KING DAVID AWAKUMBUSHA MFALME WA SHOW NI NANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 81

  • @Katamba255
    @Katamba255 9 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu mdada mwenye vest nyeupe uwa ana vibe sana 🙌🏽🔥 😍🇹🇿🇨🇳

  • @pickyryn6614
    @pickyryn6614 9 หลายเดือนก่อน +53

    Madam Rita tunajua wewe ni Chief Judge lakini jaribu kutokuwa unacrash judgement za wenzio, kama unaona mawazo ya wenzio hayafai usingewaweka hapo ungejudge mwenyewe. Lakini uliona wanafaa kuwepo na wanajua kazi yao ndio maana ukawaweka hapo sasa kwanini kila wanachojudge unawacrash?! Unawaonyesha nini hao washiriki?! Kwamba wadharau judges wengine wakusikilize wewe tu?! Hebu heshimu judgement za wenzio basi kama wao wanavyoheshimu judgement yako.

  • @mcedukenya
    @mcedukenya 9 หลายเดือนก่อน +8

    Piga like kama tuko pamoja, good performance

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 9 หลายเดือนก่อน +7

    CONGRATULATIONS MY BROTHER KING DAVID♥❤♥❤♥❤

  • @saidsalum929
    @saidsalum929 9 หลายเดือนก่อน +3

    @Mina nice dress umeua, yani kigauni kimekaa sehemu yake. ...👏

  • @Fabiolamsofe
    @Fabiolamsofe 8 หลายเดือนก่อน +1

    sema mtu unajua mnooooo ❤

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 8 หลายเดือนก่อน +2

    king kauwa kabisa 🎤🎤🎶🎶💥🔥🔥🔥

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 9 หลายเดือนก่อน +2

    High pick song intertiment 💥💥💥 voco yann😅😅😅 umetisha Madam

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 9 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa namfananisha mwendo wake na Peter Msechu

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 8 หลายเดือนก่อน +2

    Salma ana anaona sana

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kweny hii nyimbo mi naon sijamuelew yan haimbi ila anapig show tu hii ya leo hapn next time jitaidi bro

  • @damasmarungu2520
    @damasmarungu2520 9 หลายเดือนก่อน +3

    The band 😋🎉

  • @abdulyrashid851
    @abdulyrashid851 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio bingwaa

  • @officialtingtz3440
    @officialtingtz3440 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nilishasema ukisindana na huyu jamaaa unakuta mwili unaisha nguvu😂😂 keep it up bro🥳🥳🥳

    • @Bikhafija
      @Bikhafija 9 หลายเดือนก่อน +1

      Anajitahid na mwili wake

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 8 หลายเดือนก่อน +2

    Madam Rita acha hasira wa judge vzr

  • @johnsonwandera1956
    @johnsonwandera1956 9 หลายเดือนก่อน +2

    Leo haijakuwa nzuri kama last time, huo ndio ubaya wa raising the bar very high, people will always want the same standard, bro these things will let you down

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nilishasema mpenzi Hela zake this season imeisha hamsikii ntakuja kumpa mwenyewe

  • @shuk-bofficial1081
    @shuk-bofficial1081 9 หลายเดือนก่อน +2

    I like the shishi baby vibes 🙌🏼

  • @VendaMedia
    @VendaMedia 9 หลายเดือนก่อน +3

    Vocal yake kali anajua kuimba na anaburudisha sana

  • @monicajohn2515
    @monicajohn2515 8 หลายเดือนก่อน

    King ❤

  • @barnabassassiyo4741
    @barnabassassiyo4741 9 หลายเดือนก่อน +4

    PHD ya Mziki iko hapa

  • @sharpaliofficial7455
    @sharpaliofficial7455 9 หลายเดือนก่อน +1

    Master jay bana 🤣🤣🤣🤣

  • @pbugzake
    @pbugzake 9 หลายเดือนก่อน +4

    Usipo shinda nainunua BSS dadeki😂😂🔥🔥🔥 nakupatia wewe

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 9 หลายเดือนก่อน

      Lakini haimbi lugha nyingine kama Allan

    • @RyanElias1
      @RyanElias1 9 หลายเดือนก่อน

      Asiposhinda bSS inafungwa kakaa

    • @pbugzake
      @pbugzake 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@artisthusnatalal3099 kwani ni mashindano ya lugha kaka

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 9 หลายเดือนก่อน

      @@pbugzake Ukiimba tofauti huwa ni bonus. Inaweza kukuongezea marks. Besides mimi ni dada🙈

    • @pbugzake
      @pbugzake 9 หลายเดือนก่อน

      @@artisthusnatalal3099 duu my bad, njoo nkueleweshe vzr kuhusu mashindano😅

  • @witnesrobson
    @witnesrobson 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kula yangu Kwa David

  • @noelimafwele602
    @noelimafwele602 9 หลายเดือนก่อน +1

    wakwanza leo bora zimeanza ndefu

  • @winjy2k
    @winjy2k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Unatishaaaaa balaa sana

  • @tato8979
    @tato8979 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan huyo king David nimoto wachungaji?

