Sijawahi uwelewa huu wimbo ila leo Alfredy amanifanya nimeelewa kila neno kwenye hii nyimbo mwenyezi Mungu akakupe nguvu katika haya mashindano .(God bless you Alfredy chuga boy)...
In really both of you,you killed it but a chugga boy has unic vocal our judges you have a difficult task but all in all iam enjoying the bong star search
Dk 4:49 alifredy chally Mungu akupe Nuru umeimba kutoka moyoni nadhani umekulia malezi ya mzazi 1unajuwa uchungu wa Mama mno Respect all Mama's all over the world
Ni kama mchezaji anayetokea Brazil lazima atapapatikiwa tu hata kama kazidiwa hako kajamaa kanapata sapoti kwa sababu tu ya kutokea chuga bhasi lakini hakamfikii kibonge
Alfred ana sauti nzuri kiasi Ila yuko composed sana na ana control, bonge ana bonge la sauti Ila ni kama anataka kuweka tricks zote kwenye wimbo mmoja wa dakika mbili na hana control na volume inayotoka kwenye microphone...unaona pamoja na bonge kuwa na sauti nzuri kuliko Alfred Ila Alfred atakua msanii mzuri kuliko bonge
Hapana dada with all due respect ila this is a vocal competition na kama unajua mziki vizuri Shedrack amemzidi Alfred Vocal, Alfred Kaimba basic sana hata hajatofautiana na original song. Ila ni ngumu sana kwa wabongo kuelewa kilichofanyika wabongo washazoea mtu aimbe kama wenye wimbo walivoimba, ukiimba cover lazma iwe na twist yako.
Jmn embu watu acheni shabiki wa kikabila mara chuga mara arusha mara sijui nini ....ukweli ni kwamba shedrack ana kipaji kikubwa sana ,vocal ability zake ziko next level....watu wanaojua Mziki watanielewa nacho kiongea....its so unfortunately tumeacha kipaji kama ichi kiende bure,...na ndio maana shedrack alipata alama 15 kwa ma judge na alfred kupata asilimia 5 tu ...kilicho mfanya aendelee mbele ni ushabiki wa mashabiki ila ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa bonge ndio mwenye kipaji hasa
Kwa anaefahamu muzik vizur wote wakal ila bonge mkali zaid kwa hawa wawili...bonge anajua tengeneza saut yoyt vizur bt chug boi anaimba saut ake halis......
Mbona mnalia jmn, yan Alfredy Kamzid jamaa kila kitu kasoro umri, tukianzia na Star look, Vocals, Stage Presence sasa nyie kazanien kulia lakini jamaa ndo kashampindua huko
Hili shindano ni vema wangetoa zawadi kwa watu 3 kama miss Tz kwani mahela mengi kwenda kwa mtu 1 ni uonevu kwa 2 au 1 wa mwisho wanao pambanishwa pamoja kwani washindi 2 wa mwisho wanakuwa karibu sawa.
Asee watu hawajui mziki kabisa... Leo nimejua kuna kitu nyota na talent ni tofauti... Wakanda amampita mbali sana kitalent Alfred mbali sanaaaaa... Ila nyota ni tatizo
Sijawahi uwelewa huu wimbo ila leo Alfredy amanifanya nimeelewa kila neno kwenye hii nyimbo mwenyezi Mungu akakupe nguvu katika haya mashindano .(God bless you Alfredy chuga boy)...
Shedrack has powerful voice na anaimbia feelings and anavoimba you feel the music na Alfred ana unique voice smooth one ...
All the from Kenya
Huyu Alfred, yani chuga boy, umetisha Sana baba 👍👍
Istagram please Ni following @baraka_biz.
@@barakabiz8076 okay. I'll follow u right up
Mungu akufikushe kwenye ndoto zako mtoto wa chugaaa love fredy
Chugastan ngarnafyade ndo mkali sana one love bro
😁😁😁kuna bruce lkn yuko vzuri
Nawafata moja kwa moja kutoka Kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 nawapenda sana
Big up Alfred uko vizuri sana hongera nskuombea urudi Arusha kwa ushindi.
This chuga boy from the very first day i heard him in Auditions .....i knew he is a Gem 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
In really both of you,you killed it but a chugga boy has unic vocal our judges you have a difficult task but all in all iam enjoying the bong star search
Alfred tunakupenda Sana sisi watu wa Arusha mungu akupe ushindi zidi yako uwe nyota wa Tanzania mzee baba
Alfred you gat the pure voice💪....
