Huyu mtangazaji mzuri sana kuelezea story ana flow vizuri sana na story. Alafu huyu baharia kweli wacha yule baharia mchongo alie hojiwa na Salama kwa Salama na Farooq Karim
Wanapojichanganya hawa wasimuliaji ni kwenye viwango vya pesa wanavyotaja katika miaka husika na hapo inatufanya watazamaji tuone hizi story kuna uongo mwingi ndani yake. Haiwezekani mtu anasema alikuwa kwenye familia ya kimasikini alafu anapewa elfu 20 mwaka 1983. Wakati kwa miaka hiyo ukiwa na sh 1000 tu wewe ni tajiri na uko na uwezo wa kununua hadi ng'ombe watatu kwa buku moja tu 😅😅
Nimependa sana historia ya maisha yako kaka... me mkenya but nkija tz naomba tuonane kaka...ww ni Shuja...
Ww mungu akulinde umehustle ni zaidi ya mwanajeshi
Nimekubali anakumbukumbu nzur kweli miji ,lugha zilikaa vizur.
Merci beaucoup mwega from Mayotte la France apa bocha ochu
Huyu mtangazaji mzuri sana kuelezea story ana flow vizuri sana na story. Alafu huyu baharia kweli wacha yule baharia mchongo alie hojiwa na Salama kwa Salama na Farooq Karim
😂😂 yule wa mchongo ata mm nilimshtukia 😅😅😅
Nahitaji contact yake muhimu sana, jamaa nimemkubali simulizi zake zinanipa moyo wa ustahamilivu.
Nimependa story
❤❤❤ love story
Baharia mwega nakubali sana
Limassol bro yangu ako huko
Naomba kuuliza hakuna wanawake waliozamia huko nje kutafuta .maisha?tutafutieni na wanawake muwahoji nac wanawake tujifunze kitu
Naomba contact ya Baharia
Baaria asiyekuwa na baati.
Story tamu sana yani
Mashallah kiarabu kina flow huyu ndio baharia story yake ina sisimua
haya mahojiano hata siyaelewagi yanavyoendaga
Sa mbona mnarudua😢😢😢
🤣🤣🤣 baharia kiarabu ulikipata
Story yako nzuri sanaa na inatia moyo .
Captain
Mbuzi anakula jiwe nakupata baria
Wanapojichanganya hawa wasimuliaji ni kwenye viwango vya pesa wanavyotaja katika miaka husika na hapo inatufanya watazamaji tuone hizi story kuna uongo mwingi ndani yake.
Haiwezekani mtu anasema alikuwa kwenye familia ya kimasikini alafu anapewa elfu 20 mwaka 1983. Wakati kwa miaka hiyo ukiwa na sh 1000 tu wewe ni tajiri na uko na uwezo wa kununua hadi ng'ombe watatu kwa buku moja tu 😅😅
Ciesta maskani.
Hapo kwenye kunyenyua nyundo imenibidi nicheke😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawa ndo wa zawa wa alimajani org
4y 🥰❤️❤️🙏
Story zimekata,bora mpumzike sio kurudia
Inabidi aandike kitabu watu watafurahia historia yake.
Wanarudia
Ebwana nipe contact za huyu jamaa nataka nimtumie kidogokodogo duu kapata tabu sana
Jahahahaa jamaa anakuambia kapiga mkoba wake kipumbu hahahaha kumakifusihahahahahaha