EXCLUSIVE: ANNA JUAKALI AMKABIDHI MUNGU NDOA YAKE, AFICHUA ya UHUSIANO -''NAISHI MAISHA MATAKATIFU''
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2023
- EXCLUSIVE: ANNA JUAKALI AMKABIDHI MUNGU NDOA YAKE, AFICHUA ya UHUSIANO -''NAISHI MAISHA MATAKATIFU''...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
nampenda anna
Dada ana nakupenda muno❤❤❤ kabisa yesu anaodowa kila kinacho kuwa kigumu mbele yako
Huyu dada tangu aokoke amenawili sanah YESU akutunze daima
Mwenyezi Mungu ndie mwenye kutunza acha kukufuru.
@@saheedali7467 We mwenyewe acha kukufuru Mwenyezi Mungu kwa Imani yake ndiye huyo Yesu,muache usimuandame eti kakufuru !Usilazimishe aamini huyo Mungu wako,yeye kwa Imani yake Yesu ndiye wakutunza,sasa wewe unawashwa nini?
Kwa YESU kuna raha 😂😂😂, in our Jesus family we are shining here in earth and tomorrow in heaven 🙏
Anna nkupenda
Nampenda sana Anna anavyoigiza kwasababu anaigiza ile dada ya ukweli yani ameitendea haki nafasi ya udada❤❤
Napenda sana dada Anna MUNGU akubariki sana 🙏🙏❤❤
Penda sana huyu dada jmn Anna is my favorite mmmmwaaaah pacha Angu ❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
Nakupenda sana somo yangu mwajina wangu mungu azidi kukubaliki sikuzote
Hongera sana Anna nakupenda unabusara na hekima kweli mke mwema hutoka kwa Mungu na mume mwema pia hutoka kwa Mungu Amen
Dada Anna nakupenda Sana mungu akubariki..unanifundishaga mengi sana
Anna kaz nzl unajua kuakt Sana Kwa jua kali wew kibok love so much congratulations ❤❤❤❤❤
Nakupenda sana Anna na pia napenda uigizaji wako maana unaigizaga uhalisia sana. Kingine uvaaji wenu wa jua Kali ni mzr na mkovizur sana.
Nampenda godliver Gordian( Anna)
Naombeni maana ya jina la godliva jamani nimekupenda
And in general. I love Juakali I’m not speaking Swahili but I’m understanding many words
Thank you so much
My God protect you 🙏 ❤️
Hongera Sana dada kwa kazi nzuli
❤❤ nakupenda sana anna
Anna uko smart kichwani
Hongera sanaa dada Anna na unajua kuigiza sanaa
Love you sis following from Kenya
Love u Anna from Rwanda
Amina ubarikiwe sana kl
Hongera sana dada Anna
❤ Hi cc nimependa kazi yako
Waaah Ann naue ako tu Sawa she's a woman of circumstances bytha I like her 🥰
Dada Anna Mazengo.. dada kama dada🙌
We love you Anna kutoka Rwanda
Anna Mazengo...Comando dada❤
Nakupenda Sana Anna ❤️❤️hakika natamani kukuona
hongela dada mungu akutie nguvu zaid
Nampenda sana jamn huyu dada
Nakupenda San Anna mungu akubali
Waooo Anna 😍😍😍🥰
Asee nampenda huyu Anna basi tu
Mungu akubariki sana
❤❤
Uyu Dada mi napenda San Yeye ❤❤
Mungu akubariki mdada azidi kukupa kibali zaid
Hongela sana dada ana Kwa uigizaji wako mzuri nafatilia sana jua kali na ninajifunza vitu vingi sana kutoka kwako kipenzi mungu aendelee kukuinua
Nakupenda San anna❤❤❤
Mimi nampenda sana Ann ❤❤❤
❤❤❤
Mungu azidi kukufanikisha nakupenda sana
Nimekupenda sana dada
❤❤❤❤
💖 u Anna
may God help us in everything, amen❤
🙏
Dada ana we love you 🇷🇼🇺🇸
Jamani Anna kila ninakopita naambiwa nafanana na wewe!! Leo nimeona nikutext natamani tuonane live.
Da Imelda umechemka sio kila jumatatu mpk jumapili bana ni jumatano mpk jumapili
Nlijua tu lzma ucomment😂😂😂😂
Nampenda sana Anna jmniii❤️❤️❤️
Uko good
Nakupenda wewe dada mpaka sijui hata la kufanya
Dada Anna nakupenda sana mpenzi🎉❤❤❤❤
Aiseee kumbe unakigugumizi nafatilia jua Kali sijawahi kugundua
Mie nilikuwa najua ni uigizaji tuu
🙏🙏Anna🥰🥰💃💃🇺🇬🇺🇬
No wonder my family compare me to u 😅😅some of ure traits are definitely me .
Mashallah auna baya Anna auna bayaa
Naomben no ya dada Anna nimsalimiee😢😢
Ahooo wenye wana ku sema sema ana ana looo si kweli siwanajua ni sinema mm nilikutana na Maria heee nikaona tuu sw
Anna kweli unaweza dada mungu akuzidishie zaid unasitahili mauwa dada❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm nilipo umia ni pale yule dokta alipo kufa walipendana sana jamani niliumia sana utafikili ni kweli
Anaigiza vizuri sana , da imelda tuletee hamisa mobetto
Ata mavazi yake huyu dada,,anavaa stara sana
Sijawahi kukuchukia G wangu haki tena!!❤❤
She can tok English only this one profession
Una umri gani
Nakupenda sna.......dada yni kila sku kuna k2 nchukua ktoka kwako ushauri nkufuatilia from 🇰🇪
nakukubaali dada angu
Ana mazengo mwenye gundu lakee mjini😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiukweli napenda unavyo igiza siliazi uki makini sana na kazi yako
❤❤❤
❤❤❤❤
Naomben no ya dada Anna nimsalimiee😢😢
❤❤❤❤
❤❤❤