Historia ya uislamu Tanzania Kabla na baada ya uhuru Mtoa Mada Ust Ilunga H Kapungu Prt 3 By Ahmed Sh Ahlusuna TV Mwanza Tz

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 108

  • @walidamour867
    @walidamour867 ปีที่แล้ว +6

    Allah akurehemu na pepo ya juu iwe makazi yako mzee wetu

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว +5

    MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA SHEIKH ILUNGA EEN YA RABI ALAMEEN IN SHAA ALLAH

  • @sabralillah7070
    @sabralillah7070 7 ปีที่แล้ว +13

    Allah akujalie pepo ya firdaus kwa history nzuri ya dini yetu watu wengi hawajui

  • @saidalmarjibi6112
    @saidalmarjibi6112 4 หลายเดือนก่อน

    Uislamu uliletwa na Waomani…. Na Watanganyika walikuwa na imani nzuri kabla ya kuingia Uislamu, haikuwa vigumu kuwafahamisha fadhili ya mwenyezi Mungu.
    Wakaja wa European kukamilisha.. wengi tena wakaingia Ukristo--- na hao ndio wananchi wa Tanzania 🇹🇿 leo.

    • @Rad07919
      @Rad07919 2 หลายเดือนก่อน

      Haukuletwa na wa omani, uislam ulikua ushaingia visiwani ila wao waliusambaza sehemu nyingi za East Africa.

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar!! Mungu akupe Nuru ktk kaburi Yako. Akupe mapumziko yaliyo mazuri. Ww ni true man of Muslim. Allah humma maskana fil janna aamin!!

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah akupandshe daraja sheh wtu na akufungamanishe na matabiin. Amiin

  • @farijalamasonjo2977
    @farijalamasonjo2977 ปีที่แล้ว +4

    Allah amrehemu sheikh wetu

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 6 ปีที่แล้ว +17

    Allah amrehemu na aturehemu na sisi tuliobakia

  • @abdallahesika8407
    @abdallahesika8407 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah akufufue miongoni mwa waja wema siku ya Qiyama, Nasi pia waislam wengne vilevile

  • @mbwanaathuman4544
    @mbwanaathuman4544 7 ปีที่แล้ว +15

    Allah ajaalie kaburi lako liwe bustani miongoni mwa mbustani ya pepo

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 7 ปีที่แล้ว +13

    Allah akuhifadhi akuondolee Adhabu ya kaburi

  • @omarykimweri1493
    @omarykimweri1493 6 ปีที่แล้ว +11

    Ee Mwenyezi mungu mwingi wa rehma mlehemu mja wako huko aliko amin

  • @Allytemba88
    @Allytemba88 2 ปีที่แล้ว +3

    Rehma za Allah ziwe juu yakoo

  • @omarykwasirisana6107
    @omarykwasirisana6107 5 ปีที่แล้ว +6

    allah akureheemu shekh wetu

  • @salhidsalhida4151
    @salhidsalhida4151 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli sitachoka kukuombea maghfira akupokeee ilhal amekuridhia

  • @SaidKiponza-ni4fk
    @SaidKiponza-ni4fk ปีที่แล้ว +1

    Allah akuongoze akutilie wepesi huko uliko

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mungu mjaaalie pepo shekh wetu

  • @sammarley1413
    @sammarley1413 หลายเดือนก่อน

    Nyerere laanatullah alayhi

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 2 ปีที่แล้ว +1

    darasa zuri sana wasomi wakubwa wakisoma inje wanabadilisha fikira,shekh Olunga allah akuremu ishaalah

  • @sakinajuma1135
    @sakinajuma1135 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana kwa mafunzo yako, Allah (SW) akujaalie mahali pema huko ulipo.

  • @friesinger0963
    @friesinger0963 7 ปีที่แล้ว +12

    Allah akufadhi akupe Nour katk kabri lako

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 ปีที่แล้ว

      Nisunna ya Allah killa ukisema ukweli unauliwa au unapotezwa

  • @wachugypsumtz2061
    @wachugypsumtz2061 5 ปีที่แล้ว +6

    Allah Akujaalie uingie peponi Sheikh Ilunga..

