Medical101 7 หลายเดือนก่อน

    Preach brother 👏👏👏👏

  • @magrethmwambu3637
    @magrethmwambu3637 ปีที่แล้ว

    Dr Wanaume hawana jema hata ufanye zaidi ya sana hawana uaminifu labda kidogo awe na hofu ya Mungu.

  • @RaphaelCharline
    @RaphaelCharline ปีที่แล้ว +1

    Thank you Doctor for the marriage advice, I live in Drc🇨🇩

  • @ErnestAfrika
    @ErnestAfrika 11 หลายเดือนก่อน

    Uaminifu inategemea na tabia yake mwenyew maan kama unaongea jambo Moja Kila siku na bado baada ya muda anarudia lilelile Kwa namna nyingine na Kwa mtu mwingine hapo lazima ukose uaminifu juu yake

  • @empireofficialtrailer9599
    @empireofficialtrailer9599 ปีที่แล้ว +1

    Nime achana na wanawake wawili ulicho kisema kwel

  • @Neema-fh1wp
    @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว

    Waoh😮

  • @hdhdhdhdhdh3264
    @hdhdhdhdhdh3264 ปีที่แล้ว +1

    Uyo ni Mamangu,mpiga kelele,mpingamizi

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว

    😢Kuna wanaume aiseee siyo msaada lazima tukumbushe hata ulimkumbusha hakuna anachokifanya😮

  • @RoseMrio
    @RoseMrio ปีที่แล้ว

    yan kama uy wng aende t ananiigizia ukimwambia una mwanamke anaxhikilia kama kigezo na majb makal xan

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว

    Mimi najipenda mpaka najiogopa

  • @magrethmwambu3637
    @magrethmwambu3637 ปีที่แล้ว

    Dr,kuna wanaume ni Victoria mpaka kichefuchefu.

  • @salama2625
    @salama2625 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa mbona me kibonge jamani khaa!

  • @hanifasururu2509
    @hanifasururu2509 ปีที่แล้ว

    Doctor unatufokea jaman,, eti unalala na beberu Khaa 😁😁

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว +3

    😢Kuna wanaume aiseee siyo msaada lazima tukumbushe hata ulimkumbusha hakuna anachokifanya😮

    • @isikesamike
      @isikesamike ปีที่แล้ว +7

      Chunguza vile unamkumbusha au unamsahihisha. Yawezekana lugha na maneno yako ni aidha ya kulaumu, ya kuamrisha, ya kukejeli, ya kumlinganisha na mtu mwingine, ya kusimanga n.k.
      Rekebisha kwa tone (sauti) ya upendo atakuelewa. Mwanaume ukimrekebisha kwa tone ya ukali sana au kwa kumuamrisha ata-respond usivotarajia kabisa. Niamini ninachokuambia. Na mara nyingi atakujibu kwa matendo kwa kutofanya au kufanya kinyume kabisa na matarajio yako. Na inaweza kukushangaza.
      Sisemi usrekebishe anapokosea, HAPANA. Ila jaribu kurejea - SAUTI NA MANENO YAKO WAKATI WA KUREKEBISHA.
      Kama nimekushauri vibaya - NISAMEHE! 🙏

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 ปีที่แล้ว +1

    Safi san.

  • @mzizirashid709
    @mzizirashid709 ปีที่แล้ว

    Ngoja nitafute pesaa bhas haya mambo ni mengii sanaaa 😂

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia ปีที่แล้ว

    Wanajifanya hawaoni hii video

  • @loicembeyu2070
    @loicembeyu2070 ปีที่แล้ว

    Mm nikama yote nafanya😢😢anakasirika alafu anarudi sawa but hua anaumia

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 ปีที่แล้ว

    duh! Point zote ni Konk! Hongera doctor! Utaokoa wengu!

