ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Daaaa umekonda unaonekana una mawazo njoo tena tumekumisi bwana nyimbo zako 😍😍miss u ukuje
Laiti ningekuwa na kipato ningekuwezesha kaka, unanikoshaga sana roho, heshima kwako
Jamaa ana maarifa sana huyu. Big up 20%
Umemjibu vizur sana hata mama yake atakukumbuka Safi bro nimekupend anajua umepotea kwenye gem alafu anakutia hasir jib zur linamfaa
uujama 20% yuponahakiri nyingi sana anajibu kama msomi wakujielewa big up bro wew ni noma kabisa
Dah! Huyu jamaa ana akili nyingi sana
Big up sana bro kwa majibu uliowapa, respect sana
Naitwa Phenias kutoka Burundi, mimi ni Mfans wa 20% kwa ngoma zake pamoja na Movies zake,, Furaha iko wapi? I wish to meet 20%!!
Nampenda sana twenty nimefulahi kumuona tena
Ooooh mmyyyy God msanii wangu nambari moja..celeb wangu mkubwa maskini kwani ulikwamia wapi jamani nyimbo zake zilikua za mafunzo wallahi
20 pacent tunakubali sana,muito obrigado meu fa
nice one 20% support you from kenya
20% you are wright very right.
Namukubali sana alikuwa akitunga nyimbo nzuri sana.
Aiseee ilijamaa shida sana nunda like nyingi kwa20%
20 uko sawa kabisa nakuaminia can bradha
Kutoka Congo drc mimi ni fan Wa 20% natuna hamu yakusikiya wimbo wake mpya, ebu Nipeni likes kama naongeya ukweli
20% may God bless u bro,napenda sana mziki wako...umeenda kimia kwa mda, Mimi fan wako kutoka Kenya wapendwa sana
Nakubari sana broo life life 🙏 to you
Namkubali Sana 20% kuliko msanii yeyote yule