OMG. Mungu ni mwema 🙏🏻Alhamdullillah .M.mungu awazidishie Afya njema na furaha wazee wetu hao na wote walitoa sadaka. M.mungu awaongezee mlipopunguza na pia pole sana kaka Zahir kwa kuondokewa na beloved Mama mdogo na bila kujali kuwatumikia waliona uhitaji wewe ni Mfano wa kuigwa M.mungu akusimamie wallah 🤲🏻
Bibi kanichekesha alipo ulizwa pamba kasema hata ubwabwa duuh bibi kaniuwa mbavuzangu ila kaka zahil na wenzio mubarikiwe sanasana mungu awasimamie kila hatua inshallah
Kaka ungemchukua happy Wa mama happy na Mdg wako hawa pamoja na zabibu wangeenda kusafisha huko wangedek vizur sis ni familia moja kusaidiana n jukumu letu
E mwenyez mungu mjalie huyu mja wako zahry na uongoz wake, uwape afya njema na uwape mwisho mwema dunian mpk kesho Akhera, nakupenda xan Kk Angu zahry kwaidhin ya allah
@@zainakuzenza759 kwel kbs Allah ampe nguv na kumlind na majanga ywaja hil azidi kuwapa farah bb na babu yn walez walio mzaa hyu zahir masha Allah pongez kwao
Kicheko cha Bibi hua chanifurahisha jamani MashaAllah. Mwenyezi Mungu awabariki wote waliowasaidia hawa wazee. InshaAllah Mungu awape maisha marefu zaidi bibi na babu waenjoy. Zahir na Team yako good job👍🏾👍🏾
Pole sana Zahir kwa msiba.. Allah akutie nguvu kwa wakati huu mgumu IN SHA Allah... Ma Sha Allah Mungu awabariki kwa kazi muloifanya jaza yenu mtaikuta kwa Allah...Bibi napenda hicho kicheko chanipunga sana
Kwanza baraka zije kwako Zahir pili pole kwa msiba ulowapata kwa familia yenu tatu salimia kalombo nne nashkur leo kwa kuona Fabi nae anakusaidia mashallah
Cheko l bibi hatarii 🤣🤣🤣 mashaAllah mama maximellian Mungu amrehemu twamshukuru Kwa mola Kwa kutupa kijana jembe mpenda ubinaadamu n kujali wenzeke mungu akupe umri zahir ...n pole Sana Kwa msiba
Jaman mashallahu bb na wajuku zake raha tupu M Mungu nmkubwa BIBI amepata watt wengi kulko hata angeza mwenyewe Mungu hamtup mjawake furaha ilopoteya kwamuda mrefu Allah amewarejesheya Kwa muda mfup Yarab wazdishiye barka wote walio changiya na wamape zahr klalenye her nawao Amina
Dah Zahir Huyu Mungu tunaye Muomba akubariki na akuzidishie zaidi na zaidi wewe ni kijana shupavu unaye juwa thamani ya mwanamke na kila mwenye shida God will bless you I call you kijana wawanyonge,you bless me so much and condolences to loss your Aunty 😭😭🙏🏼🙏🏼❤️❤️🔥
MaashaaAllah myumba nzr sana Hongereni ka zahir Hio nyumba bora muandikie iwapo bibi na babu Allah kawahitaji basi ipigwe total thamani yake ngapi hlf ikodishwe mpk imalize thamani yake hlf ndio wapewe warithi.ili ikikodishwa pesa zifae wahitaji
Woooh kanyumba kamependeza mno jaman na walofanya usafi wamepatikan wallah maan kajumba kameng'a kma hawajafany wanaume CONGRATS kaka zahir na fabi God bless u guy's
Bibi kanenepa kweli kweli. Mungu akubariki sana kaka Zahir kwa kazi nzuri uliyowafanyia wazee hawa na watu wwngine wenye uhitaji Mungu aendelee kukutunza.Na pia nawapongeza watu wote mliojitoa kuchangia ujenzi was nyumba ya babu na bibi Mungu awabariki sana mlipotoa Mungu akawaongezee maradufu.Na pia napenda kukupa pole kaka Zahir kwa kufiwa na mama yako Mdogo.
