Binadamu wenye BAHATI kuliko wewe,isingerekodiwa USINGEAMINI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 169

  • @khalidhamka9567
    @khalidhamka9567 3 ปีที่แล้ว +7

    Niliwahi kusafr na bus kutoka mwanza hdi dar wakati tukiwa njiani tumekaribia morogoro nilikuwa seat ya mbele kabisaaaa upande wakondactor maarufu Kama stuff nilianza kusikia baridi Sana nikaomba kuhamishwa nirud nyuma coz kulikuwa na seat ziko waz kutikana nawatu kushuka wengi Dodoma kunakijana aliekuwa seat ya nyuma aliombwa na konda aje mbele maana nayeye alikuwa analalamika wanarushwa Sana kutikana na uharaka wa bus manake ilikuwa ukifika moro baada ya sanne kupita mnalazmika kulala hpo hvo mwendo ulikuwa mkali akati namuachia seat kabla sijafikanyuma bus ilifunga break ghafra baada ya kuona mapipa barabaran yaliyokuwa yamewekwa kwasababu walikuwa wanarekebisha barabara yule kijana alitokea kioo cha mbele na kufia hpohpo c sitokuja kusahau nabarid iliisha na kichwa kikapona sikuwez kuendelea na safar tena nilienda nae Hosp na kesho walipatkana ndgu tukaenda kumzika kwao tabora

    • @lays6055
      @lays6055 ปีที่แล้ว

      gai mungu wangu

  • @dicksonnyamburi170
    @dicksonnyamburi170 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ni mwema siku zote mimi niliwai kuanguka kwa kisima cha 41fty na nikatoka nikiwa muzima bila kufnjika hatakidogo kwa hio hata mimi namshukuru mungu sana nikiwa mmoja wa bahati

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 4 ปีที่แล้ว +106

    Nimewahi kwenda ITV kweny interview,tulipewa viti tukaa kweny Holly kubwa juu paa lipo mbal na Kuna mataa makubwa Sana ,Cha ajabu nikasimama nikasogeza kiti changu nyumA pale nlipokaa pakabaki wazi,ile natoa kiti tu nakaa aisee Kuna taa moja kubwa Sana pamoja na mbao zake toka juu lilishuka pale pale nlipotoa kiti ikatua chin watu tulihiic bomu,sikuamin yaan ningebak pale dk moja tu ningeitwa marehemu 😥😥😥 Nlipiga magoti nkasema Mungu akisema no ujue nooo ,watu wote walinifata na kunambia aisee we n mtu mwenye bahat Sana , Asante Mungu Mwenyezi

    • @ndoneerick8025
      @ndoneerick8025 4 ปีที่แล้ว +1

      Ee

    • @mitchellwamuyu2891
      @mitchellwamuyu2891 4 ปีที่แล้ว +2

      wow god loves you alot

    • @subirangoleka6572
      @subirangoleka6572 3 ปีที่แล้ว +3

      Mimi naishi masasi mtwara safari moja ilikuwa natokea dar e Salam narudi masasi katika mlima kwa gari letu la kazini karibu na huo mlima tuliipita jafongo gari kubwa iliyojaza vifaa vya ujenzi baada ya kuanza kuteremka mlima huo tukiwa Kati ya mlima like jafongo lilifeli breki hivyo lilipita pembeni yetu na kugonga jiwe pembezoni mwa mlima na kupindukia mbele ya gari yetu ilikuwa ni bahati kubwa kugongwa na Hilo Lori.

