Mungu awabariki wote walio mjengea babu na bibi na malipo ni kwa Allha na kaka zahor Mungu akujalie akubari akupe kama nia yako in sha Allha Mungu atakulipa usaidie na wangine wa kosevu
Mungu awabariki wote walio mjengea babu na bibi na malipo ni kwa Allha na kaka zahor Mungu akujalie akubari akupe kama nia yako in sha Allha Mungu atakulipa usaidie na wangine wa kosevu
Nakupenda bure zahir Mungu atakuongezea na akupe uzima uwasaidie na wengine wenye uhitaji kama hao wazee pia pole na changamoto ulizo kutana nazo Mungu atakulipa
lakini Zahir wewe ni kijana mdogo mwenye moyo wa kipekee mungu akupe nguvu na afia njema na upate mafanikio mengi muno much love aki bado sijafaulu ila ninaimani soon mungu atanifanikisha nilete chochote kwako iko siku na nina imani 🇰🇪🇪🇺🙏
Mlio husikia na kuwajengea mazingira mazur Babu na bibi mungu awabariki saana na Awazidishieni palipo pungua na awapandeshe cheo kwa walio makazini haijalishi kazi gani mungu awainue na kuwagusa kwa mema
Wallah nacheka kwa furaha zote, babu asema hajauelewa kufungua mlango, Mabrooq kila la Kheyr kwa maisha mapya kwa nyumba mpya na shukran kwa wote walio shirking kwa mjengo huu.
Kaka zahiri nakuombea maisha marefu apa duniani na akhera namwenyezimungu akupe watoto wema wenye roho kama yako yani nimefurahi sana kuona adamu na hawa wamebadilishiwa maisha hakika mungu nimwema
Acha babu afarijike na mkewe sasa.... Wale bata kiukweli walikua katika maisha magumu Allah akaleta faraja yake kupitia kwa zahir na wengine waliochangia mpaka mjengo huu kumalizika.... Kila la heri babu na bibi🥰
Mashallha kajumba pambee sana mpaka nakitamani ongerani sana mliyo wachangia hawa wazee kwakweli pia ongera zahiri na team yako lnshallha utuambie imesimama shingapi mpaka hapo ilipo fika tujue na ss tujipange
MAASHALLAH!! Mashallah!! M.mungu awabariki sana na kuwahifadhi bibi na babu na wote mliojitolea kwa hali na mali. Hongereni sana Maximum tvonline kwa usimamizi mzuri na uaminifu uliotukuka. Allahumma bareek Inshallah 🤲🏻
Mungu asifiwe kila wakati,Zahir na team yako asifiwe milele daima na kwa wote walio changia,kwa maombi,fedha,manguo na kuendelea awabariki kabisa,waingie na pia utafute mtu atoe hizo mambao na waoshewe nyumba plz an plz👏👏👏💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.
Jamani alhamdulilah mwenyez mungu muumba mbingu na ardhi navilivyombomo chini ya juwa. Naamini kuwa hujafa hujaumbika rizk yako ikipangwa hamna mtu wa kupanguwa. Kila la kheli inshaallah.
MASHAA ALLAAH, naomba nyumba hii isiandikiwe karatasi ya babu na bibi, wao wakae mpaka maisha yao yatakapomalizika, ikisha ikitokezea mtu mwenye maisha mazito sana na akawa hana pa kukaa itafaa, iendelee hivyo hivyo, KIUFUPI, nyumba zote zinazojengwa ziwe zinakaliwa hivyo, ili wengine pia waje kunufaika walokuwa na hali mbaya., au mnasemaje?
