MashaAllah MashaAllah Nimefùrahi kumuona Alhamdullillah🤲❤ Allah SWT Amfungulie milango Zaidi na zaidi Biashara zake zifanikiwe Na kila Jambo lake Limyooke Yaa Rabbi 🤲❤
Masha allah mama wawili ni mfano mkubwa kwakweli hana tamaa kabisa ni mfano mzuri huu huyu mdogo kushinda mama zabibu na hakusaidiwa mitaji kama mazabibu kajiengeza mambo ndio hayo sasa hongera kipenzi changu mama wawili
Zahir mwanangu huyu binti nilikuwa namkumbuka saana. Wote. mnaowasimamia wajifunze kwake Hii ni shule nzuri saana MUNGU MWENYEZI azidi kumsimamia Zahir na wote Maximum tv mbele kwa mbele,MUNGU MWENYEZI awaongoze awabariki sana.
Mungu asimame na aliye jitolea ku endereza ujenzi.mungu akulipe ndugu yetu kwa kila hatua zako kwakuiendereza furaha ya family hii MashaAllah MashaAllah ❤❤❤🤲🤲🤲
MashaAllah mama wawili ww ni mrembo na unaejua thaman yakusaidiwa sio kina mama zabib kila sku kulalamika tuu nakuomba km viwete nimekupenda bureeee nawe uzid kubarikiwa dada yetu mrembo mashaAllah🥰🥰😘🥰😘🥰😘
ManshaAllah mama wawili unashukuru na kusema Alhamdullah Mungu akuzidishie iman yako pia mzuri Allah akufungulie mume mwema mwenye kheri n ww yarab amiin
juzi nilikuwa nikimuwaza hy dada mashaAllah n kumbuka alikuwa yeye Tu pekeyake nyumba yake imefika mbali pia nakumbuka alianza n room mmoja tuu amestirka Alhamdulillah
Mashaallh yn fadina na shangazi tabu wakiona hivi cjui wanajifikiriaje ndn ya mioyo yao 😃dada mungu atazid kukufungulia njia hyo ndio matunda ya zahiri 😘
Mashallah jamani mama wa wili Mungu akupe maisha marefu jamani nimempenda huyu mama kwa juhudi zake hawa ndo watu tunao wataka sasa wakiwezeshwa wanajiwezesha mara mmoja mtu ukisaidiwa jisaidie na wewe hongera yake akina mama zabibu na monira wamuige huyu mama wa wili kabisa
Watu kama hawa uwapate kumi tu umasikini umeisha maana kajitahidi kwenye kujisimamia na kujali walio msaidia yaan nimefurahi sana kuwatia nguvu waliokushika mkono dada,🤲🙏🙏
Mashallah.Allah awalipe wote walio.changia inshallah hongera.sana.dada.mungu ni mwema akijaalie kila.hatua udhidi kua.na amani na mtoto Allah Amfanyie.wepesi inshallah apone na apate kiti inshallah
Daaa jamani hakika Mungu hajawahi kumuacha mtu mwenye haki ateseke.Mungu akulinde kaka Zahir maana kama sio wewe hata hapa asingekuwepo.Umemuweka msingi mzuri mama wawili hata mpaka na wafadhili wamejitokeza kumsaidia. Mungu akuongezee maradufu mfadhili uliyejitokeza kuongeza vyumba vingine.Hongera sana mama wawili.
Hongera sana mama wawili namkumbuka mashaallah ndie mtu wa kwanza kujengewa yaan hongera sana huyu mama anajitahidi sana sio wale mama zabibu hajitambui kabisa.