Alfred Ngarinaro he kill it men..support from two five four Kenya
Dk 4:49 alifredy chally Mungu akupe Nuru umeimba kutoka moyoni nadhani umekulia malezi ya mzazi 1unajuwa uchungu wa Mama mno Respect all Mama's all over the world
I love this chuga boy ❤️
Alfted ana vocal sanaaa 🤝
Kibonge kaua sana sema alfred anasauti
Kibonge nimzuri sema uimbaji wake na hiyo wimbo haiendani na chuga boy anajua kucheza na sauti yake Yani hatari chuga boy
Its really touch my heart😭😭
Bonge ameua kinoma noma
Shedrack amemfunika mbalii sana Alfred ila watu mnashabikia tuu labda kwa kutumia hisia sio ufundi
Sanaaaaaa
Ni kama mchezaji anayetokea Brazil lazima atapapatikiwa tu hata kama kazidiwa hako kajamaa kanapata sapoti kwa sababu tu ya kutokea chuga bhasi lakini hakamfikii kibonge
Alfred ana sauti nzuri kiasi Ila yuko composed sana na ana control, bonge ana bonge la sauti Ila ni kama anataka kuweka tricks zote kwenye wimbo mmoja wa dakika mbili na hana control na volume inayotoka kwenye microphone...unaona pamoja na bonge kuwa na sauti nzuri kuliko Alfred Ila Alfred atakua msanii mzuri kuliko bonge
Nakubali sanaaa
Exactly
Wat a cool interpretation.....I like dat umeona wat I have seen.....!!!!
Hapana dada with all due respect ila this is a vocal competition na kama unajua mziki vizuri Shedrack amemzidi Alfred Vocal, Alfred Kaimba basic sana hata hajatofautiana na original song. Ila ni ngumu sana kwa wabongo kuelewa kilichofanyika wabongo washazoea mtu aimbe kama wenye wimbo walivoimba, ukiimba cover lazma iwe na twist yako.
Daah
Team Alfredy tupia like yako tusepe
Chuga lee ni kiboko 🔥🔥🔥🔥🔥
Chuga namkubali sana
Bonge ameniliza,very touching
Shedrack ameimba vizuri zaidi Kama ni kura na raia wa nyumbani tupige tu
Alfred nampenda namkubali Sana Lkn huu wimbo siyo swagger zake that's why wengi wemeona bonge kaufanya vxr zaidi ila kwa vocal Alfred anayo 🙏🙏
All are talented
Chuga pamoja sana wew ni mkali
Team alfred gonga like twende sawa
Wanaojua tunajua Ni hitari kiasi gani bonge ameifanya kwenye wimbo huu wengi mnashabikia tu et kwa kuwa Ni mchuga mwenzenu ila ukweli mmeuona wenyewe
Sasa unalia nn mamiloo 2lia 😂
Alfredy mkaly Sana aaa
Bonge ni balaa
Kweli kibonge kaua bhana
Mnooo
Chuga boy uko vizurii
Fundi sanaaaaa🔥🔥🔥🔥
Chuga boy umetisha sanaa
Oooh my God you the best
Muonekano wakisanii melodiii💥💥💥💥💥💥chuga chugan 💰💰💰
So emotional 🙆🙆
Bonge laimb vzr arush boy abasautbnzur
Dah mambo ni fire sana jamn Aflfred ni moto aki tenaa
Shedrack (bonge)ametisha sana sema apunguze mahusia mengine mana yanampotezea mwonekano wa kisanii
Alfred you are the winner trust me🥰
Can he still trust u Sonia
@@samwelkobe6455 not anymore 🤣
Nampenda Alfred sema shedrack kaua sanaaaa
No Alfred ameniliza broo
Daaha fadhali umesema ukweli sema nilichojifunza ALFRED NI FAN'S FAVOURATE
Alfred 🔥🔥🔥🔥🔥❤️😘
The second guy has an extra thing that is gutar but the first is the killer Marvellous vocolist
Nice Alfred
Chugaa hatariii sanaaaa
Big man shedraq
Alfred wow sauti nzuri sana
Chuga noma sanaaa
Bonge is magical
💥💥💥💥🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝💰💰chuga mpen mtonyo arud hom na mwenzi Bruce💰
😄😄😄
Kibonge katishaaaa
Noma sana
Chuga boy yuko na vocal moja hatari sanaaaaaa
Majaji mnazingua...period!
