Njia rahisi ya Kuitambua Siku ya Kubeba mimba
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Leo napenda tuwekana sawa kuhusu jinsi ya kuitambua Siku ambayo mwanamke anaweza kubeba mimba. Nimeguswa kuandaa somo hili kutokana na kuwepo kwa maswali mengi sana kuhusu jambo hili. Nategemea mtapata kujielewa vizuri na itawasaidia kupanga Uzazi. Hakikisha unatazama video hii hadi mwisho ili upate kunielewa kwa 100%.
..........................................................
Contact Us : +255676298270
-------------------------------------------------------------------------------
E-mail : toptenherbs@gmail.com
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram / toptenherbs
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / toptentanzania
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.topten.co.tz
-----------------------------------------------------------------------------------
Kama unatamani Kujifunza zaidi kuhusu masuala haya ya Uzazi jipatie kitabu changu cha SULUHISHO LA UGUMBA... Huko ndani utajifunza Hadi Staili 😃 za kupiga show!! Gharama yake ni 10,000/- tu. Wasiliana nasi kwa +255676298270
Ukweli mm nikishafikia siku ya kumi nakuwa muoga sanaa mpaka zitimie siku kumi na tano ndo najiachia 🤣🤣 weeee. Sina masihara kabisa kwenye hizo siku ahsante doctor
Je na sisi tuli bali
@@SporaYosia dasitani kibiki
Naomba unambie dawa ambazo naeza tumia Ili mzunguko wangu utulie
Mapacha jee?
kusema kweli ww ni mwalim mzuri unamalizia vizuri sana UBARIKIWE MPAKA USHANGAEEEEE
Amina,Bwana azid kukutia nguvu kwa mafundisho mazr juu ya afya zetu kwaajil uzaz na family kwa ujumla kiukwel Mungu tu ajuae sisi wenyew hatuwez, by Renatus chikulugu
Swadaqta
MUNGU akubariki sana doctor unafundisha vitu vya maana na hasa kumtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo MUNGU akuinue 🙏
Asante saana Kati ya watu nmeona wakielenza wewe ndio umenielekeza vizuri Asante saana balikiwa Saana
Asante sana doctor,, MUNGU akutunze kwa huduma
Hakika
Asante
Nimekuwa nikijifunza sana hiki kitu mpaka nimezoea nimekuwa mwalimu pia nakielewa sana hichi kitu.
Asante sana doctor.ubarikiwe.somo zuri umetuelewesha.ubarikiwe na wewe zaidi.
Mwalim mm ninaswali kwann nikikutana na mwanaume kimapenz napata maumivu yamgongo shida nnn nataka kujua
Mkimaliza awe ana kumassage dihaa😂
Ni U.T.I hiyo nichek kama upo dar nikuelekeze dawa za miti shamba
Inawezekana ikonayamurefusana inafikakuuzazi
Nina Imani na mm nitapokea kwa jina la yesu mungu akubalick kwa somo ulilofundisha dockta
Jamani sawa naamini Mungu ndiye mtoaji IRA nasisi atuone sichoki kufuata ushauri ewe Mungu tubariki amina ,🙏🙏🙏
Nimekuubali sana pale uliposema mtoto ni baraka Mungu ndyo anapanga akupe jinsia ipi,Asnate kwa somo Na kumtanguliza Mungu
Ubarikiwe doctor nimekuelewa Mungu akubariki
Ee mung naomba nibariki na me nipate mtoto maan mmewang kabadilika sana naomba tenda miujiza yako mungu wangu,mlio pata watoto tuombeeni na si ambao tumeolewa nahatujabahatika kupata mtoto tuweze kupata mtoto.
Amiin
Upate mtoto kwa jina la yesu
Ulishawai kutoa mimba?
Ubalikiwe mom upate mtoto
Docta asnte Kwa darasa zuri mungu atujaliye kizazi chaheri 🙏🙏
Hongera sana,miongoni wanatuelimisha cc wanawake wasuala ya uzazi wewe namba 1 unaeleweka sawa.naomba
Na mapacha je? Asante kwa funzo hii ubarikiwe sana Mr doctor
u
Inapendeza sana
Asante sana doctor mungu akubariki
Hi mi mzunguko wangu hauendi sawa utanisaidiaje na uwaga sina UTE wa uzazi nisaidie tafadhalii...
😮😮😮😮
Mzunguko wangu hauendi sawa naomba nisaidie
Santee San doctor ngoja NIANZE kufuatilia mzunguko wangu Yaàan unaelewesha vizuri sana
Umefundisha vizurii yaani hata kilaza anaelewa sanaa
It's true, without God yote ni bure.
