Huyu jamaa ni full morale and vibe kuliko looooote.... hawa ndio wasanii wa fiesta wanaopaswa kupanda kwenye majukwaa kupasua boofer zote .... this gus is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na avyocheza darasa na anavyolapu anapatia darasa tulimpendaga jinsi anavyolapu Kuna hile nyimbo yake aliyeimba na Kiba. Hata chidi benzi alipenda Kuna kaka alimpatia kulap
Macha hakika you are very talented you need to pull up your sock's one day you will be a big artist in our country. I love your free style movement so much !
Hyo aliyeshinda hy ml60 haita msaidia kitu ila hy jamaa hatua aliy fikia hv sasa ikitokea akapata Sapot kwa msanii yeyote mkubwa hakika atakimbiza Sana kwasabab anakipaji kikubwa sana
Huyu jamaa ni full morale and vibe kuliko looooote.... hawa ndio wasanii wa fiesta wanaopaswa kupanda kwenye majukwaa kupasua boofer zote .... this gus is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wanaopenda hiphop live gonga like
Kampatia hata mim nilipenda. Kumbe mwenyewe anaendesha boda boda mwenyewe
Ya rock mim napenda hip hop hata kaka yangu anajuwa kutunga na kulepu
Salama anacheka na hiyo nyimbo ilipendwagwa
Hata too much ilipendwa
Na avyocheza darasa na anavyolapu anapatia darasa tulimpendaga jinsi anavyolapu Kuna hile nyimbo yake aliyeimba na Kiba. Hata chidi benzi alipenda Kuna kaka alimpatia kulap
Boda boda wangu niliku choose since day 1 leo upo finals..hata usiposhinda ur genius already
Sana sana huyu kiboko
kama umemuelewa mshikaji gonga like twende sawa mdau
Mm nimesema uyu kaka ndio alikua mshindi jmn dah hongera brother unajua
Jifunze kuwapigiaga kura za kutoshaaa!!!
I love it ..you are a real star ....unamiliki stage kama you own it ..Good
Jamani huyu jamaa namfwatilia anaweza sana kam unamkubali weka like
Dah fire🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥😍😘😘
Boda boda nakukubalii sanaaaa
Fatma Fat
Yupo vizuri bodaboda rider 👏👏👏👏👏💪
All the way from Qatar 255 big up
Macha hakika you are very talented you need to pull up your sock's one day you will be a big artist in our country.
I love your free style movement so much !
Kama umemuona @mkali wenu like naomba
Bro much respect sana kwako, japo hukuwa mshindi ila I think ulistahili kuvishwa taji la BSS 2018.
Jamaaa hata kama hatapita lakini akaze kamba anawe sana
Like 👍 twende sawa
Unaweza sana big up sana
Ali kiba plez chukua uyu kijana Ana kipaji plez 4your kindness kiba shemeji
Yeye mwenyewe anatafuta mtu amchukuee
@@kitalewawcbwasafiii7214 fala wew
Ampeleke wapi na wakati wasanii wake wamemshinda.
Huyu jamaa anajua kanikosha mieee love you macha
Anaweza ni haki yake kupata ushindi
Bss hawapitishagi watu wa hip hop
Julius macha BONGO STAR SEARCH 2018
Walimnyma 2 ushindi wake
Umeona eeh
Nakubali ndoyeye
Like kwa bodaboda 2019
Ni kwere kwefere Broo
Duuh jamaa ni kipaji sana kama nawe Unamkubali Gonga Like
I like this Man,big up sana Julias
Jamaa yuko vizuri sn
Ramadhan Ibrahim good
This was amazing
big up
Wanaopiga liveband walikua wanamuarbia 2 wanaikosea 2 ila jamaa kaenda na rythm
This is talent 👍
Duuh huyu jamaa nilitokea kumkubali na kumpenda sana duuh
Wow👌🔥🔥
Man unaweza jaribu kubadili kazi
Daaar MB zangu 😭😭
Wajuz wapo weng sn ila sijuw wanafel wp
Daaaa noma sana jaman ,bodaboda hoyeeeee
Kweny master anafurahi🙌🙌
Gather your likes for #Millardayo . rassemblez vos j’aimes pour #Millardayo .
👇🏼Here. Içi.
