"Sekembuke" my school mate(nilisoma naye). Ingawa mimi nikiwa darasa la pili yeye alikuwa form 3. Wakati ule baadhi ya skuli kule home Zanzibar zimechanganywa viwango. I miss Zanzibar. I love Zanzibar! Home sweet home!
Usipate tabu nunua USB ambayo inauwezo wa kudaunlodi kwenye simu na ukatumia kwenye DVD yako nautatia vitu vingi sio tu. Bei elfu 15.zipo za elfu 20 . Fanya ivo
Tatizo mushazoea kuona uchi hamuezi kutizama michezo yenye maadili Na hata hivyo huu mchezo hujaeekewa wewe , wewe katafute CD utizame mapaja Na nyuso zilojaa mikorogo
Hahaha filam nzuri sana inafurahishs pia inatufundisha tusifanye ubaya kwa majirani zetu na watu wote mungu ametukstaza
Allah akulaze mahali pema mzee wetu halikuniki maskini
Hawa ndio 'Majemedari' walio tupa hamasa ya kumtengeneza muingizaji #MauMpemba
Laki Mau vizuri sana,
Nikweli kabisa
Daaaah!! Hawa watu hatariiii
Kipndi iko zanzibar ina neema kweli ya mazao tele sokoni dahh
"Sekembuke" my school mate(nilisoma naye). Ingawa mimi nikiwa darasa la pili yeye alikuwa form 3. Wakati ule baadhi ya skuli kule home Zanzibar zimechanganywa viwango. I miss Zanzibar. I love Zanzibar! Home sweet home!
Mashallah
ipo vizuri sana tofauti na hawa wanaojiita zenj movie,
zanzibar raha kweli
Naziendea mbio movie hizi zirejeshwe zinaumuhimu wake tuaachane na wacheza Aibu mchana
Nimependa hii sehem ambayo Sekembuke ameomba radhi😂😂😂😂😂😂
mungu akuhifadh mzee wetu halikuniki
shani mpenike amin Rabbi amin..!
wote marehemu bi majuto na halikuniki..mungu awasameh
Eti au usindikizwe 🤣😂😅😆😁😄😃🎉
sanaaaa imeanzia mbali jamani sisi tupo juuuuuuu sana kama tumeanziA kwenye maradio
Inafundisha inafurahisha 👏
aama kweli Siri ikiwa moy0ni. mwako. wawili c Siri tena
cr
Ummy Issa tenaaa
Kipindi icho full kujazana kwenye TV yetu ya taifa Zanzibar
Astafiru Allaaah nyuma kama kibao cha Honda
Jamani hili soko lawapi
Hapa sheikh umekosea kutoa fatwa japo ni mchezo lkn jambo uloulizwa ni la dini umempoteza mwenzako akiuliwa
Mko vizuri zenj
hongereni kwakuzingatia.maadili.yetu.Zanzibar.
Hee!!! Toka Niko darasa LA pili filamu hii kweli zilipendwa....
Namm utanikosa ivo ivo 😂😂😂😂
Tuna mic hivi v2 ila wapi yaguju"""
Hawa ndiyo wasanii huchoki kutazama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimependa iyo ya kuomba radhi mimi2
Nmeirejea 2021
Sio pekee ako
Mwenye nayo cd yake hiii naitaka na ntanunua kwa elfu 10
Nipo zenji mm nnayo
Usipate tabu nunua USB ambayo inauwezo wa kudaunlodi kwenye simu na ukatumia kwenye DVD yako nautatia vitu vingi sio tu. Bei elfu 15.zipo za elfu 20 . Fanya ivo
good movie
Tena raha zaidi ya raha
Kitambo sana hawa Jamaa daa!!
Old Zanzibar. Raha Tupu.
Hawa ndio walikuwa wanajua kuecti
Heee jmn hii filamu ya mwaka gn anaejua anambiee....
🐱
shuna side 99
1999 nazikumbuka sana kipindi iko nipo Darasa la 4
Ee wanzanzibar hamujui chochote nyiye zaid ya majigambo mukijuwa kuigiza niyiye na bongo watasemaje
Sasa singetoayako weeunojua
Nyinyi mnaect au mnakaa uchi bongo
Hata ivyoo ilo bongo ndiyo babayenu subirini siasa nyiye wazanzibar
@@pilichumu9331 mnacho juwa nyinyi ni kuect sex tu...akina amba ruti na minina na paula..
Tatizo mushazoea kuona uchi hamuezi kutizama michezo yenye maadili Na hata hivyo huu mchezo hujaeekewa wewe , wewe katafute CD utizame mapaja Na nyuso zilojaa mikorogo
enzi za soko kibandamaiti
Dah ipoo safi
huhuhuhuhu mwiz muoga huyo balaa
Wenye Sana'a yao...
Hilo ndo fundisho la zinaa
duka lazima life tuu kumanina walahi
"Kunkata" maneno munawara halikuniki
Kupokewa na mke raha
haaahaa so kwamtumbo huo 😂😂😂😀😀
Arafa Iddy arafa vpi
Arafa Iddy mashslla mungu kaumba
Arafa Iddy kiddy
Hujafa arafa mzima sana bibie
👏
Innalillahi wainnailayh rajn
Nini tena nani kafariki
Hiyari yako utankosa mie
Toka enzi hizo za Kibanda maiti kua soko
Hakuna jengine
Maraka tu hahaha
HILO TUMBO LOTE LAKO ?AU UMEAZIMA NA LA MTU MWINGINE?
Hahahaha
eti he hiariyako utankosa mie.hz ni filamu za miaka ya tisini.
Safisana
35:19 suratul izazulzila hahaaaha
Hafidh Zubeir umeona
Nazi l yenu unafiki na fitina
🤣🤣🤣😂😂😂hhh suratizirzaraha astaghfiru wallh
Nakumbuka ilikua tunasikiliza kwenye redio zanzibar tusubir kipindi kwenye redio 😃😃😃
Safi sana
Huyu ustadh majanga
I say noma sn hawa jamaa
Safi Sana