Ndio itavyo kuwa ndomana kaka zahiri kaona ijengwe kwa kiwango sio wakija wengine tena iaze kujengwa upya na hawa wazee hawana ndugu wala mtoto so itakuja saidia wengi ishaalh
Mashaa llah zahiir allah akuzidishie kila la kher na awazidishie wote walimcchangia kwakweli zahiir wazazi wko wamepata mtoto mwema mwenye iman allah atupe watoto kama wewe mwenye imani
mashallah mimi nawashukulu wote waliojitolea kuchangia mjengo wa bibi na babu kipesa kiushauli na dua pia mungu awape mwisho mwema ana awandalie makazi mema peponi inshallah hasbia ullahu waneemal wakir
Maa shaa Allah tabarakallah Allah awape furaha ya kudumu pia mungu awalipe wote walojitolea kuchangia hakika nyumba nzuri sana Allah awalipe pia maxmam tv kwa kujitolea kusimamia mwanzo mpka mwisho mungu akukamilishie ndoto zako kaka zahir
Mashaallah mashaallah mung mwema ...mung bark wot waliosamehe na kujitoa kwa Hali Na Mali mung awazdishie mlipopungu waliotoa fedha Na waliopoteza Muda naamin hamja poteza mmeweka mung awatunz mzidi kufanya Meng Zaid kuwapend Tu team nzima ya Maximum TV mnamoyo wa pekee nyie Ni mfano WA kuigwa
Kk zahihir napenda kumpa mungu asante kwa kusud ya kua hapa dunian pia nawapongeza wazai wako kwa malez bora mungu awape kheri Leo nakesho kiama, nakupenda Kk Angu.
Hii nyumba najua hawa wazee hawana watoto na ndugu waliwatelekeza ikitokea hawapo ipangishwe pesa wapewe yatima asije akatokea ndugu kusema alikuwa ni Dada au baba. Tena waandike wosia maana ndugu mafedhuli hawashindwi kuwaua waingie. Au mnaonaje jamani
MashaAllah walhamdulih Allah akulinde kka etu kwajuudi zako😙wallah laha ilioje kwa bbi na babu jamani Allah awape umrii mrefuu wenye kherii ndani yake❤
waooooh nimefurahi Sana zaidi ya Sana mungu wambinguni Awabariki wooooooote mulioshiriki kuchangia kwakweli pia zahiri mungu akubariki Sana kwa uduma yako Mana bila ww Awawezi julikana
Yani hadi Raha kwa kweli kaka na watanzania wote mungu awabariki pia, imependeza sana kwa kweli hapo razima waone donge majilani na hata ndugu watajisogeza sasa wakati hawakua na msaada kwa bibi na babu. Wapate kitanda na godoro wahamie jmn
BISMILLAH MA SHAA ALLAH MA SHAA ALLAH ALLAH AWAPE KILA LAKHEIR ZAHEIR NA TEM YAKO NAWALIYO JITOLEA KWAHAWA WAZEE ALLAH ATAWALIPA KILA LAKHEIR AMEEN IN SHAA ALLAH
Masha Allah ongela sana kaka Zaire kwa kusimamia nawale waliochangia mpaka nyumba kuishha mungu awajalie kheli apa duniani na kesho Akhera Amiin thumma Amina
Mashallah my brother kazi nzuli sana allah atakulipa mtetezi wa wanyonge nakupenda kwa ajili ya allah babu na bibi nawapenda sana allah awape miaka mingi ya kuishi lnshaallah my brother nilikua nasema hicho choo billamaji kinasumbua sana yani hapo mpango wa maji tusisahau bilamaji uchafu hauendi na kinaweza toaharufu nakama maji ya kununua nishida tufanye hivyo my brother
JIUNGE NA GROUP LETU LA TELEGRAM KWAAJILI YA TEAM MAXIMUM TV
t.me/joinchat/WHkxA7pWEkDUDdjM
GUSA LINK HAPO
Sikuizi umenisusaa kunitumia link zahiri
Mungu awabariki wote walio mjengea babu na bibi na malipo ni kwa Allha na kaka zahor Mungu akujalie akubari akupe kama nia yako in sha Allha Mungu atakulipa usaidie na wangine wa kosevu
Mungu awabariki wote walio mjengea babu na bibi na malipo ni kwa Allha na kaka zahor Mungu akujalie akubari akupe kama nia yako in sha Allha Mungu atakulipa usaidie na wangine wa kosevu
Maashaallah mungu akulipe kheri kaka Zahir kwa kuwakirimu jamii zenye huzun unazirudisha furaha zao
Asnat p
Hongeren jaman mliochangia wote Mungu awabariki sana, brother Mungu akujaalie kwa kaz uliyoifanya
kaka zahrmungu akumalika kwakuwasimamia bibi nababu kwakupata nyumba yao
@@shadyambarukumunguatamfany6291 🤗🤗🤗🤝🤝🤝
Mashallah Mashallah walio changia kufanikisha huu mjengo mungu awabariki Sana awaongeze mlipo pungukiwa daa nimefrai sana hakuna linashindikana ongera kaka zahir
onger zahir nawote walio changi mgengowa babu na bibi mungu awabariki wote
Ameen
Kaka Mungu akujalie kwa roho yako ya upendo na unavyofanya kwa moyo.