  • @RoseMakule-rk2tr
    @RoseMakule-rk2tr ปีที่แล้ว +10

    Je kama mwanaume anakudaganya na kuchiti ndani ya miaka kumi utamwamini tena

    • @Neema-fh1wp
      @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว +3

      Hachana nae uanze upya mim nmesikiliza mafundisho yake meengi yamenisaidia sana

    • @PhilomenaSteven-tq2tx
      @PhilomenaSteven-tq2tx ปีที่แล้ว +1

      Umenisaidia sana pia najipenda mwenyewe maana tumevaa izo night dress na mafusho tumejifusha rakini wapi baba mwenye ulka ni mwenye ulka yake tu tena unafanya kazi umsumbui kuhusu pesa ata asipo toa ela anakuta chakula na usiku wamanane anakurudia for now nimejifunza kitu doctor Niko na Aman na mwenyewe anashangaa mbona aniulizi chochote 🙏🙏🙏

    • @dayana5513story
      @dayana5513story ปีที่แล้ว

      ​@@PhilomenaSteven-tq2tx👏👏👏

  • @ZainabuHamadi-do4ij
    @ZainabuHamadi-do4ij ปีที่แล้ว

    Kaka Mimi ninashda nitumie namba za wassp

  • @agnesnuhu-sf5lw
    @agnesnuhu-sf5lw ปีที่แล้ว

    nimependa hiyo sehemu y kijipenda mwenyewe.

  • @rehemadaudi550
    @rehemadaudi550 ปีที่แล้ว +1

    hayo yote nilishayafanya, da Mungu nisamehe

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว +1

    😢Kuna wanaume aiseee siyo msaada lazima tukumbushe hata ulimkumbusha hakuna anachokifanya

  • @FatmaOthumany-ni6jz
    @FatmaOthumany-ni6jz ปีที่แล้ว

    Asante kwer nimejigunza

  • @philomenamushi5606
    @philomenamushi5606 ปีที่แล้ว

    Dr ubarikiwe🙏asantee kwa elimu🤝

  • @hamidasira4543
    @hamidasira4543 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa kutufindisha,.

  • @purityrehema543
    @purityrehema543 ปีที่แล้ว

    Asante sana Dr .

  • @isikesamike
    @isikesamike ปีที่แล้ว

    Wewe ni mwamba sana 💪

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn ปีที่แล้ว

    ASante Dr ❤❤❤

  • @annamarandu9393
    @annamarandu9393 ปีที่แล้ว +2

    Unakuta mdada analala na dela

    • @azizaidd1998
      @azizaidd1998 ปีที่แล้ว

      😂😂😂yaan mimi mwenyewe nalalaga bila nguo nasina mume🙈 sasa mtu unakuaje na mume unalala na nguo

    • @saraphinasahani5104
      @saraphinasahani5104 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @HajiKahema-tw5to
      @HajiKahema-tw5to ปีที่แล้ว

      @@saraphinasahani5104 hahaaaaa

    • @philomenamushi5606
      @philomenamushi5606 ปีที่แล้ว +1

      🤣khaa jaman hii too much unalalaje na dela😀

    • @azizaidd1998
      @azizaidd1998 ปีที่แล้ว

      @@philomenamushi5606 😂😂😂🤣

  • @HassanAli-e3i3x
    @HassanAli-e3i3x ปีที่แล้ว +3

    Yameshatokea .. je tufanyeje tupendwe tena😢

    • @Neema-fh1wp
      @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว +1

      Anza upya tuuu, na uhakikishe hurudii makosa

    • @jamilaissa1386
      @jamilaissa1386 ปีที่แล้ว +1

      @@Neema-fh1wp kwa mwanaume mwingne au kwa Hy Hy ?

    • @Neema-fh1wp
      @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว

      @Jamilaissa1386 ..Kama mnamawasiliano mazuri endelea nae lakini kama hakuna tena upendo wala usiogope kuanza upya kwa mwanaume mwngne 🙏

  • @ElizabethAmos-c5q
    @ElizabethAmos-c5q ปีที่แล้ว

    Shukrani sana Dr kwa somo zuri. Ubarikiwe.