MASHALLAH Baba angu Dhahri umeteuliwa na ALLAH uwaangalie hao wazee mpaka mwisho wao au mwisho wako hivyo Yani uwe unawapitia pitia SI lazima uwende na TV hata ukienda ww kama ww inatosha barka hizo wengine Wana Mali lakini hawana furaha za kutafutwa na wazee kama hao na wanataka watafutwe Neema hiyo Baba angu.
MASHALLAH wenyewe wakimuona Dhahri wanadeka mwaya wanajiachiya maelezo yote ALLAH Akuweke Baba Angu Dhahir uwahifadhi mwisho wa Hatma Yao Amiiin 🤲 Amiin 🤲 Yaraby
Binafsi nlkuwa naumia sana! Hawa wazee tumewatenga sana! Tupo bize na mama Batuli, hatujui wamekula nn? Hali zao zipoje😭 jaman Hawa wazee wanatutegemea sana tujitahid sana
Shukran zahir kutuletea bb na babu kikweli tuluwamisi sana Allah awazidishie umiri mumkaribi Allah kwa sala na maombi
tuliwamiss sana babu na bibi mungu awaweke ishallah
Babu /Bibi tumefurahi kuwaona wazima na Afya tele mashallah ❤❤
Babu and bibi shikamoooni mungu awape afyt waliafya
Mashallah tabaraka llah 🥰 Zahir nawengineo wapitie tuwaone vizuri saana 🥰❤️❤️❤️
Asante zahir kwa kutuletea babu nabibi
Tumefurahi sana allah atakulipa mema dunian na akhera allahuma amin
MASHALLAH Baba angu Dhahri umeteuliwa na ALLAH uwaangalie hao wazee mpaka mwisho wao au mwisho wako hivyo Yani uwe unawapitia pitia SI lazima uwende na TV hata ukienda ww kama ww inatosha barka hizo wengine Wana Mali lakini hawana furaha za kutafutwa na wazee kama hao na wanataka watafutwe Neema hiyo Baba angu.
mambo mtoto wa zahir
@@senetaworldwidetz powa
MASHALLAH wenyewe wakimuona Dhahri wanadeka mwaya wanajiachiya maelezo yote ALLAH Akuweke Baba Angu Dhahir uwahifadhi mwisho wa Hatma Yao Amiiin 🤲 Amiin 🤲 Yaraby
Zahiri wewe ni faraja ya hao waze walai
Tumee wamis bib na babu
Wakwanza 🎉🎉❤like nawapenda sana bibi na babu❤❤😊
❤❤❤❤Zahir babu na bibi yetu
😂😂😂😂😂jamani Bibi na Babu siku nyingi I'm happy seeing you two guys ❤❤❤❤
Jamaaaaaaniiiiiiii biiiibi na baaaabu aooooo! InshaAllah mwenyewe z mungu awape umri twawiiil. Awape khucni lkhatima.
Babu na bibi hao Manshallah ❤❤❤
Nakupenda sana mdogo wangu zahiri
❤❤❤Tuliwamiss wazee weyu
Mashaallah ❤❤❤
Mashallah bibi kaneeneepa
Hongera zahir kutembelea Babu na Bibi
Mwenyez Mungu awape siha njema na mwisho mwema insha Allah
Jamanii nimewamis babu na bibi 😘😘😘
Asante kwaku waleta nawakina happy naho please
Mtihani kumbe mtuuu akizeeka anakua mtoto eti walikua wanaenda kwa mwenyekiti kumtafuta kaka zahiri
Tunarudi tulipotoka
BaarakAllahu Feekum, munaimani sana.
Thanks for sharing
Woow babu tlikumiss
Binafsi nlkuwa naumia sana! Hawa wazee tumewatenga sana! Tupo bize na mama Batuli, hatujui wamekula nn? Hali zao zipoje😭 jaman Hawa wazee wanatutegemea sana tujitahid sana
Umeongea kwa uchungu kutoka moyoni inshaallah tujitahidi kuwachangia
Hawa kuna mtu special anawatu Mia mahitaji
Zahir kamwambia babu hafungi🤣🤣🤣🤣🤣.
😂😂😂😂Zahir babu na bibi wanakupenda mpaka ukatafutwe serikali za mitaa
😂😂😂😂😂kwa kweli
Nimefurahi kuwaona Mungu aendelee kuwatunxa
NA KWANINI HUO MWAKA MZIMA HUYO ZAHIR HAJAONANA NA BIBI NA BABU YAKE 😂😂
Sijapendara nahasemi
😂😂😂 babu kanichekesha anojiombea dua yeye anaogopa kusema mengine kule yatakua ayafiki
Wowowowow💕😍
Zahir ni km mimi mission yangu ikiisha ndio nimeenda namiss nyoooo nyingi nilizozigusa
Ninayo furaha kumuona bibi Na babu nili wamiss haki😂😂
Babu na bibi nawapendaaaaaaa
Nivizuri ende masjid, lakini nani atamchunga bibi, must be someone to take care of her, yeyeakenda masjid aw popote.
Shukran nyote
💃Tuli wamisss sana
Nimefurahi kumuona bibi na babu
Mxhwa huo inamidi wawekewe mlango wa Silver hauliwi
Jmn bibi na Babu tumewamis mno ! Kaka zahir walikumic mno na usikae ukawasahau mno jmn
😂😂😂😂😂😂 zahiru eti nbona unajicho moja❤❤❤❤😂😂
😂😂
🎉🎉
Pamoja naweee zahiriii
Yani nilivo ona ilivyoandikwa umeshtakiwa nikajikuta nimecheka kwasauti
me niliwamiss babu na bibi
Mlango umeliwa na Mchwa jamani wazee wetu
Babu shikamoo
😂😂❤
Mwee tuli wamiss
Jamn watoto wako kina hawa na yule wa bukoba sjui hali zao saiv haahaha
😂😂😂mzee muuni sana hajui hata Dua duuuh hatar sana
😂😂😂
@@khadijahali4837 😂
Jaman ktambo bibi na babu😂
Zahiri tunamuomba babu namtoto wake wa porini babu wa michikichi
Aki kaka zahiri munqu atakulipa ujira wako naushichoke jaza yako utajikuta kwa munqu hasa kwa wazee km Hawa WA kukumbuka honqera zahiri
Babu kaenda Serikali za mtaa kmtafuta Zahir 😂😂
Babu kenda serikal z mtaa jmn😂😂😂
Huo mlango umeliwa na mchwa hadi umechomoka
Alikua kwa bb wa kipastani
Babu na bibi tuliwamis jmn
Masikini
Hii😅
Babu na bibi
Mbona nyumba imekuwa kongwee
Mchwa wanamaliza mlango
Kwass ardhi sehemu nyingi mchwa umejaa sana
Mchwa wangipaka rangi ama dawa ya mchwa
Ni mlango tu naisi ume tafunwa na mchwa
😂😂😂😂wamekosa kudeka wamekosa mfuko
Mashallah ❤
Mashallah 🎉