Mashaallah mungu ni mwema Jaman tunawashukuru sana sana kwa wote mlio jitoa kwa hali na mali mungu awaongezee msikae mkapungukiwa ktk maisha yenu kweli mmerudisha furaha ya hawa wazee na kuwaongezea umri. Tunakushukuru kaka Dhahir kwa kazi kubwa unayoifanya kwa jamii wenye uhitaji na kwa uaminufu wako mungu akutunze akulipe kinacho stahiki na kukujalia umri mrefu uweze kuwafikia walio wengi wenye uhitaji tunakushukuru sana tena sana.
Kaundime kitwana Pole sana kka zahili kwa kufiwa mbele yke nyuma yetukaka zahili kwanza nimefurahi sana bibi na babu kuamia nyumba mpya mungu mwema na tuwashukulu wote waliochanga mchango wao ndani ya tanzania na nnchi za nnje mungu atume wepesi kwa sote
Pole Sana Zahir kwa msiba,Mungu awape nguvu, ujasiri kwa familia yote zima na marafiki kwa jumla. Team Zahir Mungu awabariki pasipo kipimo kwa job yenu zuri kiukweli hata kwa yeyote aliye changia hata kwa maombi ili kufanikisha hii kazi yote kufikia hapo.Mungu wa neema na rehema zote atatuinua pasipo kipimo chochote 💯 👏👏👏👏🔥🔥🔥💪👌🌞🙏🙏🙏🙏🇰🇪.
Kaká mm nahisi hivyo vyakula mngewatafutia ndoo kubwa huko bongô mnaita majaba wakawa wanahifadhia kuliko kuwemo kwenye viroba vitaharibika kwa unyevu. Piá Nawapa hongera Sana kwa kazi kubwa mlioifanya ww nã timu yako Allah atawalipa kwa wema menu🙏🙏
nigekuwa karibu nigekuja kufanya usafi Mimi Bibi anafurah mda wote haaahaaa Bibi anaogopa kusema mme wake haswali yaani nimejikuta nacheka tu Bibi ananifurahishaga sana kicheko chake tu nataman mda wote nimuone Bibi yetu ikiwa nafuraha mda wote pia nashukuru Sana wote mnao jitoa kwamoyo wenu wote mungu awaogezee pale mnapokuwa mpunguza mbarikiwe Sana
@@maximumtvonline unao kaka zaid mungu akujaalie afya njema akuondolee mabalaa ya dunia hakika. Kaka moyo wako tu Ni kama hayat rais wetu mpendwa John Magufuli👏👏👏👏👏👏🌹❤ Mashaalah. Nakupenda kwa ajili Allah👏👏👏👏👏
Pole Zahir kw Msiba dear Zahiri we n mt w tofaut sanaa:yan we umekuja dunia kw ajil y kusaidia watu Mungu akutunze,.Yan Hadi natamani ukue my hubby dah
Pole kaka Zahiri kwa msiba mwenyezi mungu akujalie moyo wa subra na alie tangulia mbele za haki mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema palipo na wema. Mwenyezi mungu awabariki nyote Team Maximum waliosaidia hawa wazee be blessed all
OMG. Mungu ni mwema 🙏🏻Alhamdullillah .M.mungu awazidishie Afya njema na furaha wazee wetu hao na wote walitoa sadaka. M.mungu awaongezee mlipopunguza na pia pole sana kaka Zahir kwa kuondokewa na beloved Mama mdogo na bila kujali kuwatumikia waliona uhitaji wewe ni Mfano wa kuigwa M.mungu akusimamie wallah 🤲🏻
Amiin thuma amiin
Pole sana na msiba Zahir Mungu akubariki kwa moyo wako huu umejitoa sana kwa jamii❣️❤️
wewe zahili una mkoki bibi hee😂😂😂😂
Mafundi hawa ni wavivu kwa sababu mafundi wote wanastahili kufanya usafi kila wakimaliza kazi zao.