big up sana, unaona kaka Zahiri yaani huu ni mfano tosha wa tunakuwezesha na wewe unajiongeza, huwezi mfananisha huyu na mama zabibu yani yule mwanamke tumemchangia sana apambane na hali yake tu kwakweli. Kma kuna kutoa zawadi mwisho wa mwaka yangu itaenda kwa mama wawili, Mungu azsisi kuwainua Maximum tuko nyuma yenu
Zaheer huyo mama atafutiwe kiti ili aweze kufanya biashara yake uzuri kubeba na kazi niugumu umaskini mbaya zaheer was amalia Wem tumsaidieni huyu mama apate kiti cha wa ndani ya nchi na nje ya nchi pushchair
Mashaallah kwa wliotowa msaada ss hp kwa akili za wanaume bc litajileta hp kwkuw lime on nyumba na ss wmwke tulivyo. Na u dhaifu atamakatibisha na ht kaa
MashaAllah
MashaAllah
Nimefùrahi kumuona
Alhamdullillah🤲❤
Allah SWT
Amfungulie milango
Zaidi na zaidi
Biashara zake zifanikiwe
Na kila Jambo lake
Limyooke
Yaa Rabbi 🤲❤
Masha allah mama wawili ni mfano mkubwa kwakweli hana tamaa kabisa ni mfano mzuri huu huyu mdogo kushinda mama zabibu na hakusaidiwa mitaji kama mazabibu kajiengeza mambo ndio hayo sasa hongera kipenzi changu mama wawili
Mashallah akili pia zimo
@@husna34562 kweli kabisa na kuchangamka na haya pia kuwa mtu ajute kukufahamu kila jambo yeye funzo zuri hili
Kabisa
@@husna34562 😅😅😅😅🙌
MashaAllah MashaAllah MashaAllah. Ww ni mpambanaji dada watu waige mfano wako❤❤❤❤❤❤😍😍😍😍🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Maa shaa Allah 🥰
Napenda sana watu kama hawa wanasaidika Alhamdulillah
MASHA.ALAH
Mash allah huyu dada toka nikipomfaham mwanzo mpaka leo ni tabasam tu juu yake hongera ndugu yangu
Zahir pongezi sana na team yako... allahuma Amin
Mashaa Allah kajitahidi sana, Mungu ni mwema sana, Nimeipenda sana hiyo
Zahir mwanangu huyu binti nilikuwa namkumbuka saana.
Wote. mnaowasimamia wajifunze kwake
Hii ni shule nzuri saana
MUNGU MWENYEZI azidi kumsimamia
Zahir na wote Maximum tv mbele kwa mbele,MUNGU MWENYEZI awaongoze awabariki sana.
Woooow,,nimefurahi kumuona tena mama wawili,,mungu akutunze dada angu
Safi Sana inatia moyo Hawa ndiyo watu tunahitaji, siyo kama mama Zabibu uchafu uchafu godoro kauza, mkaa kafirisi,.
Kbs
Yaniii yule ndo kabugi unaweka bondi godoro
😂😂😂😂Kwl
Kabisa
@@adelinaomani9012 Yaani mama zabibu ni tatizo Jamani
Mungu asimame na aliye jitolea ku endereza ujenzi.mungu akulipe ndugu yetu kwa kila hatua zako kwakuiendereza furaha ya family hii MashaAllah MashaAllah ❤❤❤🤲🤲🤲
MashaAllah mama wawili ww ni mrembo na unaejua thaman yakusaidiwa sio kina mama zabib kila sku kulalamika tuu nakuomba km viwete nimekupenda bureeee nawe uzid kubarikiwa dada yetu mrembo mashaAllah🥰🥰😘🥰😘🥰😘
Kaka zairi katika watu turiwasaidia uyu mama anatumiya moyo sana siyo wale wengine kila kukicha uzuli tu God bless hii family
Kweli kabisa ana moyo sana
Kweli kbs
Kuna watu wanaakili sana wakiwezeshwa wanafika mbali mfano ni huyu dada 💚💙❤️
Haswaaa
ManshaAllah mama wawili unashukuru na kusema Alhamdullah Mungu akuzidishie iman yako pia mzuri Allah akufungulie mume mwema mwenye kheri n ww yarab amiin
Kabisaaa
Hongera kwa alie jitolea Mungu amzidishie alipo pungukiwa
juzi nilikuwa nikimuwaza hy dada mashaAllah n kumbuka alikuwa yeye Tu pekeyake nyumba yake imefika mbali pia nakumbuka alianza n room mmoja tuu amestirka Alhamdulillah
Safi sn mashaallah wewe ndio unaejuwa dhamani yakusaidiwa yani umejiongeza kikubwa mno mashaallah nimefurah sn wallah 💕😍👌👌
Mashaallh yn fadina na shangazi tabu wakiona hivi cjui wanajifikiriaje ndn ya mioyo yao 😃dada mungu atazid kukufungulia njia hyo ndio matunda ya zahiri 😘
MashaAllah MashaAllah... Allah bariki kila atoae sadaka yake ajili ya wanyonge...
Mashaallah m.mungu amjarie kwa aliyejitorea kumjengea mama wawili na kaka Zahiri hongera sana Allah afanye wepesi kwa kila jambo
Tunakupenda pia dada 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 usijali Allah atakufungulia milango ya ridhki inshallah 🙏
Mashallah jamani mama wa wili Mungu akupe maisha marefu jamani nimempenda huyu mama kwa juhudi zake hawa ndo watu tunao wataka sasa wakiwezeshwa wanajiwezesha mara mmoja mtu ukisaidiwa jisaidie na wewe hongera yake akina mama zabibu na monira wamuige huyu mama wa wili kabisa
Yaaan analeta raha mnoo
Watu kama hawa uwapate kumi tu umasikini umeisha maana kajitahidi kwenye kujisimamia na kujali walio msaidia yaan nimefurahi sana kuwatia nguvu waliokushika mkono dada,🤲🙏🙏
Kabisa amejitahidi sana aliona msaada kila siku mpka lini kajiongeza sana jaman hongera yake
Mungu akujaalie sana
Hawa wanatia moyo wanajua thamani ya msaada. Mungu akuwezeshe zaidi na zaidi
MashaAllah dada huyu Allah akubariki zaid na zaid
Huyu dada amenipa moyo wakuzidi kujituma jamani siamini macho yangu mungu nikubwa yarabiii
Mashaallah mungu akuwezeshe mama wawili twakuombea
Hongera sana mama wawili ww ni mwanamke shupavu
Mashaa الله mashaa الله mashaa الله. Nishaa mkumbuka huyu dada sana. Mashaa الله. Nimefurahi sana.