    • @seifzongo320
      @seifzongo320 3 ปีที่แล้ว

      @@subirangoleka6572 pole na mshukuru Mw Mungu kwa ukuu wake

    • @kissahsamson719
      @kissahsamson719 3 ปีที่แล้ว +2

      Mm naitwa silyvestar mwaisyelage nili nusulika kupigwa nangazi nakumbuka kunasiku tulikua ktk harakat za ujenzi sasa fund akawa AME inua juu ngazi alipo inua nikawa mm nataka kuondoka lile eneo huku napiga story nadadayangu mmoja wakati tunatazamana huku tunaongea ghafla nikakuta dada yangu anabadirika USO nilipo muona vile nikamsogelea jiran maramoja kumbe nyumayangu fundi imemshindangazi naondoka hatua moja ngazi ikatua palepale sijikusahau nangaziyenyewe ilikia nzito sana

  • @ommyskillz1793
    @ommyskillz1793 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu umeniepushia mabaya sana nilinusulika kwena na maji pili nilinusulika kugongwa na gali kwakweli ni mungu tu 🙏🙏 Sana na naomba unilinde mimi pamoja na familia yangu Amenii

  • @malikialindapeter3882
    @malikialindapeter3882 3 ปีที่แล้ว +6

    Waaaaaaaaaaaa. Mimi natokea Nairobi pale Tasia 2012 kulikua na kipindi flani Mar_mar so from my work place I was in a huge hurry running home & enjoy Mar Mar & Serio 👀 &so I was coming from pipeline nikiwa pale pipeline stage ikama train imefika & so nilikua napoteza muda I had to watch marma & Hiram😵 nikaona I will be be very late & that was 5:30pm so nikavuka reli nikiwa natambaa kwa magoti basi wengine wakanifata nyuma 😕 punde tu nilisimama kwa miguu Mara Hiyo hiyo gari la moshi nilianza safari I was like OMG I could have died thr...& so Sikupata ujasiri wakuendelea kusimama hapo tena.

  • @OmarOmar-tf6ph
    @OmarOmar-tf6ph 4 ปีที่แล้ว +16

    Namshkuru mungu kanistiri nakunihifadhi nakuniokoa kwa mengi ALHAMDULILLAH.

  • @evancezacharia434
    @evancezacharia434 ปีที่แล้ว

    Namshukulu MUNGU Kwa mengi alio niepusha nayo. Naomba MUNGU anilinde Mimi pamoj na familia yangu tuzidi kuona wema wake maishani mwetu. Maan mwenyew haki ajawai kuacha hata siku na moja. Amen

  • @rhotiavalleytentedlodge7776
    @rhotiavalleytentedlodge7776 3 ปีที่แล้ว +40

    Kuna umuhimu wa kusali kila unapoamka hakika mungu anatutumia malaika mlinzi bila sisi kujua kama unaamini ivo gonga like hapo chini.

  • @frankmnyela510
    @frankmnyela510 4 ปีที่แล้ว +4

    Nilinusulika kupigwa jiwe na chizi,,, haisee lingenipata sijui ingekuwaje cz ilikuwa kalibu kalibu afu jiwe lenyewe lilikuwa zito gumu na alililusha kwa kasi ya 4g na alilenga kichwani... Asante MUNGU lilinikosa

  • @nenenelly1878
    @nenenelly1878 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimukuu👋👌✅🙏🙏🙏

  • @jacksonmallya9369
    @jacksonmallya9369 4 ปีที่แล้ว +43

    Jaman me naona watu wakiomba like sijui za nin ebu ngoj nami nijaribuu.......naomben like basi hap🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @scholamatage3357
    @scholamatage3357 4 ปีที่แล้ว +2

    Sitosahau nlinusurika kugongwa na gari aina ya lori ningericodiwa ningekuwepo kwenye hii listi hakika mungu ni mwema aaamen

  • @peterdaffa3753
    @peterdaffa3753 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah mimi ni mengi sana hata cjui nianzie wp ila yote namshukuru mungu kwa kunilinda wala sio ujanja wangu

  • @mathewmuruyuki7258
    @mathewmuruyuki7258 4 ปีที่แล้ว +24

    Huyu jamaa Justin aende Kutangaza news Dira ya dunia or Dunia Leo.
    Namukubali 100% kutoka Canada

