BAHARIA: WALITOSWA BAHARINI/ SAMAKI MTU/ ALINIOKOA/ NILIKATAZWA KUSEMA/MAISHA/UMALAYA!... | PART 11

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 50

  • @dar24media
    @dar24media  ปีที่แล้ว +3

    Kipindi hiki kinaruka kila siku ya Jumamosi na Jumatano saa nne kamili asubuhi, kama unasimulizi/mkasa wasiliana nasi kupitia namba..#0653127761

  • @khamismdunga6517
    @khamismdunga6517 ปีที่แล้ว +1

    All and all hyu bro he’s very smart the way talking nimependa na still anaweza hata kua mwalimu wa maisha na lugha pia bro 🫡 let’s check ill do same thing

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah mungu awe naye pia mshike mkono na harambee ikifanikiwa mnunulieni kiwanja mjengeeni japo apate room 2 na sebule na apate msingi afanye kibiashara chochote

  • @davydmlay3264
    @davydmlay3264 ปีที่แล้ว +3

    Noma sana

  • @cchimodzi3858
    @cchimodzi3858 ปีที่แล้ว +6

    Kama hutaki kuchangia kaa kimya sio kuanza kumponda Baharia, haya ni maisha kuna kuanguka na kusimama leo kwake huwezi jua kesho kwako.

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

    Safi sana My Brother atuwezi kuacha kumchangia Mzee wetu tujifunze mengi sana kutoka kwake Ayo ndio maisha ya Dunia unaweza aina shida Mungu bado anakupenda sana kuanza moja ni seemu ya Maisha 🤝

  • @AssumaniNahishakiye-vq9ft
    @AssumaniNahishakiye-vq9ft ปีที่แล้ว +3

    Pole sana brother 😢😢 kwakwel Ani daaah kweli sio poa sasa Mimi Niko Mayotte apa nitatumaje uwo mzigo brother t

  • @islamicreligiontv2718
    @islamicreligiontv2718 ปีที่แล้ว

    Anaishi wapi hapo dar bro

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 ปีที่แล้ว +4

    Kaka muda si mrefu nakucheki lakini pia naomba kufahamu size ya viatu na suruali anazovaa shati tamkadiria. Ilikuwa ndoto yangu kuzamia hadi nilipo oa na kupata watoto ndipo ndoto hii ikapotea

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba kuuliza miak26 NDAni ya Canada then kaludi kachoka nini kilicho mkwamisha ili tujifunze

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 ปีที่แล้ว

    Respect

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว +2

    Kumchangia ni muhimu

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 ปีที่แล้ว +1

    Kumchangia ni muhimu Acha tujivute Sheikh!

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 ปีที่แล้ว +3

    Anastahili kwel support dupa, hapo tutasaidia tunpoweza kaka dupa

  • @FadhirSeleman
    @FadhirSeleman ปีที่แล้ว

    Sawa kaka tutakuchangia

  • @MrTzakaSanTz
    @MrTzakaSanTz ปีที่แล้ว

    Sawa Mzee Baba Dupa, nimekusoma mwanangu

  • @hamzakem2924
    @hamzakem2924 ปีที่แล้ว +1

    Ongeza dakika mkuu unabana sana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +1

    Hiki kipindi ni imala sanaaa
    UYU MZEE MBONA ANAKAAA KISHA ANANGULUMA MMMH AU KOO YAKE ILIMEZA SANA VITU VIKARI SANA HALIKUWA MZEE
    WA MITULINGA SANA MZEE!???

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 ปีที่แล้ว

    Pamoja

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Duu kweli maisha safalindefu ila good tu

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 ปีที่แล้ว

    Mwanetu amejaaliwa gat fat big one

  • @ismailsalim8395
    @ismailsalim8395 ปีที่แล้ว

    Hehehehehe

  • @margarethbilinga6167
    @margarethbilinga6167 ปีที่แล้ว

    Huyu mtafutieni kipindi huko pia itafaa sana. kipindi hicho kite mla chake😂😂😂😂

  • @MwandigaRuhobe-fm3it
    @MwandigaRuhobe-fm3it ปีที่แล้ว +2

    Nitafata story zake ila kusaidia siwezi ntawapa yatima miaka 25 canada unarudi hivo wakati wa canada wakija africa miaka 5 wanacuma Ma bilioni

    • @bobboris4859
      @bobboris4859 ปีที่แล้ว +1

      Haulazimishwi dupa amesema atakaeguswa haya maisha Kuna kupanda na kusha acha kujisahau

    • @youngmaster4127
      @youngmaster4127 ปีที่แล้ว +1

      Hayo maneno Wala hayana faida kama huwez kaa kimya hapo hajalazimishwa mtu kutoa na unapo ongea jaribu kufikiri kabla tumia akili

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

      @MwandigaRihobe-fm3it My Brother Mungu akosei yeye amempitosha yao maisha kwa kusidio la ili na Ssi leo hapa tuje kuzifunza kutoka kwake pengine leo tusinge yasikia aya maisha aliyo yapitia Je kama watu wote wangukuwa wanaenda ngambo wanafanikiwa ungeyasiki aya😮Maisha Safari ndefu sana brother au Je kama wewe angekuwa anajua kesho yake unazani angeenda uko basi iyoo ndio kazi ya Mungu anampa amtakaye yeye kwenye hii Dunia Embu jaribu kufuta iyo SmS yako

    • @dullahmmebela5624
      @dullahmmebela5624 ปีที่แล้ว

      ​@@bakari-si1pwhakika!!!

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 ปีที่แล้ว

      Utakufa mdomo wazi

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 ปีที่แล้ว

    Yaani miaka 26 ndani yacanada anarudi hana chochote alichofanya wala alichokibeba akuna haja yakumsaidia mtu uyo yeye si alijiona amefika kule canada sasa ndio fundisho kwawengine wanaojifanya nchi zawatu ndio kwao kumbe wanajiongopea nyumbani in nyumbani.

    • @ramamwaswa3898
      @ramamwaswa3898 ปีที่แล้ว

      Acha ushoga wewe tembea uwake wewee

    • @kanikiommy5167
      @kanikiommy5167 ปีที่แล้ว

      @@ramamwaswa3898 wewe ndio choko ujui lolote mimi mwenyewe baharia lakini najuwa ninachokifanya sichukulee poa lazima uwekeze nyumbani sio unabweteka tu hana story zozote zaidi yamadem tu zee zima alioni haibu pumbavu

  • @arielnmichael
    @arielnmichael ปีที่แล้ว

    Malighaaaafi

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Hiyo kazi aliyokuwa anafanya hakuwa analipwa? Alimsaidia nani huku Bongo? Tunafahamu watu walioko Canada wanalipwa vizuri $15 kwa saa kima cha chini. Pesa alitumiaje?

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +2

      Brother hii Dunia sio kitu unaweza ukawa pesa ukapitia misusuko mpaka ukaludi moja ata ujasikia story mpaka m😅wisho unasema hivyo Mimi mwenye baada ya kukimbia uko mkoani kuja Bongo Dar es salaam mwaka2015 nikapata kazi seemu kwenye pesa nyingi sana ila nilijitolea kwa moyo moja ila nilifukuza ka ubwa kokoo nikibakiwa 👖👕🩴ata kumi sina😭 Nikakutana na mtu akanishika mkoni mpaka saa niko Kigamboni nimejenga na niko na mifugo kibao na pia nimepata kazi kwenye Depot moja ya mafuta maisha yamekuwa sawa Mungu pekee mweza wa yote

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 8 หลายเดือนก่อน

      Dolar 15 ni pesa ndogo sana kwa miji mikubwa kama Vancouver, Toronto

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +1

    UYU MZEE AMEKOSEA NINI
    MPAKA AMELUDI NYUMBANI BONGO!??? TUPENI SABABU
    TUJIFUNZE ZAIDI dupanga vipi? Mzee

  • @peacemakerdxb6012
    @peacemakerdxb6012 ปีที่แล้ว

    Ngrrrrrrruuuuu 😅😅

  • @ramamwaswa3898
    @ramamwaswa3898 ปีที่แล้ว +1

    KAMA UNA ELA YA KUMCHANGIA KAUSHA SIO MNA PONDA WANAOENDA CANADA WANA RUDI NA ELA HAWA WA MIAKA HII 5 KUANZIA 2018 HUYO MWAMBA 94 NDIO KAINGIA SIO BADO NCHI ILIKUWA SIO CANADA MNAYO IJUWA NYIE

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Duu kweli maisha safalindefu ila good tu

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Duu kweli maisha safalindefu ila good tu

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Duu kweli maisha safalindefu ila good tu