Mashaallah mashaallah mama wa wili wetu jmn allah akutunze na uyo alokusaidia allah amzidishie pale alko punguza kwa ajili ya uyu mama
maashaallah katika watu ambao wenye akili katika wale waliosaidiwa huyu mama wa wili ni wa kwanza penda sana dada
Na Leila pia. Hongera kwao
Yes tokea mwanzo alionesha nia
Mashallah kajitahidi sanaa.mama wawili.pongezi zenu wana maximum na crew nzima
Mashallah.Allah awalipe wote walio.changia inshallah hongera.sana.dada.mungu ni mwema akijaalie kila.hatua udhidi kua.na amani na mtoto Allah Amfanyie.wepesi inshallah apone na apate kiti inshallah
Mashaa Allah mashaa Allah hongera mama wawili
Dah namkumbka huyu dada ma shaa Allah
huyu dada anajielewa sana 🥰🥰🥰
@@heyumi2340 cnaaaaaa 💞
MashaAllah tabaarakallah
Mashallha nimefurahai sana hongera dd na hongerani wote mlimsaidia huyu dd
MashaAllah mama wawili tunakupenda hongera sana msaada ulioupata umeutendea haki asante Zahir juhudi zako uliyoyatangaza zimezaa matunda
Daaa jamani hakika Mungu hajawahi kumuacha mtu mwenye haki ateseke.Mungu akulinde kaka Zahir maana kama sio wewe hata hapa asingekuwepo.Umemuweka msingi mzuri mama wawili hata mpaka na wafadhili wamejitokeza kumsaidia. Mungu akuongezee maradufu mfadhili uliyejitokeza kuongeza vyumba vingine.Hongera sana mama wawili.
mashallah jamani mungu amsimamie pia asanteni sana wote mliojitoea kumuwezesha mama wawili mungu awape mwisho mwema inshallah 🥰🥰💯
Aamiin🤝🤝🤝🤝
Mashaallah hongera mama wawili umejtahidi mungu azd kukzidishia
Dhahir mwanangu mungu akutangulie na akupe khery nyingi na akujalie Pepo kesho kiyama Yaani unaweza sio una khiyana Wala choyo.
Mashallah huyu dada namkubali na sio mama zabibu ataki kujichanganya na kazi nakupenda dada yangu love mingimingi
Huyu mama alionesha bidii snaa toka mwanzo anasaidiwaa🙌🏻Mungu amsaidia na aendelee kujitaidii
Manshallah tabarakallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hongera sana mama wawili namkumbuka mashaallah ndie mtu wa kwanza kujengewa yaan hongera sana huyu mama anajitahidi sana sio wale mama zabibu hajitambui kabisa.
Alijenga mwenyw kwa pesa za mchango
@@khadijahali4837 Ndo anajielewa wengine wanajaza matumbo na starehe
@@duhrurhhddhheud8575 😁😁😁 wanataka kila ck wawe wanasaidiwa wao tuu
big up sana, unaona kaka Zahiri yaani huu ni mfano tosha wa tunakuwezesha na wewe unajiongeza, huwezi mfananisha huyu na mama zabibu yani yule mwanamke tumemchangia sana apambane na hali yake tu kwakweli. Kma kuna kutoa zawadi mwisho wa mwaka yangu itaenda kwa mama wawili, Mungu azsisi kuwainua Maximum tuko nyuma yenu
Kaka zahir mama zabibu achananae kwanza anaroho mbaya sana ukimwangalia tu
@@halimahamisi1117 kumbuka kwamba mama zabb ni binadam hvyoo tusimlaum na kingnee kaka zahr anafanya habar hvyoo mwachen afanye kaz yakee
🥰🥰🥰 Mashaallah Mashaallah jamani mwenyezi mungu ni mkubwa sana
MashaAllah wakongwe tujuane wallah m/mungu azidi kukupa nguvu mama wawili P1 na maximum tv team
Mashaa Allah Tabaraka Allah
Alhamudulillah tume kumiss sana shukran sana kaka zahir.
