ALLAN MWIJAGE DAKTARI MWANAMUZIKI WA KIHAYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Wahaya.......tumwagike hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante kwa kutuheshimisha Wana Kagera classmate wangu
Dr allan nampata mwamba huyu anapenda kuimba sana, nilisoma nae chuo huyu jamaa chuo cha Afya kigamboni. Anajua sana mwamba
ccohas au kccohas
@@rameshazizi8879 kiccohas mwebe mdogo Cheka
City college au
Huwa sicomment wala sijawai kupiga kura but this Mzee nitampigia. Hongera sana
*Salama kasema ukweli. Huyu Daktari hana kiburi wala hajiiti majina ya kifahari kama wengine. Na akitolewa comment haonyeshi sura ya kukasirika kama wengine. Amemjibu Master J, kwa kusema..."Ataifanyia vocal kazi"......PROMOTE THIS MAN. HE WILL MAKE HISTORY IN THE ENTIRE WORLD. THERE HAS NEVER BEEN ANY DOCTOR WHO IS A MUSICIAN. THIS MAN WILL HOLD A BIG TITLE ALL OVER THE WORLD!*
Unamjua Jimmy Chansa nae ni daktari ...musician ...kikubwa anatalent kubwa tumuombee
@@danielrukaga9070 Nope simjui nitamwangalia.....⛔EDIT nimewatizama lakini Allan kawachomoa😆😉
Bonta humjui !!?
Dr. Ipyana unamfahamu
Wooo ikosaw 🎉🎉
Umeua San mwanangu home boi...classmate wangu mtundu...❤
Huyu jamaa umesoma naye kumbe
Nimesoma nae,anapenda Sana kuimba na anajua kuimba.
Kwani mimuhaya
Jina mwijage ni watu wa mkoa wa mara sio muhaya@@mariammammy
@@Kingmwijahthanks for the testimony
Huyu ndie mushindi tu au vipi huku watu wangu?? Watching from kenya 🇰🇪 ❤
I'm saying the same😅
Nampenda paka bas
Wewe Allan wewe!! Una hatari sana🔥🔥
Nimerudia mara nane kukuangalia bro you killed it
SOME 2 ME
Uyu ndio mshind wangu wa bss season 14 sina nguvu ya kumfanya awe mshind directly but he deserve the crown anajua mziki uyu mwamba since first day anafanya auditn nliona mwamba anakitu sema uwez pendwa na wote bro ukianza kuangalia vocal bongo tuna wasanii wachache but mwamba anajua mziki chuki ziwe pembeni tu
Ulila ng'ambe jamani bro umeua sana wahaya oweeeeeeeeee🎉
Waliopo kwenye mashindano haya wanatakiwa wajifunze kitu kupitia hiii,, unatakiwa uwe mbunifu ambao huanzie kwenye kuchagua nyimbo mzuriiiii🎉🎉
Huyu ndo mshindi wangu yan unaimb nyimbo ngumu bro❤❤🎉
Jamaa anajua anajua afu anajua tenaaaa❤❤
Huyu kijana apewe tu ushindi na mashindano yaishie hapa🫡🙌🏿
Without forcing Allan unaweza ur no 1 fan since day one ya auditionp🎉
Tatu bora umo kaka❤❤❤
❤my doctorMate. ❤
Nice mimi niko Uganda 🇺🇬 Kampala
Umeua Vibaya sana nakupeeeeeeeenda basi tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Winner of 2024 bss
Kama umekubali from Kenya like
Mwamba umeua,wakola munongaaa🙏🙏🙌🙌🙌
Mi nimechoka maana umefanya vizuri sana. Congraduration
Sasa ndo uchoke khaah nimecheka jamani 😂😂😂
@@nasraabdallah8566 nimechoka kwa kumshangaa, which means nimeduwaa the way he performed perfectly and not otherwise.