Mashaallah mashaallah
Maximum tvonline kiboko ya wanyonge Tanzania M.mungu awatangulie Inshallah
kweli kabisa 👍👍👍👍👍👍👊👊👊
Amiin
Yani dhahir mashaallwah mmh sijaona moyo huu laa jitahidi ibada tu allwah atakupa pepo unaimanikweli
Bibi kanichekesha alipo ulizwa pamba kasema hata ubwabwa duuh bibi kaniuwa mbavuzangu ila kaka zahil na wenzio mubarikiwe sanasana mungu awasimamie kila hatua inshallah
Mma na bba walomzaa huyu kijana mungu awabariki fil dunia wal akhera mana mm c kwa malezi bora haya
Allahumaa aamiyn thumma aamiyn amlaze pema popen mama ake
@@shaimaaaheresi8165 Amiin
Amiin
Hivi mmake ashatangulia? Inna lillahi wa Inna illaihi rajiun na mungu ampunguzie adhabu za kabri kama waislam wengine in shaa Allah
Amin
Zahir and Kisaka good boys full of love
.God bless you mpaka mshangae.💞❣💞
Amen...
Zahir zahir zahir naona Mungu amekutuma kuwasaidia watu kama hao.
Mungu awajalie
Kwan zahiri ni mt wa aina gan jaman na wapo wangap dunia hii eeh mpe baraka tele kaka etu zahir pamoja na tim yote ya maximum TV 🤲🤲🤲
Amiin 🙏🙏
Kaka ungemchukua happy Wa mama happy na Mdg wako hawa pamoja na zabibu wangeenda kusafisha huko wangedek vizur sis ni familia moja kusaidiana n jukumu letu
Happy ndiye anayemuangalia mama yake kila wakati na zabibu anasaidia kuchota maji na mchanga pale kwao ujenzi unaendelea.
Mashaallah zabibu nimempenda anavyojituma
@@aminabakari2598 🥰❤️
E mwenyez mungu mjalie huyu mja wako zahry na uongoz wake, uwape afya njema na uwape mwisho mwema dunian mpk kesho Akhera, nakupenda xan Kk Angu zahry kwaidhin ya allah
Amiiin
Amiin 🙏
Amin
Dah zahir kweli hata km hukuzaa ukosi mwana wakukuokoaangalia bibi mungu alivyomsaidia kapata mjukuu waukweli anaempigania maisha yakemungumueke zahir mjukuu wabibi nababu mile😍😍
Amin yaarab
Allah akupe umri mrefu zahir na group lako. Na waliochangia Allah awazidishie palipo pungua insha'Allah 🤲
Ameen
Amiin
Aamin yaarab nawe pia ulieomba dua mungu akupe afya
Mashaallah bibi na babu km naziona furaha ziliopo moyoni mwenu....nasi tunafurahi kweli kweli pia pongez nyingi zimfikie kaka zahir kwakujitowa kwako 🤝❤❤👏👏😍😍
🥰Jaman bibi kafurahi mwenyewe Allah azid kuku weka kaka Zahir uzid saidia wengine na wengine Tena inshallah🙏🙏🙏🙏🙏
Masha allah..mubarikiw wana maxm yn hadi rahaa jmn mubarik na mola hawajaz nguvu zaidi.wp likeza wat wa kenya walio gulf km mie uku
Umepata yangu chukua
@@mohameeddoaan2296 iko wap
Zahir Allah atakulipa kwa unayoyafanya kwa hao wazee jamani
@@zainakuzenza759 kwel kbs Allah ampe nguv na kumlind na majanga ywaja hil azidi kuwapa farah bb na babu yn walez walio mzaa hyu zahir masha Allah pongez kwao
In shaa Allah
Asante sana Zahir...moyo mwema. Ubarikiwe
Babu naesialikuepo.nakawaona
Kazahiri mi nakuombea Allah akujaalie ww na wazazi wako muwe miongoni mwa waja wenye rehma zake peponi amiin
Amiin
Ameen🤲
Kicheko cha Bibi hua chanifurahisha jamani MashaAllah. Mwenyezi Mungu awabariki wote waliowasaidia hawa wazee. InshaAllah Mungu awape maisha marefu zaidi bibi na babu waenjoy. Zahir na Team yako good job👍🏾👍🏾
Jamani bibi hicho kicheko tu roho yangu kwatu Allah awape umri mrefu
Pole sana Zahir kwa msiba.. Allah akutie nguvu kwa wakati huu mgumu IN SHA Allah... Ma Sha Allah Mungu awabariki kwa kazi muloifanya jaza yenu mtaikuta kwa Allah...Bibi napenda hicho kicheko chanipunga sana
Kwanza baraka zije kwako Zahir pili pole kwa msiba ulowapata kwa familia yenu tatu salimia kalombo nne nashkur leo kwa kuona Fabi nae anakusaidia mashallah
Cheko l bibi hatarii 🤣🤣🤣 mashaAllah mama maximellian Mungu amrehemu twamshukuru Kwa mola Kwa kutupa kijana jembe mpenda ubinaadamu n kujali wenzeke mungu akupe umri zahir ...n pole Sana Kwa msiba
Pole san kak angu zahiri kwakuomdokewa na mom ako mdogo .pia mung azidi kukupa huo huo moyo wahuruma .much love u with your team 💯❣🙏
Mashaallaah..mm huwaga nafurah tu..yaan hadi raha...mingu akuzidishie kaka zahir..
