Wajue Watu 6 Waliosilimu Na Clement Mzize /Wewe Ukitaka Kuwa Dada Endelea Kuwa Tu/Sheikh Walid Alhad

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มี.ค. 2023
  • Wajue Watu 6 Waliosilimu Na Clement Mzize / Wewe Ukitaka Kuwa Dada Endelea Kuwa Tu / Sheikh Walid Alhad
    Mashaa Allah Sheikh Walid Alhad akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Wajue Watu 6 Waliosilimu Na Clement Mzize / Wewe Ukitaka Kuwa Dada Endelea Kuwa Tu / Sheikh Walid Alhad
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 109

  • @binthatv2794
    @binthatv2794 ปีที่แล้ว +14

    Wewe umejidangaya Soma surat Qafirun usisemi Sisi nawa Christo tuna Mungu umoja Nyie Munamuomba Yesu kuwa nimungu Wenu kwahiyivyo Sisi mungu wetu Yuko ndani yasurat Rahman Allah Aliyeumba mbingu n'a Aldhi kwahivyo frorance lazima upate elim vizuri hapo utaelewa Islam ni Dini peke iliyo tukuka Alihamdulillah ukijalia kuwa msilam ni Nehema Allah abarik was Islam wote inshallah Amin

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 ปีที่แล้ว

      Una ushahidi Allah ndio kaumba mbingu na ardhi?, leta ushahidi, maana hata mungu wa wa hindu nao wanasema hivyo.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว +1

      @@abelsteven3189 Kama hutaki hulazimishwi kukubali endelea kuabudu Mungu aliekula chakula, akalala, akona njaa, akajaribiwa na shetani, akapigwa bakora, akatundikwa,

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 ปีที่แล้ว

      @@nassorsharifu9837 si bora mimi ninayemuabudu ninamjua kuliko wewe hujui unachokiabudu, unaambiwa tu mara hafananishwi, tatizo linaanzia hapo.

    • @ains1122
      @ains1122 ปีที่แล้ว

      ​@@abelsteven3189 kwani ulitaka mungu anae fananishwa????, Hawi mungu kama Ana mfano, wewe unataka mungu unamjua au ulio muona je umewahi kuona uongo wako??

    • @jofreymwimbe7752
      @jofreymwimbe7752 ปีที่แล้ว

      Umesema elimu ya dini au ? Na sio Yako Bali globally

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 ปีที่แล้ว +6

    Allahamdulillah mwenyezimungu awahifadhi ktk dini awajalie waufahamu uwisilam Amiin

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah. Wameitambua haki kutoka kwenye giza na kuingia ktk mwanga Mwenyezi Mungu amesema baada ya Bismillah, Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
    110:2
    Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
    110:3
    Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
    Top

  • @sumadashsumadash-yx8eb
    @sumadashsumadash-yx8eb ปีที่แล้ว +5

    Alhamndulillah Rabilaamiin.
    Ninamshkuru Allah kwakuniumba mm nakuzaliwa nikiwa katka Dini ya Kiislaam.
    Na hao waliosilim nakuingia katka Uislaam Allahu-waljaal awape Upendo tele na wawe Vijana wazur nawenye mafanikio

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว +5

    Allah s.w awasimamie ktk maisha yao yote yaliyobakia.

  • @hamcbakar2836
    @hamcbakar2836 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah mungu awarehem wawe namapenzi na uislam

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 ปีที่แล้ว +7

    Allah awathibitishe katika Uislamu hadi mwisho wa maisha yao. Aaamin. Karibuni san katika Uislamu nawapend sana ni mimi mdogo wwenu katika iiman Abuu-Twalha kutoka Zanzibar.
    Sheikh Walidi wasimamie hao vijana wausome Uislamu na kuijua dini yao.