Nice sana
Yes brother
Bonge ni 🔥🔥
Alfred atabaki kuwa juu🔥🔥🔥
Jmn embu watu acheni shabiki wa kikabila mara chuga mara arusha mara sijui nini ....ukweli ni kwamba shedrack ana kipaji kikubwa sana ,vocal ability zake ziko next level....watu wanaojua Mziki watanielewa nacho kiongea....its so unfortunately tumeacha kipaji kama ichi kiende bure,...na ndio maana shedrack alipata alama 15 kwa ma judge na alfred kupata asilimia 5 tu ...kilicho mfanya aendelee mbele ni ushabiki wa mashabiki ila ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa bonge ndio mwenye kipaji hasa
Alfred kiboooooo sanaaaaa
Madame Rita uwe unaji contrôle kwakukaa vizuri
Bonge tishaaaaa sanaaaaaaa
Kwa anaefahamu muzik vizur wote wakal ila bonge mkali zaid kwa hawa wawili...bonge anajua tengeneza saut yoyt vizur bt chug boi anaimba saut ake halis......
Huyo bonge yupo THT, pia huwa anapiga back vocal kwa wasanii wakubwa wakiwa kwenye shoo.. ni mashine nyingine kabisa huyo bonge
Good
Asilimia nyngi ya comment n comments za wachaga na wao hawashabikii kipaji ila wanashabikia ukabila😏.. .. shedy umeua sana mamae🔥😘😍💯
Mbona mnalia jmn, yan Alfredy Kamzid jamaa kila kitu kasoro umri, tukianzia na Star look, Vocals, Stage Presence sasa nyie kazanien kulia lakini jamaa ndo kashampindua huko
Kwendraaaaaaaa mnateseka eeeh Ally zido n namba tasa mama kubali ukatae
Finally lini
Dogo Alfred nomaaaaaa
wow Alfred....chuga oyeeeee
Chuga🔥🔥
Wapite tu wote
Master Jay had something to prove on this and he's right...
Shedy ni next level aiseeee
Hurt the band sign this guy Alfred ameweza
Alfred kibokooooo
Sanaa tuu
@@alidajamal1008 j00j0
j0jj0jj0
hhh0j0
@@alidajamal1008 and
Chalii ya ar ametisha sana ...bonge anaremba sanaa
Yangu macho finally is loading
Alfred nakukubali sewez kusaliti wozaaaaaaaa
Ngarenaro boy achia jabal
Naomba nielekezwe kupiga kura fatadhari
kibonge mkali sana
Hili shindano ni vema wangetoa zawadi kwa watu 3 kama miss Tz kwani mahela mengi kwenda kwa mtu 1 ni uonevu kwa 2 au 1 wa mwisho wanao pambanishwa pamoja kwani washindi 2 wa mwisho wanakuwa karibu sawa.
Bongeee tishaaa sanaaa
Kwel mama muhimu
Alfred 🔥🔥🔥wcb inabd imuone
Alfred No.1✅✅✅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Asee watu hawajui mziki kabisa... Leo nimejua kuna kitu nyota na talent ni tofauti... Wakanda amampita mbali sana kitalent Alfred mbali sanaaaaa... Ila nyota ni tatizo
Suree Bonge kaumiza
Chugaa atariii
alfred kanitowa goosebumps
Alfred kiboko
Huyu bonge INTERNATIONAL level
Mchuga mzuri lakini sio kwenye ngoma hii...
Sure
Chuga ni moto mwingine
Alfred chuga boy ni hatare
Wote wameuwa bt bonge in fire
Kabisa wanaweza mtanange hakua mwepesi
Alfred kiboko yao
chuga anaumizaaaaH
Chugamican all day
Alzido on fire
Ooooh Nani Kama mama....
Good choice of song! Sauti zenu zimekaa kwenye wimbo! Hazijapwaya! Ila shedrack kaimba vyema zaidi!
Hii ilikuwa ni show ya kibabe 🔥🔥🔥
Wote wanaweza
Sema kilichobaki Ni nyota ya mtu tu Basi.......