Jaman mashallahu bb na wajuku zake raha tupu M Mungu nmkubwa BIBI amepata watt wengi kulko hata angeza mwenyewe Mungu hamtup mjawake furaha ilopoteya kwamuda mrefu Allah amewarejesheya Kwa muda mfup Yarab wazdishiye barka wote walio changiya na wamape zahr klalenye her nawao Amina
Dah Zahir Huyu Mungu tunaye Muomba akubariki na akuzidishie zaidi na zaidi wewe ni kijana shupavu unaye juwa thamani ya mwanamke na kila mwenye shida God will bless you I call you kijana wawanyonge,you bless me so much and condolences to loss your Aunty 😭😭🙏🏼🙏🏼❤️❤️🔥
Jmn yaan bibi anachekesha jmn daah nafrahia sana interview yao hawa maashallah Allah awape Umri mrefu inshaallah ❤🤲
😂😂😂
MaashaaAllah myumba nzr sana
Hongereni ka zahir
Hio nyumba bora muandikie iwapo bibi na babu Allah kawahitaji basi ipigwe total thamani yake ngapi hlf ikodishwe mpk imalize thamani yake hlf ndio wapewe warithi.ili ikikodishwa pesa zifae wahitaji
Pole sana Allah akupe subira kwa kufiwa na mm mdogo zahir mashaallah nyumba ya bibi na babu napenda kicheko cha bibi 💖 😘
Zahir pole sana kwa kumpteza mama jamani 🙏 ila bibi vituko haviishi kweli kabisaa anapenda nakicheko chake jamani 🙏 blessed day
Ma sha Allah, Zahiri na phabian, hongereni sana jamani kwa u binaadamu mlio nao, M Mungu azidi kuwazidishia.
Maaasha,allaaaah
Wowooooow nafurahiiii
Rwahaaaaaa woooote mubarikiweee muongezewe neema katika maisha yenu na baraka kwa wingi inshaa,Allah.
Pole kwa msiba, kaka Zahir. Pongezi Sana kwa kazi nzuri. Endelea kua na huo moyo🙏🙏🙏🙏
Hongera sana kaka Zahiri, hongera sana kaka Famian Kisaka, hongereni wote mlio shiriki kuchangia michango yenu mwanzo mwisho,
Woooh kanyumba kamependeza mno jaman na walofanya usafi wamepatikan wallah maan kajumba kameng'a kma hawajafany wanaume CONGRATS kaka zahir na fabi God bless u guy's
Wakwanza kucomment mashallah kaka angu Allah akubariki ww na kizazi chako na kila aile changia.
2na viziana ee,
Nimechelewa nusu saa tu, mala nishakua wa 2🤣,
Aya ngoja Niangalie kwanza
Allah awajalie
Amiin
@@dotahamad6640 mashaallah
zahir sinia bibi alitaka lamauamaua ulimpelekea?
Bibi kanenepa kweli kweli. Mungu akubariki sana kaka Zahir kwa kazi nzuri uliyowafanyia wazee hawa na watu wwngine wenye uhitaji Mungu aendelee kukutunza.Na pia nawapongeza watu wote mliojitoa kuchangia ujenzi was nyumba ya babu na bibi Mungu awabariki sana mlipotoa Mungu akawaongezee maradufu.Na pia napenda kukupa pole kaka Zahir kwa kufiwa na mama yako Mdogo.