  • @maymunaabdallah4238
    @maymunaabdallah4238 ปีที่แล้ว +1

    ALHAMDULILLAH NAMPONGEZA KWA KUJA KWENYE DINI YA HAKI MWENYEZI MUNGU AMPE WEPESI KATIKA IBADA ZAKE BIIDHINILLAH KAREEM

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +6

    mashaallah kutoka kuamini miungu wa 3 na kumfata Mwenyezi mmoja anaepaswa kuabudiwa kwa haki!!! Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyopo, Mungu wa walimwengu wote akiwemo na Yesu

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

      Amekwenda kwenye dini ambayo siku ya kiama apate mabikra 70 na mito ya ulevi upofu mtupu.. Yesu alisema, yeye ndiye njia kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Yesu pekee ndio salama ya roho zetu.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      @@laurentraphael5470 kwa kauli yako mwenyewe unathibisha kuna Yesu alafu kuna Mungu e... na waislam hasa ndo tunataka mjue hvo e!!! na wala andiko halina shaka kwa wakati wake yeye ndo alikua njia waliemfata katika mafundisho yake watafika kwa baba salama, pia kabla yake kina Musa as, kina nuh as, kina ibrahim as, dawud as pia na wao walikua njia ilikua huwez fika kwa baba bila kupitia kwa wao!!!
      kuhusu hao wanawake, Yan hao wanawake ungejua sifa zao wewe ungehamia uislamu leo leo, alaf we Lau hupend watoto wazur e!!! yan hapa duniani ushindwe kuoa wanawake wazur kwa sababu flan flan labda huna mvuto au huna pesa alafu na peponi ukakose tena??? itakua sio fair!!! mito ipo ya maziwa, asali pia pombe!!! na mtume saw anasema itakua ni pombe taaaamu ambae ukinywa wala hulewi ikakutoa akili achana na hz dunian ambazo watu wanakunywa wanakua kama mahayawani!!! karibu kwenye uislamu dini ya haki kabisa tunaemuabudu mungu mmoja tu na wala hatukahirikishi na chochote au na yeyote, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo aliyemuumba na Yesu as

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว

      Ha! ha! ha! endelea kukudanganya, utajuwa siku utakapokutana nae. wenzio wanatumia akili.

    • @ains1122
      @ains1122 ปีที่แล้ว

      ​@@laurentraphael5470 Kweli yeye ndio alikuwa njia kwa wayahudi aliotumwa kwao, na njia hutumika kufikia lengo fulani, njia sio suluhisho

  • @binthatv2794
    @binthatv2794 ปีที่แล้ว +5

    Takbir Allahu Akbar Mansh'Allah Allah azidi kumuongoza

    • @oman7710
      @oman7710 ปีที่แล้ว

      Allahu akbar

    • @AdamFundikira-kk5oj
      @AdamFundikira-kk5oj ปีที่แล้ว

      Duh kijana amepotea aise siwezi kurudi kwenye uisilam kabisaa

    • @tawfiqfarajimrisho2434
      @tawfiqfarajimrisho2434 ปีที่แล้ว

      @@AdamFundikira-kk5oj ALLAH akuongoze ktk ukweli

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah

  • @oman7710
    @oman7710 ปีที่แล้ว +2

    Allah awahifadhi ndugu zangu

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 ปีที่แล้ว +5

    Mkisha wasilimisha wasomesheni dini kisawasawa ili wasiyumbishwe

  • @barwani890
    @barwani890 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam aleikum sheik waleed pamoja na wenzako tabarKrahmaan kazi mlofanya nzuri saana Allah akupeni kill la kheri

  • @AllyMbaruku-ky5fp
    @AllyMbaruku-ky5fp ปีที่แล้ว

    Allahu akbar

  • @adammj6258
    @adammj6258 ปีที่แล้ว +2

    Mola awape kila la heri,aamin aamin

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @legend9805
    @legend9805 ปีที่แล้ว +4

    Barakallah feeekum

  • @zahormasoud2332
    @zahormasoud2332 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha Allah

  • @oman7710
    @oman7710 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah barakallaahu fiiq

  • @AwadhiKanyawana-ve2cp
    @AwadhiKanyawana-ve2cp ปีที่แล้ว +2

    Maashalah

  • @pachatztz4060
    @pachatztz4060 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @salehchani879
    @salehchani879 ปีที่แล้ว +1

    Allah huakibar

  • @gobaonlinetv9690
    @gobaonlinetv9690 ปีที่แล้ว +4

    Allah awaongoze wapate kuifuata dini ipasavyo,

  • @halidim.yahaya394
    @halidim.yahaya394 ปีที่แล้ว

    Allah atujalie kheir.