    • @davidmasambu6660
      @davidmasambu6660 3 ปีที่แล้ว

      Canada kwa baba??😂

    • @ruuh5149
      @ruuh5149 3 ปีที่แล้ว

      Mathew muruyuki mambo nawez kuongea na ww privt km hautojar

  • @damianopetrodamianopetro2320
    @damianopetrodamianopetro2320 3 ปีที่แล้ว

    Jmn mungu aitwe mungu siku moja nilkuwa nafunga wayaring wa sola mdani ya kanisa nilipanda na ngazi kwenye paa za kanisa chini kuna sakafu ngazi ikateleza ikanitangulia mm nikafuata ngazi inafika chini tu na mm juu yake nime simama ni kwa ulinzi wa mungu tu

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +1

    Jesus Christ is Lord....Son of David is Love.

  • @salmaibrahim8888
    @salmaibrahim8888 3 ปีที่แล้ว +3

    Nafanyakazi kwenye kiwanda... Product zilipangwa kwenda na vyuma viwili vilisimamishwa... Yani nilivyomaliza kupita sehemu hiyo apo apo vyuma na zili products ziliteremka chini karibu zote

  • @travellahmusa7088
    @travellahmusa7088 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aliniokoa na ajali ya pikipiki 2017 ahsante Mungu kwa wokovu wako

  • @terezamaurice9903
    @terezamaurice9903 4 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kuna watu wana bahati nami ni mmoja wao nimewahi nusurika kung'atwa na nyoka
    Nilikuwa nimesimama mashambani huku nikiwa na mzigo kichwani nyoka yule akanipandia miguuni nami nikahisi ubaridi usio wa kawaida nikawaza itakuwa nini nikashindwa kuelewa nikabaki tuli pasipo kujitikisa wala kutazama nikapata wLo la kurusha mguu ule kama mtu anapiga tekw au football ndipo nilipomrusha mbele yangu kidogo hapo ndipo nilipogundua ni nyoka kw kweli Nilimshukuru Mungu na kuondoka kwa hofu kubwa

  • @pascaljr.5439
    @pascaljr.5439 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakumbuka nlikuwa napita pemben ya barabara na rafy yangu nakumbuk kunag gari ckuiona kwa nyuma ilikuwa kasi MUNGU alivyo wa ajabu ile gari iliishia kunipunyua ksehemu ya kiuno ckuhisi kuumia sanaa

  • @humphreystephen1030
    @humphreystephen1030 4 ปีที่แล้ว +3

    Sitosahau mchezo wa baiskeli BMX, niliponea kupoteza viungo nilipo fail kuikwepa gali. Ilinibidi niiachie baiskeli ikakanyagwe kuliko niishikilie alafu ikaniue........ sitosahau

  • @tysonking9675
    @tysonking9675 ปีที่แล้ว

    Daa umeni kumbusha mbali sana nikiwa naendelesha pikipiki nikiwa mbagala mponda nili mpakiza jama mmoja na mdogo wangu mdogo uso kwa uso nilikutana na fuso ila nili savaifu ilikua asilimia o kufa na piana nikiwa uku south African nili nusilika kufa nikiwa na gali ya aina ya polo priea ili sunguka mala tatu ila sikuumia seemu yoyote ile mungu bado ananiitaji mungu mkubwa

  • @damianopetrodamianopetro2320
    @damianopetrodamianopetro2320 3 ปีที่แล้ว

    Duh yaani siku ya mtu isipo fika hata kama unge jihesabia kifo utaishi kwa ulinzi wa mungu

  • @olechami1384
    @olechami1384 3 ปีที่แล้ว +2

    mungu ashukuriwe

  • @sarahomary3615
    @sarahomary3615 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli hii ni ukweli kabisa nakumbuka kipindi nipo shule ya msingi navuka barabara Gari ilitoka huku na huku mm nipo katikati yani dah mungu alininusuru kwakweli yani