MWENYE USHINDI ALIKUWA HUYU...SIO HAWA WAIMBA FLAT MAJAJI WA BONGO MAKO MAKIN MMEKAAA KAMA VIAZ HAMJUI HATA MZIKI
Kaka unajua maana ya kuimba flat au na ww unaiga tuu
Kwenye fainali kura huchukuliwa za wananchi kaka ukimpigia Mara nyingi uwezavyo anapata ushindi
shine up👏
Safarii mwanza imeubika kidedea waooo
Woyooooooooo
Daaah mubungewet2 wa burundi mr prof yikowapi bandugu mbona bado tunamupenda
Meena your dress is lit!
Jamaaa kauwa kinoma
Yuko bien
Kachangamka sn
nimependa mzuka wa madam Rita kwenye mziki nikama mimi nikiwa naangalia Liverpool vile mizuka kama yote iv
Umetisha kama kwenye fiesta umeweza sana bro umewadhidi hata wenyewe yaani hupaparuki halafu unaendana na mashabiki😈😈😈
daaa mchz alistail kushnd yn nkonk
bole sana MTU wangu.
Mumetisha🙌🙌
Mmmmmmwaaaaaaaaaah km yote boda wangu nakupenda sanaaaa lazm kushindaaaa
Nichukue namb ysko sara
anajua kuimba sana
Maze uyu akifanya show itakua inajaa vinoma sana anajua kutumia jukwaa tena ako ma pulling kwa mpigo
Prof jizeeee hahahaaa
Daaa nouma brooo
Everything else is secondary
Ni JULIUS MACHA..........EBSS 3 CODE GRAND FINALE....WE UKITOA CHUMA TU UNAMALIZA KAZI
Prof jipange bas kwamwaka ukowe wimbo 4 yani bada yamyezi4 utoe unapendwa bro🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
nlitegemea ashinde huyu macha lakin haikuwa hivyo
🔥
Hongerasana jiendeleze kipaji hicho
Huyu jamaa alikuwa mshind bas tu2020
hanaweza kabisa
alitakiwa awe mshndi jmn
Walimubaniaga
Jmn hakushinda
Apo sawa
jamaa anaweza
Anajua
huyu jamaa noma
This jn is good
Majaji tatizo hawajui kwsbb hawakuwa wanamuziki na wao..haya Master j kaimba lini..?
waaa na yuajua kuwaiga hapo pa darasa
Bongo star searching wahuni wanaojua kuimba hawashnd
Kwa mimi huyu ndo mshindi wangu..
Huyu jamaa Arie imba wa professional j ndio katisha sana
Imeweza
Sikuona shindano amekua wa nagapi?
Nyie majaji jamaa angejua hamumchagui ata asinge imba mlivyo mfagiria
Anajua aisee
Kama umemuona mkali wenu km mm gongs like apa
Hv we jamaa unajisumbua nn bss em nenda studio mpka hapo umekuw famous tayal kaka
Kaka apo saw umetisha profesa ulipo usimuache Uyoooo kipaji anacho kamsha jukwaa oyoooo
Jamaa ana kipaji kikubwa sana hajashinda lakini anaweza.
Mpaka salama kacheza ujue huyu ndo alikua mshind
Hyo aliyeshinda hy ml60 haita msaidia kitu ila hy jamaa hatua aliy fikia hv sasa ikitokea akapata Sapot kwa msanii yeyote mkubwa hakika atakimbiza Sana kwasabab anakipaji kikubwa sana
Agrey Msemwa huyo darasa p the mc na marioo wote wanamjua na wanakaa eneo moja kiwalani migombani
Jmaa alistahil Kbsa #1
Hamna kitu hapo
Atatoka tu hata kama ajashinda
M nimeona gauni la Mina tuu....amedamshiii
Tamu
uyu ndio alitakiwa kushinda
Mi nashauri bongo waimbe nyimbo walizotunga wao wenyewe ndo tutafahamu kipaji halisi
Kwanza jamaa anajiamni namkubaliiii
Unajua mpaka unakera dah!
Wew ni mwiz nikaa kugusa yute bu yako niite mbwa
Silipendi hili li Master j...hana busara
huyu ndio alikua mshind
Uyu jamaa anajuwa sn