Hao wenye dislike ñdio wale majirani wenye roho mbaya Bibi alosema ... mashaAllah mungu afungulie kila l khery Kwa waliochangia kanyumba katam
Utashangaaa mtu ana dislike roho mbsya na wapoteee na watokomeee
Kwa kweli watu wana Roho mbaya jamanii
Nakupenda bure zahir Mungu atakuongezea na akupe uzima uwasaidie na wengine wenye uhitaji kama hao wazee pia pole na changamoto ulizo kutana nazo Mungu atakulipa
Aseee kaka Mungu akupe maisha malefu ❤️❤️❤️❤️❤️
lakini Zahir wewe ni kijana mdogo mwenye moyo wa kipekee mungu akupe nguvu na afia njema na upate mafanikio mengi muno much love aki bado sijafaulu ila ninaimani soon mungu atanifanikisha nilete chochote kwako iko siku na nina imani 🇰🇪🇪🇺🙏
Aalaykum honnge sana kaka zahir na hongera na mafundi
Mlio husikia na kuwajengea mazingira mazur Babu na bibi mungu awabariki saana na Awazidishieni palipo pungua na awapandeshe cheo kwa walio makazini haijalishi kazi gani mungu awainue na kuwagusa kwa mema
Babu kanenepa hadi sauti imebadilika. Zahir hongera sana
Wallah nacheka kwa furaha zote, babu asema hajauelewa kufungua mlango, Mabrooq kila la Kheyr kwa maisha mapya kwa nyumba mpya na shukran kwa wote walio shirking kwa mjengo huu.
Kaka zahiri nakuombea maisha marefu apa duniani na akhera namwenyezimungu akupe watoto wema wenye roho kama yako yani nimefurahi sana kuona adamu na hawa wamebadilishiwa maisha hakika mungu nimwema
Acha babu afarijike na mkewe sasa.... Wale bata kiukweli walikua katika maisha magumu Allah akaleta faraja yake kupitia kwa zahir na wengine waliochangia mpaka mjengo huu kumalizika.... Kila la heri babu na bibi🥰
Mashaa Allah malipo yako kwa Allah kaka Zahir
zair namuomba allah ukujengee nyumba peponi nawewe kwa juhudi zako inshallah
Amyn
Aamin
Mashallha kajumba pambee sana mpaka nakitamani ongerani sana mliyo wachangia hawa wazee kwakweli pia ongera zahiri na team yako lnshallha utuambie imesimama shingapi mpaka hapo ilipo fika tujue na ss tujipange
Manshallah nyumba imependeza
Mungu akupe maish marefu kak zahili🙏🙏🙏
Walo mjengea bibi na babu mtowa sadaka isoisha sadaka ljaria
Mungu awabarik wote walie bun kipind hiki mungu awape maisha marefu sana
Mubarikiwe sana watu wote mliojitoa kwa moyo kuwachangia bibi na babu mpaka nyumba imeisha mlipotoa Mungu akawaongezee na azidi kuwabariki🙏
Mungu akapajaze pale mlipopunguza ninyi nyote mliowezesha jambo hili.Mbarikiwe sana.
Allah Subhannahu Wata'ala awajaalie kila la kheyr waliochangia mjengo huo wa Babu, fil Dduniya wal Akhiyra, Aamiin.
Mungu awabariki team nzima ya Sad moment tv.Na wote mliochanga pesa.
Ilkua natamani sana kuona hii habari karibu niulizie naipenda sana
Allah awatilie barka kwa wote waliochangia jambo hili.