Noma sana but nasubiri this week ningependa kumuona akiimba zaidi kuliko kuburudisha
Dokta hapo ulipoanza kupuliza filimbi mamaweee umeniuwaaaa
Wooooooow you get me on that watching you from big congo 🇨🇩
Unyamaaa snaaa kaka uko vzrii kazaa Zaid ili ufike pale uliko kulengaa
Venye ame perfome ata nadhan ni Final🔥🔥😍
Huuu wimbi umeshindaaa
Hongera sana kaka hakika umetuwakikisha vema wahaya nmekumbuka mbali Kwa ngoma yetu hiyo😘
The boy is a future star investors i can bet on him pesa zako hapa hazipotei
Mshikaji ya leo hiii uneuwa sana mwanangu
Weee ni mkali sana just ongezea alichosema master ili umteke kabisa
Big up doctor allan🎉❤
Meena Ally hiyo body ni 🔥 🔥 🔥
Hongera classmate wangu🥰
Wooh Allan umefanya vizuri sana
Ila ma judge ile cku walimtoa nliumia sana wallah😢😂😂 nampenda sana uyu allan ndio mshnd wangu khalas❤❤
Sauti yake pee hai haifanani na mtu na msanii yoyote yule Tanzania ndo utambulisho wake. Huyu ni mkali sana
Exactly
Band❤, ila rita kanichekesha ndo kucheza gani huko.
u killed it dude big up
Nakubali xana biharamulo moja
Big up sana mwijage
😊😊😊wanyumbani you kill it broo
Nimependa comment ya salama jabir ❤
Nilichogundua Madam Rita ni mhaya asilia😂😂😂
😂
Mxhindi wetu 🔥🔥🔥
Congrats mwamba%%%
asante kwa ombi langu🙏
*I was waiting for this guy! The winner!* 👍
This guy is good❤❤❤❤, mi nampenda sana
Umetisha sana dogo umetishaaaaaaaa
Sawa mzee mwenzetu
Yaan uyu kaka nampenda atashindaa uyu
I love you am your big fan❤
Dogo tangu ukiwa la kwanza ulikua unapenda ngoma
Wanyumban unajua sana bro🙌
Anajua sana aisee
Leo kingereza cha shishi kimenyooka leo❤😅😅😅
Salama umetisha sana😂😂umejuaje!!,
Ni mnyama sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
my doctor
Watisha mwanangu ..og sana
we n doctor wa mizik na watu
Ayeee @allano mj....❤
Surgeon mwenyew❤❤
Madam rita leo amependeza 😊
Upo vizuri sana unajua ❤❤❤
Dahhh we ni noma nakpa 100%
kila aina ya nyimbo unaweza kila lugha unaimba
Umetisha
Jaman jamn nyumban n nyumban umeua broo ❤
Umetisha mzee
Big up sana brother
Hey noma xana
Mm Nakupenda sana
Jama anajuwa mpaka anajuwa tena ❤❤❤💋💋💋💋💋
DR.ALLANY MWIJAGE HONGERA NA UTAFIKA MBALI .YESU ATAKUINUA
So kwa vibe Hilo shish na rita
Yupo vzr jamaa
Wahaya Tume approve ❤❤❤
Bro...umetisha saana hakuna wa kupinga hakika unastahili tu
Mshindi wangu ni huyu jamaa toka one day
Wahaya tukampigie kura mhaya mwenzetu. Najua hatujawai shindwa kitu
Broo noma
❤❤❤wwoooo hatr
Good performance😊
JINIIIIJ🎉🎉
Great Kyoma
Wankaa???
umetisha sana
Le me tell you somesingi tonight u kill we kilikuja na meli Shishi tuache😂😂😂😂
He is the best Allan vs William bundala at finals
Uyu jamaa hatar 🔥
Your good bro
Ongera
Pure talent 🥰
Msimtoe bhasi khaaaaaa
Mwamba 🔥
Madam Rita aji sasamua kabisa ujama noma