Zahir mungu atakulipa kila ukiwapitia wazee kama hao mungu anakufungulia milango ya kheir ktk kazi zako…. Kilawakifurahi na weweunafurahi na sisi twafurahi
Bibi na babu niliwa miss saana nafurahi kuwaona na kuwasikia wanaongea😢😢😢 nahisi kama umeenda kuwatembelea wazazi wangu maskin maisha haya Alhamdullah happy birthday to me 🎉🎉🎉 #Ahlamverynice nawapenda saana ❤❤❤
Zahir mpeleke babu ccbrt wamuangalie macho kama wanaweza msaidia Hayo macho waongeze uoni. Halafu watafute watu WA sabuni za rungu wampe babu awafanyie tangazo
Ama kweli maximum imerudi kama awali mpaka kumuona Babu n bibi tumefurahi kusema kweli Zahir kuback on......ila nimewakubuka mama happy n mamake zabibu 😢mungu awatilie kaburi yao nuru
Hivi kwa uzee huo wataweza kweli kutembea kila siku kwenda kwa huyu mwenyekiti ili atatue suala la umeme?tatizo viongozi wetu wa mitaa hawawajali watu wa kipato cha chini na huhsusani hawa waliozeeka
Bibi amenenepa sana , Mungu mwema niliwamiss sana
Aaah jamani babu na Bibi hawa wanafurahisha sana zahir Allah akulipe wema Bibi ang'aa kweli amependeza sana
Bibi haoni kabisaaa,yuwafaa miwani hata babu pia miwani zitawafaa na si ghali sana tuwasaidie😢
Babu unatakiwa usali unapata dhambi na mkeo muhimize asali Allah atazidi kuwabariki sali babu mshukuru Allah kwa neema zake tunawapenda sana
Jaribu kutojaji maisha ya watu lolote afanyalo na wewe waweza fanya maaana hata wewe ni binaadamu
@@gilliardgodfriend5745kukumbushana swala sion kama kanaubaya wala si kujaji ndg
@@gilliardgodfriend5745kuhimizana na kuamrishana mema na kukatazana mabaya ni wajib.. acha ushamba ww..
Masha Allah zahir aliwasaidia sana hawa wazee aliwapambania haswa
Jana niliwafikiria nikasema nikuombe utuletee mashaallah ❤❤
Zahri big up kuwaelimisha hao wazee wetu Kuwa wenyew kufanya ibada ni jambo jema sanaaa. Bib na babu mswali wazee wang
Jaman Bibi akimuona zahir anadekaa huyo..Nimefurah kuwaona❤❤
Nimefurahi sana kuwaona Bibi na Babu huwa nawafikiria na kuwa miss👏🏽
nmewamiss hawa jameni ❤❤❤😂😂😂kwanza kicheko cha bibi
Zahir mungu atakulipa kila ukiwapitia wazee kama hao mungu anakufungulia milango ya kheir ktk kazi zako….
Kilawakifurahi na weweunafurahi na sisi twafurahi
Kaka Zahir mashaallah ukifanya Kazi nzuri san kaka yang mungu akubariki akujaaliye umr mrefu na mwisho mwem
Kuacha kusali si mapungufu ni udhaifu wa imani tu...Allah awajaalie imani wasali kabla hawajasaliwa..