Pole sana na msiba wa mama mdogo Zahir na Mungu akupe nguvu kwa hayo yote mema unayotenda bro.
Allah akuzidishie baraka zake
Yarabb mpe umri mrefu huyu kijana mpe anayohitaji maishani mwake
Ameen Ameen Ameen
Amin thumma Amina
Amin
Amiiin
Amiin
Bibi ana Furaha sana kaka ZAHIR MUNGU AKUBARIKI❤👏👏💞 na akujaalie her nying uishi miaka ming.
Nilikuwa naisubiri kwa ham asante bibi nimekipenda kicheko chako
Mtoto.wamwenzioniwako
Maskini.zahir.unapepo.we.kaka.
Kaka zahir nakupenda sana, mungu akupe maisha marefu kalibu sana Zambia mdogo wangu 👏👏👏👏
Asante ssna
Mashallah mashallah wanaenda kufunga ramadhani nyumbani kwao allhamdullilah
Mashaallah Mashaallah Kila La Kher Adam Na Hawa Nawapenda Sana Kaka Zahir Allah Akubarik Inshaallah👏
Mashaallah mungu ni mwema Jaman tunawashukuru sana sana kwa wote mlio jitoa kwa hali na mali mungu awaongezee msikae mkapungukiwa ktk maisha yenu kweli mmerudisha furaha ya hawa wazee na kuwaongezea umri. Tunakushukuru kaka Dhahir kwa kazi kubwa unayoifanya kwa jamii wenye uhitaji na kwa uaminufu wako mungu akutunze akulipe kinacho stahiki na kukujalia umri mrefu uweze kuwafikia walio wengi wenye uhitaji tunakushukuru sana tena sana.
Hongereni bibi n'a babu pamoja na. wewe zahiri.kwa kuimaliza hio kazi uliopewa mungu yakubariki ishallah
MashaAllah bibi kafurahi
Kaka zahir Mungu akubariki sana na timu yako yoote na wachangiaji pia nakupenda sana kwa moyo wako ubarikiwe sana na Mungu amen
Zahir mwenyezi Mungu Awalipe kwa wema wenuuuu. Wabarikiwe wazazi waliowazaaaa
Kaundime kitwana Pole sana kka zahili kwa kufiwa mbele yke nyuma yetukaka zahili kwanza nimefurahi sana bibi na babu kuamia nyumba mpya mungu mwema na tuwashukulu wote waliochanga mchango wao ndani ya tanzania na nnchi za nnje mungu atume wepesi kwa sote
Masha Allah bibi anazidi kunawili Mubarikiwe sana na sana Maximum tv
Nakupenda kwa ajili ya allah❤👏👏👏👏👏👏kaka ZAHIR HUSSEIN
Hongereni sana wadogo zangu mungu awabariki sana nyie watt sijui wazazi wenu waliwapa moyo safi sana,
Allah awabarik watu wote wenye team Zahir mung awazidishie afya napia tunakuombea KK yetu Zahir uwe Na Moyo Uyo Uyo amiin
🤣🤣🤣Eti singida bibi jaman Nimechek kidogo nitolewe Inje 😂😂😂😂nawapenda team Maximum❤️❤️❤️ natokea Burundi🇧🇮🇧🇮 💋💋💋😍
Mpo vinzr sana. Bibi mnamfuraisha jaman
Woe Asante sana..tunakupenda pia
@@maximumtvonline 😍😍Basi munikaribish tanzania jamin😅😅
@@vanillaakimana9388 Karibu sana mpendwa wetu
@@shaimaaaheresi8165 Asante ❤️❤️
Pole Sana Zahir kwa msiba,Mungu awape nguvu, ujasiri kwa familia yote zima na marafiki kwa jumla. Team Zahir Mungu awabariki pasipo kipimo kwa job yenu zuri kiukweli hata kwa yeyote aliye changia hata kwa maombi ili kufanikisha hii kazi yote kufikia hapo.Mungu wa neema na rehema zote atatuinua pasipo kipimo chochote 💯 👏👏👏👏🔥🔥🔥💪👌🌞🙏🙏🙏🙏🇰🇪.