mungu ni mwema hongera kwa kupata nyumbayako
Mashaallah Allah azid kkufanyia wepes
Wow!! Nimefurahi kumuona mama wawili wallah
Mashaallah mngu awabariki wte mliyomsaida uyu dada awape zaid ya icho mlichokitoa
Awesome 🤝🤝ata Tanzania ina. Wezekena kumbe 🤦♀️🤦♀️nitarudi nyumban kwetu 😥hongera saana 🌹
Uko wapi faudhia
Mashallah Mwenyezimngu awajaze kheri wote wenye moyo wa kutoa misaada
Maashallah maashallah alhamdulilah rabillamin mungu akuzidishie dada yaarabi
Manshallah Mungu haachi mja wake
MashaAllah Allah barik
Jmn ahsante kaka Zahir nawote
Manshaallah mungu yumwema🙏🙏
Alhamdulillah mashaaAllah Dada una akili mno unajuwa nn maana ya maisha hongera kaka zahiri
Wow sijuii leo nimechelewea wapi.... Mama mapacha nilikumisii sana
Mashaa'Allah
Ni mwak mmoja na nusu sio mitatu
Ndo nataka kushangaa jmn miaka 3 sasa hiv😳😳
Allah amlipe dunian fil akhera alomsaidia huyu dada
Mashallah dada muungwana allah ampe subra
Mashaallah kajitahidi huyu dada Allah ampe subra
Natamani kaka zahir ungekuwa kenya wallah ningefurahi aki ungenijengea
Mashallah mama ni mama hawezi kumtupa mtoto wake hasa akiwana hakiri timamu
Tunamkumbuka. Hongera sana 🙏👏👏👏
Zaheer huyo mama atafutiwe kiti ili aweze kufanya biashara yake uzuri kubeba na kazi niugumu umaskini mbaya zaheer was amalia Wem tumsaidieni huyu mama apate kiti cha wa ndani ya nchi na nje ya nchi pushchair
Mungu ni mwema Sana,yaani nilikuwa natamani kujua mama wawili amefikia hatua gani
Jana tu nilimkumbuka kimoyo kimoyo ...maashaallah tabaarakallah
Hongera sana mama mawili dah Allah akupe nguvu zaidi
Mashaallah mashaallah ongera zake umejitahidi kwakweli 👏
Mashaallah mashaallah mungu akupe mume mwenye kheri na ww
Wao yn kunawatu wanakosa vt vdg tuu, ukiwapa hicho kidg wanaweza wakafanya makubwa
Maa shaa Allah, Mama wawili Hongera sana
Hyuu mama n mwanamke wa shokaaaa Maa shaa llah
Watching from Kenya asante may the lord bless you zahir
Mashaallah jazaq Allah khayra
Mashaaallah Allah Akuzidishie
Alhamdullillah maa shaa Allah
Mashallah leo nimefrahi kumuona huyudada
Allahu Akbar Allah amfungulie baraka akumalizie na sie wengine tukijaaliwa
Masha Allah ❤❤❤❤
Maashallah maashallah maashallah maashallah alhamdulillah hongera sana my sister kwa juhudi zakopamoja na maximum tv
Mashallah Allah awafungu lie
Zaidi
Mungu ni mwema sana
Huyu kajisimamia mwenyewe toka mwanzo mpaka kajenga na biashara juuu. Mtu anajengewa na biashara anapewa na anashindwa endeleza
Hao ndio wale unatafuta chakula, unapika, unawatafunia, alafu unamwambia meza plzzzzz
@@samiraabdimahamed4449 🤣🤣🤣🤣hapo kwenye meza
Wow tunapenda sana kuona tunao wasaidia wakiendelea vizuri
Hayo majani nchi zetu huku hadi tuyapande na maji tumwagie ndio yaote. Lakini hapo mashaallah yanaota tu yenyewe.
Hong era mama wawili mwanamke mpambanaji kashikwa mkono kashikika
Mashaallah kwa wliotowa msaada ss hp kwa akili za wanaume bc litajileta hp kwkuw lime on nyumba na ss wmwke tulivyo. Na u dhaifu atamakatibisha na ht kaa
Masha Allah huyu Dada amejitahidi
Maashaallah nimefurahi kaka Zahri
Nayula mm leyla aliyekua mngonjwa, na huyo binti yake ndo alikua akimuuguza mama ye. Alikua kidato cha pili.
Masha Allah, bei gani kiwanja
Good work
Ashaallah sasa sasa watu kama hawa zahir ndio wanatia moyo wale wanao wasaidia ana bidii dada hongera
Mashaallah kiwanja bei gn uko
Nichek WhatsApp 0625466848
Ma shaa ALLAH
Tabarakallah