MAASHALLAH!! Mashallah!! M.mungu awabariki sana na kuwahifadhi bibi na babu na wote mliojitolea kwa hali na mali.
Hongereni sana Maximum tvonline kwa usimamizi mzuri na uaminifu uliotukuka. Allahumma bareek Inshallah 🤲🏻
Kaka Zahir Mungu akupe maisha marefu zaidi miaka 120 inakuhusu hongera kwa kazi nzuri maana bila usimamizi wako mambo yasingeenda kabisa
Aiseee ni bonge la mjengo jaman.....shukran kwa wte mlioshiriki kuwachangia hawa wazee mungu awqzidishie kheri
Mungu asifiwe kila wakati,Zahir na team yako asifiwe milele daima na kwa wote walio changia,kwa maombi,fedha,manguo na kuendelea awabariki kabisa,waingie na pia utafute mtu atoe hizo mambao na waoshewe nyumba plz an plz👏👏👏💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.
MUNGU BABA akutunze kaka Zahir umefanya Kazi iliyo njema kabisa..
Ameen
Anafanya kazi kubwa Sana kwa watanzania wenzake
nyumba ya babu nzuri sana I wish kungekua na mlango kwa ndani wa kuingia bafuni kwao....hongera sana zahir kwa kazi nzuri...ubarikiwe
Jamani alhamdulilah mwenyez mungu muumba mbingu na ardhi navilivyombomo chini ya juwa. Naamini kuwa hujafa hujaumbika rizk yako ikipangwa hamna mtu wa kupanguwa. Kila la kheli inshaallah.
MASHAA ALLAAH, naomba nyumba hii isiandikiwe karatasi ya babu na bibi, wao wakae mpaka maisha yao yatakapomalizika, ikisha ikitokezea mtu mwenye maisha mazito sana na akawa hana pa kukaa itafaa, iendelee hivyo hivyo, KIUFUPI, nyumba zote zinazojengwa ziwe zinakaliwa hivyo, ili wengine pia waje kunufaika walokuwa na hali mbaya., au mnasemaje?
Sawa kabisa
Ndio itavyo kuwa ndomana kaka zahiri kaona ijengwe kwa kiwango sio wakija wengine tena iaze kujengwa upya na hawa wazee hawana ndugu wala mtoto so itakuja saidia wengi ishaalh
Mashaa llah zahiir allah akuzidishie kila la kher na awazidishie wote walimcchangia kwakweli zahiir wazazi wko wamepata mtoto mwema mwenye iman allah atupe watoto kama wewe mwenye imani
MashaAllah MashaAllah tabarakaallah
mashallah mimi nawashukulu wote waliojitolea kuchangia mjengo wa bibi na babu kipesa kiushauli na dua pia mungu awape mwisho mwema ana awandalie makazi mema peponi inshallah hasbia ullahu waneemal wakir
Maa shaa Allah tabarakallah Allah awape furaha ya kudumu pia mungu awalipe wote walojitolea kuchangia hakika nyumba nzuri sana Allah awalipe pia maxmam tv kwa kujitolea kusimamia mwanzo mpka mwisho mungu akukamilishie ndoto zako kaka zahir
Mashaalaah hongera kaka zahir na waliojitolea
Mashaallah Adam Na Hawa Maisha Marefuuuuu👏 Hongera Kaka Zahir Kwa Kazi Nzuri Sana MUNGU Akubarik👏
Mashaalah nyumba ya Adam na Hawaa imependeza sana ALLAH akufanyie wepes Zaher na timu yako ktk kazi zenu Aaamin
Hahahahahaha umeonaeee kweli kabisa adam n'a hawa
Hahahah umenichekesha hahshahaha
Masha aallah Akutie nguvu kiongoz wa wanyonge na akupe afya njema wazee wanagurah kabisa
MashaAllahu mashaAllahu mashaAllahu. Mbarikiwe nyoote mulio husika kujitolea kwahili.nawote amboa hawakuhusika kuchanga mungu awafungulie nawao wawe wepesi wakujitolea inshaAllah
Hongera Sana kwa kazi nzuri
Maa shaa Allaah tumeona juhudi zenu na juhudi zako kaka zahir Allaah awabariki wote mlio sapoti nyumba hii
maashallah Leo nimekuwa wakwanza
😃😃😃😃😃wakwaza wp nakati wa 80😃😃😃
Masha Allha ongera kaka kwa kupambania kuwasaidia watu mafkara nawasio jiweza pia
Mungu awalipe kheri wote mliochangia na kukamilisha ujenzi na Kaka Zahir hongera sana Mungu akubariki
MashaaAllah barakallah fiykum wajazzakullahu khaira
Mashaallah nimefurahi sana mjengo babu na bibi Allah atakupeni kila lenye kheri wote mlochangia
Mungu akubariki sana Kijana zahir . Ampe na shufaa mama yako mzazi aliyekuleta duniani.