Pole sana kaka zahir kwa msiba ila kazi mnayo fanya Mungu awabariki wote waliyo changia alhamudulillah 🙏🏿
Alifiwa na nani
Bibi jamani kanifurahisha kaulizwa anataka apige pamba gani ck ya kukabidhiwa nyumba kasema ubwabwa
Mungu akubariki kaka..cheko la bibi me linanifurahisha
Daa kak zahir nakupa pongez kwa kaz nzur na piya waliwochangiy kufanikisha hili swal mungu awabariki sana
Poleni Zahar kama ningekuwa karibu Ningewasayidiya wazee,Kuwapigiya deki.
lakini niko mbali Kidogo.nawashuhkulu sana tena sana,kuwasahidiya wazee🙏
Yanii bibi anahitaj japo katv kadogo ili aenjoy zaidi - Enshallah nitatuma ntachojaaliwa Mashallah zahir Mashallah
Zahir' Zahir' Zahir ALLAH Akujaalie umri mrefu sana
Maashaallaah Allah awalipe kheri nying tem nzima ya Maximum TV online nawapenda kwakujitoa kwenu
Bibi anacheka vinzr sana leo babu kaeda wap
Bibi ananifurahisha kweli nimempenda sana bibi .mungu akubariki kaka zahiri kwakujitoa
Innalilah wainna ilayhi rajiun pole sana kaka Zahir kwa msiba allah ampe kauli thabiti amiin yaa rabb
Apo kwa kua utakula pamba gani bibi akajibu ubwabwaa kaniacha Hoi....... Mashaallah bibi kafurahi kutoka moyoni cheko lake limedhihirisha kaka Zahir Mola akuzidishie roho hiohio
Jamani fabi anamopu,👍🇴🇲🔥
Masha Allah kka Zahir mungu akuzidishie moyo huo wakusaidia lnshaallah
Bibi na mjukuu wake wananipa raha jamani wavae kama siku ya doa yao
😍😍😍😍😍😍
Bibi akicheka na mimi huku hoi na cheka hatari, Maximum TV Mubarikiwe sana especially kwa Zahir kwa anavyo jitolea kwa jamii
weuweee. piga. keleleee. kwa. zahir. ake. hongeren. sana. mliojitolea. kuwajengea. hawa. wazee. na. zahir. pia mungu. akuondeshee. husda na. mabalaa
Amiin
Zahar MWENYEZI Mungu akuongezee masiva marefu sana kwajamiyi zaidi babu na bibi abawezi kukusahau kila siku ya maisha yao
MashaaAllah Allah awazidishie afya na umri kazi yenu maximum tv
Zahir..., Libarikiwe tumbo lililokuzaa 🙏😥 Mungu awabariki baba.
Amen..
Zahir na timu yako sio watu wa kujishaua kabisa embu ona wanavyofanya usafi MUNGU awabariki sana
MA SHAA ALLAH MA SHAA ALLAH ALLAH AWAPE AFYIA NAWALOJITOLEA ALLAH ATA WALIPA NAKAKA ZAHEIR NA TEAM YAKO ALLAH AWAJAZE KHEIR AMEEN
Allah awaongoe team maximum zahir na fabian mpate wake wema muinjoi life kaka zng
Amin
Maashaallah Hadi raha bibi nababu mungu awaweke awape nguvu nawew zahir ubarikiwe Sana mwambie Babu atie duakwamyumba
Wow bibi Ana furaha mpaka basi🤣😍🥰
Wow raha hadi raha👌 may God protect you Bibi and Babu🕯🕯🕯❣❣❣😍😍😘
@@rehemaathuman232 amen
Pole sana zahir kwa msiba, mungu akubariki kwa moyo wako msafi
Jamani Ka Fabio hivyo unavyodeki na hiyo khanga mbavu zangu jamani lkn mpo vinzurii Mungu awabariki sana🙏🙏🙏🙏👏👏
Mashallah Mashallah Inshallah M.Mungu awazidishie Zahiri na wenzako na wote waliochangia kurudisha furaha ya Bibi na Babu 🤲🤲
Watu kama kaka zahir kwenye jamii zetu ni mmoja kwa mia moja mungu akuweke sana kaka
