TAZAMA VITUKO VYA JOTI KAMA BESTMAN WA DIAMOND /AKIMTAMBULISHA YULE AMPENDAE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2022
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Diamond Ni msanii wa kipekee Sana Tanzania mbunifu Sana akuna atakaeweza kupambana na diamond
Ninachokijua wewe NI shujaa wangu toka mwaka 2009 hivyo hongera kwa dili nono
daaaaaaa diamond we ni noma
diamondiii kweliii wew nimbunifuuuu aiseeeeeh
Joti unaupiga mwingi, kutoka tigo Hadi Airtel najua wamepanda dau kukupata 👏
Akuna speed hapo sisi huku ukerewe atuna raha na Airtel yenu ni hovyo kabisa
Love you broo SIMBA 🦁
Subhanallah mond wakati mwengine uwe unamuogoapa Mungu ata kama nikutafuta hela siyo ivo mana ndoa nikitu kilico halalishwa na Allah siyo cakufanya eko kiki bro
Nikweli mshikaji
Uliwahi kusika mke akitangazwa kwenye vyombo vya habari katika Dini?? Acha mambo yako bana wewe
@@Nufaila442 Wallahi tena mwambie tena asikile😂Aise dogo alikuwa anataka umbea nn😂😂
@zou
Mimi sifuati wasafi tena kwisha
Braza jot ume Tisha Sana🙏
th-cam.com/video/QR7tOb75KPI/w-d-xo.html
Hamna kitu humo hapa Dar na mtandao unasumbua sijui mnafeli wapi, tumeshapiga kelele mpaka laini tumeweka kabatini.
Naunga mkono hoja
kule wasafi bet Diamond kapewa odd kubwa sana ya kuoa........
Airtel inaboa sana sana sanaaaaa mtawanufaisha hao tu wanaopromot mtandao wenu ila network yenu mbovu inakula vifurushi vyetu bure tu.
best men sio best man...msiniambie jukwaa zima hamna anaejua kiingereza
Jamani Kuna watu wanajua kuigiza mond wakwanza we unavyoona amemtambulisha Nani Apo Mimi naona ametambulisha ,,eayate foG sijui ww umeona Nini apo
Subhanallah mtihan jaman
Joty umenifanya kama nijisikie Niko Tz jamani nimecheka Hadi sina cha kucheka
Mmmhhhh mtandao unasmbua,binafsi naupenda,Ila ndo unasmbua
Wambea tumepatiwa hapa
Nakubali Airtel 4G, mana Kuna seemu kijijini ilikua airtel ilikua inaleta kiwaki, ila sasa pieteteeee
Sanaaaaaaa joti nakubali vituko vyako
1
😂 Eti shuzi limepata mjambaji
Limtandao lenyewe linastak hivyooo!
Safi
Welcome to WCB's way of promotion and business 😂😂😂😂😂👏👏👏
Na kiki pia
Haaaa yaani nyie kiboko wasafi noma
Diamond umetuweza wapenda umbea
ME HAPO KWANZA NCHEKEEEEEEEEEEEEEE 🤣🤣🤣🤣🤣
Jot anabaraaaa
Mmelaaaniwa
Kweli noma sans
Mmi bnafsi simuelewi joti kwa sasa,,kwasababu nikama anamajisifu Sana kuliko kuchekesha ,kama unaona anavojichanganya kwenye maelezo yake utabaini kuwa anataka kushindana badala achekeshe,,hiyo character ni ya mpoki ndo tumezoea hivo akifanya joti ni serious scenes
mond nimsaaanii mkubwa Sana tz afrca na dunian pya sema ujinga wake hajiamini Kira siku anamuogomba konde nawakati nimwanae ya kinyago uchonge mwenyew arafu kikutishe muache jesh nae atambe bn
Sio kweli uwiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kweri ww huoni arivo urizwa akiwa kipindi chawasafi kuhusu babu tare arivosema kma ningekua nauwezo hawa Chaw ningewaondoa yeye kasema mama Vero kajipatia2 jina baya rauchawa rakini anachozumza sio kibaya wanachangamsha gem