Waoooo ! Kaka Zahir Hongera sana kwa kufikia hitimisho ya nyumba ya Babu na Bibi yetu Inshaalah M /Mungu akujalie kila la kheri
Masha Allah..mungu awabarikie wote wahisani ktk maisha yao
Mashallah mungu Akuzidishie na Akupe maisha marefu kk angu
Jmn babu😁
Mashaallah Allah akujaalie afya njema kk Zahir na umli mrefu wenye manufaa
Hongereni sanaaaaa wanangu kwa kukamilisha nyumba munguawabariki sanaaaa
Allaah awabariki sana jamn waliochangia mpak raha babu yetu na bibi wapo sehem nzuri
Kazi nzuri sana. Mungu abariki wote wale wamehusika. Baraka tele...
Mashaallah mashaallah mung mwema ...mung bark wot waliosamehe na kujitoa kwa Hali Na Mali mung awazdishie mlipopungu waliotoa fedha Na waliopoteza Muda naamin hamja poteza mmeweka mung awatunz mzidi kufanya Meng Zaid kuwapend Tu team nzima ya Maximum TV mnamoyo wa pekee nyie Ni mfano WA kuigwa
Kk zahihir napenda kumpa mungu asante kwa kusud ya kua hapa dunian pia nawapongeza wazai wako kwa malez bora mungu awape kheri Leo nakesho kiama, nakupenda Kk Angu.
Wow👌👌👌👌👌👌 Zahir ubarikiwe wewe nawenye walichangiya hadi raha
Mashallah nyumba y babu ni hatari Sana.. Yani very nice mwambie babu najaa DAR nafika kwake in shaa Allah
Mashllh rabbi akulipekheir zahir na wote mlofanikisha
Mashallah Kaka zahiri mungu akupe iman Allah atakulipa usichoke
Hii nyumba najua hawa wazee hawana watoto na ndugu waliwatelekeza ikitokea hawapo ipangishwe pesa wapewe yatima asije akatokea ndugu kusema alikuwa ni Dada au baba. Tena waandike wosia maana ndugu mafedhuli hawashindwi kuwaua waingie. Au mnaonaje jamani
Yaani umeongea point sana kha
Ni kweli kabisa hujakosea Mamii
KABISAAA! Hii isiwe ndg wanamezea mate, hii itakuwa kwa ajili ya watu wainaosaidiwa, ikiwa mikononi mwa akina Zahir au siyo jmn!