  • @Desireyakubu
    @Desireyakubu ปีที่แล้ว

    MashaaAllah

  • @TwahaHamidu-tz2vv
    @TwahaHamidu-tz2vv ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @abdulhalimahmed1576
    @abdulhalimahmed1576 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @johnmakao7643
    @johnmakao7643 ปีที่แล้ว

    Huyu kasilimu kisa mwanamke sio dini yeye kampenda mtu ni ajabu mwanaume kubadili dini kisa mwanamke kwa kweli inabidi mwanamke akufate wewe uwe mwislamu au mkristo si acha dini yako kisa fata mtu

  • @zakaliamayungwa6546
    @zakaliamayungwa6546 3 หลายเดือนก่อน

    Yote hayo ni porojo lakini mjue ATAKAYEHUKUMU ULIMWENGU NI. YESUKRISITO

  • @linusrugebless-bs7bh
    @linusrugebless-bs7bh ปีที่แล้ว

    Ukiona mkristu anabadili dini basi ujue haijui vyema bibilia

  • @habibukessy-pf4xf
    @habibukessy-pf4xf ปีที่แล้ว

    MashaAllah nasisi ALLAH tuzidisheh imani na uhisilam

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu ni mmoja tu.Yesu Kristo ni mkombozi wetu,alikufa ili sisi tuokoke.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +1

      Jitafakar ndg yangu... yani Mungu afe ili akubebee dhambi zako?

    • @sarahout-fitchannel1011
      @sarahout-fitchannel1011 ปีที่แล้ว +2

      ​@@Yu-jr9uf hayo ni maswala ya Imani so usipinge Imani ya mtu amini unachoamini na sisi tunaamini tunachoamini, acha kujioneni nyie ndio mwajua Sana au mpo Sana katika haki kuliko wenzenu. Mimi sijawahi sema vibaya waislam naheshimu saana Imani ya kila mmoja

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +2

      @@sarahout-fitchannel1011 unachopaswa ww ni kuchunguza kwamba unachoambiwa kina ukweli au hapana!!! by the way sisi hatuwasemi wakristo vibaya lakini si vibaya pia kumkumbusha mtu endapo tutaona hayupo kwenye njia ya sawa!!! na kama na nyinyi mnaona sisi hatupo njia ya sawa itakua hamfanyi vzur kutunyamazia ili sisi kesho mbele ya Mungu tuwe wenye hasara!! so ni vzur tukajadiliana kwa wema na upendo, tukishindwana kwa hoja basi kila mtu ashike aliposhika

    • @hamishatibu1007
      @hamishatibu1007 ปีที่แล้ว +2

      kama alibeba dhambi zenu msalabani. kwenye 6.9Mathayo kuna sala ya baba yetu mwisho inasema utusamehe zambi zetu. sasa zambi zipi mnaomba msamehewe na ni dhambi zipi alizoziba msalaban tuweke sawa kidogo dada.

    • @muhamedkhalid6391
      @muhamedkhalid6391 ปีที่แล้ว +2

      Sasa mungu uyo anaekufa vp ww hujiulizi mungu kufa

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel ปีที่แล้ว +1

    Nijambo jema mtu kutoka eneo Moja jema na kwenda kwenye jema lingine ni jambo gumu kuamua na ukipata nafasi ya kuamua ni heri sana,
    Hila kulitangaza ndio Naona kama mtiani kidogo....

