Niseme ule ukwel yan bongo star search ya mwaka huu mic zenu ni mbaya yan haztoi saut nzur kbs. Msimu ule aliyechukua brian yule albino ndo ulikuwa bomba sana mtu anaimba unamskia vzur,,, na ule msimu mlifanyia show zenu pale palm village yan mpk mtu unainjoy the way mtu anaimba na saut inatoka vzur km ulaya
On my side I think when Asagwile performed this Song, he killed it. Sioni atakayefanya kama yeye. Kenya tuko locked baya
Since the beginning I already said this guy is the🎉 champion of BSS
Huyu jamaa kwa sebene ni balaaa!!🙌
Huyu jamaa ndo mshindi wa bss hakika🎉🎉
nakubaliana na ww
Anadizevu ila kuna jamaa mkali zaidi yake anaitwa onesmo
@@jackmata4368ameshatoka
Exactlylyyyyyy!!!!!!!!
Huyu jamaaa ni Mshindi mna-west time bureeee
Nakuombea mwanangu Devi baraka zangu ziko nawe❤❤❤❤
Tayar huyu ndo bingwa, alwayz watu waoimbaga hii nyimbo waga wanakuwa washinda 😂😂😂🎉🎉 king david go go and win
This guy is the winner of bss this season 🎉
King David kaupiga mwingi much love from +254
From Kenya I would like see king David singing love song
unazijua goosebums ww 😂😂ndo kitu na feel kwa ichi kipaji
The only king david🎉🎉
Nilikua shabiki wa dynamic ila kwanzia leo nimehama team nimeamia kwa afro mamaa 😂😂🫡 nasema APEWE ADVANCE KING DAVID
David 'Daudi Always this name is winner since day one
Ameen
King David ni performance kila show ni kali angushi watu
Huyu ndo mshindi wa BSS mwaka huu ❤❤❤❤❤❤
Top three yangu BSS 1. KingDev, 2. Razack.
Mwanangu we mshindi
Much love king David #Kenya
Niseme ule ukwel yan bongo star search ya mwaka huu mic zenu ni mbaya yan haztoi saut nzur kbs. Msimu ule aliyechukua brian yule albino ndo ulikuwa bomba sana mtu anaimba unamskia vzur,,, na ule msimu mlifanyia show zenu pale palm village yan mpk mtu unainjoy the way mtu anaimba na saut inatoka vzur km ulaya
Kibongr mwepesi😂😂❤
Mjomba unafaa kuingia Agape Gospel Band
Huyu jamaaaa ni music 🔥🔥🔥🔥
@MIna, nice dress, yani imeenda nje ya ulimwengu sio nje ya dunia.....u looks awesome 👌.
KING DAVID wewe ni mwamba na nusuuuhh😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Anatumia nguvu sana, ila anajua sanaaa, hongera sana
Mungu akutangulie king dav uwe mshindii
Winner season 14🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aloo huyu jamaa ni motooo
KING namkubali sana.
HAKUNAGA KING AISE JUA MZIKI 🎉
Mependa vibe we mkaka nomaaaaaa af noma tena
Mshindi wa bss 2023
202..????😂
😅kati ya king David na Razak mmoja wake ndo atakuwa namba Moja from 254
DAVID Unajua unatukosha moyo nikiwa Canada
Moto sana 🎉🎉
Jamaa ana sauti aisee imenifanya kudawnload hii nyimbo
Asante David ❤
Christian Bella wa msss haya ndo mambo yako kaka hongera sana
Wozaaaaaaa❤
Huwa nakupenda san we kaka unaupiga mwingi
King dev ndio mshindi wa bss
Aliyerudia mara kumi kama mimi gonga like apa
U have to win my Gee
Mimi kutoka USA NAKOMETI KWAMBA ASIPOKUWA MSHIDI MTAKUWA MUME MNYOGEYA
No doubts🔥🔥
❤❤❤❤ umekosha moyo wangu wee
Awe winner tu🎉
Noma sana
Wow amazing
Kazi IPO aisee Allan anakazi kwa uyu jamaa na razak
This guys next leve🎉
🎉🎉🎉🎉🎉 kaka unajua Hadi unakera 🎉🎉🎉 hatari hatar
Ametisha huyu mwamba
Muende mkampigie kura huko sio kuishia kusema humu et mshindi wangu
Noma sanaaaa
Umenikubusha Asagwile
Woow 😊
Uko vzr mno kaka daaah
Huyu ni mshindi na 3.
Huyu jamaa anajua sana
Bss ya msimu huu,wakali wote sasa sijui mshindi atakua nani
David ❤❤❤❤
Nimejikuta nacheza tu
Bravoooo
My Nambie sake
Katisha❤❤❤
Ww ni star hakuna wakupingaa
Fala anaweza huyu
Mshindi wetu♥❤♥❤♥
Mwamba noma
❤❤ mkal sanaa
Love yoooooooooou!
Top 3
Waooooh ❤️❤️❤️❤️❤️
Mshindi wa BSS ni huyu
Kiukweli anajua saaana
Huyuu jamaa yuko moto...
Jamaa anakiwasha balaa khe kivumbi 🏃🏃
Unajua
Huyu jamaa alistahili kuwa mshindi
unatakiwa ushinde tu
Huyu mwehu anaimba bana...
Kashinda tayar
huyu juwaaa mkalii mnooo
Wampe hela zake bn aondoke asipopita ntaliaa sn ntalia sana
Hyu ndio mshindi
Linajua mpaka linajua Tena kudadadeki
Nice one
Duuuu hatar mno
Aweeeh
nyoko sana
Bro kama ujawa mshindi ni kwa sababu tu ufanani na mziki
Hapana kwakweli kitambi asiige. Inagawa najua nawe hukupenda kuwa hivyo.
Mshindi kashapangwa hapo haya mashindano ya kisenge tu
Mpeni heka yake😂
Mwaka huu ushindi unaenda mwanza
🔥
Jamaa hatari
Sasa wahuni ni huyu au ni razaq😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