  • @KazumareeYusufu
    @KazumareeYusufu 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @senijeremiah
    @senijeremiah 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo unaiwakilisha morning Star Safi home boi

    • @mcharvey3578
      @mcharvey3578 9 หลายเดือนก่อน +1

      Tumtumie sister aone

    • @senijeremiah
      @senijeremiah 9 หลายเดือนก่อน

      @@mcharvey3578 yeah sister julitha

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 9 หลายเดือนก่อน +3

    Madam Ritha why crushing other judges unaboa no freedom of expressions there

  • @phinny_b3639
    @phinny_b3639 9 หลายเดือนก่อน +1

    Here we go blood

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 9 หลายเดือนก่อน

    How he encourage you shishi?

  • @YahanaMashauli
    @YahanaMashauli 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambaaaaaa,,balaaaa

  • @alphahappy3501
    @alphahappy3501 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shiloleee 😂😂😂😂

  • @victorhabonimana9055
    @victorhabonimana9055 9 หลายเดือนก่อน +1

    iv kumbe n mm ndo nmemuona huyo dada mwenye cnglend nyeupe maziwa yake

  • @Wendo_Media
    @Wendo_Media 9 หลายเดือนก่อน +3

    Izi NI talent zakienyeji

  • @tadeotv4853
    @tadeotv4853 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi mlishawahifikiria kuwa master J angemuoa Salama ndoa Yao ingekuaje? Au watoto wangezaliwa wangekuwa Wana silika gan😂😂😂

  • @MiliamEnock
    @MiliamEnock 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mauwa yakoooo bollo

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu hapana Leo kaimba kawaida siungi mkono

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 9 หลายเดือนก่อน

    Mshindi

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 8 หลายเดือนก่อน

    Uyu nae anastail km shoga

    • @NelissaMsanifu
      @NelissaMsanifu 8 หลายเดือนก่อน

      Matumizi mazur ya maneno .

  • @SaidaJuma-l9z
    @SaidaJuma-l9z 9 หลายเดือนก่อน

    C wampe hel zake tu aendee zak jmn mashindan yaendelea ety 😂😂😂😂

  • @sadiqrifay5448
    @sadiqrifay5448 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaaa yeye anakuja kufanya shoo 😀😀😀

  • @abinelikagezi9217
    @abinelikagezi9217 9 หลายเดือนก่อน

    Shilole akicheza utafkiri kajumba kanatembea

  • @elesiamwampamba7116
    @elesiamwampamba7116 9 หลายเดือนก่อน

    Mshindiiii

  • @MwimaNgoi
    @MwimaNgoi 9 หลายเดือนก่อน +3

    Sijamkubali king David sijui kwa Nini?nisiwe mnafiki

    • @NelissaMsanifu
      @NelissaMsanifu 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kwan wamekwambia ku comment ....wewe kubar wanaokuhusu kisicho kuhusu achana nachoo🙄 King David maua yako acha apewe🎉🎉🎉

    • @priscafidelis8301
      @priscafidelis8301 8 หลายเดือนก่อน +1

      Anajua hadi anajua Tena, wewe acha roho mbaya nadhani mziki hujui ww

  • @EnockSalapion
    @EnockSalapion 9 หลายเดือนก่อน +1

    You can do better than this. Today wasn't good

  • @nextstudiostz
    @nextstudiostz 9 หลายเดือนก่อน

    Amevaa vibaya sana kwa mwili wake, Yani ka Shoga lidada flani ivi😅

  • @ibrawalas834
    @ibrawalas834 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jama akishida sutorudi kuona uyu ujinga

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 9 หลายเดือนก่อน

      Hawezi kushinda hata

    • @poulmbogo1770
      @poulmbogo1770 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂we jamaa mnafiki kwan umelazimishwa kuona 😂

  • @andreamalilo1929
    @andreamalilo1929 8 หลายเดือนก่อน

    Chilole

  • @DAVOO1903
    @DAVOO1903 9 หลายเดือนก่อน

    Sema tunao jua mziki uju jamaa tunaona kuimba bado anapga TU kilele
    Show zake nying mda anaotumia kupiga kelele ni mwingi kuliko kuimba 😂😂

  • @fredymike3494
    @fredymike3494 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kwa razaq bado sana

  • @Manuh721
    @Manuh721 9 หลายเดือนก่อน

    Hapana hakuna kitu

  • @raymondwilliam3042
    @raymondwilliam3042 9 หลายเดือนก่อน

    Mwamba kanogesha kuliko hata Zombie

  • @nsungaedwin3464
    @nsungaedwin3464 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kama vile Upinde 🌈

    • @pbugzake
      @pbugzake 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hii comment imefanya nione wewe ndo 🌈🌈 , its not ur fault its ur bald head

    • @vostudios1083
      @vostudios1083 9 หลายเดือนก่อน +1

      Umejuaje kama wewe sio upinde 🌈🌚

    • @25bars77
      @25bars77 9 หลายเดือนก่อน

      Thats some gay shit🤓, nsungae does ur mama know that your gay

    • @Pirlo025
      @Pirlo025 9 หลายเดือนก่อน +3

      We jamaa mafi kweli unamuitaje mwenzako upinde kama wewe huliwi sijui bro, utakufa ukiharisha kaka edwin😂😂

    • @nsungaedwin3464
      @nsungaedwin3464 9 หลายเดือนก่อน

      @@vostudios1083 angalia morphology broh

  • @AnnaDaniel-qc9yu
    @AnnaDaniel-qc9yu 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu hapana Leo kaimba kawaida siungi mkono