Yaaa Allah twakuomba muhifadhi shekh wetu huyu..twakuomba mzidishie elimu na mzidishie wingi wa hekhma...shukrani sanq sana sana shekh tumepata..wengine asubuhi itaanza vizuri.
Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera. .sheikh wetu darasa letu juu ya majukumu yalioengezeka ila tunakuhitaji online Allah atujali ramadhani yenye kheri tuifunge tukiwa na afya njema na kupata rehma zake ameen
Mwamba shekh wangu kipenzi cha wengi maneno ya kiswahili lkn allah akbar mwenye upeo mkubwa kasikia maneno umemaliza Maneno mepesi yamekamilika umepiga na kufundisha
WALLAHI NIMEJIFUNZA MENGI SANA KUPITIA KHUTBA HII FUPI. ALLAH AKUONGOZE NA AKULIPE KHERI NYINGI SANA. HII TAALUMA YA HALI YA JUU. ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WALID.
Maashallah shekh Walid umesema kweli kua shekh subky hua hataki kutajwa ila ukweli utabaki kua ni aalimu mkubwa San aliejificha mara nyingi yeye hupenda kusomesha ndo jambo lake kubwa wakati wote ukiingia nyumbani kwake Kam hasomeshi baas ameshika kitabu anajisomea darsa zake za tafsir hutochoka kukaa mbele zake

Allah s.w akuepushe na mitihani na fitna za kilimwengu sheikh wetu 🙏🏿
Hikichumaa Allah amlinde
Kwa moyo wangu mkunjufu nakuombea kwa M/mungu
Kila lakheri Sheikh wangu walid nakufatilia sana Darsa zako,sijui utaziendeleza
Allah akufanyie wepesi shekher wetu
Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera. .sheikh wetu darasa letu juu ya majukumu yalioengezeka ila tunakuhitaji online Allah atujali ramadhani yenye kheri tuifunge tukiwa na afya njema na kupata rehma zake ameen
Bonge ya sheikh, big Brain - huyu alikuwa wapi ? mawaidha mafupi lkn ujumbe mkubwa, unapenda aendelee asimalize, huyu ndio kiongozi bwana - Asante Mungu.
Shekh wetu mzuri shekh walid tutapatamengi kutoka kwako tutapata elimu na tutapata kutanua mapafu kwakucheka kwamambo yako
Mashallah Allah barik
Mashallah mwalimu wetu, hekima nyingi sana
Mwamba shekh wangu kipenzi cha wengi maneno ya kiswahili lkn allah akbar mwenye upeo mkubwa kasikia maneno umemaliza Maneno mepesi yamekamilika umepiga na kufundisha
WALLAHI NIMEJIFUNZA MENGI SANA KUPITIA KHUTBA HII FUPI. ALLAH AKUONGOZE NA AKULIPE KHERI NYINGI SANA. HII TAALUMA YA HALI YA JUU. ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WALID.
Mashallah Allah akulinde na kila shari
Maashallah tabarakallah sh walid
Masha Allah, Akubarikie In Shaa Allah...
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Allah Akuzidishie Elimu Na Akuruzuku Fahamu Njema Ya Rabb. Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Maashallah shekh Walid umesema kweli kua shekh subky hua hataki kutajwa ila ukweli utabaki kua ni aalimu mkubwa San aliejificha mara nyingi yeye hupenda kusomesha ndo jambo lake kubwa wakati wote ukiingia nyumbani kwake Kam hasomeshi baas ameshika kitabu anajisomea darsa zake za tafsir hutochoka kukaa mbele zake
Mashallah
Mashallah allah akup afya njem n mwisho mwema