Ambwene mwasongwe nyimbo zako zote nikizisikiliza machozi yananitoka tyu, Mungu akubariki sana kaka angu uendelee kutangaza injili kwa jina la yesu kristo, I love you Jesus
Amen .I thank the lord God almighty. who has enabled me to find this song on TH-cam after a long searching for so many years when I heard it in a gospel mix.halleluyha. wewe ni mungu kweli😭😭😭
May the living God bless you according to His riches in Glory for the work you're doing in His Kingdom, Bila kujua kupitia huduma hii Mungu anagusa Na kuhudumia watu maeneo mbalimbali,,,ubarikiwe ndugu Ambwene..
I really love this song it reminds me a certain time i was facing lots of trouble, i didnt remain even with a single friend..but My God remains to be God,problems come and go but He remains.
Amen ❤️ Amen ❤️ Amen tu es Dieu saint tu restera Dieu Éternel puissant et grand, nous tes bénissont notre, tu nous as ramasse dans les boues des péchés ,tu nous as purifier par ton sang couler à la croix, soyez béni mes frères en Christ
Ambwene mwasongwe nyimbo zako zote nikizisikiliza machozi yananitoka tyu, Mungu akubariki sana kaka angu uendelee kutangaza injili kwa jina la yesu kristo, I love you Jesus
Wanadamu wakijigamba na kujivuna, hawajui wewe ni mzee wa siku, nibora wakarudi kwenye historia watagundua unauzoefu wakutosha
Hakika mungu anatutoa mbal😭
Mungu ni mungu tu nabarikiwa na wimbo uu asante yesu kwa ujumbe uu mbariki mtumishi wako
Ninapo sikiya nyimbo hii ,inani bariki sana.Mungu akuwezeshe ,akufikishe mbali, akushangaze pia.ubarikiwe Ambwene.Mungu azidi kukutumiya.
Amen Mwaisa... Kyala akwimile.
Our perliament members try to listen to this spiritual songs atleast mtapata hofu ya Mungu katika maamuzi yenu.
Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu na kudum katika wokovu nakupenda sana kaka Ambwene
Mungu utabaki kuwa Mungu
Mwwnyez mungu akutunze mtumishi wewe pamoja na family yako nawaombea saana yaani 🙏🙏🙏🙏🙏
Pumzika Kwa amani 😭😭 rais wetu magufuli
Wewe ni mungu utabaki kuitwa MUNGU Kwa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimeshindwa kuvumulia Yesu nitie nguvu
Munguazidi.kukupigania.ambwene.kwaninyimbozako.zinatubariki.sana
Hakika sauti yako ni kipekee sana mungu akubariki sana
I never have enough of this song. God bless you sir. Powerful song
Amen .I thank the lord God almighty. who has enabled me to find this song on TH-cam after a long searching for so many years when I heard it in a gospel mix.halleluyha. wewe ni mungu kweli😭😭😭
May the living God bless you according to His riches in Glory for the work you're doing in His Kingdom, Bila kujua kupitia huduma hii Mungu anagusa Na kuhudumia watu maeneo mbalimbali,,,ubarikiwe ndugu Ambwene..
Baba ubarikiwe kwanyimbo zako nzur,mwenyez mungu akutie nguvu kaka yetu uendeleee kutangaza injili kupitia nyimbo amina
My favourite artist worldwide! Can't get enough of your songs. God bless you as you continue uplifting us with this Spiritual songs. 🇰🇪🇰🇪
Amen 🎉
Wewe ni MUNGU utabaki kuwa MUNGU unanijua zaidi😭😭😭
Mm ntajpendekeza npate usalama wa roho yng kwa sababu ww mung unaishi milele,ni maneno mazuri yakutufundisha na kututia moyo ameen#ambwene
Mungu akubariki sana kaka ake mm nakupenda😅
Hongera Sana kwa wimbo huu. Hua unanikonga nyoyo yangu Sana. Pia Kuna ule wimbo wa mbele yangu this is nice songs
Mungu amekuleta kwa ajili yetu atukuzwe milele yoote
Im always here... hakika WEWE NI MUNGU NA UTABAKI KUWA MUNGU DAIMA
Hatuwez chochot bila yeye hakika barikiwa kaka
Nausikiliza kila mara huu wimbo ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ameen,,ubarikiwe xn mtumishi wa mungu
Kila wakati nauskiliza🙏😭🙏🙏
wako wapi leo hawapo tena ,walivyojivunia hawapo navyo...utabaki kuwa mungu.