Nampenda huyu Bibi kwa kucheka
MashaAllah wazee wamependeza Bibi kawamzuri rangi na afya nzuri lakini. Wazee muwe mnasali tena muda ushaenda mtaongezewa barakatelee babu sali nabibi mihimize
HAWA WAZEE WAME SHINE SANA RUNGU WAWAWEKE KWENYE TANGAZO LAO WATAPATA THAWABU
Waooooo hatimae nimewaona babu nabibi,kaka dhahili ubarikiwe sana🙏❤❤❤❤❤
bibi na babu nawapenda sana
mashaAllah bibi na Babu tuliwamiss Sana🙏🏿
Kaka zahir pole na kazi, hapo wanaitaji mlango wa chuma inaonekana kama mchwa wana shambulia
Marshallah tulimkumbuka Bibi na babu mungu Awape umri mrefu
Zahir mungu akulipe kila jema
Subhana allah nilikua nataka kumuuliza ka zaher babu na bibi wako wapi tuwaone
Ahsante sana zahir kumuona bibi na babu
Bibi na babu niliwa miss saana nafurahi kuwaona na kuwasikia wanaongea😢😢😢 nahisi kama umeenda kuwatembelea wazazi wangu maskin maisha haya Alhamdullah happy birthday to me 🎉🎉🎉 #Ahlamverynice nawapenda saana ❤❤❤
Happy birthday dear may Allah give you Ajjar from this world and hereafter 🤲🏼😘😘🥳
Happy Birthday 🎉🎉🎉🎉 to you
Happy birthday my love❤❤❤
Thank you so much wapenzi wangu❤❤❤😍
asali akikaa bibi kaa chini sali m mungu awahidi swalaa kitu cha kwanza m mungu awape kheri zaid
Nimecheka jana nimewakumbuka hawa watu asante Mungu nimewaona
Wow niliwamis sana na Mungu azidi kuwapa umri mrefu jamani
Zahir mungu azidi kukupa afya njema
Bibi na Babu jamani💋💋❤️❤️❤️❤️
Kulengana na Uzee na hafya zao silazima waende msikitini wanaweza kumuabudu mungu hapo hapo nyumbani.
Mashaallah Zahir
Surprise Raha sana
MAASHA ALLAH..
Waooo tuliwamisd sana
Nawapenda san bibi na babu
Aky nmewamiss sana babu na bibi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂
Zahir mpeleke babu ccbrt wamuangalie macho kama wanaweza msaidia Hayo macho waongeze uoni.
Halafu watafute watu WA sabuni za rungu wampe babu awafanyie tangazo
Nimefurahi kuwaona❤❤❤❤
Nilikua nimewamisi sanaaaa 😂❤❤❤
Mlango mliweka wa bei rahisi sana
yamebadilika kweli mzee mwingi umeisha
Masha ALLAH ❤
Mungu azidi kuwalinda 🙏❤️💖
Subhanna Allah 😭 eti mapungufu uyo inaelekea hajui kuswali ila anaona haibu kusema wazee wa mjini wahuni wa zamani
Kama unavyotoa maneno ya dhihaka bila sababu si mhuni tu😮kwanza ni haibu au aibu😢
@@vickylupemba6055 Kwa iyo haujaelewa au ashuo nimesema ivyo Kwa sababu usilete shobo mbele ya ukweli unajifanya msomi au!
@@vickylupemba6055 kama hajielewi nilicho maanisha tulia kama upo saloon
@@vickylupemba6055 kama haujaelewa tulia
Mashaallah mashaallah nimefurahi sana kuwana Allah awajaalie kher umri twawil na Afya ❤❤
Nakupenda bibi kwa kucheka tu😂😂😂
Kwer kaka zahiri waswal matendohayawezi kukubalika kama swala hakuna wajitahidi t
jaman niliwamis❤
Nilikuwa nimewamis sana babu na bibi
Yaani bb kunenepa sana hadi rahaa❤❤❤
Waoooo. Bibi❤
Niliwamisi mno❤❤
Jamani kina happy
Kaka zahir mungu atakulipia kwahili yaan ukiamua kusaidia unasaidia kwa moyo❤❤
Amiin
Jmn babu akitaka mke anione mimi na dini nitabadili.