Hamuogopi bn weee mbona liongo hivo....aache kuwaogopa akina JayZ aogope harmo
Tukiacha ushabiki uteam Airtel hamna kitu wallah tena hamna hamna na huo ndo ukweli ukibisha una lako jambo
Inamana joti mkataba tigo umeisha
Kalivyokafupi Sasa joti wew 🤣🤣🤣Wapi mwijaku
Mnatumia Vymbo Vyenu Kwa Lengo La Kutengeneza KIKI, ipo Siku Watawachoka
Kiki mwenzio anasaini billions
Joti umetisha saaaaaaana👊👊
airtl nivisiran hv kwa wakaz wa bbt mjini tumeanza kusahau hd kama kuangalia salio inatumia dk
Mnajua kufanya biashara
Jotiii mmmmh
Menyoko wengese nyie mnatumalizia bando kwenye ufala
Huyu jamaa ni msenge kilo 10
Joti ashakuwa msenge. Hawa washafunga ndoa ivo joti kaolewa na naseeb domo
😀😀😀😀😀
Unat....Ww
😂😂😂😂😂😂
Umetish brother
Nyie washenzi kweli🤣🤣 kumbe kitu chenyewe ni airtel tu
Nakubali 💪💪
Unaunga internet unapewa MB/GB ila mtandao utautafuta mwenywe😎😎
Pata 4G isiyosua sua Achana na 3G
😃😃😃😃mshenz kweli dimond leo umeniwezaaa loh
Hahahaha
😂😆😆😆
Shuzi limepata mjambaji nishaiiii👌🔥
Ukimpigia mtu unaambiwa namba haipo
Jotiii 😀😀😀🦁🦁
Airtel ndio demu kumbe hahah
Nimekubari kutuchezea 🤣
🦁🦁
Ubunifu ziro brain 😥🙌🤣
Lakini mb zako wamekulaa
Ni Zero mzee, halafu Mb zako zimeliwa
@@obenitejailos7007 ndio matumizi ya MB hayo umeona kwenye simu Yako kuna like na unlike 😀😀
Uyu jamaa fala sana
Mwezi mtukufu inakusanya watu baa Zambi kubwa sana
👏👏
All airtel users are married to diamond platnumz😆😆
Hivi kwa nn mnatufanyia hivi?
Achen Mambo ya kisenge
Wewe na yeye anaeingiza mapene na wewe uliyeweka bando kuangalia wanachofanya na bado huingizi chochote Nani msenge
Mjomba joti hatari 😁😁😁😁😁
Mtoto wakislamu unafanya uji nga ramadhani utalaaniwa
Ndoa gani unafichua uhuni tuu
Kama Mtaona sifai basi nafaa😂😂
🔥🔥🔥
Kama mimi sifai basi nyie mtafaaa 😂😂😂😂😂😂😂 hii joti hiii jinga sana hiii daa 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣
🤣🤣🤣ama kweli wambea mutapata tabu sana
Simba kafie huko mbali tapeli mkubwa we
Kaoa nani tena??? 😂😂😂
Washamba kweli kweli
Mshamba wewe uliekodoa macho
Daaah
🧡✌🔥
2yaache umebidi2 et. Ivooo.
Diamond muhuni anachezea watoto wawatu mbakaji huyu kwanini udanganye watu
🥰🥰
Joti ndie kawa mkee wa daimond dunia imesha
Mbavu zangu
Mbavu zangu
JOTI si yupo TIGO au Mkataba wake umekwisha
Umesikiya wivu
Simba umetupiga na kitu kizito
kaka simba pekeyake ndo anajua
Aoe asioe haituusu kwani yeye Nani
Huku chanika mtandao sifur eitel
nilifahamu hiyo issue ya kuoa ni kiki!!!
Sitaki kuwasikia airtel na mtandao wao
Kwasababu ya Joti pekee na mm nitahamia Airtel
mOndi haoi nawaaambia
Diamond Msenge 😂😂😂
Ni kweli hakuna kusuasua
Tunataka tumwone mjumba
Lidubwana
💘💘💘💘💘
Mond tutakuloga umefanya sijaenda tarawhe
Pore sana 😂😂😂
😃😃mjaa laana wewe
Ko na swahum yote hiyo anadanganya tu
Simbaa..
Jot kaisalit tigo🤣🤣🤣😂😂
Atakua adunje
😂😂🦁🦁🦁💕 Sharap jotiii
Wasenge nyie kutuchezea ubongo
OVYO tu
Wew k
Wapuuz sana
Hahahaha