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 4 ปีที่แล้ว +8

    Uyo wa baskel angeshika break tu angejikuta mawinguni akimlaki Yesu

  • @anesansibert2968
    @anesansibert2968 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa upande wang tukio ambao siwez kulisahau nikukoswa na roli kubwa la mizigo lilinikosakosa Kibanda cha Mkaa Mbez mwisho Dar-es-salaam baada yakuama kutoka barabara kuu kunifuata pembeni mwabarabar nikiwa kwenye Mazoezi, liliishia kupata ajari mbaya mim nikinusulika

  • @fathiasaed9641
    @fathiasaed9641 4 ปีที่แล้ว +2

    God is good

  • @alsonsemoka5019
    @alsonsemoka5019 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni neema ya Mungu tu,,si kwa uwezo wala bahati walizonazo

  • @vencherdeoz2189
    @vencherdeoz2189 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilinusulika kupondwa na ukuta...aisee Mungu ni mkubwa kwa jinsi alivyoninusuru haielezeki

  • @mackmillan9040
    @mackmillan9040 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni neema ya mungu tu MI mungu ameninusuru namengi Sana,,, namwabudu.

  • @realityevents8958
    @realityevents8958 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah kapanga ata engeenda pole pole

  • @issamoshi5216
    @issamoshi5216 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana brooo

  • @KeshMbutoMakena
    @KeshMbutoMakena 3 ปีที่แล้ว +1

    Kutoroka Saudi Arabia kidogo tu nishikwe

  • @subirielisamwazembe9562
    @subirielisamwazembe9562 2 ปีที่แล้ว

    ilikuwa mwa 2005 mbalizi mby kuna mtu tulikubaliana tukutane sitend hapo miaka ile sitend ya mbalixi ilikuwa karibu na Lena hospt baada ya mdla kupita bila huyo mtu kuonekana tulipanda gari ile gari inataka kuondoa sim yangu iliita na nilipopokea huyo mtu alisisitixa Kama mekaribia kufika. nikamwomba konda nikashuka na abilia mwingine akaingia na gari kuondoka nageuka nyuma tusalimiane na niliyekuwa nikimsubir nilisikia paaaa kugeuk ivi ni gar nililokuwa nimeshuka limepata ajari na abiria wote waliokuwepo walifarik pale pale mpaka deleva ni tukio hambalo kila nikikumbuka naishia kumtukuza mungu kwa ukuu wake kwangu

  • @umrahlubuva2546
    @umrahlubuva2546 4 ปีที่แล้ว +4

    God is god forever

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 ปีที่แล้ว

    Kwanini hakuna tukio ata Moja la Tanzania mlilolinasa mkatuonesha ,hii ikoje ? Yote ni ya nje ya nchi ..

  • @maregezigilishonedwin6193
    @maregezigilishonedwin6193 3 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @samsonramadhan881
    @samsonramadhan881 2 ปีที่แล้ว

    Najiona ni mwenye bahati San nilikuwa na baiskel nateremka mlima sekenke mala ghafla taili ya mbele ikachomoka rakin sikudondoka nilishaanga kujikuta napumua

  • @tarikally7809
    @tarikally7809 4 ปีที่แล้ว

    Bahat ni majaaliwa na pale mungu anapokunusuru na mamb mbalmbal mahala popote

  • @selinanyongole5264
    @selinanyongole5264 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kutupigania

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaah Mungu nimukubwa

  • @omarybakari394
    @omarybakari394 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah nilinusurika kugongwa na tairi ya gari ilipochomkoma nikiwa road walk

  • @tinamuta8019
    @tinamuta8019 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Mungu mkubwa

  • @husaynamri7006
    @husaynamri7006 4 ปีที่แล้ว +2

    big up bro... upo sawa sn

  • @magelethimsokwa62
    @magelethimsokwa62 ปีที่แล้ว

    Me nilinusulika kudumbua chooni nikiwa naoga malayapili nilinu sulika kudumbukia kisimani nikiwa nateka maji

