IBILIS KAFANYA IBADA MIAKA LAKI 6 NI MWANAZUONI MKUBWA //SHEIKH KIPOZEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu ndiye njia kweli na uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Bila Yesu, hata uswali swala 100 ni motoni moja kwa Moja.

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 ปีที่แล้ว +2

    Kipozeo ALLAH akuweke hai miaka mingi kidogo Ishaaallah 🙏

  • @NduwayoGuillaume-ev3dh
    @NduwayoGuillaume-ev3dh ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah sheikh wetu ❤❤❤

  • @masoudkhamis-op1vp
    @masoudkhamis-op1vp ปีที่แล้ว +1

    mungu tupe kila lahr

  • @bilo1106
    @bilo1106 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 ปีที่แล้ว

    Eti ibilisi likainama 😂😂😂

  • @deepestmathematics1888
    @deepestmathematics1888 ปีที่แล้ว +1

    Yesu wetu ndio njia ya kweli na uzima. Huko mnateseka tu juzi kuna mtu nilimuuliza Aziizul maana yake nini akasema ni jina la mwenyezi Mungu leo huyu anasema alikuwa shetani duuh hapa kuna siri waislamu mnafichwa kabisa

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

      Kula time wewe na huyo yesu wako.. mambo ya waislamu hayakuhusu.. kwanza wewe mkristo huwezi kuujuwa uislamu Kwa style Yako unayoitaka wewe..

    • @ommiehreymerdhein695
      @ommiehreymerdhein695 ปีที่แล้ว +1

      Acha ufala hii page ya waislam ..... Sio kwenye manguruwe yenu! Acha ufala

    • @abuualiyalbahsany8740
      @abuualiyalbahsany8740 ปีที่แล้ว +1

      Jamani tumlinganie tusimlani

    • @husseinkalosa1081
      @husseinkalosa1081 ปีที่แล้ว

      Wewe mkafili shetani alikuwa anaitwa azazil

    • @ahmedosman7698
      @ahmedosman7698 ปีที่แล้ว

      Wewe inaonekana shule ulikua na matatizo mingi Sana ya kutoelewa mwalimu wako..amesema iyo ilikua jina lake kabla ajalaaniwa ibilisi alikua mcha Mungu Sana kabla ya kulaaniwa..usiwe bwege wa kutoelewa mambo

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 ปีที่แล้ว

    Sasa kwanini hii dini waongo sana aliye msilimisha shetani ni Muhammad alafu hapo hapo mnasema kafanya ibada miaka laki sita

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 5 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Ukikurupukia kitu bila kukijua watu wakuzoom tu

  • @sabdiduwil8436
    @sabdiduwil8436 ปีที่แล้ว

    Mbona wewe umesema

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว

    SHETANI SIO MWANAZUONI. WANAZUON NI WARITHI WA MITUME. YE HAWEZI KUA MRITHI WA MITUME . YE NISHETANI TU MUOVU NA SIO MWANACHUONI. MWANAZUON GANI ANAWEZA KUMPING MUUMBA WAKE??? MASHEKHE ACHENI KUMPA SIFA NZURI IBILISI

    • @rajabukwaju7795
      @rajabukwaju7795 ปีที่แล้ว +1

      We hujasoma kasome kwnz

    • @shabanmaulana8594
      @shabanmaulana8594 ปีที่แล้ว

      Wee ata huja elewa, kwa nini ameitwa mwana zuoni .unamtoa shekhe makosa na hufaham yanoyo semwe.

    • @ahmaduun6523
      @ahmaduun6523 ปีที่แล้ว

      @@rajabukwaju7795 tujaribu kuelimishana kwa njia nzuri, kila ana upeo wake wa kufahamu, tusikosoane kwa njia ya kuwaudhi wenzetu, tuko katika mwezi wa ramadhani, tujaribu kuelimishana kwa njia nzuri, na nataraji tutakuwa ni wenye kufahamu inshaa Allah.

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว

      Em taja sheikh yeyote,au mwanazuoni yeyote unae mfaham alie na elimu zaidi ya Ibilisi

    • @samkindyymasoud9459
      @samkindyymasoud9459 ปีที่แล้ว

      Acha kupingana na wenye elimu kama ww huna , sasa unapinga nn kama alikua si mwana wa chuoni mkubwa kabla hajalaaniwa, acha kupinga pinga kila jambo, Allah anasema, Hawawi sawa wanaojua na wale wasiojua,