Nakubali sana ww kaka
Hakika ninabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa Mungu
Kweli wewe baba utabaki kuitwa mungu sito kwacha baba
Blessing song
Wewe ni mungu utabaki kuwa mungu,nabarikiwa na nyimbo zako Kaka
Wewe nimungu
True and pure gospel music
Asante sana kwaujumbe mzuri
ubarikiwe sana kaka Ambwene kwa nyimbo nzuri sana
Nimebarkia sana mungu, akubarik sana
Unanikumbusha mbaaar saana na upenda kwakwer
Ubarikiwa sana mutumisha ya mungu,kwa kweli wimbo uu una ni bariki sana sana
Ainuliwe Mungu😭🙌
Wewe Ni MUNGU utabaki kuwa MUNGU milelee😭
What a blessing we have been given,God bless you servant
Hakika MUNGU amekupa upendeleo mkubwa xanah... Embu endlea tYu kumsifu yeyw
I love your songs
I really love this song it reminds me a certain time i was facing lots of trouble, i didnt remain even with a single friend..but My God remains to be God,problems come and go but He remains.
🎉🎉🎉🎉❤❤ god bless you 🙏
Amin ❤❤❤
Utabaki kuwa MUNGU 🙌🙌
Nkwer unajua kuimba ndugu yngu
Napend xn hdma zako nabarikiw mnoo
Hakika wewe ni Mungu na utabaki kuwa Mungu
Naomba tu Mwasonge aweze kufanya hii nyimbo na modern visuals
MMUNGU ana sababu kubwa Sana na wewe Kaka ambwene zaidi ya unavyofikiri, kwa kweli unatubariki best.
Be blessed Ambwene , touching alot ❤
ubarikiwe mwinjirisiti ambwene
Go's is signing through AMBWENE MWASONGWE. No doubt. 🙏
Nan anackiliza hii ngoma 2023 jmn tujuanee
Oo Jesus thanks
Very touching. God bless you sir
blessed broe emma
Amena ubarikiwe sana Ambwene mwasongwe Nyimbo zako zina bariki watu na kuokowa miyoyo za watu Amen
Balikiwa mtumish was MUNGU
Huu wimbo nauimba wote Utadhani ni wangu. Ndaga gwi mwana gwa Obadia
jeremiah ndelema Amina kaka
Mungu akubariki sana kakangu,,hua unanibariki sana
Tupo nae uku Morogoro kwa mtoka mbari
Wimbo huu toka kwa Roh mtakatifu unabariki
This world is not our home, we are just passing through. Our home lies somewhere beyond the blue sky oooh! Lord take us through.
Naomba wa kikehihano
Ameeeeeen barkwa
Utabaki MUNGU 🙌
Amen ❤️ Amen ❤️ Amen tu es Dieu saint tu restera Dieu Éternel puissant et grand, nous tes bénissont notre, tu nous as ramasse dans les boues des péchés ,tu nous as purifier par ton sang couler à la croix, soyez béni mes frères en Christ
Kaka hukoseagi unatukonga nyoyo zetu
Nabarikiwa sanaaaa na Mungu wewe ambwene I really appreciate this song
Be Blessed my Mentor just wishing that one day i happen to see you
Ubarikiwe kaka ni kweli Mungu atabaki kuwa Mungu
Mungu mwemaa
Amina
Glory to God
Utabaki kuwa Mungu
Be blessed Ambwene .
Barikiwa
Denis Mwalukunga wewe ni MuNGu kwel
🙏🙏
Kyala atutule
Natafuta wimbo wako Fulani wa najua hakuna shujaa pasipo na mahadui but sijui inaitwaje maana nikutafuta sipati please help
Ubarikiwe sana kaka
Amen 🙏🙏🙏
ni kwel kaka ang
Amen.
Bujora
Wewe 👆👆👆🙏🙏🙏
Nitajipendekeza mbele zako nipate usalama wa roho yangu
Barikiwa
2024🎉
❤️❤️❤️❤️
Oo! Thanks God !
♥️
Thanks God🙏🙏
Gn
🙏🏽🇨🇩
Kudalof
What a blessing we have been given,God bless you servant
Kweli wewe ni Mungu utabakikuwa mungu