  • @hashimmakeha9586
    @hashimmakeha9586 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi Inshallah

    • @sprinasadro285
      @sprinasadro285 ปีที่แล้ว +1

      Allah akuweke mahali pema peponi amaan

  • @Abcdz2835
    @Abcdz2835 12 ปีที่แล้ว +12

    jazzakall kheir may Allah swt give you pepo fildausi

  • @AfnanAfshan
    @AfnanAfshan ปีที่แล้ว

    Allah amraham

  • @abdullazizmohammed7015
    @abdullazizmohammed7015 ปีที่แล้ว

    Allahumma ghfirlahu warhamhu

  • @alhabibmkama3566
    @alhabibmkama3566 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar. Subuhana llah. Hizi ndo darasa zinazotakiwa kwa waislamu wa zama hizi

  • @mbarikiahamadjuma6824
    @mbarikiahamadjuma6824 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa darsa nzuri yenye mazingatio

  • @zainabuhemedy9352
    @zainabuhemedy9352 5 ปีที่แล้ว +2

    Ayo ndio mambo ya kuzungumza mungu akupe kauli thaabiti

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +2

    ALHAMDULILLAH

  • @abdallahhadinani6660
    @abdallahhadinani6660 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah amjaalie pepo

  • @josephjosephat7826
    @josephjosephat7826 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa Kama ameandka vtabu yanpasa nisome aise

  • @hizzamtunguja8133
    @hizzamtunguja8133 6 ปีที่แล้ว +3

    allaah akulipe kher

  • @MohamedKasalama
    @MohamedKasalama 7 หลายเดือนก่อน

    Makubwa umetuachia na kutufungua Allah akuhifadhi mahali pema pepon Aaamin

  • @shekhekassim6402
    @shekhekassim6402 6 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilahi Alhamdulilahi Allah akupe janna ya firdausi

  • @ramaissa4883
    @ramaissa4883 7 ปีที่แล้ว +4

    Allah akulipe shekh

  • @angelomalimi2444
    @angelomalimi2444 ปีที่แล้ว

    Jinga sana hilo shehe chochezi la vulugu

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Huna adabu,inaonyesha namna gani akili yako Giza Hadi unabishana na marehemu

    • @sumayasumaya6455
      @sumayasumaya6455 11 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa.., haya sema wewe usio uchochezi kuhusu hili jambo analoongea...

  • @razamohammed2700
    @razamohammed2700 ปีที่แล้ว

    Alibasaleh Speeches

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 ปีที่แล้ว

    Allahu maghfirlahu warahmatu waskanahu filjanna

  • @yahayasumbe4098
    @yahayasumbe4098 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahumma ighifirillah warhamuhu

  • @naifatkhamis2841
    @naifatkhamis2841 5 ปีที่แล้ว +2

    amin

  • @abdulmlawa302
    @abdulmlawa302 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuhifadhi

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 8 ปีที่แล้ว +2

    Ameen

  • @nassorhemedjuma8743
    @nassorhemedjuma8743 2 ปีที่แล้ว +1

    mashallah

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 4 ปีที่แล้ว +2

    R.i.p ilunga

  • @mauloveamani6579
    @mauloveamani6579 7 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheir

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana

  • @abuunajat4450
    @abuunajat4450 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukisema ukweli unauliwa dah ! Viongozi wa Tanzania watafute majibu mazuri siku ya kiama

  • @alriyamy613
    @alriyamy613 3 ปีที่แล้ว +1

    Who's here 2021..?

  • @josephjosephat7826
    @josephjosephat7826 5 ปีที่แล้ว +5

    M Joseph mkristu lkn naunga mkono aslmia kubwa Sana maneno yako just kwa huelewa tu wa kawaida kabsa

    • @jaffarchimbuvu7499
      @jaffarchimbuvu7499 3 ปีที่แล้ว

      Jackobo nime kukubari ikiwezekana njoo huku kwenye uiaslamu kaka zambi zako zote zina futwa,mimi nilikuwa kwenye uslamu👍

    • @ellsonmkonyi1319
      @ellsonmkonyi1319 ปีที่แล้ว

      Magufuli where are you??