Kaká mm nahisi hivyo vyakula mngewatafutia ndoo kubwa huko bongô mnaita majaba wakawa wanahifadhia kuliko kuwemo kwenye viroba vitaharibika kwa unyevu. Piá Nawapa hongera Sana kwa kazi kubwa mlioifanya ww nã timu yako Allah atawalipa kwa wema menu🙏🙏
Pole kwa kufiwa kaka,na ubarikiwe sana kwa moyo wako
Mashaallah mung awalipe kher wanamaxmum mung awazdishie afya na uzma kak Zahir na Kaka fabi mmenifurahis yaan nawapenda Kwa ajil ya Allah
Zahir mungu langu mm nikukuombea kwa mungu akuzidizie miaka nyingi na huo moyo hakuna mtu anawesa kujituma kama ww mungu akujalie sana mema
Kaka Zahir mwenyezi mungu atakulipa! Allah akuzidishie umri mrefu ,
MashaAllah kk angu Allah akupe vizazi vilivyo na horuma kama yako
Masha Allah , pol san Kaka zahir na msiba pia hongeren kwa kaz nzur Allah azid kuwapa afya njema ili msaidie na wengin in shaa Allah
Zahir Mungu azidi kukupa nguvu na uendele na moyo huo huo ,watching from kenya
Kaka zahir mungu akubariki akupe maisha marefu uzidikusaidia watu.nauepuke na hasadi na macho yawatu anayekufuata kwa ubaya Allah amrudishie mwenye
nigekuwa karibu nigekuja kufanya usafi Mimi Bibi anafurah mda wote haaahaaa Bibi anaogopa kusema mme wake haswali yaani nimejikuta nacheka tu Bibi ananifurahishaga sana kicheko chake tu nataman mda wote nimuone Bibi yetu ikiwa nafuraha mda wote pia nashukuru Sana wote mnao jitoa kwamoyo wenu wote mungu awaogezee pale mnapokuwa mpunguza mbarikiwe Sana
Hongera Zahir Una hekima, Mungu akuongezee,akulinde,team yako yote, Mungu awajalie muishi miaka mingi musaidie wasiojiweza,nawafwatilia kutoka Kenya
Mashal.ALHA.KAKA.DHAHIR.MIMI.NAKUOMBEA.PEPO.TU.UINGIE.WEWE.WAZAZI.WAKO.WATITO.WAKO.NAMKEO.INSHAALHA
Ila jamani tuseme ukweli kaka zahiri ni handsome😍🥰 Mungu Akubariki🙏🙏
Khaa walimwengu nyie nna uhandsome gani mm..
@@maximumtvonline unao bana ☺😊
@@maximumtvonline unao kaka zaid mungu akujaalie afya njema akuondolee mabalaa ya dunia hakika. Kaka moyo wako tu Ni kama hayat rais wetu mpendwa John Magufuli👏👏👏👏👏👏🌹❤ Mashaalah. Nakupenda kwa ajili Allah👏👏👏👏👏
Pole namsiba bibi na babu sasa muda umewadia kukaa kwao kwenye nyumba yao mpya mungu hawarinde bibi na babu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Fabby pole na kazi ila leo bibi kafrah kuliko siko zote mungu awabariki wale wote walio wasaidia hii familia
Ameen yaraab alamiin
Amiin leo adi fab tumemuona jmn mung awabariki sn
Pole Zahir kw Msiba dear
Zahiri we n mt w tofaut sanaa:yan we umekuja dunia kw ajil y kusaidia watu Mungu akutunze,.Yan Hadi natamani ukue my hubby dah
Kaka zahir Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu
Pole kaka Zahiri kwa msiba mwenyezi mungu akujalie moyo wa subra na alie tangulia mbele za haki mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema palipo na wema.
Mwenyezi mungu awabariki nyote Team Maximum waliosaidia hawa wazee be blessed all
Bibi anafuraha kama zote mashallah
Umeonaeeh
Màa Shaa Allah, Allah akutunze Kaka Zahir
Kaka Zahir polen sana kwa kufiwa,mpe pole babu na bb nae kwa kufiwa na mkwe wao