Ahsante sana
Dr kama mtu unaingia kwenye siku zake mara mbili kwa mwezi je siku za kubeba mimba ni zipi
Mara mbili kwa mwezi duh kunywa chai ya Tangawizi inasadia kulekebisha
Tangawiz hakika mno
mbona nnapo kutana na mwanaume ninahaya maumivu ya mgongo na kuwa mvivu
Ww ni doctor mzuri sana unafundisha vizuri sana
Hii elimu ni nzuri sana hasa unapokuwa na mke.. Inabidi wanaume nao tujue maumbile ya wake zetu
Kabisa kaka ilo ulilolisema ni kweli
Mimi naitwa Tina docta naomba nikuulize swali Mimi katika mzunguko wangu wa hedhi unaenda hivi tangu nilipo vunja ungo mbaka sasa nimezaa watoto wawili natumika siku Saba tano natoa damu sita name Saba nasafisha sasa naomba unipe siku nzuli yakupata mtoto wakike alafu Sina tare maalumu Mimi naenda kila tare katika mwezi naomba nieleweshe vizuri docta
@@TINNAJOSOPH-df6mk😢😢😢 pole mamy Allah akupe wepes uwe saw love you
Thanks doctor for your education
Aksante sana kwa somo inanipa mwelekeo muzuri n'a ni kweli kabisa
Asante sana nimekuelewa
Doctor Mungu akubariki unafundisha vizuri sana na vitu vya maana ubarikiwe sana 🙏😍
Ahsante sana mwalim kwa somo hili asante sana namuomba sana mungu kwa hilo nimeipenda🎉🎉🎉🎉
Namimi pia natamani jaman nipate mtoto naamini mung u atanibariki🙏
Ushaolewa?
ndio
Mambo
Amiin
Ukowap
Barikiwa sana docter maneno ya mwisho mazuri
aisee nimekuelew san dokta mungu akubarik nasi tunazidi kuomb mm haswaa nahitaji wa kike
Wouh😍 kweli apa nilikuwa class....Shukran sana
Umeonaa
@@mussathobias2926 yea
Nichekibas whatsap
0621944126
Ubarikiwe sana. sijawahi kumuelewa hili somo pengine popote zaidi yako. point ya Mwisho umenena vyema. Nashukuru mno
Ahsante sana kwa kutumia muda wako wa thamani kutazama video zetu
Je kama mwanmke kutoka kwenye CK amalize siku ngp ndo ashike miimba
@@Toptenherbseti naomba kuuliza ivi mfano mtu anaingia talee 13 nitoe izo 14 jibu apo ni 1 sasa nikiongeza siku moja mbele inakua 1 2 asa izo siku mbili nyuma zinakaaje apo tafazal nielekeze apo niweze kuelewa
@@Toptenherbsnimekuelewa dr,nimeshiriki siku ya 10,11,12 na 14 je naweza kupata ujauzito?
Mwalimu hongera kwa semina nzuri🎉
Maneno ya mwisho azuri Sana factor ubarikiwe na mungu .
mm doctor kwamzunguko cjui kutumia ju hauna mzimamo umesema Kuna dawa ntapataje izo dawa tafathali
mimi natumia dawa za omoni libalasi naweza kupata mimba
Mm period yangu aisimami tarehe moja Kila mwezi na date yake so hpo shida inaweza kuwa ni nn ??? Be blessed doctor
Mi naomba unipe iyo dawa mzunguuko wangu haupo sawa
Namba sijaiandik
Precise advice....I do second that, because it's true....
Hello dear dok I'm from Kenyan
Kamàutehauna
Nimekupenda Bure kwa maneno Yako ya mwisho kila kitu ni kumtegemea mungu maana mungu ana mipango mingi na maisha yeti.
Duh kwa hakika napenda sana somo lako asante ubarikiwe
Dr Mimi mzunguko wangu wa siku 26 au 27 lakini nilipata mimba siku ya 18 wa kike.Basi Mungu naye ana nafasi yake
Asante sana kw hili somo,nmesoma mengi!!
Barikiwa sana
Amen...thanks God is able.
ahsantee sana dokta somo zuriii
Asante mwalimu Kwa somo mzuri sana wa kimaisha
Thanks for your explanation 💯
Exs
Kwa mfano umemaliza period Leo kesho ukasex je unaweza ukabeba ujauzito
Mwalimu m2 naitwa Daniel, ok kwa swala lá somo lako hili nimekupata kabisa, s2 swali langu nikama nailo: ktk siku zote izi ulizozitaja za mwanamke kupata ujauzito inafaa kufanya tendo lá NDOA mara ngapi kwakila siku?