MashaAllah ❤❤❤
Ila nimewapenda ni wachangamf had raha nimecheka hadi bas babuuu,
Jamani Salah nikitu muhimu
Jamani niliwamiss sana Bibi na babu nimefurahi kuwa ona
Zahir mbona bibi na babu hawajakukaribisha ndani au mazingira sio safi
Mm ndo sijataka kuingia ndani
Bibi jamani😊
Muwekeeni bibi bisshara ya mkaa
Nimewamisi babu na bibi
Tuliwa miss bibi na babu siku nyingi
waooooo❤
😅😅😅❤❤❤❤❤Mashallah bibi na zbabu Mungu awatunze Tanks Kaka Zahir😂😂😂😂
Asante
@@maximumtvonline amiina
Mfuniko wa choo sio lazima waambie wautoe tu huo mfuniko huwaga aidumu mifuniko ya choo
Umewachosha kuwa simamisha muda mrefu 😢😢
Jamani babu kah et unanenepa kama mwanamke kah🤔
Umeona eeh kanitusi huyu mzee
@@maximumtvonline😂😂😂😂😂
Alipockia hahar ya kula miguu iliuma jaman bibi
❤❤❤❤❤
Sasa wee babu uowe nini tena mwenywe ushazeeka😁
Ungewakalisha wazee wanasimama adi wanachoka
Ndo mazoezi
@@maximumtvonline
😂😂aya sawa
Mbona mlango umechakaa hivyo
Mbona hukaribishwi ndani
Nilitaka mm kuishia hapa hapa
Yani hii sehemu inamchwa ilitakiwa watengenenze milango ya chuma tu
Zahiri wambie babu na bibi wa swali tena sana
Wamegoma
@@maximumtvonline😂😂😂😂😂
Haha 😄 🤣 bibi ampenda zahir kweli eti miaka 2 hujaja
Hahaha babu kesha leta tangazo la sabuni alipwe😂 ila nawapenda na kaka zahir hongera kuwaibua tena hawa wazee
Eeeh Sikumingi
😂😂babu jamani eti hiyo miguu mnapanuaga zahir nae ulivyomchokozi ukamuuliza tena nini babu 😂😂😂
Wawekeeni sola Kwa ajili ya taa na TV
Sawa
Changia
Nimecheka yani zahir na babu eti nakuona umeshikilia yebo nawakat umenkabidhi ww😂😂😂😂😂
Ama kweli maximum imerudi kama awali mpaka kumuona Babu n bibi tumefurahi kusema kweli Zahir kuback on......ila nimewakubuka mama happy n mamake zabibu 😢mungu awatilie kaburi yao nuru
Hivi mama Zabibu alifariki?
@@memehhhahshshdhdhd ndio inaelekaribia miaka miwili sasa
Yani Hadi mimi nimewakimbuka 😢 wapumzike kwa amani
Amiin
❤️❤️🥰🥰
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zahir paka diesel hpo kwa frem nchwa watofika tena
Sawa
Mwana habari unasauti nzuri kwani imeoa au bado upo single😀
Nipo singo
😂😂muongo unawake 2@@maximumtvonline
Bibi mkaribishe mjukuu wako ndani😂😂😂
JAMANI UMRI HUU HAWA SWALI HATARI SAANNA
WAAMBIYE MUISLAM NI SWALA
HATARI SAANA
Zahir Kuna jirani yangu anaumwa ini na bandana anahitaji msaada naomba unitafute umsaidie..nijibu sms yangu
Mfate Zahir in box umwambie
0625466848
Bibi nababu jamani siku nyingi niliwakumbuka kweli bibi napenda akicheka 😂😂😂
Si wakae chini ndo uwahoji wazee hao wanachoka kusimama
Mazoezi
Weka papi ya fremu ya chuma hapo kuna mchwa
Yap
Hivi kweli babu anataka kuengeza mke?😂😂😂
Hivi kwa uzee huo wataweza kweli kutembea kila siku kwenda kwa huyu mwenyekiti ili atatue suala la umeme?tatizo viongozi wetu wa mitaa hawawajali watu wa kipato cha chini na huhsusani hawa waliozeeka
Ndo changamoto
Tena wazee ambao hawana pesa ya kuwapa, yaani viongozi hawa shida sana.
😅😅😅😅😅
Unaswali kwakukaa