  • @robertoantonio5682
    @robertoantonio5682 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo lafudhi ndio inaniboa story nzuri

  • @adventinaeliaselias5004
    @adventinaeliaselias5004 3 ปีที่แล้ว

    Aisee siku 1 nikiwa napika jikoni kwenye Niko la gasi ilitokea singbod likaachia kona hadi kona yani likashika kama lilivyo na mtoto alikw ameketi juu ya meza,lkn cha ajabu hakuguswa popote na Mimi nilipokimbilia kusimama ndipo kipande cha jipsame kilibaki juu zaidi ile jipsame ilipiga jiko ila ikalizima kwa hiyo tukatoka salama

  • @tibamaulidimrisho6955
    @tibamaulidimrisho6955 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niliwahi kuluka nyoka kwa huwezo wa allah alininusulu ilikua ivi tulikuwa na mwenzangu tukitoka masidi kuswali swala ya alufajili mimi nilikuwa mbele nikasikia akisema nimeona kitu ilipo pita kiliinama kisha kimeinuka nikaludi kuangalia nyoka tungenda kuita watu upande wapili walipo kuja akawa katoka yupo juu ya mti walipo muuwa wakasema unabahati kwani ainayake sio yakugonga mtu ovyo ila akikugonga uwombi maji kwani anasum kali amaakikugonga kama kunamtu kamuona akukate alipogonga haraka sana soo namshukuru allah kwahilo

  • @geraldnyange2316
    @geraldnyange2316 3 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @wisebless5302
    @wisebless5302 4 ปีที่แล้ว +2

    mi niliyemwona nikaogopa sana Ni yule kamba imemponyoka jamani asirudie tena

  • @rabackmedia1988
    @rabackmedia1988 3 ปีที่แล้ว

    Mungu kama haja penda hata wanadamu wafanye je hatakua upande wako tu

  • @hamisimlau1188
    @hamisimlau1188 4 ปีที่แล้ว

    Da noma sana

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 3 ปีที่แล้ว

    Nampa nampa pa......😜😜😂😂😂😂

  • @edsonkimbazi3050
    @edsonkimbazi3050 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupamoja nasi

  • @jacobojames7086
    @jacobojames7086 4 ปีที่แล้ว

    Aloooo kweli ajari kazini

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +1

    Sio kuliko Mimi bhana ebu jitaje wewe mwenyewe wanabati kuliko wewe TU

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Huyo wa baiskeli angeshik break angekuw na Adamu huko kwa baba

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 2 ปีที่แล้ว

    Nampa PAPA
    GIGY MONEY UYO

  • @mkarawizemtasher4897
    @mkarawizemtasher4897 4 ปีที่แล้ว +2

    Pompeii brother please

  • @paullubida8058
    @paullubida8058 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @janembawala6009
    @janembawala6009 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo wa treni jarbu bongo km ujasagwasagwa

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo ya London nimeamini zio kila mara kuwa Haraka Haraka Haina Baraka kwani unaweza kuendesha mwendo kasi na ukabahatika

  • @behon200
    @behon200 2 หลายเดือนก่อน

    Kama unapenda bongo fasta ni subscribe na unipe like

  • @patriciamgala944
    @patriciamgala944 4 ปีที่แล้ว

    Ni mkono wa Mungu tuu ndugu yangu

  • @mushyenock6975
    @mushyenock6975 4 ปีที่แล้ว

    Me nilinusurika kugongwa na magari ya langalanga nikiwa nashangaa ndege ikiwa inapita angani nilivyogeuka tuu nilishuudia vumbi tuu likiwa limetapakaa na gari likawa limesimama mbele yangu niliishiwa nguvu

  • @misita-b91
    @misita-b91 3 ปีที่แล้ว

    Hi the don

  • @kabokozawadi370
    @kabokozawadi370 3 ปีที่แล้ว

    Moi je failli mourir. J'avais tombé de l'étage de haut jusqu'à bas.