3
.
@@hildazabibu3896 ha ha ha ha
God-bless you doctor I love this
mm mzunguko wangu ni talehe 20 na ninatamani nibate mtoto imeshandikana
Asante. Doctor nakuerewasana
We noma sana, mungu akupe maisha marefu, hatimae nimefanikiwa now ni mjamzito
13:03 Na mm nilijaribu kueka shindano ya miezi mitatu lkn kutoka iishe sjaifanikiwa kupata mtoto
Mwalimu asante kwa somo zuri ila nina swali la mda mrefu: Nashindwa kutofautisha ni mda gani mwanamke ananasa ujauzito maana kuna period mbili za muhimu, period ya kuona damu na period ya ovulation,umetufundisha kuwa hizi siku za ovulation ndo siku za kubeba ujauzito. Je unaweza kufanya tendo la ndoa siku ya kuona damu au siku moja kabla au baada ya damu na mwanamke akawa salama asishike ujauzito? Naomba unisaidie kwa ufafanuzi zaidi.
Ndy
Je, anaingia tarh1
Hili swali jibu lake lipo ukurasa wa ngap😂😂😂😂
Mwalimu naomba niielekeze nijue mzunguko wangu ni siku ngapi
Samahani Mim ningependa kujuautamsaidiaje mwanamke anayesex uke wake ukiwa mkavu hata akiandaliwa vipi, maana inasemekana inasababishwa na uzallishwaji mwwingi wa estrogen hormone inayoacti kama acidic in nature sasa utamsaidiaje kupunguza uzallishwaji WA huyo hormone
Much thanks must go to you Dr. As u have taught us
Dokta nipe no ninashida
Thank you
❤
Niko njombe napataje huduma hii
Superb!!!!
Asante kwa somo nimekuelew vizuri
Kwer mungu akubariki nimeelewa docta
I have learned a lot thank you !!
Thanks 👍😊👍😊😊
Sasa doctor mm sina tarehe moja nabadilisha terehe kila mwezi sasa nafanyaje hapo mm mana sielewi hapo
Mishiomar Omarabdhallah ndio atu saudie dawa💚💚 🙏🙏
@@Africancommunit-y1 ,hakunaga dawa ya mzunguko maana hata mimi niko hivo niliamuwa kuacha km ilivyo tu
Eee Mungu Ni bariki na Mimi Amen🙏🙏
Allah atakufanyia wepesi
Ishaallah udugu wangu
Kwani na wew haujapata mtto na jinsi ulivyo et
Amiin
Barikiwa sana mwalimu
Asante San doctar somo lako zuri mungu awe nawe sikuzote
Asante cn mwalim nimekuelewa vzr
Amen asante umeongea jambo zuri la Mungu ameen baba
Nimpenda doctor alivyo malizia na neema ya mungu.
Nakama Siku zangu zimekoma nafanyaje dk?
Ilipata dawa zakuona siku zako
Habari kwajina naitwa ashura Mimi napata siku 10 11 jesikuyangu yakubeba mimba hipi naomba kujuwa
Natamani sana mtoto
Naomba msada waok
Nimekupata Sana chief
Thank you doctor nimekuelewa sana doctor wangu mi mwenyw nataman NAMI nipata ujauzt
Asante sana dockta mungu akubarik
Nimependa somo👌🏿
Thanks alot. God bless you.
Be blessed Mtoto Ni baraka.Mungu kwanza
To
Nauliza mwalimu umzunguko ulienda siku 35 nivipi?
Mzungo utaujuaje
Na wanaobrid tarh 21 siku za hatar ni zipo?
Mzunguko wako ni siku ngapi
Thanks,
God bless you
Je maziwa kuvimba cyo dalili ya kubeba mimba ? Au ni period?
Kumbe tunavimba matiti wengi nlijuwa me mwenyewe nikikarbia siku zangu navimba matiti kama wiki hivi Ndio dam inakja
Mimi nanawiri kupita maelezo ndo nabrid adi watu wananishangaa mbona unabadilikabadilika shida nn😂
Wewe ni mwalimu mzuri saana,unatufundisha vzuri saana,wengne hawawezi kufundisha kama wewe.