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว +1

    Shkh kutoka songea mapakka mahrge itachikuwa siku ngapi

  • @MwanaidMaulid-ou9sk
    @MwanaidMaulid-ou9sk 4 หลายเดือนก่อน

    Pepo iwe makazi yako shekhe wetu

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna alie mwema Kati ya mzungu na mwarabu kwa Muafrika hata siku Moja, dini hizi sis tumeletewa jmn sisi waafrika tusijazane chuki hapaa kila mtu aiheshimu dini ya mwenzie.

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ss ulitakaje chaguwa kushuka au kunyowa mitume aliwachaguwa Allah kuja kuwatangazia njia aitakayo yeye na baada kuondoka kwao maulamaa ndio warithi WA mitume na Kila ummah unashahidi.kazi kwako kutia pamba sikioni au laa usisahau kaburi

  • @adventsumari5776
    @adventsumari5776 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo unatakaje mbona mnapenda sana kutufatilia cc wakristo.

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 2 ปีที่แล้ว +2

    kisha wanasema nchi hii haijamwagika damu

  • @friesinger0963
    @friesinger0963 7 ปีที่แล้ว +6

    mtoaa post tunaomba utumalizie Historia yote plez hii ni intrested kwa watu wote wanaopenda nchi yao

    • @ernestmichael5914
      @ernestmichael5914 6 ปีที่แล้ว

      shekhe Ilunga wewenishujaa wetusisi waislam tutakukumbuka kwaushujaawako wakujiani nakuteteadiniyamungu.

  • @idrisabakari584
    @idrisabakari584 9 ปีที่แล้ว +8

    Mwenyezmungu akupe kiwanja kizuri kuliko vyote katika viwanja vya peponi iwe ndio makazi yako ustadhi ilunga kapungu tulikupenda sana mno ila imeandikwa kua sote ni wa mwenyezmungu na kwake yeye tutarejea

  • @mohamedmtoi8773
    @mohamedmtoi8773 8 ปีที่แล้ว +4

    TWAYBU

  • @sadikingonyani8124
    @sadikingonyani8124 5 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam Aleykum Ust, naomba kujua kuna dvd ya hiyo histolia? kama ipo nitaipataje?

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 ปีที่แล้ว

    Siyo majina ya kiislamu ni majina ya kiaraabu okey weka hoja yako vizuri mzee

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Vijiba vya roho chuki kwa waarabu zitawauwa

  • @MohamedKasalama
    @MohamedKasalama 7 หลายเดือนก่อน

    Akili zenu fupi hata kama jina ni la kiarabu huyo muarabu mkiristo anatoka wapi? Mtamuelewa tuu sheikh

  • @abdulbarri5915
    @abdulbarri5915 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli

  • @msukuma1
    @msukuma1 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha uchochezi ww

  • @charlesmazigo8106
    @charlesmazigo8106 ปีที่แล้ว

    She anakosa hoja,atambue kwamba hizo ni zama uislam ulikuwa ndo dini yenye nguvu,maeneo mengi ya afrika,hiyo ni kabla ya ukoloni,ukoloni ndo ulisaidia kueneza ukristo,pili hao majimaji hata Kama walikuwa waislamu,hawakuwa wakipigania dini,walikuwa wakipinga ardhi Yao na nchi Yao kutwaliwa na wajerumani.dini yoyote ambayo ingekutwa na wajerumani Bado vita vingepigwa

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Sasa kuelezea Historia ndio kosa?

    • @charlesmazigo8106
      @charlesmazigo8106 ปีที่แล้ว

      @@aminasaid6555 off course,ni kosa kupotosha kwamba waislam ndo waliopigana na mjerumani,hao walikuwa watanganyika

  • @lazarusbasil1762
    @lazarusbasil1762 ปีที่แล้ว

    Hakuna jina la kiislamu ....kuna majina ya kiarabu

    • @amourworldbeats
      @amourworldbeats ปีที่แล้ว

      Unayajua Majina Ya Kiarabu Ni Yapi Na Kiislamu Ni Yapi?

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Vijiba vya roho chuki uzanditi juu ya waarabu itawauwa

  • @deokasomambuto1288
    @deokasomambuto1288 ปีที่แล้ว

    Ielezwe shule ili isaidie nini?

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว +2

    NYERERE HE WAS VERY BAD MAN BUSTARD

  • @ansapapi
    @ansapapi 11 ปีที่แล้ว +1

    amin