  • @kerabamohamed2525
    @kerabamohamed2525 3 ปีที่แล้ว

    Livee

  • @edwardmenawezkuzamakwadaki4825
    @edwardmenawezkuzamakwadaki4825 ปีที่แล้ว

    Duuu!!! Mungu ni mkubwa

  • @castoneeddy3059
    @castoneeddy3059 4 ปีที่แล้ว

    Angeumia sana

  • @troptv8241
    @troptv8241 4 ปีที่แล้ว +6

    Mhh Tazameni Trop TV mjionee vitu vikali

  • @hafidhmuhamed9392
    @hafidhmuhamed9392 4 ปีที่แล้ว

    Hafidh

  • @bahatimohamedi4221
    @bahatimohamedi4221 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 ปีที่แล้ว

    Papa yupo na umbo la ndege

  • @ericadelard4730
    @ericadelard4730 4 ปีที่แล้ว +4

    Wa 3

  • @masoudrashidtv8364
    @masoudrashidtv8364 4 ปีที่แล้ว +2

    Niajabu

  • @sabrinaluuna2869
    @sabrinaluuna2869 4 ปีที่แล้ว +1

    Haraka inanga baraka sometimes

  • @onelove.m
    @onelove.m 3 ปีที่แล้ว

    Mungu kamsaidia

  • @SufoAbdala
    @SufoAbdala ปีที่แล้ว

    👋

  • @babugsafari281
    @babugsafari281 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawa kubali Saana @bongo faster

  • @shariffomar6560
    @shariffomar6560 3 ปีที่แล้ว

    Wwwa

  • @bellacuresalon2548
    @bellacuresalon2548 4 ปีที่แล้ว +6

    Am the first one here💞

    • @barakajuma768
      @barakajuma768 3 ปีที่แล้ว +1

      hi I called me call me beautiful I love you

    • @barakajuma768
      @barakajuma768 3 ปีที่แล้ว +1

      Hi I called me

  • @MkalaTsanje-pi7ps
    @MkalaTsanje-pi7ps ปีที่แล้ว

    Ni kubaya

  • @mohammedalbahry2978
    @mohammedalbahry2978 4 ปีที่แล้ว

    Chanel safi sana hii

  • @charlsesospeter9449
    @charlsesospeter9449 2 ปีที่แล้ว

    Kifo nisha nusulika

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 3 ปีที่แล้ว

    Loooh kuishi ni bahat

  • @salumsimai5580
    @salumsimai5580 4 ปีที่แล้ว

    Mipango ya Mungu

  • @msurimaulidi2795
    @msurimaulidi2795 3 ปีที่แล้ว

    Naomba m2me vingne m nimependa

  • @6luckytz41
    @6luckytz41 3 ปีที่แล้ว

    Mipango ya mola

  • @mitchellwamuyu2891
    @mitchellwamuyu2891 4 ปีที่แล้ว

    huyo wa ku skate amefanya niogope skating

  • @halisiaisaya7832
    @halisiaisaya7832 4 ปีที่แล้ว

    Ni mungu tu.

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 ปีที่แล้ว

    unaez kabis

  • @omarryhashimyusufu7588
    @omarryhashimyusufu7588 4 ปีที่แล้ว

    daah amakweli kuna watu wana bahat

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว

    Wah huyo namba 6

  • @rabateysadahni6346
    @rabateysadahni6346 4 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @noldeznoldy4087
    @noldeznoldy4087 4 ปีที่แล้ว

    gd

  • @elihazinasingo1923
    @elihazinasingo1923 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nilipona kuliwa na mamba

  • @swalhaabdulkareem6681
    @swalhaabdulkareem6681 4 ปีที่แล้ว

    Nilinusurika kifo ya risasi

  • @dennismunyao4778
    @dennismunyao4778 4 ปีที่แล้ว +1

    Bahati nyingine zinaogopesha

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 ปีที่แล้ว

      Mmmh kweli 😢