Umefundisha vzr mashaAllah ila nnaswali mie mzunguko wangu sijawai kuruka tangu na balekh ila mwezi huu nimepata hedhi mara mbili baada ya siku tano tu kumaliza hedhi ikarudi tena huenda ikawa ni sababu gani labda ama nini tatizo haijawai kutokea kabsaa katika maisha yangu
Sorry dear cheki mwezi ujao mahi ikijiludia tatizo pia tumia tangawizi ukiingia itakusaidia mno
Shukran sna docta nimejifunza vitu
may the Lord bless you
Me nataka mtoto
Hi mambo naulizaje mtu akimaliza damu kama tuseme ameanza tarehe moja akamaliza siku yatano akiwa namume siku yasita kuendelea anaweza kushika mimba kweli
Kama una uzazi
Apo mpaka Siku ya 11 mpaka 17 Ndo Siku za kupata mimba
Uwezekano ni mdogo
Hapan
Hata sielew
Thankx teacher God bless u
Thanks for your teaching God bless you
Ahsante kwa somo lako zuri
Asante sana Kwa mafunzo
Wow everything ni mungu
Mm nataka kupata mimba nitafanya nini
Samahani daktar kwanini siku yahatari umeongeza siku moja wakati yai lamwanamke linauwezo wa kusurvive siku mbili kwenye oviduct?
Kwa uhakika mkubwa yai huishi masaa 24 tu mara baada ya Ovulation ndio maana tunaweka siku moja mbele. Nenda kafanyie utafiti tena utaelewa hilo
Yai huishi siku mbili bro c moja
Asante nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akubariki saaana
Dr. Mungu atukuzwe kwaajili yako. Nimepata matokeo chanya, ntakupigia simu
Mimi sijaelewa
Hizo siku za kupata mimba zinakuwa ndani ya siku za mzunguko?. Maana siku ya mzunguko si anakuwa anatokwa na damu ya hedhi!?. Kama anayoka damu ya hedhi unamuingiliaje!?.
jaman mm mwenzenu kuhesabu mzunguko wangu bado ni changamoto sijuagi kuhesabu
Uko sawa na mm cielewag yaan
Kumbe tuko wengi🤣🤣
yaan mwez uliopita umeanza kuziona siku zako tarehe ngap ile tarehe ya mwez uliopita unaanza kuhesabu mpka huu mwezi ukianza tena kuona siku zako ndio jibu kuwa mzunguko wako ni wasiku 28 au 30
Alafu kujua siku ya mimba, wachukuwa 28 toa 14(28-14=14) au 30 toa 14(30-14=16)
@@terryjost2320 asante wewe nimekuelewa 👏
😂😂😂😂 biology mliikimbia
Hivi ukitoka period mfno leo alfu kesh ukafany hivi unawez pAta mimba
❤❤❤❤
Hpn
Noop
Mwanamke anapo umwa tumbo la chini kwanzia siku ya 13 hadi 16 baada ya hedhi hizi ni dalili za mini?
Ovulation
What is ovulation
Na asipoona siku zake alafu akaja akaona jee itakuwa mimb imetoka
Wewe nimwalimu mzuri kuliko wote ambao nimewasikia, mwenyezi MUNGU akubariki sana
Asante Doctor
Kwamfano mm siku ya 30 siku gan nibebe
Doct. Kama mzunguko wa mwanamke haueleweke anatakiwa afanyeje ili apate ujauzitoo:??
P
naomba no yako
@@stellaissack4293 Nipe number yako
Asante sana docta namungu akubariki
Asant sana nimefurahi sana nimejifunza mengi mungu akulipe mema
Doctor me nimeumwa tumbo la bleed siku mbili ila me bleed aziatoka bado
Siku gani ya kupata mtoto wa kiume?
Niko Pia mimi
Juma mosi saa 8 mchana
Faustina Richard jaman hahaha
Be blessed Doctor
Amina
Doctor me nmefanya Mapnzi na mke wngu ila cioni dalili za mimba
Thank you very much doctor.
asante kaka yangu nimeelewa
Mimi ninaswal je kama mzunguko wangu hauweleweki naweza kushik mimba
Ongera sawa tchr wangu daaaah nimeerewa somo mungu hakutakie maisha marefu napy uwe na usiku mwemaaaaa
Sikuwaza wala sikupanga kucomment. Lakini maneno ya mwisho kwakweli yamenibariki na kunitia sana moyo. Barikiwa pia kaka.
Yaani unajua sana
Kiswahili ni kigumu asante mwalimu