Umefikilia nini mbna huko mbali sana 😂😂😂😂
Kwani hichi kiwaja kilikuwa cha nani plz
MashaAllah walhamdulih Allah akulinde kka etu kwajuudi zako😙wallah laha ilioje kwa bbi na babu jamani Allah awape umrii mrefuu wenye kherii ndani yake❤
Mashaallah M.mungu atakujaalia wepesi kwenye kazi zako na Imani. Usushughulike na wapinga maendeleo
Masha Allah mwenyezi mungu mkubwa kwakweli
Maashaallah Maashaallah kumependeza
Ubarikiwe kaka yaani Mungu atakulipia na wote tulio jitolea kwa hili bs Mungu atatubariki wote
Mungu akupe umri mrefu kaka zahir na awazidishie wote walio shirki kulifanikisha hiliswala likakamilika
Kaka zahiri hongera sana kwakazi nzuri penda sana wewe vipi kuhusu kijana hamza Maendeleo yake
waooooh nimefurahi Sana zaidi ya Sana mungu wambinguni Awabariki wooooooote mulioshiriki kuchangia kwakweli pia zahiri mungu akubariki Sana kwa uduma yako Mana bila ww Awawezi julikana
Yani hadi Raha kwa kweli kaka na watanzania wote mungu awabariki pia, imependeza sana kwa kweli hapo razima waone donge majilani na hata ndugu watajisogeza sasa wakati hawakua na msaada kwa bibi na babu. Wapate kitanda na godoro wahamie jmn
BISMILLAH MA SHAA ALLAH MA SHAA ALLAH ALLAH AWAPE KILA LAKHEIR ZAHEIR NA TEM YAKO NAWALIYO JITOLEA KWAHAWA WAZEE ALLAH ATAWALIPA KILA LAKHEIR AMEEN IN SHAA ALLAH
Mashaallah Allah akuzidishie lnshaallah zahri
Masha Allah ongela sana kaka Zaire kwa kusimamia nawale waliochangia mpaka nyumba kuishha mungu awajalie kheli apa duniani na kesho Akhera Amiin thumma Amina
Mashallah my brother kazi nzuli sana allah atakulipa mtetezi wa wanyonge nakupenda kwa ajili ya allah babu na bibi nawapenda sana allah awape miaka mingi ya kuishi lnshaallah my brother nilikua nasema hicho choo billamaji kinasumbua sana yani hapo mpango wa maji tusisahau bilamaji uchafu hauendi na kinaweza toaharufu nakama maji ya kununua nishida tufanye hivyo my brother
Kaka Zahir ongera saan naona babu yetu kanenepa mashallah
Maanshaaallah M/mungu awazidishie wote mliopunguza kwa niaba ya Babu na Bibi pamoja na Team Nzima ya Maximum Tv
Jaman kaka Zahiri mwenyez Mungu akubariki sana akupe hitaji la moyo wako.nakupenda sana
Hongera kaka Zahiri kwa wema unofanya munguazidi kukuongezea moyo was Huruma
Mashallah rasmi ila zahir mapaziya usisahau coz ni stara vilevile
Hongera Sanaa zahir kwa kuwezesha zoezi la ujenzi
Nakosa hata chaku comment maana naona maneno yt watu wameongea ila tu nawwtakia maisha mapya bibi na babu mungu awajalie aman na upend Amen
Hongera kaka zahil mwenyezi mungu akuzidishie afya naaman sikuzote
Asante Sana Kaka Zahir kwa kuwa na Moyo wa Iman na uhaminifu
Zahir Allah akulipe akupe ridhiki mpaka zilizojificha Allah akupe uhai mrefu wa faida nawe uje kuzeeka zaidi ya Bibi na Babu.
Mashallah nyumba nzur sana hongera kaka zahri na watu wote mlio toa mungu atawalipa heri
Maashaallah mjengo unavutia
Nyumba Nzuli sana
Wow Mwenyezi Mungu awabariki wote. Mungu atukuzwe Tanzania 🇹🇿
Mungu awabariki wote mliofanikisha hili
Kwa mana hiyo watakua wanaoga na ndoo? Hongera sana woow
Masha Allah. Masha Allah hongeren nyote mlomuwezesha kipenz baby na Bibi MaIsha malefu Sana tunawaombea pamoja na wote mlojitolea💋❤️❤️♥️🙏
Ma shaa Allah zahir Allah akubariki
Hongerani sana Mungu awabariki sana wote walio changia Ameen
Masha Allah Allah awawekeye kwente munzani jambo la kheiri mulilolifanya
Mashalhah mjengo umependeza
Mashaallah mashaallah allah awabariki wote walio jitolea ujira wao wataukuta inshallah
Mashaallah Allah awabarik waliochangia wote, ila ningependa hapo seble ungeweka tails ukutani kwa nusu ili wakipika waweze kusafisha ukuta usichafuke
Mashaallah mungu atujalie tuliomchangia babu nabb