  • @emmakifimbo1049
    @emmakifimbo1049 ปีที่แล้ว +2

    Hao wote ni mafara sana wanaenda kwenye nidi ambayo hata mungu wao ambae ni Allah nae ataingia motoni dah nawaonea huruma sana

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 ปีที่แล้ว +1

      Umeshatoa povu utapata kupumua hahahaa

    • @asrymohd6690
      @asrymohd6690 ปีที่แล้ว +1

      Allaaah akuongoze kipindi hiki nawe uwe walio neemewa sio walio kasirikiwa hujui ulitendalo kwa imani ya sasa

    • @AdamFundikira-kk5oj
      @AdamFundikira-kk5oj ปีที่แล้ว

      Tena wamepotea sanaa uisilam ni njia ya motoni

    • @aishakhamis-kr7ed
      @aishakhamis-kr7ed ปีที่แล้ว +1

      @@AdamFundikira-kk5oj bado wwe uislam ndio njia

    • @rehmakondo
      @rehmakondo ปีที่แล้ว +1

      Kuumbe nlikua sina khabari,ila Allah wetu kipenz akuongoze

  • @clamencekhinda6900
    @clamencekhinda6900 ปีที่แล้ว

    Wasome kwenye koloani 46.9 wote walio silimu watajua ukweli wamalizie na yohana 10.108

    • @clamencekhinda6900
      @clamencekhinda6900 ปีที่แล้ว

      Samahani ni yohana 8.12 na 6.37

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว

      sisi ndio tunaosoma hatusomewi Kama nyinyi na wanaosoma wengi hishia kuwawaislamu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +1

    Yoh. 17:12. Yesu Kristo alisema hakuna atakayempoteza, isipokuwa yule mwana wa upotevu. Hawa ni wana wa upotevu tu. Unabii unatimia.

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว +3

      Sasa kama wana wapotevo we ime kuumiza nini au mnazikwa wote kaburi moja?

    • @mammukaratu2084
      @mammukaratu2084 ปีที่แล้ว +1

      IMEKUUMA ha ha ha

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว +2

      @@mammukaratu2084 huwa mna tafuta shari kwa nguvu katika sehem wala haikuhusu baadae mseme waislam wachokozi

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 ปีที่แล้ว +1

      Subiri wakati roho I inatoka utajua haki

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 ปีที่แล้ว

      Tuliza kinyeo chako, mchawi wamposa aliyewatoa kafara wenzake

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

    Unaacha njia halisi unaenda kumfuata Shetani

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +1

      njia halisi ndo ipi na ya shetan ndo ipi?

    • @sarahout-fitchannel1011
      @sarahout-fitchannel1011 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Yu-jr9uf mbona hupingi kwenye makando ya waislam wenzio? Kwa kuwa nae huyu mkristo amecomment kwa upande wake ndio wauliza. Je hao wasemao kutoka miungu 3 na mwingine kutoka gizani kwa hiyo sie wakristo tupo gizani si ndio!

    • @kasakealex5444
      @kasakealex5444 ปีที่แล้ว +1

      Yaani mtu akiingia imani yenu basi ndio kapata mwanga?? Upotevu wa imani huo na wengi wao wamehamia huko kwasababu ya wanawake sasa hapo kuna imani ?? Mwombeni Roho Mtakatifu awe kiongozi ktk maisha yenu acheni kukufuru imani yetu ya Ukristo

    • @meddy_upette9511
      @meddy_upette9511 ปีที่แล้ว

      @@kasakealex5444 Uzuri nikwamba uislamu umebainisha kila kitu kaka. Alafu wala haurembi yani ukioa mwanamke kwasbb yeye ni muislam nawewe sio muislam humaanisha kwamba wewe huna kitu hapo otherwise labda usome tu ila usiposoma basi utajua mwenyewe. Uislamu usiuchukulie juujuu kama unavyowaona waislamu ni vitu viwili tofauti . Uislamu upo kwenye vitabu hujalazimishwa kusoma ila kwamwenye kuitafuta elimu atajua what is inside it.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +1

      @@kasakealex5444 Hakuna jambo linalokosa sababu, kuna baadhi ya watu waanza kusali baada ya kupata shida na hiyo ndo inakua sababu yake ya kumrudia Mungu na baadhi yao hata wakiweza kutatua hiyo shida wanaendelea kumuabudu tu, so hao wanaoingia kwa ajili ya wanawake waje tu maana hiyo ndo sababu ya wao kuja kwny haki na wakishakuja tutawafundisha na wakishaijua haki hawaweZ kutoka tena hata wakiachana na hao wanawake

  • @abdulragmababdulsalam5107
    @abdulragmababdulsalam5107 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah