Abdully tshabalala napatikana south afrika katika mji wa Kempton park nakupata vizuri davista mata hongera Kwa vipindi vyako vinafundisha some part of life
MSIJE MKAWA MNATUKETEA WATU WANAOTUNGA STORY ,SABABU NAJIULIZA KWA NINI WATU WOTE LAZIMA MWISHO WA SIKU AWE MCHUNGAJI KWANI AWEZI KUWA MUUMUNI TU WA KAWAIDA
Davista mtafute amiele katekela he has a great story to tell you’ll be shocked it one of the kind
Kaka davista jitahidi kumalizia story,kazi yako ni njema Mungu akubariki
Njoo kenya pia tuyajue tusiyo yajua, na afrika mashariki baadae Aafrica nzima
big up... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Davistar mbonaa story zako saev haziishi ...nmecheki kwny app Yako pia nkajua labda zipo Kule hamna ....hebu toa maelezo kuhusu hili swala!!
another day new good story tupo hapa kujifunza asante dm😊 let's go 🤗🤝
Ulipo nipo DM,najifunza mengi sana thanks.Mzee wa mizim kwisha au bado😀
Big up davista matta nilianza kukuskiza kbla ya hujaanza clip za Mr fact
Abdully tshabalala napatikana south afrika katika mji wa Kempton park nakupata vizuri davista mata hongera Kwa vipindi vyako vinafundisha some part of life
Vijana wote wanakupa davista mata vijana wa tz na hata nje ya tz saluti Mzee baba
Content nzuri,ngoja tusikilize
Gomboshi c ndo ipo kwenye wilaya ya simiyu?
Imagine huko hamna kupumzika,sasa mimi napumzikaje kuomba aisee,neema ya Mungu na iendelee kutufunika.
Mda mwingine tunachoka lkn hata ikiwa saanane usku naamka naangusha mangome yote ya giza
Pamoja saana mr everything 💪
Hapa ni mwendo wa kujifunza ya ulimwenguni twende kazi
Davistar good job....
Story nzuri
Davistar I wish uwe mine wangu
Davista my brother love you
Thanks for the love
Kwa umakini mkubwa nimetegea👂
Story jipya 🔥🔥🔥
Mr fact.💯
Zingatia sauti!
🙏🙏🙏
Hiyo location ni wapi davistar, naona pazuri sana
Huyu mkweli
Tuko pamoja
MSIJE MKAWA MNATUKETEA WATU WANAOTUNGA STORY ,SABABU NAJIULIZA KWA NINI WATU WOTE LAZIMA MWISHO WA SIKU AWE MCHUNGAJI KWANI AWEZI KUWA MUUMUNI TU WA KAWAIDA
Umeme😅😎🙈